Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
wivu 27
wizi 3
woga 1
wokovu 32
wosia 4
wote 590
wowote 29
Frequency    [«  »]
32 wafalme
32 watakuwa
32 wazazi
32 wokovu
31 akaja
31 ambalo
31 huru

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

wokovu

   Book, Chapter, Verse
1 Luke 2 30 | kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao kwako,~ 2 Luke 3 6 | 6 Na, watu wote watauona wokovu utokao kwa Mungu."`~ 3 Luke 19 9 | 9 Yesu akamwambia, "Leo wokovu umefika katika nyumba hii, 4 John 4 22 | tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa Wayahudi.~ 5 Acts 4 12 | 12 Wokovu haupatikani kwa mtu mwingine 6 Acts 13 26 | mnaomcha Mungu! Ujumbe huu wa wokovu umeletwa kwetu.~ 7 Acts 13 47 | kwa mataifa, uwe njia ya wokovu kwa ulimwengu wote."`~ 8 Acts 16 17 | Wanawatangazieni njia ya wokovu."~ 9 Acts 28 28 | kwamba ujumbe wa Mungu juu ya wokovu umepelekwa kwa watu wa mataifa. 10 Roma 13 11 | kuamka usingizini; naam, wokovu wetu u karibu zaidi sasa 11 1Cor 1 18 | sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo ni nguvu ya Mungu.~ 12 2Cor 1 6 | ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu. Tukifarijika, ni kwa 13 2Cor 6 2 | nimekusikiliza, wakati wa wokovu nikakusaidia." Basi, sasa 14 2Cor 6 2 | kufaa, sasa ndiyo siku ya wokovu!~ 15 2Cor 7 10 | moyo, badiliko lenye kuleta wokovu; hivyo hakuna sababu ya 16 Ephe 1 13 | Habari Njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini Kristo; naye 17 Ephe 6 17 | 17 Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, 18 1The 2 16 | mengine ujumbe utakaowaletea wokovu. Ndivyo walivyokamilisha 19 1The 5 8 | kifuani, na tumaini letu la wokovu kama kofia ya chuma.~ 20 1The 5 9 | ghadhabu yake, bali tuupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu 21 2Tim 3 15 | kukupatia hekima iletayo wokovu kwa njia ya imani kwa Kristo 22 Titus 2 11| imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote.~ 23 Hebr 1 14 | wawasaidie wale watakaopokea wokovu.~ ~~ ~ 24 Hebr 2 3 | tutaokokaje kama hatuujali wokovu mkuu kama huu? Kwanza Bwana 25 Hebr 2 3 | Bwana mwenyewe aliutangaza wokovu huu, na wale waliomsikia 26 Hebr 2 10 | ndiye anayewaongoza kwenye wokovu.~ 27 Hebr 5 9 | mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wale wote 28 Hebr 6 9 | mmepokea baraka zile bora za wokovu wenu.~ 29 1Pet 1 5 | nguvu ya Mungu kwa ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa 30 1Pet 1 9 | 9 kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo 31 1Pet 1 10 | kufanya uchunguzi juu ya wokovu huo, wakabashiri juu ya 32 Jude 1 3 | kuwaandikieni juu ya ule wokovu tunaoshiriki sote, nimeona


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License