Book, Chapter, Verse
1 Matt 27 13| akamwuliza, "Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu
2 Mark 15 4 | neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako."~
3 Luke 23 10| wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.~
4 Luke 23 14| sikumpata na kosa lolote kuhusu mashtaka yenu juu yake.~
5 John 18 29| aliwaendea nje, akasema, "Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?"~
6 Acts 19 38| na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo
7 Acts 23 28| nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.~
8 Acts 23 29| 29 Niligundua kwamba mashtaka yenyewe yalihusu ubishi
9 Acts 23 30| Nikamwambia washtaki wake walete mashtaka yao mbele yako."~
10 Acts 24 1 | mkuu wa mkoa wakamweleza mashtaka yao juu ya Paulo.~
11 Acts 24 2 | aliitwa na Tertulo akafungua mashtaka hivi: "Mheshimiwa Felisi,
12 Acts 24 9 | Wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema kwamba hayo
13 Acts 24 13| Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.~
14 Acts 24 19| hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha
15 Acts 25 2 | Wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka yaliyokuwa yanamkabili Paulo.
16 Acts 25 5 | huko pamoja nami wakatoe mashtaka yao juu yake kama amefanya
17 Acts 25 7 | walimzunguka wakaanza kutoa mashtaka mengi mazitomazito ambayo
18 Acts 25 9 | ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?"~
19 Acts 25 11| kama hakuna ukweli katika mashtaka waliyotoa watu hawa, hakuna
20 Acts 25 16| ya kujitetea kuhusu hayo mashtaka.~
21 Acts 25 18| walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.~
22 Acts 25 20| Yerusalemu kwa ajili ya mashtaka hayo.~
23 Acts 25 27| mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili."~ ~ ~~ ~
24 Acts 26 2 | kujitetea mbele yako kuhusu yale mashtaka yote ambayo Wayahudi walikuwa
25 1Tim 5 19| 19 Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa
|