1-500 | 501-773
Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 1 | Hii ndiyo orodha ya ukoo wake:~
2 Matt 1 16 | alimzaa Yosefu, aliyekuwa mume wake Maria, mama yake Yesu, aitwaye
3 Matt 1 21 | kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao."~
4 Matt 1 24 | alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.~
5 Matt 2 18 | Raheli anawalilia watoto wake, wala hataki kutulizwa,
6 Matt 4 6 | Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua
7 Matt 5 1 | mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea,~
8 Matt 5 31 | semwa pia: `Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka.`~
9 Matt 5 41 | akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita
10 Matt 7 9 | miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa
11 Matt 8 3 | 3 Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa na kusema, "Nataka!
12 Matt 8 3 | Mara huyo mtu akapona ukoma wake.~
13 Matt 8 13 | ulivyoamini." Na mtumishi wake akapona saa ileile.~
14 Matt 8 18 | limemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake waende ng`ambo ya ziwa.~
15 Matt 8 21 | mwingine miongoni mwa wanafunzi wake akamwambia, "Bwana, niruhusu
16 Matt 8 23 | alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.~
17 Matt 8 29 | kututesa kabla ya wakati wake?"~
18 Matt 9 1 | ziwa na kufika katika mji wake.~
19 Matt 9 10 | pamoja naye na wanafunzi wake.~
20 Matt 9 11 | hayo, wakawaambia wanafunzi wake, "Mbona mwalimu wenu anakula
21 Matt 9 19 | akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata.~
22 Matt 9 37 | Hapo akawaambia wanafunzi wake, "Mavuno ni mengi, lakini
23 Matt 10 1 | Yesu aliwaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa
24 Matt 10 12 | nyumbani wasalimuni wenyeji wake.~
25 Matt 10 24 | Mwanafunzi si mkuu kuliko mwalimu wake, wala mtumishi si mkuu kuliko
26 Matt 10 24 | mtumishi si mkuu kuliko bwana wake.~
27 Matt 10 25 | mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana
28 Matt 10 25 | mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mkubwa
29 Matt 10 35 | yake, kati ya mkwe na mkwe wake.~
30 Matt 10 38 | Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili.~
31 Matt 11 2 | Yohane akawatuma wanafunzi wake,~
32 Matt 11 20 | miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kubadili nia
33 Matt 11 21 | kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwisha vaa mavazi
34 Matt 12 1 | Sabato. Basi, wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kukwanyua
35 Matt 12 11 | Tuseme mmoja wenu ana kondoo wake ambaye ametumbukia shimoni;
36 Matt 12 26 | anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?~
37 Matt 12 49 | 49 Kisha akaunyosha mkono wake kuelekea wanafunzi wake,
38 Matt 12 49 | wake kuelekea wanafunzi wake, akasema, "Hawa ndio mama
39 Matt 13 10 | 10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, "
40 Matt 13 28 | hivyo.` Basi, watumishi wake wakamwuliza, `Je, unataka
41 Matt 13 36 | akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, "
42 Matt 13 41 | wa Mtu atawatuma malaika wake wawakusanye kutoka katika
43 Matt 13 41 | wawakusanye kutoka katika Ufalme wake wale wote wenye kusababisha
44 Matt 14 2 | Basi, akawaambia watumishi wake, "Mtu huyu ni Yohane mbatizaji,
45 Matt 14 12 | wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda
46 Matt 14 15 | Kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, "
47 Matt 14 19 | mikate, akawapa wanafunzi wake, nao wakawapa watu.~
48 Matt 14 22 | Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie
49 Matt 14 26 | 26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu
50 Matt 14 31 | Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, "
51 Matt 15 23 | hakumjibu neno. Basi, wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, "
52 Matt 15 32 | Yesu aliwaita wanafunzi wake, akasema, "Nawaonea watu
53 Matt 16 5 | 5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande
54 Matt 16 13 | Filipi, aliwauliza wanafunzi wake, "Watu wanasema Mwana wa
55 Matt 16 21 | kuwajulisha waziwazi wanafunzi wake: "Ni lazima mimi niende
56 Matt 16 24 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kama mtu yeyote anataka
57 Matt 16 24 | mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.~
58 Matt 16 27 | Baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa
59 Matt 16 28 | Mtu akija katika Ufalme wake."~ ~~ ~
60 Matt 17 2 | wanamtazama, akageuka sura, uso wake ukang`aa kama jua na mavazi
61 Matt 18 7 | 7 Ole wake ulimwengu kwa sababu ya
62 Matt 18 7 | lazima vitokee lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.~
