Book, Chapter, Verse
1 Mark 3 5 | Hapo akawatazama wote kwa hasira, akaona huzuni kwa sababu
2 Luke 15 28 | Huyo kijana mkubwa akawaka hasira hata akakataa kuingia nyumbani.
3 Luke 21 23 | dhiki kubwa katika nchi, na hasira ya Mungu itawajia watu hawa.~
4 Acts 5 33 | waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.~
5 Acts 7 54 | sana, wakamsagia meno kwa hasira.~
6 Acts 19 28 | Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: "
7 Acts 21 27 | Paulo Hekaluni. Wakachochea hasira kati ya kundi lote la watu,
8 Acts 26 11 | nikiwashurutisha waikane imani yao. Hasira yangu kwao ilikuwa kubwa
9 Roma 2 8 | wataangukiwa na ghadhabu na hasira ya Mungu.~
10 Roma 10 19 | taifa; nitawafanyeni muwe na hasira juu ya taifa la watu wapumbavu."~
11 1Cor 13 5 | binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,~
12 Gala 5 20 | uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano;~
13 Ephe 4 26 | Kama mkikasirika, msikubali hasira yenu iwafanye mtende dhambi,
14 Ephe 4 26 | dhambi, na wala msikae na hasira kutwa nzima.~
15 Ephe 4 31 | achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele, matusi! Achaneni
16 Colo 3 6 | Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.~
17 Colo 3 8 | kuachana na mambo haya yote: hasira, tamaa, uovu; kufuru au
18 1The 2 16 | walizotenda siku zote. Lakini sasa hasira ya Mungu imewaangukia.~
19 1Tim 2 8 | mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi.~
20 Titus 1 7 | mwenye majivuno, mwepesi wa hasira, mlevi, mkorofi au mchoyo.~
21 Hebr 11 27 | nchi ya Misri bila kuogopa hasira ya mfalme; na wala hakurudi
22 James 1 20| 20 Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa
23 Rev 11 18 | Watu wa mataifa waliwaka hasira, maana wakati wa ghadhabu
|