Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 5 | sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea,~
2 Matt 3 6 | naye akawabatiza katika mto Yordani.~
3 Matt 3 13| Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane
4 Matt 4 15| kuelekea baharini ng`ambo ya mto Yordani, Galilaya nchi ya
5 Matt 4 25| Yerusalemu, Yudea na ng`ambo ya mto Yordani, walimfuata.~ ~~ ~
6 Matt 19 1 | mkoa wa Yudea, ng`ambo ya mto Yordani.~
7 Mark 1 5 | naye akawabatiza katika mto Yordani.~
8 Mark 1 9 | akabatizwa na Yohane katika mto Yordani.~
9 Mark 3 8 | 8 Idumea, ng`ambo ya mto Yordani, Tiro na Sidoni.
10 Mark 4 38| ya mashua, amelala juu ya mto. Basi, wanafunzi wakamwamsha
11 Mark 10 1 | Yudea na hata ng`ambo ya mto Yordani. Umati wa watu ukamwendea
12 Luke 3 3 | sehemu zote zilizopakana na mto Yordani, akihubiri watu
13 Luke 4 1 | 1 Yesu alitoka katika mto Yordani akiwa amejaa Roho
14 Luke 6 48| mwamba; kukatokea mafuriko ya mto, mkondo wa maji ukaipiga
15 Luke 6 49| bila msingi. Mafuriko ya mto yakatokea, mkondo wa maji
16 John 1 28| huko Bethania, ng`ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa
17 John 10 40| akaenda tena ng`ambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa
18 Acts 16 13| ya mji, tukaenda kando ya mto ambapo tulidhani ya kuwa
19 Rev 9 14 | wanne waliofungwa kwenye mto mkubwa `Eufrate!"`~
20 Rev 12 15 | likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma
21 Rev 16 12 | akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji
22 Rev 22 1 | Kisha malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima maangavu
23 Rev 22 2 | 2 Mto huo ulitiririka kupitia
24 Rev 22 2 | kuu ya mji. Kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima
|