63 Matt 18 23 | kukagua hesabu za watumishi wake.~
64 Matt 18 25 | cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru wauzwe, yeye, mke
65 Matt 18 25 | aliamuru wauzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote
66 Matt 18 25 | yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa
67 Matt 18 35 | hatamsamehe ndugu yake kwa moyo wake wote."~ ~~ ~
68 Matt 19 5 | mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili
69 Matt 19 8 | Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu
70 Matt 19 9 | yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya
71 Matt 19 10 | 10 Wanafunzi wake wakamwambia, "Ikiwa mambo
72 Matt 19 23 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kweli nawaambieni, itakuwa
73 Matt 19 28 | kiti cha enzi cha utukufu wake katika ulimwengu mpya, ninyi
74 Matt 20 8 | alimwambia mtunza hazina wake, `Waite wafanyakazi ukawalipe
75 Matt 21 1 | 1 Yesu na wanafunzi wake walipokaribia Yerusalemu
76 Matt 21 1 | Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,~
77 Matt 21 2 | punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.~
78 Matt 21 7 | Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu
79 Matt 21 30 | Yule baba akamwambia mtoto wake wa pili vivyo hivyo, naye
80 Matt 21 34 | ulipofika, aliwatuma watumishi wake kwa wale wakulima, ili wakachukue
81 Matt 21 38 | tumuue ili tuuchukue urithi wake!`~
82 Matt 22 7 | akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize ~wauaji hao
83 Matt 22 8 | Kisha akawaambia watumishi wake: <Karamu ya arusi iko tayari ~
84 Matt 22 25 | akamwachia ndugu yake huyo mke wake mjane. ~
85 Matt 23 1 | watu pamoja na wanafunzi wake, ~
86 Matt 24 1 | akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonyesha
87 Matt 24 31 | 31 Naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma
88 Matt 24 31 | nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za
89 Matt 24 45 | mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu ya watu wake,
90 Matt 24 45 | wake atamweka juu ya watu wake, awape chakula kwa wakati
91 Matt 24 45 | awape chakula kwa wakati wake?~
92 Matt 24 46 | mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya
93 Matt 24 50 | 50 bwana wake atakuja siku asiyoitazamia
94 Matt 25 14 | ambo: aliwaita watumishi wake, akawakabidhi mali yake.~
95 Matt 25 15 | kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja sarafu tano za fedha
96 Matt 25 18 | akaificha fedha ya bwana wake.~
97 Matt 25 21 | 21 Bwana wake akamwambia, `Vema, mtumishi
98 Matt 25 23 | 23 Bwana wake akamwambia, `Vema, mtumishi
99 Matt 25 26 | 26 "Bwana wake akamwambia, `Wewe ni mtumishi
100 Matt 25 31 | atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote wakiwa pamoja
101 Matt 25 33 | Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande
102 Matt 25 33 | wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.~
103 Matt 25 34 | atawaambia wale walio upande wake wa kulia, `Njoni enyi mliobarikiwa
104 Matt 25 41 | atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, `Ondokeni mbele
105 Matt 25 41 | aliotayarishiwa Ibilisi na malaika wake.~
106 Matt 26 1 | yote, aliwaambia wanafunzi wake,~
107 Matt 26 8 | 8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika,
108 Matt 26 20 | mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.~
109 Matt 26 24 | Matakatifu yasemavyo, lakini ole wake mtu yule atakayemsaliti
110 Matt 26 26 | akaumega, akawapa wanafunzi wake akisema, "Twaeni mle; huu
111 Matt 26 36 | Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa nami niende
112 Matt 26 51 | mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani
113 Matt 27 19 | katika kiti cha hukumu, mke wake akampelekea ujumbe: "Usijitie
114 Matt 27 29 | pia mwanzi katika mkono wake wa kulia. Wakapiga magoti
115 Matt 27 32 | wakamlazimisha kuuchukua msalaba wake Yesu.~
116 Matt 27 64 | siku ya tatu ili wanafunzi wake wasije wakamwiba na kuwaambia
117 Matt 28 7 | upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba amefufuka kutoka
118 Matt 28 8 | kwenda kuwaambia wanafunzi wake.~
119 Matt 28 13 | mtasema hivi: `Wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba
120 Mark 1 41 | huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, "
121 Mark 2 2 | alikuwa akiwahubiria ujumbe wake,~
122 Mark 2 12 | akainuka, akauchukua mkeka wake, akaenda zake. Watu wote
123 Mark 2 15 | pamoja naye na wanafunzi wake.~
124 Mark 2 16 | ushuru, wakawauliza wanafunzi wake, "Kwa nini anakula pamoja
125 Mark 2 23 | Walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke
