Book, Chapter, Verse
1 Matt 22 16| 16 Basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa
2 Matt 22 16| wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha ~Herode.
3 Mark 3 20| ukakusanyika tena, hata Yesu na wafuasi wake wasiweze kupata nafasi
4 Mark 12 13| baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa
5 Luke 5 30| Sheria wakawanung`unikia wafuasi wake wakisema: "Mbona mnakula
6 Luke 5 33| wengine wakamwambia Yesu, "Wafuasi wa Yohane mbatizaji hufunga
7 Luke 5 33| mara nyingi na kusali; hata wafuasi wa Mafarisayo hufanya vivyo
8 Luke 5 33| hufanya vivyo hivyo. Lakini wafuasi wako hula na kunywa."~
9 Luke 7 11| mji mmoja uitwao Naini, na wafuasi wake pamoja na kundi kubwa
10 Luke 10 23| 23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, "Heri wanaoona
11 Luke 24 13| hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda
12 Luke 24 35| 35 Basi, hao wafuasi wawili wakawajulisha yale
13 John 6 60| 60 Basi, wengi wa wafuasi wake waliposikia hayo, wakasema, "
14 John 6 66| Kutokana na hayo, wengi wa wafuasi wake walirudi nyuma wasiandamane
15 John 9 27| ninyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?"~
16 John 9 28| ni mfuasi wake; sisi ni wafuasi wa Mose.~
17 Acts 5 36| naye. Lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika
18 Acts 5 37| lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.~
19 Acts 9 1 | vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa
20 Acts 9 19| alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.~
21 Acts 9 38| mbali sana na Luda; kwa hiyo wafuasi waliposikia kwamba Petro
22 Acts 11 26| ndiko, kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo. ic~
23 Acts 13 52| 52 Lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha
24 Acts 14 21| Njema huko Derbe na kupata wafuasi wengi, walifunga safari
25 Acts 18 23| na Frugia akiwatia moyo wafuasi wote.~
26 Acts 18 27| walimtia moyo kwa kuwaandikia wafuasi kule Akaya wampokee. Alipofika
27 Acts 21 16| 16 Wengine kati ya wale wafuasi wa Kaisarea walienda pamoja
28 Ephe 4 21| barabara habari zake, na mkiwa wafuasi wake mkafundishwa ukweli
29 Rev 2 14 | dhidi yako: baadhi yenu ni wafuasi wa Balaamu aliyemfundisha
30 Rev 2 23 | 23 Tena nitawaua wafuasi wake, ili makanisa yote
|