Book, Chapter, Verse
1 John 3 12 | Ikiwa nimewaambieni mambo ya kidunia nanyi hamniamini, mtawezaje
2 John 3 31 | dunia, na huongea mambo ya kidunia. Lakini anayekuja kutoka
3 Roma 7 14 | kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa
4 Roma 15 27 | Wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.~
5 1Cor 2 14 | 14 Mtu wa kidunia hapokei mambo ya Roho wa
6 1Cor 3 1 | kusema nanyi kama watu wa kidunia, kama watoto wachanga katika
7 1Cor 3 3 | 3 Maana bado mu watu wa kidunia. Je, si kweli kwamba bado
8 1Cor 3 3 | kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.~
9 1Cor 3 3 | kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.~
10 1Cor 3 18 | mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi
11 1Cor 3 19 | 19 Maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya Mungu.
12 1Cor 9 11 | tukichuma kwenu faida ya kidunia?~
13 2Cor 7 10 | kujuta. Lakini huzuni ya kidunia huleta kifo.~
14 2Cor 10 2 | wanaotudhania kwamba tunaishi kidunia.~
15 2Cor 10 3 | lakini hatupigani vita kidunia.~
16 2Cor 10 4 | vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu za Mungu zenye
17 2Cor 11 18 | wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.~
18 Gala 5 13 | cha kutawaliwa na tamaa za kidunia; ila mnapaswa kutumikiana
19 Gala 5 16 | hamtafuata tena tamaa za kidunia.~
20 Gala 5 17 | 17 Maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya
21 Gala 5 17 | Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani;
22 Gala 5 19 | 19 Basi, matendo ya kidunia yanajulikana: uzinzi, uasherati,
23 Gala 5 24 | wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya
24 Gala 6 8 | Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu;
25 Ephe 2 3 | kufuatana na tamaa zetu za kidunia na kufanya tu mambo yale
26 Ephe 2 3 | yaliyoipendeza miili na akili zetu. Kidunia, sisi kama vile pia wao,
27 Colo 2 18 | kwa fikira danganifu za kidunia~
28 Colo 3 5 | ambacho chahusika na mambo ya kidunia: uasherati, uchafu, shauku,
29 Colo 3 22 | watumwa, watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si
30 1Tim 1 9 | watu wasio na dini na wa kidunia. Watu wanaowaua baba na
31 1Tim 6 20 | Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu
32 2Tim 2 16 | Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ya kipumbavu; kwani hayo
33 Titus 2 12| na uovu wote na tamaa za kidunia; tuwe na kiasi, tuishi maisha
34 James 3 15| hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani.~
35 Jude 1 19 | wanaotawaliwa na tamaa zao za kidunia, watu wasio na Roho wa Mungu.~
|