Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 10| Hapo, Yesu akamwambia, "Nenda zako Shetani! Imeandikwa: `
2 Matt 5 24| yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu
3 Matt 8 4 | usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani,
4 Matt 8 9 | yangu. Namwambia mmoja, `Nenda!` naye huenda; na mwingine, `
5 Matt 8 13| akamwambia huyo ofisa Mroma, "Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini."
6 Matt 17 27| Lakini kusudi tusiwakwaze, nenda ziwani ukatupe ndoana; chukua
7 Matt 19 21| unapenda kuwa mkamilifu, nenda ukauze mali yako uwape maskini
8 Matt 21 28| wa kwanza, `Mwanangu, leo nenda ukafanye kazi katika shamba
9 Mark 1 44| mtu yeyote jambo hili, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani;
10 Mark 5 19| Badala yake akamwambia, "Nenda nyumbani kwa jamaa yako,
11 Mark 5 34| imani yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa
12 Mark 7 29| Kwa sababu ya neno hilo, nenda. Pepo amemtoka binti yako!"~
13 Mark 10 21| Umepungukiwa na kitu kimoja: nenda ukauze vitu ulivyo navyo,
14 Mark 10 52| 52 Yesu akamwambia, "Nenda, imani yako imekuponya."
15 Luke 5 14| Usimwambie mtu yeyote; bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani,
16 Luke 7 8 | yangu. Namwambia mmoja, `Nenda!`, naye huenda; namwambia
17 Luke 7 50| Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani."~ ~ ~~ ~
18 Luke 8 48| imani yako imekuponya. Nenda kwa amani."~
19 Luke 9 60| wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze Ufalme wa Mungu."~
20 Luke 10 37| huruma." Yesu akamwambia, "Nenda ukafanye vivyo hivyo."~
21 Luke 14 21| akamwambia mtumishi wake: `Nenda upesi kwenye barabara na
22 Luke 14 23| bwana akamwambia mtumishi: `Nenda katika barabara na vichochoro
23 John 4 16| 16 Yesu akamwambia, "Nenda ukamwite mumeo uje naye
24 John 4 50| 50 Yesu akamwambia, "Nenda tu, mwanao yu mzima." Huyo
25 John 8 11| Wala mimi sikuhukumu. Nenda zako; na tangu sasa usitende
26 John 9 7 | 7 akamwambia, "Nenda ukanawe katika bwawa la
27 John 9 11| akanipaka machoni na kuniambia: `Nenda ukanawe katika bwawa la
28 John 20 17| bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie:
29 Acts 7 3 | waache watu wa ukoo wako; nenda katika nchi nitakayokuonyesha!`~
30 Acts 8 29| Mtakatifu akamwambia Filipo, "Nenda karibu na gari hilo ukafuatane
31 Acts 9 15| Lakini Bwana akamwambia, "Nenda tu, kwa maana nimemchagua
32 Acts 22 10| Bwana akaniambia: `Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa
33 Acts 22 21| Naye Bwana akaniambia: `Nenda; ninakutuma mbali kwa mataifa
34 Acts 28 26| 26 akisema: `Nenda kwa watu hawa ukawaambie:
35 Rev 10 8 | awali ikasema nami tena: "Nenda ukakichukue kile kitabu
|