Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 25| maana nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula na kinywaji
2 Matt 6 27| miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuuongeza muda
3 Matt 6 28| mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni maua ya porini
4 Matt 6 31| 31 "Basi, msiwe na wasiwasi: `Tutakula nini, tutakunywa
5 Matt 6 34| 34 Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo
6 Matt 9 36| sababu walikuwa hoi na wenye wasiwasi kama kondoo wasio na mchungaji.~
7 Matt 10 19| ninyi mahakamani, msiwe na wasiwasi mtasema nini au namna gani;
8 Matt 13 22| asikiaye huo ujumbe, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu na anasa
9 Mark 4 19| 19 lakini wasiwasi wa ulimwengu huu, anasa
10 Mark 13 11| kuwapeleka mahakamani, msiwe na wasiwasi juu ya yale mtakayosema;
11 Luke 8 14| wanapokwenda zao, husongwa na wasiwasi, mali na anasa za maisha,
12 Luke 9 7 | yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa wakisema: "
13 Luke 12 11| wakuu na watawala msiwe na wasiwasi juu ya jinsi mtakavyojitetea
14 Luke 12 22| hiyo nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji
15 Luke 12 25| nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza urefu wa
16 Luke 12 26| kama hilo, kwa nini kuwa na wasiwasi juu ya yale mengine?~
17 Luke 21 25| yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi
18 John 14 27| ulimwengu ufanyavyo. Msiwe na wasiwasi, wala msifadhaike.~
19 Acts 5 24| waliposikia habari hiyo wakawa na wasiwasi, wasijue yaliyowapata.~
20 Acts 12 18| 18 Kulipokucha, ulitokea wasiwasi mkubwa kati ya wale askari
21 Acts 15 24| wakaitia mioyo yenu katika wasiwasi. Lakini wamefanya hivyo
22 Acts 17 8 | Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la
23 Acts 20 10| akamkumbatia na kusema, "Msiwe na wasiwasi maana kuna uhai bado ndani
24 1Cor 7 32| Ningependa ninyi msiwe na wasiwasi. Mtu asiye na mke hujishughulisha
25 2Cor 11 29| akikwazwa, nami pia huwa na wasiwasi. ic~
26 Gala 4 20| msimamo ufaao juu yenu! Nina wasiwasi sana nanyi!~
27 2The 2 2 | moyoni, na wala msitiwe wasiwasi kwa sababu ya madai kwamba
28 2Tim 2 18| imani ya watu wengine katika wasiwasi kwa kusema ati ufufuo wetu
29 1Pet 3 14| msikubali kutiwa katika wasiwasi.~
30 2Pet 2 8 | moyo wake ulikuwa katika wasiwasi mkuu aliposikia matendo
31 1Joh 3 19| ukweli; na hatutakuwa na wasiwasi mbele ya Mungu.~
|