Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
miongoni 70
mioto 1
mioyo 48
mioyoni 35
mipaka 2
mipakani 1
mipango 6
Frequency    [«  »]
35 kidunia
35 makanisa
35 miili
35 mioyoni
35 nenda
35 samaki
35 viumbe

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mioyoni

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 9 4 | Kwa nini mnawaza mabaya mioyoni mwenu?~ 2 Matt 15 8 | huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.~ 3 Mark 2 6 | waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,~ 4 Mark 2 8 | akawaambia, "Mbona mnawaza hivyo mioyoni mwenu?~ 5 Mark 7 6 | kwa maneno matupu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.~ 6 Luke 1 66 | mambo hayo waliyatafakari mioyoni mwao wakisema: "Mtoto huyu 7 Luke 3 15 | basi, wakaanza kujiuliza mioyoni mwao kuhusu Yohane: kuwa 8 Luke 5 22 | akawauliza, "Mnawaza nini mioyoni mwenu?~ 9 Luke 8 12 | Ibilisi akaja na kuliondoa mioyoni mwao wasije wakaamini na 10 Luke 9 47 | aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto 11 Luke 21 14 | 14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria 12 Luke 24 38 | Mbona mnakuwa na mashaka mioyoni mwenu?~ 13 John 2 25 | barabara mambo yote yaliyomo mioyoni mwao.~ ~ ~~ ~ 14 John 5 43 | kwamba upendo kwa Mungu haumo mioyoni mwenu.~ 15 John 14 1 | aliwaambia, "Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, 16 John 16 6 | mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu.~ 17 John 16 22 | tena, nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna 18 Roma 2 15 | matakwa ya Sheria yameandikwa mioyoni mwao. Dhamiri zao zinashuhudia 19 Roma 5 5 | Mungu amekwisha miminia mioyoni mwetu upendo wake kwa njia 20 2Cor 1 22 | yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo 21 2Cor 3 2 | yetu; barua iliyoandikwa mioyoni mwetu kila mtu aione na 22 2Cor 7 2 | 2 Tunaomba mtupe nafasi mioyoni mwenu! Hatujamkosea mtu 23 2Cor 7 3 | nilivyokwisha sema, ninyi mko mioyoni mwetu, tufe pamoja, tuishi 24 Gala 4 6 | amemtuma Roho wa Mwanae mioyoni mwenu, Roho ambaye hulia " 25 Ephe 3 17 | 17 naye Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani. Namwomba 26 Ephe 5 19 | nyimbo na zaburi kwa shukrani mioyoni mwenu.~ 27 Colo 3 15 | amani ya Kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo 28 Colo 3 16 | kiroho; mwimbieni Mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.~ 29 Hebr 8 10 | akilini mwao, na kuziandika mioyoni mwao. Mimi nitakuwa Mungu 30 Hebr 10 16 | Bwana: Nitaweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika akilini 31 James 1 21| kupokea ule ujumbe uliopandwa mioyoni mwenu, ambao waweza kuziokoa 32 1Pet 3 15 | mtukuzeni Kristo kama Bwana mioyoni mwenu. Muwe tayari kumjibu 33 2Pet 1 19 | ya asubuhi utakapong`ara mioyoni mwenu.~ 34 1Joh 2 24 | mliousikia tangu mwanzo na ukae mioyoni mwenu. Kama ujumbe huo mliousikia 35 Rev 17 17 | 17 Maana Mungu ametia mioyoni mwao nia ya kutekeleza shabaha


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License