126 Mark 3 5 | Naye akaunyosha mkono wake, ukawa mzima tena.~
127 Mark 3 7 | hapo pamoja na wanafunzi wake, akaenda kando ya ziwa,
128 Mark 3 9 | Yesu akawaambia wanafunzi wake wamtayarishie mashua moja,
129 Mark 3 20 | tena, hata Yesu na wafuasi wake wasiweze kupata nafasi ya
130 Mark 4 29 | mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno
131 Mark 4 33 | Yesu aliwahubiria ujumbe wake kwa mifano mingine mingi
132 Mark 4 34 | alipokuwa pamoja na wanafunzi wake peke yao alikuwa akiwafafanulia
133 Mark 4 35 | Yesu aliwaambia wanafunzi wake, "Tuvuke ziwa, twende ng`
134 Mark 4 40 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Mbona mnaogopa? Je, bado
135 Mark 5 29 | kwamba ameponywa ugonjwa wake.~
136 Mark 5 31 | 31 Wanafunzi wake wakamjibu, "Unaona jinsi
137 Mark 5 40 | msichana na wale wanafunzi wake, wakaingia chumbani alimokuwa
138 Mark 6 1 | akifuatwa na wanafunzi wake.~
139 Mark 6 22 | akawafurahisha sana Herode na wageni wake. Mfalme akamwambia huyo
140 Mark 6 26 | kwa ajili ya wale wageni wake karamuni, hakutaka kumkatalia.~
141 Mark 6 29 | walikwenda wakachukua mwili wake, wakauzika kaburini.~
142 Mark 6 31 | kuondoka hata Yesu na wanafunzi wake hawakuweza kupata nafasi
143 Mark 6 33 | wakakimbilia huko Yesu na wanafunzi wake walikokuwa wanakwenda, wakawatangulia
144 Mark 6 41 | mikate, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu. Na wale
145 Mark 6 45 | Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie
146 Mark 6 48 | Basi, akawaona wanafunzi wake wakitaabika kwa kupiga makasia,
147 Mark 7 2 | kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono
148 Mark 7 12 | halazimiki tena kuwasaidia wazazi wake.`~
149 Mark 7 17 | kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo
150 Mark 7 35 | yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema
151 Mark 8 1 | Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,~
152 Mark 8 4 | 4 Wanafunzi wake wakamwuliza, "Hapa nyikani
153 Mark 8 6 | akaimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu, nao wakawagawia.~
154 Mark 8 10 | mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda wilaya ya Dalmanutha.~
155 Mark 8 22 | Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu
156 Mark 8 25 | naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona
157 Mark 8 27 | Kisha Yesu na wanafunzi wake walikwenda katika vijiji
158 Mark 8 27 | Yesu aliwauliza wanafunzi wake, "Watu wanasema mimi ni
159 Mark 8 31 | alianza kuwafundisha wanafunzi wake: "Ni lazima Mwana wa Mtu
160 Mark 8 33 | akageuka, akawatazama wanafunzi wake, akamkemea Petro akisema, "
161 Mark 8 34 | watu pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, "Mtu yeyote
162 Mark 8 34 | mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.~
163 Mark 9 21 | Naye akamjibu, "Tangu utoto wake.~
164 Mark 9 28 | alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, "
165 Mark 9 30 | 30 Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea
166 Mark 9 31 | anawafundisha wanafunzi wake. Aliwaambia, "Mwana wa Mtu
167 Mark 9 41 | kwa sababu ninyi ni watu wake Kristo, hakika hatakosa
168 Mark 9 48 | 48 Humo wadudu wake hawafi, na moto hauzimiki.
169 Mark 10 10 | ndani ya nyumba, wanafunzi wake walimwuliza juu ya jambo
170 Mark 10 23 | zote, akawaambia wanafunzi wake, "Jinsi gani itakavyokuwa
171 Mark 10 26 | 26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, "
172 Mark 10 32 | anawatangulia. Wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu
173 Mark 10 46 | mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa
174 Mark 11 1 | aliwatuma wawili wa wanafunzi wake,~
175 Mark 11 14 | matunda kwako." Nao wanafunzi wake walisikia maneno hayo.~
176 Mark 11 19 | jioni, Yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini.~
177 Mark 12 2 | mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee
178 Mark 12 7 | basi, tumuue ili urithi wake uwe wetu!`~
179 Mark 12 43 | Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, "Kweli nawaambieni,
180 Mark 13 1 | Hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, "Mwalimu, tazama
181 Mark 13 20 | Lakini kwa ajili ya wateule wake, Bwana amezipunguza siku
182 Mark 13 27 | Kisha atawatuma malaika wake; atawakusanya wateule wake
183 Mark 13 27 | wake; atawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za
184 Mark 13 34 | safari akiwaachia watumishi wake madaraka, kila mmoja na
185 Mark 14 12 | Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "Wataka tukuandalie
186 Mark 14 13 | akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, "Nendeni mjini,
