Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mapato 3
mapema 12
mapendo 20
mapenzi 27
mapigano 1
mapigo 3
mapipa 1
Frequency    [«  »]
27 kuamini
27 kupitia
27 kusikia
27 mapenzi
27 mavuno
27 mrefu
27 mti

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mapenzi

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 7 21| ila ni yule tu anayetimiza mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.~ 2 Matt 26 42| bila mimi kukinywa, basi, mapenzi yako yafanyike."~ 3 Luke 22 42| kikombe hiki; hata hivyo, mapenzi yako yatimizwe, wala siyo 4 John 1 13| nguvu za kimwili, wala kwa mapenzi ya mtu, bali Mungu mwenyewe 5 John 9 31| mwenye kumcha na kutimiza mapenzi yake.~ 6 Acts 4 28| mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.~ 7 Acts 13 36| Daudi mwenyewe alitimiza mapenzi ya Mungu wakati wake; kisha 8 Acts 21 14| tulinyamaza, tukasema tu: "Mapenzi ya Bwana yafanyike"~ 9 Roma 8 20| ila vilifanywa hivyo kwa mapenzi ya Mungu. Hata hivyo yapo 10 Roma 8 27| watu wa Mungu kufuatana na mapenzi ya Mungu.~ 11 Roma 9 16| ya Mungu, na si bidii au mapenzi ya mtu.~ 12 Roma 9 19| Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?"~ 13 Roma 12 2 | ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu, kutambua jambo 14 1Cor 1 1 | mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Sosthene,~ 15 2Cor 1 1 | mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Timotheo, 16 2Cor 8 5 | kwetu pia, kufuatana na mapenzi ya Mungu.~ 17 Gala 1 4 | dhambi zetu kufuatana na mapenzi ya Mungu wetu na Baba, ili 18 Ephe 1 1 | mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, nawaandikia ninyi 19 Ephe 1 11| sisi tuwe watu wake kwa mapenzi yake katika kuungana na 20 Colo 1 1 | mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Timotheo,~ 21 Colo 1 9 | awajazeni ujuzi kamili wa mapenzi yake, awajazeni hekima yote 22 Hebr 2 4 | Roho Mtakatifu kadiri ya mapenzi yake.~ 23 Hebr 10 7 | ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako kama ilivyoandikwa 24 Hebr 10 9 | ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako." Hivyo Mungu alibatilisha 25 Hebr 10 10| kuwa Yesu Kristo alitimiza mapenzi ya Mungu, sisi tunatakaswa 26 Hebr 13 21| tendo jema ili mtekeleze mapenzi yake; yeye na afanye ndani 27 1Joh 5 14| tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License