Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 23 | 23 Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu
2 Matt 5 24 | 24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu,
3 Matt 5 24 | yako, ndipo urudi ukatoe sadaka yako.~
4 Matt 8 4 | ukajionyeshe kwa kuhani, na ukatoe sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia
5 Mark 1 44 | ukajionyeshe kwa kuhani; kisha utoe sadaka kwa ajili ya kutakasika
6 Mark 12 33 | zaidi kuliko dhabihu na sadaka zote za kuteketezwa."~
7 Luke 2 24 | Pia walikwenda ili watoe sadaka: hua wawili au makinda wawili
8 Luke 5 14 | ukajionyeshe kwa kuhani, ukatoe sadaka kwa ajili ya kutakasika
9 Luke 21 1 | matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya Hekalu,~
10 Luke 21 4 | maana, wengine wote wametoa sadaka zao kutokana na ziada ya
11 Luke 21 5 | mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa Mungu.
12 Acts 7 42 | mliyenitolea dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini
13 Acts 10 4 | Mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini.~
14 Acts 10 31 | Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini vimekubaliwa
15 1Cor 9 13 | Hekaluni, na kwamba wanaotolea sadaka madhabahuni hupata sehemu
16 1Cor 9 13 | madhabahuni hupata sehemu ya hiyo sadaka?~
17 Ephe 5 25 | kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.~
18 Hebr 8 4 | makuhani wengine wanaotoa sadaka kufuatana na Sheria.~
19 Hebr 10 5 | Hukutaka dhabihu wala sadaka, lakini umenitayarishia
20 Hebr 10 6 | 6 Sadaka za kuteketezwa au za kuondoa
21 Hebr 10 8 | hupendezwi na dhabihu na sadaka, sadaka za kuteketezwa na
22 Hebr 10 8 | hupendezwi na dhabihu na sadaka, sadaka za kuteketezwa na za kuondoa
23 Hebr 10 8 | dhambi." Alisema hivyo ingawa sadaka hizi zote hutolewa kufuatana
24 Hebr 11 4 | Mungu mwenyewe alizikubali sadaka zake. Kwa imani yake ingawa
25 Hebr 11 17 | Abrahamu alimtoa mwanae Isaka sadaka wakati Mungu alipomjaribu.
26 James 2 21| wakati alipomtoa mwanae Isaka sadaka juu ya madhabahu.~
27 1Joh 2 2 | 2 Kristo ndiye sadaka iondoayo dhambi zetu; wala
28 1Joh 4 10 | hata akamtuma Mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu.~
29 Rev 8 3 | akapewa ubani mwingi autoe sadaka pamoja na sala za watu wote
|