187 Mark 14 17 | alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.~
188 Mark 14 19 | 19 Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza
189 Mark 14 21 | yanavyosema juu yake; lakini, ole wake mtu yule anayemsaliti Mwana
190 Mark 14 22 | akaumega na kuwapa wanafunzi wake akisema, "Twaeni; huu ni
191 Mark 14 27 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Ninyi nyote mtakuwa na
192 Mark 14 32 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa wakati mimi
193 Mark 14 47 | na Yesu akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani
194 Mark 15 26 | 26 Na mshtaka wake ulikuwa umeandikwa: "Mfalme
195 Mark 15 27 | anyi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande
196 Mark 15 27 | kulia na mwingine upande wake wa kushoto.*fh* Matakatifu
197 Mark 15 45 | akamruhusu Yosefu auchukue mwili wake.~
198 Mark 16 7 | Nendeni mkawaambie wanafunzi wake pamoja na Petro ya kwamba
199 Luke 1 5 | wa kikundi cha Abia. Mke wake alikuwa anaitwa Elisabeti,
200 Luke 1 17 | amtayarishie Bwana watu wake."~
201 Luke 1 20 | yatakayotimia kwa wakati wake. Hutaweza kusema mpaka hayo
202 Luke 1 33 | Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho."~
203 Luke 1 35 | Mtakatifu atakushukia, na uwezo wake Mungu Mkuu utakujia kama
204 Luke 1 48 | amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo tangu
205 Luke 1 51 | Amefanya mambo makuu kwa mkono wake: amewatawanya wenye kiburi
206 Luke 1 54 | Amemsaidia Israeli mtumishi wake, akikumbuka huruma yake.~
207 Luke 1 55 | wetu Abrahamu na wazawa wake hata milele."~
208 Luke 1 61 | hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?"~
209 Luke 1 62 | wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.~
210 Luke 1 64 | Papo hapo midomo na ulimi wake Zakariya vikafunguliwa,
211 Luke 1 68 | kuwasaidia na kuwakomboa watu wake.~
212 Luke 1 69 | mzawa wa Daudi mtumishi wake.~
213 Luke 1 70 | kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,~
214 Luke 2 1 | watu wote chini ya utawala wake wajiandikishe.~
215 Luke 2 3 | kujiandikisha, kila mtu katika mji wake.~
216 Luke 2 5 | kujiandikisha pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mja
217 Luke 2 7 | 7 akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika
218 Luke 2 43 | alibaki Yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari.~
219 Luke 2 48 | 48 Wazazi wake walipomwona walishangaa.
220 Luke 2 50 | 50 Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno
221 Luke 3 19 | ndugu yake, na kumfanya mke wake; na pia kwa ajili ya mabaya
222 Luke 3 20 | Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.~
223 Luke 4 10 | imeandikwa: `Atawaamuru malaika wake wakulinde,`~
224 Luke 5 13 | 13 Yesu akaunyosha mkono wake, akamgusa na kusema, "Nataka,
225 Luke 5 30 | wakawanung`unikia wafuasi wake wakisema: "Mbona mnakula
226 Luke 6 1 | mashamba ya ngano, na wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke
227 Luke 6 6 | mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.~
228 Luke 6 10 | akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.~
229 Luke 6 13 | yake aliwaita wanafunzi wake, na miongoni mwao akachagua
230 Luke 6 17 | kundi kubwa la wanafunzi wake na umati wa watu waliotoka
231 Luke 6 20 | Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: "Heri ninyi mlio
232 Luke 6 40 | Mwanafunzi hamshindi mwalimu wake, lakini kila mwanafunzi
233 Luke 6 40 | hitimu huwa kama mwalimu wake.~
234 Luke 6 48 | amechimba chini na kuweka msingi wake juu ya mwamba; kukatokea
235 Luke 7 2 | ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana. Huyu mtumishi
236 Luke 7 3 | kumwomba aje amponye mtumishi wake.~
237 Luke 7 11 | uitwao Naini, na wafuasi wake pamoja na kundi kubwa la
238 Luke 7 16 | amekuja kuwakomboa watu wake."~
239 Luke 7 18 | wawili kati ya wanafunzi wake,~
240 Luke 8 9 | 9 Wanafunzi wake wakamwuliza Yesu maana ya
241 Luke 8 22 | mashua pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, "Tuvuke ziwa
242 Luke 8 44 | Papo hapo akaponywa ugonjwa wake wa kutokwa damu.~
243 Luke 9 14 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Waambieni watu waketi
244 Luke 9 16 | akavimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu.~
245 Luke 9 18 | peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, "
246 Luke 9 23 | nafsi yake, auchukue msalaba wake kila siku, anifuate.~
247 Luke 9 26 | atakapokuja katika utukufu wake na wa Baba na wa malaika
248 Luke 9 32 | waliamka, wakauona utukufu wake, wakawaona na wale watu
