Book, Chapter, Verse
1 Matt 27 42 | lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! Eti yeye ni mfalme wa Wayahudi!
2 Mark 9 29 | akawaambia, "Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala
3 Mark 15 31 | lakini kujiokoa mwenyewe hawezi!~
4 Luke 8 47 | mwanamke alipoona kwamba hawezi kujificha, akajitokeza akitetemeka
5 Luke 14 26 | na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.~
6 Luke 14 27 | msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.~
7 John 3 4 | mzima awezaje kuzaliwa tena? Hawezi kuingia tumboni mwa mama
8 John 3 5 | asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme
9 John 3 27 | Yohane akawaambia, "Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na
10 John 5 20 | Kweli nawaambieni, Mwana hawezi kufanya kitu peke yake;
11 John 6 63 | uzima; binadamu peke yake hawezi. Maneno niliyowaambieni
12 John 9 4 | usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.~
13 John 11 9 | Basi, mtu akitembea mchana hawezi kujikwaa kwa kuwa anauona
14 John 14 30 | huu anakuja. Kwangu mimi hawezi kitu;~
15 Roma 8 7 | haitii sheria ya Mungu, wala hawezi kuitii.~
16 Roma 14 3 | kitu asimdharau yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye
17 1Cor 7 9 | 9 Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia basi, na aoe; maana
18 1Cor 12 3 | anayeongozwa na Roho wa Mungu hawezi kusema: "Yesu alaaniwe!"
19 1Cor 12 3 | Hali kadhalika, mtu yeyote hawezi kusema: "Yesu ni Bwana,"
20 Gala 2 16 | tunajua kwa hakika kwamba mtu hawezi kukubaliwa kuwa mwadilifu
21 1Tim 3 5 | 5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake,
22 2Tim 2 5 | 5 Mwanariadha yeyote hawezi kushinda na kupata zawadi
23 2Tim 2 13 | mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe."~
24 Hebr 4 15 | Mkuu wetu si mmoja ambaye hawezi kutuunga mkono katika unyonge
25 Hebr 6 18 | wala juu ya hivyo Mungu hawezi kusema uongo. Kwa hiyo sisi
26 James 1 13| Ninajaribiwa na Mungu." Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala
27 James 1 20| 20 Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu
28 James 1 26| mtu mwenye dini, lakini hawezi kuutawala ulimi wake, dini
29 2Pet 1 9 | na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba
30 1Joh 3 9 | hali ya kimungu ndani yake; hawezi kutenda dhambi kwa sababu
31 1Joh 4 20 | ndugu yake ambaye anamwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hamwoni.~
32 1Joh 5 18 | humlinda salama, na yule Mwovu hawezi kumdhuru.~
|