Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 8 | akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme
2 Matt 5 14| ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.~
3 Matt 17 1 | akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu.~
4 Matt 17 20| haradali, mtaweza kuuambia mlima huu: `Toka hapa uende pale,`
5 Matt 21 1 | na kufika Bethfage katika mlima wa Mizeituni, aliwatuma
6 Matt 21 21| hivyo, bali hata mkiuambia mlima huu: `Ng`oka ukajitose baharini,`
7 Matt 24 3 | alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni, wanafunzi
8 Matt 26 30| wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.~
9 Matt 28 16| walikwenda Galilaya kwenye ule mlima aliowaagiza Yesu.~
10 Mark 5 11| malishoni kwenye mteremko wa mlima.~
11 Mark 9 2 | Yakobo na Yohane juu ya mlima mrefu peke yao. Huko, Yesu
12 Mark 11 1 | Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni. Hapo aliwatuma
13 Mark 11 23| Nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu: `Ng`oka ukajitose baharini`
14 Mark 13 3 | alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni akielekea Hekalu,
15 Mark 14 26| wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.~
16 Luke 3 5 | Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa;
17 Luke 19 29| Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma
18 Luke 19 37| Yerusalemu, katika mteremko wa mlima wa Mizeituni, umati wote
19 Luke 21 37| usiku alikuwa akienda katika mlima wa Mizeituni na kukaa huko.~
20 Luke 22 39| desturi yake, akaenda katika mlima wa Mizeituni; wanafunzi
21 John 4 20| Babu zetu waliabudu juu ya mlima huu, lakini ninyi mwasema
22 John 4 21| hamtamwabudu Baba juu ya mlima huu, wala kule Yerusalemu.~
23 John 8 1 | lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni.~
24 Acts 1 12| wakarudi Yerusalemu kutoka mlima wa Mizeituni ulioko karibu
25 Acts 7 30| kule jangwani karibu na mlima Sinai.~
26 Gala 4 25| 25 Hagari anawakilisha mlima Sinai ulioko Arabia, na
27 Hebr 12 20| iliyotolewa: "Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama,
28 Hebr 12 22| Lakini ninyi mmefika katika mlima wa Sioni, kwenye mji wa
29 2Pet 1 18| tulipokuwa pamoja naye juu ya ule mlima mtakatifu.~
30 Rev 8 8 | tarumbeta yake. Na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto ukatupwa
31 Rev 14 1 | 1 Kisha nikaona mlima Sioni, na Mwanakondoo amesimama
32 Rev 21 10 | malaika akanipeleka juu ya mlima mrefu sana. Akanionyesha
|