249 Luke 9 43 | Yesu aliwaambia wanafunzi wake,~
250 Luke 9 54 | 54 Basi, wanafunzi wake, kina Yohane na Yakobo,
251 Luke 10 7 | mfanyakazi anastahili mshahara wake. Msiende mara nyumba hii
252 Luke 10 13 | kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwishavaa mavazi
253 Luke 10 23 | Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, "Heri wanaoona
254 Luke 10 34 | akampandisha juu ya punda wake akampeleka katika nyumba
255 Luke 11 1 | kusali, mmoja wa wanafunzi wake akamwambia, "Bwana, tunakuomba
256 Luke 11 1 | alivyowafundisha wanafunzi wake."~
257 Luke 11 18 | anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? Mnasemaje,
258 Luke 11 36 | inavyokuangazia kwa mwanga wake."~
259 Luke 12 1 | aliwaambia kwanza wanafunzi wake, "Jihadharini na chachu
260 Luke 12 8 | Mungu kwamba mtu huyo ni wake.~
261 Luke 12 22 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kwa sababu hiyo nawaambieni,
262 Luke 12 42 | mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu ya watumishi
263 Luke 12 42 | atamweka juu ya watumishi wake ili awape chakula wakati
264 Luke 12 43 | mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya
265 Luke 12 46 | 46 bwana wake atarudi siku asiyoitazamia
266 Luke 12 47 | anajua matakwa ya bwana wake lakini hajiweki tayari kufanya
267 Luke 12 53 | huyo dhidi ya mama mkwe wake."~
268 Luke 13 7 | Basi, akamwambia mfanyakazi wake: `Angalia! Kwa miaka mitatu
269 Luke 13 11 | Kwa sababu hiyo, mwili wake ulikuwa umepindika vibaya
270 Luke 13 13 | Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza
271 Luke 13 15 | hangemfungua ng`ombe au punda wake kutoka zizini ampeleke kunywa
272 Luke 13 17 | Alipokwisha sema hayo, wapinzani wake waliona aibu lakini watu
273 Luke 14 5 | nani kati yenu ambaye mtoto wake au ng`ombe wake akitumbukia
274 Luke 14 5 | ambaye mtoto wake au ng`ombe wake akitumbukia shimoni, hangemtoa
275 Luke 14 17 | ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, `Njoni,
276 Luke 14 21 | akarudi na kumwarifu bwana wake jambo hilo. Yule mwenye
277 Luke 14 21 | alikasirika, akamwambia mtumishi wake: `Nenda upesi kwenye barabara
278 Luke 14 26 | asipowachukia baba na mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake,
279 Luke 14 27 | Mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa
280 Luke 14 31 | kama ataweza, kwa askari wake elfu ishirini?~
281 Luke 15 13 | yule mdogo aliuza urithi wake, akasafiri na fedha aliyopata,
282 Luke 15 22 | yake akawaambia watumishi wake: `Haraka! Leteni nguo nzuri
283 Luke 16 1 | Yesu aliwaambia wanafunzi wake: "Tajiri mmoja alikuwa na
284 Luke 16 1 | mmoja alikuwa na karani wake. Huyu karani alichongewa
285 Luke 16 1 | alitumia ovyo mali ya tajiri wake.~
286 Luke 16 5 | akawaita wadeni wa bwana wake, mmoja mmoja, akamwambia
287 Luke 16 18 | Yeyote anayemwacha mke wake na kuoa mwingine, anazini;
288 Luke 17 1 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Haiwezekani kabisa kusitokee
289 Luke 17 1 | vinavyosababisha dhambi; lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.~
290 Luke 17 22 | Halafu akawaambia wanafunzi wake, "Siku zinakuja ambapo mtatamani
291 Luke 19 13 | kuondoka aliwaita watumishi wake kumi, akawapa kiasi cha
292 Luke 19 29 | Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,~
293 Luke 19 37 | umati wote na wanafunzi wake, wakaanza kushangilia na
294 Luke 20 10 | mtu huyo alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima, akachukue
295 Luke 20 14 | Basi, tumwue ili urithi wake uwe wetu.`~
296 Luke 20 28 | akifa na kumwacha mjane wake bila watoto, ni lazima ndugu
297 Luke 20 45 | Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,~
298 Luke 22 14 | chakula pamoja na mitume wake.~
299 Luke 22 22 | ilivyopangwa, lakini ole wake mtu anayemsaliti."~
300 Luke 22 35 | Yesu akawauliza wanafunzi wake, "Wakati nilipowatuma bila
301 Luke 22 37 | yanayonihusu yanafikia ukamilifu wake."~
302 Luke 22 39 | wa Mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.~
303 Luke 22 45 | kusali, aliwarudia wanafunzi wake, akawakuta wamelala, kwani
304 Luke 22 49 | 49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, "
305 Luke 22 71 | tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe."sw4323~ ~ ~~ ~
306 Luke 23 11 | herode pamoja na maaskari wake, wakamwaibisha Yesu na kumfanyia
307 Luke 23 33 | wahalifu wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande
308 Luke 23 33 | kulia na mwingine upande wake wa kushoto.~
309 Luke 23 55 | lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa~
