Book, Chapter, Verse
1 Matt 28 8 | wanawake walitoka upesi kaburini, wakakimbia kwenda kuwaambia
2 Mark 6 29| wakachukua mwili wake, wakauzika kaburini.~
3 Mark 16 2 | lilipoanza kuchomoza, walienda kaburini.~
4 Mark 16 5 | 5 Walipoingia kaburini, walimwona kijana mmoja
5 Mark 16 8 | 8 Basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka
6 Luke 24 1 | wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato
7 Luke 24 9 | 9 wakarudi kutoka kaburini, wakawapa mitume wale kumi
8 Luke 24 12| alitoka, akaenda mbio hadi kaburini. Alipoinama kuchungulia
9 Luke 24 22| wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi,~
10 Luke 24 24| Wengine wetu walikwenda kaburini wakashuhudia yale waliyosema
11 John 11 17| alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne.~
12 John 11 31| Walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza.~
13 John 11 38| amehuzunika tena moyoni, akafika kaburini. Kaburi lenyewe lilikuwa
14 John 11 39| amekwishaanza kunuka; amekaa kaburini siku nne!"~
15 John 12 17| alipomwita Lazaro kutoka kaburini, akamfufua kutoka wafu,
16 John 20 1 | Maria Magdalene alikwenda kaburini, akaliona lile jiwe limeondolewa
17 John 20 2 | akawaambia, "Wamemwondoa Bwana kaburini, na wala hatujui walikomweka."~
18 John 20 3 | mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini.~
19 John 20 4 | Petro, akatangulia kufika kaburini.~
20 John 20 6 | akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,~
21 John 20 8 | mwingine aliyemtangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona,
22 John 20 11| aliinama na kuchungulia kaburini,~
23 Acts 13 29| kutoka msalabani, wakamweka kaburini.~
|