Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 11| wakamsujudia. Kisha wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: dhahabu,
2 Matt 6 19| 19 "Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo
3 Matt 6 20| 20 Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na
4 Matt 6 21| 21 Maana pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa
5 Matt 12 35| hutoa mambo mema katika hazina yake njema; na mtu mbaya
6 Matt 12 35| hutoa mambo mabaya katika hazina yake mbaya.~
7 Matt 13 44| wa mbinguni umefanana na hazina iliyofichika shambani. Mtu
8 Matt 13 52| mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale."~
9 Matt 19 21| hiyo fedha, nawe utakuwa na hazina mbinguni, kisha njoo unifuate."~
10 Matt 20 8 | shamba alimwambia mtunza hazina wake, `Waite wafanyakazi
11 Matt 27 6 | Haifai kuziweka katika hazina ya Hekalu kwa maana ni fedha
12 Mark 10 21| maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate."~
13 Mark 12 41| ameketi karibu na sanduku la hazina. Akawa anatazama jinsi watu
14 Mark 12 41| fedha na kuzitia katika hazina ya Hekalu. Matajiri wengi
15 Mark 12 43| fedha katika sanduku la hazina.~
16 Luke 6 45| yaliyo mema kutoka katika hazina bora iliyo moyoni mwake;
17 Luke 6 45| hutoa yaliyo mabaya katika hazina mbaya iliyo moyoni mwake,
18 Luke 12 33| isiyochakaa, na jiwekeeni hazina mbinguni ambako haitapungua.
19 Luke 12 34| 34 Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa
20 Luke 18 22| maskini, na hivyo utakuwa na hazina yako mbinguni; halafu njoo
21 Luke 21 1 | wanatia sadaka zao katika hazina ya Hekalu,~
22 Luke 21 3 | mjane ametia zaidi katika hazina kuliko wote.~
23 John 8 20| maneno hayo kwenye chumba cha hazina alipokuwa anafundisha Hekaluni.
24 John 12 6 | kwa sababu alikuwa mweka hazina, na kwa kuwa alikuwa mwizi,
25 John 12 6 | aliiba kutoka katika hiyo hazina.~
26 Acts 8 27| alikuwa ofisa maarufu wa hazina ya Kandake, malkia wa Ethiopia.
27 Acts 21 24| zile walizoambiwa juu yako hazina msingi wowote, na kwamba
28 Roma 16 23| anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto,
29 2Cor 4 7 | 7 Basi, sisi tulio na hazina hii tuko tu kama vyombo
30 Colo 2 3 | 3 Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.~
31 1Tim 4 7 | zisizo za kidini na ambazo hazina maana. Jizoeshe kuishi maisha
32 1Tim 6 19| Kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi
|