Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 30 | hulivika hivyo jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa
2 Matt 12 2 | wanafunzi wako wanafanya jambo ambalo si halali siku ya Sabato."~
3 Mark 2 24 | Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya wakati
4 Luke 2 21 | walimpa jina Yesu, jina ambalo alikuwa amepewa na malaika
5 Luke 6 2 | wakawauliza, "Mbona mnafanya jambo ambalo si halali siku ya Sabato?"~
6 Luke 12 28 | vizuri jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa
7 Luke 23 53 | limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.~
8 John 2 21 | alikuwa anaongea juu ya Hekalu ambalo ni mwili wake.~
9 John 4 5 | Samaria, karibu na shamba ambalo Yakobo alikuwa amempa mwanawe,
10 John 5 2 | kwa Kiebrania Bethzatha, ambalo lilikuwa na baraza tano
11 John 19 41 | kulikuwa na kaburi jipya ambalo hakutiwa bado mtu yeyote
12 Acts 4 2 | kwamba Yesu alifufuka, jambo ambalo linaonyesha wazi kwamba
13 Acts 13 38 | anasamehewa dhambi zote, jambo ambalo halingewezekana kwa njia
14 Acts 16 9 | Usiku huo, Paulo aliona ono ambalo alimwona mtu mmoja wa Makedonia
15 Acts 20 28 | wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka
16 Acts 20 28 | Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae.~
17 Roma 8 3 | Mungu ametekeleza jambo lile ambalo Sheria haikuweza kutekeleza
18 2Cor 3 6 | kulihudumia Agano Jipya ambalo si agano la sheria iliyoandikwa,
19 2Cor 8 5 | 5 Hilo lilikuwa jambo ambalo hatukulitazamia kabisa!
20 Gala 2 10 | tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.~
21 Ephe 3 11 | na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya Kristo
22 Colo 1 5 | jambo lile mnalotumainia ambalo mmewekewa salama mbinguni.~
23 1Tim 3 15 | kanisa la Mungu aliye hai, na ambalo ni nguzo na msingi wa ukweli.~
24 2Tim 4 8 | maisha ya uadilifu, tuzo ambalo Bwana Hakimu wa haki, atanipa
25 Hebr 7 14 | alizaliwa katika kabila la Yuda ambalo Mose hakulitaja alipokuwa
26 Hebr 7 19 | tumaini lililo bora zaidi ambalo kwalo tunaweza kumkaribia
27 Hebr 9 4 | ubani, na Sanduku la Agano, ambalo lilikuwa limepakwa dhahabu
28 James 1 12| stahimili atapewa tuzo la uzima ambalo Mungu aliwaahidia wale wanaompenda.~
29 Rev 2 17 | lililoandikwa jina jipya ambalo hakuna mtu aliyelijua isipokuwa
30 Rev 16 18 | tetemeko kubwa la ardhi ambalo halijapata kutokea tangu
31 Rev 19 12 | Alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa
|