310 Luke 24 13 | wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika
311 Luke 24 23 | 23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba
312 Luke 24 26 | hivyo aingie katika utukufu wake?"~
313 John 1 7 | Alikuja ili kwa ujumbe wake watu wote wapate kuamini.~
314 John 1 11 | yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.~
315 John 1 14 | kwetu. Nasi tumeuona utukufu wake, utukufu wake yeye aliye
316 John 1 14 | tumeuona utukufu wake, utukufu wake yeye aliye Mwana wa pekee
317 John 1 16 | 16 Kutokana na ukamilifu wake sisi tumepokea neema mfululizo.~
318 John 1 35 | hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.~
319 John 2 2 | arusini pamoja na wanafunzi wake.~
320 John 2 11 | Galilaya, akaonyesha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.~
321 John 2 11 | utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.~
322 John 2 12 | ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda Kafarnaumu ambako
323 John 2 17 | 17 Wanafunzi wake wakakumbuka kwamba Maandiko
324 John 2 21 | ya Hekalu ambalo ni mwili wake.~
325 John 2 22 | alipofufuliwa kutoka wafu, wanafunzi wake walikumbuka kwamba alikuwa
326 John 3 16 | hivi hata akamtoa Mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye
327 John 3 22 | Yudea pamoja na wanafunzi wake. Alikaa huko pamoja nao
328 John 3 29 | 29 Bibiarusi ni wake bwanaarusi, lakini rafiki
329 John 3 32 | hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.~
330 John 3 33 | yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu
331 John 3 34 | Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo.~
332 John 4 2 | anabatiza ila wanafunzi wake.)~
333 John 4 8 | 8 (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini
334 John 4 12 | na yeye mwenyewe, watoto wake na mifugo yake walikunywa
335 John 4 24 | kweli kwa nguvu ya Roho wake."~
336 John 4 27 | 27 Hapo wanafunzi wake wakarudi, wakastaajabu sana
337 John 4 28 | Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia
338 John 4 31 | Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: "
339 John 4 33 | 33 Wanafunzi wake wakaulizana, "Je, kuna mtu
340 John 4 36 | Mvunaji anapata mshahara wake, na anakusanya mavuno kwa
341 John 4 41 | walimwamini kwa sababu ya ujumbe wake.~
342 John 4 47 | akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.~
343 John 4 51 | Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia
344 John 5 10 | akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika
345 John 5 38 | sauti yake, wala kuuona uso wake,~
346 John 5 39 | 38 na ujumbe wake haukai ndani yenu maana
347 John 6 3 | akaketi pamoja na wanafunzi wake.~
348 John 6 8 | 8 Mmoja wa wanafunzi wake aitwaye Andrea, nduguye
349 John 6 12 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kusanyeni vipande vilivyobaki
350 John 6 16 | Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,~
351 John 6 22 | mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa
352 John 6 24 | kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo,
353 John 6 60 | 60 Basi, wengi wa wafuasi wake waliposikia hayo, wakasema, "
354 John 6 61 | na mtu kwamba wanafunzi wake walikuwa wananung`unika
355 John 6 66 | na hayo, wengi wa wafuasi wake walirudi nyuma wasiandamane
356 John 9 2 | dhambi: mtu huyu, ama wazazi wake, hata akazaliwa kipofu?"~
357 John 9 3 | yeye, wala dhambi za wazazi wake; ila alizaliwa kipofu ili
358 John 9 18 | mpaka walipowaita wazazi wake.~
359 John 9 20 | 20 Wazazi wake wakajibu, "Tunajua kwamba
360 John 9 22 | 22 Wazazi wake walisema hivyo kwa sababu
361 John 9 23 | 23 Ndiyo maana wazazi wake walisema: "Yeye ni mtu mzima,
362 John 9 27 | pia mnataka kuwa wafuasi wake?"~
363 John 9 28 | wakisema, "Wewe ni mfuasi wake; sisi ni wafuasi wa Mose.~
364 John 10 3 | yake, naye huwaita kondoo wake kila mmoja kwa jina lake
365 John 10 11 | Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo wake.~
366 John 10 11 | wake kwa ajili ya kondoo wake.~
367 John 11 7 | Kisha akawaambia wanafunzi wake, "Twendeni tena Yudea!"~
368 John 11 12 | 12 Wanafunzi wake wakamwambia, "Bwana, ikiwa
369 John 11 44 | miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, "
370 John 11 54 | huko pamoja na wanafunzi wake.~
371 John 12 16 | 16 Wakati huo wanafunzi wake hawakuelewa mambo hayo,
372 John 12 48 | lile nililosema ni hakimu wake siku ya mwisho.~
373 John 13 1 | Alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda
374 John 13 2 | Basi, Yesu na wanafunzi wake walikuwa mezani kwa chakula
375 John 13 5 | akaanza kuwaosha wanafunzi wake miguu na kuipangusa kwa
