Book, Chapter, Verse
1 Matt 16 27| ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.~
2 Matt 25 15| 15 Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja sarafu
3 Matt 27 65| walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo."~
4 Mark 4 33| namna hiyo; aliongea nao kadiri walivyoweza kusikia.~
5 Mark 7 36| juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi
6 John 6 11| samaki, kila mtu akapata kadiri alivyotaka.~
7 Acts 2 4 | kusema lugha mbalimbali kadiri Roho alivyowawezesha.~
8 Acts 2 45| vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.~
9 Acts 4 35| hizo, zikagawiwa kila mmoja kadiri ya mahitaji yake.~
10 Acts 11 29| waliamua kila mmoja kwa kadiri ya uwezo wake apeleke chochote
11 Roma 7 18| lolote ndani yangu mimi, kadiri ya ubinadamu wangu. Kwa
12 Roma 9 5 | wa mababu, naye Kristo, kadiri ya ubinadamu wake, ametoka
13 Roma 12 6 | kipaji cha unabii na akitumie kadiri ya imani yake.~
14 Roma 12 18| 18 Kadiri inavyowezekana kwa upande
15 1Cor 1 21| 21 Maana, kadiri ya hekima ya Mungu, watu
16 1Cor 16 2 | wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya mapato yake, ili kusiwe
17 2Cor 1 5 | 5 Naam, kadiri mateso ya Kristo yanavyozidi
18 2Cor 1 5 | yanavyozidi ndani yetu, ni kadiri hiyohiyo tunazidi kufarijiwa
19 2Cor 7 9 | na kutubu. Mmehuzunishwa kadiri ya mpango wa Mungu, na kwa
20 2Cor 8 3 | kwamba walikuwa wakarimu kadiri ya nguvu zao na hata zaidi.
21 2Cor 8 11| fanyeni bidii vivyo hivyo, kadiri ya uwezo wenu, kuikamilisha.~
22 2Cor 9 7 | Kila mmoja, basi, na atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na
23 Ephe 3 16| 16 Namwomba Mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake,
24 Ephe 4 7 | mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na
25 Colo 3 10| kurekebishwa na Mungu, Muumba wake, kadiri ya mfano wake, ili mpate
26 1Tim 6 12| 12 Piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano
27 2Tim 1 8 | kwa ajili ya Habari Njema, kadiri ya nguvu unazopewa na Mungu. ~
28 Hebr 2 4 | vipaji vya Roho Mtakatifu kadiri ya mapenzi yake.~
29 Hebr 9 22| 22 Naam, kadiri ya Sheria karibu kila kitu
30 1Pet 1 17| yeye humhukumu kila mmoja kadiri ya matendo yake, bila ubaguzi.
31 1Joh 5 14| kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.~
32 Rev 18 7 | Mpeni mateso na uchungu kadiri ya kujigamba kwake, na kuishi
33 Rev 20 12 | kikafunguliwa pia. Wafu wakahukumiwa kadiri ya matendo yao, kama ilivyoandikwa
|