Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 9 | Nawaambieni hakika, Mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe
2 Matt 6 27 | kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuuongeza muda wa maisha
3 Luke 3 8 | Nawaambieni hakika, Mungu anaweza kuyageuza mawe haya yawe
4 Luke 6 39 | Akawaambia mfano huu: "Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake?
5 Luke 12 25 | yenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza urefu wa maisha
6 John 5 20 | kufanya kitu peke yake; anaweza tu kufanya kile anachomwona
7 John 9 21 | mwenyewe; yeye ni mtu mzima, anaweza kujitetea mwenyewe."~
8 John 10 21 | ya mwenye pepo. Je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?"~
9 Acts 8 22 | huu na umwombe Bwana naye anaweza kukusamehe fikira kama hizo.~
10 Roma 4 21 | 21 Alijua kwamba Mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.~
11 Roma 5 7 | mtu mwadilifu; labda mtu anaweza kuthubutu kufa kwa ajili
12 Roma 9 21 | 21 Mfinyanzi anaweza kuutumia udongo apendavyo
13 Roma 14 4 | atasimama imara, maana Bwana anaweza kumsimamisha.~
14 Roma 14 5 | 5 Mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa
15 Roma 16 25 | sasa na tumsifu Mungu! Yeye anaweza kuwaimarisheni katika ile
16 1Cor 2 15 | Lakini mtu aliye na huyo Roho anaweza kubainisha ubora wa kila
17 1Cor 3 12 | 12 Juu ya msingi huo mtu anaweza kujenga kwa dhahabu, fedha
18 1Cor 3 12 | fedha au mawe ya thamani; anaweza kutumia miti, majani au
19 1Cor 6 12 | 12 Mtu anaweza kusema: "Kwangu mimi kila
20 1Cor 7 37 | moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na
21 1Cor 7 39 | huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi
22 1Cor 15 35 | 35 Lakini mtu anaweza kuuliza: "Wafu watafufuliwaje?
23 2Cor 9 8 | 8 Mungu anaweza kuwapeni ninyi zaidi ya
24 2Cor 10 10 | 10 Mtu anaweza kusema: "Barua za Paulo
25 Gala 6 4 | mwenyewe. Ukiwa mwema, basi, anaweza kuona fahari juu ya alichofanya
26 Hebr 2 18 | 18 Na, anaweza sasa kuwasaidia wale wanaojaribiwa
27 Hebr 5 2 | yeye mwenyewe yu dhaifu anaweza kuwaonea huruma wale wasiojua
28 Hebr 7 25 | 25 Hivyo, yeye anaweza daima kuwaokoa kabisa wote
29 Hebr 11 19 | Abrahamu aliamini kwamba Mungu anaweza kuwafufua wafu: na kwa namna
30 James 2 18| 18 Lakini mtu anaweza kusema: "Wewe unayo imani,
31 James 3 2 | basi, huyo ni mkamilifu, na anaweza kutawala nafsi yake yote.~
32 James 3 7 | 7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu
33 1Joh 5 4 | kila aliye mtoto wa Mungu anaweza kuushinda ulimwengu. Hivi
34 Rev 5 5 | wa Daudi, ameshinda. Yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba
35 Rev 13 18 | kutumia ujasiri! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu
|