376 John 13 16 | mkuu zaidi kuliko bwana wake, wala mtume si mkuu zaidi
377 John 15 13 | upendo wa mtu atoaye uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.~
378 John 15 15 | hajui anachofanya bwana wake. Lakini mimi nimewaita ninyi
379 John 15 19 | ungaliwapenda ninyi kama watu wake. Lakini kwa vile ninyi si
380 John 15 20 | mkuu zaidi kuliko bwana wake. Ikiwa wamenitesa mimi,
381 John 16 17 | Hapo baadhi ya wanafunzi wake wakaulizana, "Ana maana
382 John 16 29 | 29 Basi, wanafunzi wake wakamwambia, "Ahaa! Sasa
383 John 18 1 | Kedroni, pamoja na wanafunzi wake. Mahali hapo palikuwa na
384 John 18 1 | humo pamoja na wanafunzi wake.~
385 John 18 2 | Yesu alikutana na wanafunzi wake huko.~
386 John 18 12 | kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata
387 John 18 19 | akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.~
388 John 18 25 | pia si mmoja wa wanafunzi wake?" Yeye akakana na kusema, "
389 John 19 17 | akiwa amejichukulia msalaba wake kwenda mahali paitwapo "
390 John 19 18 | wengine wawili; mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande
391 John 19 18 | kulia na mwingine upande wake wa kushoto, naye Yesu katikati.~
392 John 19 25 | 25 Karibu na msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama
393 John 19 36 | yatimie: "Hapana hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa."~
394 John 20 20 | akawaonyesha mikono yake na ubavu wake. Basi, hao wanafunzi wakafurahi
395 John 20 30 | alifanya mbele ya wanafunzi wake ishara nyingine nyingi ambazo
396 John 21 1 | aliwatokea tena wanafunzi wake kando ya ziwa Tiberia. Aliwatokea
397 John 21 2 | wa Zebedayo na wanafunzi wake wengine wawili, walikuwa
398 John 21 14 | Yesu kuwatokea wanafunzi wake baada ya kufufuka kutoka
399 Acts 1 21 | nasi kama shahidi wa ufufuo wake Bwana Yesu. Anapaswa kuwa
400 Acts 2 23 | 23 Kufuatana na mpango wake mwenyewe Mungu alikwisha
401 Acts 2 30 | atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.~
402 Acts 2 31 | Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.`~
403 Acts 3 13 | amemtukuza Yesu mtumishi wake. Yeye ndiye yuleyule mliyemtia
404 Acts 3 18 | kwamba ilikuwa lazima Kristo wake ateseke.~
405 Acts 3 21 | alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani.~
406 Acts 3 26 | Mungu alimfufua mtumishi wake, alimtuma awabariki kwa
407 Acts 4 26 | kumwasi Bwana na Kristo wake.`~
408 Acts 5 6 | wakafika wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika.~
409 Acts 5 7 | muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia,
410 Acts 5 10 | wakamzika karibu na mume wake.~
411 Acts 5 26 | wa Hekalu pamoja na watu wake walikwenda Hekaluni, akawaleta.
412 Acts 5 31 | aliyekwezwa na Mungu mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi
413 Acts 5 36 | Lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi
414 Acts 5 37 | pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.~
415 Acts 6 15 | macho Stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.~ ~ ~~ ~
416 Acts 7 5 | hii iwe yake na ya wazawa wake, ingawaje wakati huu hakuwa
417 Acts 7 8 | Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka, siku ya nane baada
418 Acts 7 12 | nafaka, aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende
419 Acts 7 21 | alimchukua, akamlea kama mtoto wake.~
420 Acts 8 9 | alikuwa amekwisha fanya uchawi wake katika mji huo kwa muda
421 Acts 8 11 | amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.~
422 Acts 9 25 | wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha
423 Acts 9 37 | akafa. Watu wakauosha mwili wake, wakauzika katika chumba
424 Acts 10 41 | wachagua wawe mashahidi wake, yaani sisi tuliokula na
425 Acts 11 29 | mmoja kwa kadiri ya uwezo wake apeleke chochote ili kuwasaidia
426 Acts 12 11 | kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa kutoka katika
427 Acts 12 15 | wakamwambia, "Huyo ni malaika wake."~
428 Acts 13 17 | aliwatoa huko kwa uwezo wake mkuu.~
429 Acts 13 19 | Kanaani akawapa hao watu wake ile nchi kuwa mali yao.~
430 Acts 13 23 | 23 Kutokana na ukoo wake mtu huyu, Mungu, kama alivyoahidi,
431 Acts 13 25 | alipokuwa anamaliza ujumbe wake aliwaambia watu: `Mnadhani
432 Acts 13 31 | ndio walio sasa mashahidi wake kwa watu wa Israeli.~
433 Acts 13 36 | mapenzi ya Mungu wakati wake; kisha akafa na kuzikwa
434 Acts 13 36 | kuzikwa karibu na wazee wake, na mwili wake ukaoza.~
435 Acts 13 36 | na wazee wake, na mwili wake ukaoza.~
436 Acts 14 17 | huwapa mavuno kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza
437 Acts 15 14 | akachagua baadhi yao wawe watu wake.~
