Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
badala 27
badiliko 2
bado 124
bahari 34
baharini 24
bahati 1
baina 1
Frequency    [«  »]
35 samaki
35 viumbe
34 anapaswa
34 bahari
34 barnaba
34 bidii
34 hadi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

bahari

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 13| Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa 2 Matt 18 6 | kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.~ 3 Luke 21 25| na mshindo wa mawimbi ya bahari.~ 4 Acts 4 24| Muumba wa mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo!~ 5 Acts 7 36| katika nchi ya Misri, katika bahari ya Shamu na jangwani kwa 6 Acts 10 6 | nyumba yake iko karibu na bahari."~ 7 Acts 10 32| mtengenezaji wa ngozi karibu na bahari.`~ 8 Acts 14 15| aliyeumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo.~ 9 Acts 27 5 | 5 Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, 10 Acts 27 17| kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya Libya. Kwa hiyo 11 Acts 27 27| tunakokotwa huku na huku katika bahari ya Adria. Karibu na usiku 12 Acts 27 28| Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa 13 Acts 27 41| ambapo mikondo miwili ya bahari hukutana, na meli ikakwama. 14 1Cor 10 1 | wote walivuka salama ile bahari.~ 15 1Cor 10 2 | Mose kwa lile wingu na ile bahari.~ 16 Hebr 11 29| watu wa Israeli walivuka bahari ya Shamu, kana kwamba ilikuwa 17 James 1 6| mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa 18 Jude 1 13| ni kama mawimbi makali ya bahari, na matendo yao ya aibu 19 Rev 4 6 | enzi kulikuwa na kitu kama bahari ya kioo, angavu kama jiwe 20 Rev 7 2 | jukumu la kuiharibu nchi na bahari,~ 21 Rev 7 3 | 3 "Msiharibu nchi, wala bahari, wala miti, mpaka tutakapokwisha 22 Rev 8 8 | baharini. Theluthi moja ya bahari ikawa damu,~ 23 Rev 10 2 | mguu wake wa kulia juu ya bahari, na wa kushoto juu ya nchi 24 Rev 10 5 | niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua 25 Rev 10 6 | mbingu na vyote vilivyomo, bahari na vyote vilivyomo, dunia 26 Rev 10 8 | malaika asimamaye juu ya bahari na juu ya nchi kavu."~ 27 Rev 12 12 | Lakini, ole wenu nchi na bahari, maana Ibilisi amewajieni 28 Rev 12 18 | likajisimamia ukingoni mwa bahari.~ ~~ ~ 29 Rev 14 7 | aliyeumba mbingu na nchi, bahari na chemchemi za maji."~ 30 Rev 15 2 | Kisha nikaona kitu kama bahari ya kioo, imechanganywa na 31 Rev 15 2 | wamesimama kando ya hiyo bahari ya kioo, wakiwa na vinubi 32 Rev 16 3 | bakuli lake baharini. Nayo bahari ikawa damu tupu kama damu 33 Rev 20 13 | 13 Bahari ikawatoa nje wafu waliokuwa 34 Rev 21 1 | vilikuwa vimetoweka, nayo bahari pia haikuweko tena.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License