Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
akatia 1
akatoa 6
akatoe 1
akatoka 28
akatokea 4
akatoweka 1
akatufanya 1
Frequency    [«  »]
29 upanga
29 ushuru
29 wowote
28 akatoka
28 baraza
28 ghadhabu
28 halali

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

akatoka

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 12 15| Yesu alipojua jambo hilo, akatoka mahali pale. Watu wengi 2 Matt 20 3 | 3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, 3 Matt 20 5 | wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa 4 Matt 20 6 | saa kumi na moja jioni, akatoka tena; akakuta watu wengine 5 Matt 21 17| 17 Basi, akawaacha, akatoka nje ya mji na kwenda Bethania, 6 Matt 26 75| utanikana mara tatu." Basi, akatoka nje akalia sana.~ ~~ ~ 7 Matt 27 5 | akazitupa zile fedha Hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga.~ 8 Mark 6 24| 24 Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, " 9 Luke 5 27| 27 Baada ya hayo, Yesu akatoka nje, akamwona mtoza ushuru 10 Luke 15 28| kuingia nyumbani. Baba yake akatoka nje na kumsihi aingie.~ 11 Luke 22 39| 39 Yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi 12 Luke 22 62| 62 Hapo akatoka nje, akalia sana.~ 13 John 7 41| Je, yawezekana Kristo akatoka Galilaya?~ 14 John 8 59| lakini Yesu akajificha, akatoka Hekaluni.~ ~ ~~ ~ 15 John 11 44| 44 Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda 16 John 13 30| kile kipande cha mkate, akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku.~ 17 John 19 4 | 4 Pilato akatoka tena nje, akawaambia, "Tazameni, 18 John 19 5 | 5 Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba 19 John 19 17| 17 Naye akatoka akiwa amejichukulia msalaba 20 Acts 12 17| wale ndugu wengine, halafu akatoka akaenda mahali pengine.~ 21 Acts 12 19| akatoa amri wauawe. Halafu akatoka huko Yudea akaenda Kaisarea 22 Acts 17 33| Hivyo, Paulo aliwaacha, akatoka barazani.~ 23 Acts 18 7 | 7 Basi, akatoka hapo akaenda kukaa nyumbani 24 Acts 28 3 | lile joto la moto, nyoka akatoka katika kuni akamnasa Paulo 25 Rev 6 2 | akapewa na taji. Basi, akatoka kama mshindi aendelee kushinda.~ 26 Rev 14 15 | 15 Kisha malaika mwingine akatoka Hekaluni, na kwa sauti kubwa 27 Rev 14 17 | 17 Kisha malaika mwingine akatoka katika Hekalu mbinguni akiwa 28 Rev 14 18 | mwingine msimamizi wa moto, akatoka madhabahuni akamwambia kwa


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License