438 Acts 16 14 | zambarau. Bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno
439 Acts 16 16 | alikuwa anawapatia matajiri wake fedha nyingi kwa uaguzi
440 Acts 16 16 | fedha nyingi kwa uaguzi wake.~
441 Acts 16 27 | hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua.~
442 Acts 17 16 | Timotheo huko Athene, moyo wake ulighadhibika sana alipoona
443 Acts 17 28 | walivyosema: `Sisi ni watoto wake.`~
444 Acts 18 5 | Paulo alianza kutumia wakati wake wote kwa ajili ya kuhubiri,
445 Acts 19 9 | akawachukua pembeni wale wanafunzi wake, akawa anazungumza nao kila
446 Acts 19 22 | aliwatuma wawili wa wasaidizi wake, Timotheo na Erasto, wamtangulie
447 Acts 19 38 | Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu
448 Acts 20 28 | amewaweka ninyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu
449 Acts 20 32 | baraka alizowawekea watu wake.~
450 Acts 21 3 | Kupro, tulipitia upande wake wa kusini tukaelekea Siria.
451 Acts 21 19 | mataifa kwa njia ya utumishi wake.~
452 Acts 21 34 | kamili. Hivyo, aliamuru watu wake wampeleke Paulo ndani ya
453 Acts 22 14 | na kumwona yule mtumishi wake mwadilifu na kumsikia yeye
454 Acts 22 24 | wa jeshi aliwaamuru watu wake wampeleke Paulo ndani ya
455 Acts 23 10 | hiyo, aliwaamuru askari wake kuingia kati ya lile kundi,
456 Acts 23 30 | kwako. Nikamwambia washtaki wake walete mashtaka yao mbele
457 Acts 24 9 | Kisha akaamuru washtaki wake waje mbele yako.~
458 Acts 25 12 | Festo kuzungumza na washauri wake, akamwambia Paulo, "Umekata
459 Acts 25 16 | mshtakiwa hajakutana na washtaki wake ana kwa ana na kupewa fursa
460 Acts 25 18 | 18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa
461 Acts 26 1 | Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi:~
462 Acts 26 14 | anayepiga teke fimbo ya bwana wake.`~
463 Acts 27 23 | yule Mungu ambaye mimi ni wake na ambaye mimi ninamwabudu
464 Acts 27 24 | Kaisari; naye Mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa
465 Acts 27 31 | ofisa wa jeshi na askari wake, "Kama wanamaji hawa hawabaki
466 Acts 28 4 | kinaning`inia kwenye mkono wake waliambiana, "Bila shaka
467 Acts 28 7 | kirafiki, tukawa wageni wake kwa siku tatu.~
468 Roma 1 2 | Njema kwa njia ya manabii wake katika Maandiko Matakatifu.~
469 Roma 1 3 | ambaye mintarafu ubinadamu wake, alikuwa mzawa wa Daudi;~
470 Roma 1 4 | 4 mintarafu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa
471 Roma 1 6 | watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.~
472 Roma 1 7 | anawapenda, akawateua muwe watu wake. Nawatakieni neema na amani
473 Roma 1 20 | alipoumba ulimwengu, uwezo wake wa milele na uungu wake,
474 Roma 1 20 | wake wa milele na uungu wake, ingawa havionekani kwa
475 Roma 2 4 | Au labda unaudharau wema wake mkuu, uvumilivu wake na
476 Roma 2 4 | wema wake mkuu, uvumilivu wake na saburi yake, bila kutambua
477 Roma 2 4 | bila kutambua kwamba wema wake huo una shabaha ya kukuongoza
478 Roma 3 2 | aliwakabidhi Wayahudi ujumbe wake.~
479 Roma 3 26 | apate kuonyesha uadilifu wake. Kwa namna hiyo Mungu mwenyewe
480 Roma 4 4 | hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.~
481 Roma 4 13 | alimwahidi Abrahamu na wazawa wake kwamba ulimwengu ungekuwa
482 Roma 4 19 | ingawa alijua kwamba mwili wake ulikuwa kama umekufa, na
483 Roma 5 5 | miminia mioyoni mwetu upendo wake kwa njia ya Roho Mtakatifu
484 Roma 6 16 | fulani, mnakuwa kweli watumwa wake mtu huyo - au watumwa wa
485 Roma 7 4 | wa Kristo; sasa mmekuwa wake yeye aliyefufuliwa kutoka
486 Roma 8 9 | Roho wa Kristo, huyo si wake Kristo.~
487 Roma 8 11 | atafanya hivyo kwa njia ya Roho wake akaaye ndani yenu.~
488 Roma 8 17 | Mungu alizowawekea watu wake, na tutashiriki urithi huo
489 Roma 8 17 | tutaushiriki pia utukufu wake.~
490 Roma 8 19 | Mungu awadhihirishe watoto wake.~
491 Roma 8 30 | aliwashirikisha pia utukufu wake.~
492 Roma 8 37 | ushindi mkubwa kwa msaada wake yeye aliyetupenda.~
493 Roma 8 38 | kututenganisha na upendo wake: wala kifo, wala uhai; wala
494 Roma 9 4 | Mungu aliwateua wawe watoto wake, akawashirikisha utukufu
495 Roma 9 4 | akawashirikisha utukufu wake; aliagana nao, akawapa Sheria
496 Roma 9 5 | Kristo, kadiri ya ubinadamu wake, ametoka katika ukoo wao.
497 Roma 9 7 | wote wa Abrahamu ni watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo
498 Roma 9 7 | Maandiko Matakatifu: "Wazao wake watatokana na Isaka."~
499 Roma 9 8 | ndio watakaoitwa watoto wake.~
500 Roma 9 20 | chaweza kumwuliza mfinyanzi wake: "Kwa nini umenitengeneza
1-500 | 501-773 |