Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
yekonia 2
yemeamua 1
yenu 354
yenye 21
yenyewe 18
yeremia 3
yeriko 6
Frequency    [«  »]
21 wanyama
21 watatu
21 yaliyo
21 yenye
21 yu
20 53
20 ambo

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

yenye

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 23 23| zaka, hata juu ya majani yenye harufu nzuri, bizari na 2 Matt 26 7 | aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, 3 Mark 14 3 | aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya nardo safi ya 4 Luke 7 37| alichukua chupa ya alabasta yenye marashi.~ 5 Luke 11 36| bila kuwa na sehemu yoyote yenye giza, mwili huo utang`aa 6 Luke 24 4 | watu wawili waliovaa mavazi yenye kung`aa sana, wakasimama 7 John 7 38| Anayeniamini mimi, mito ya maji yenye uzima itatiririka kutoka 8 Acts 10 30| aliyekuwa amevaa mavazi yenye kun`gaa alisimama mbele 9 Acts 27 39| ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia nanga 10 Roma 3 13| midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka.~ 11 Roma 8 11| ataipa uzima miili yenu yenye hali ya kufa; atafanya hivyo 12 Roma 12 1 | tambiko iliyo hai, takatifu na yenye kupendeza. Hii ndiyo njia 13 Roma 14 19| tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani, na yanayotusaidia 14 1Cor 14 19| zaidi kusema maneno matano yenye kueleweka ili niwafundishe 15 Ephe 5 2 | akajitoa mwenyewe kama dhabihu yenye harufu nzuri na tambiko 16 Colo 1 10| yanayompendeza. Maisha yenu yatakuwa yenye matunda ya kila namna ya 17 Hebr 10 20| ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia lile pazia, 18 1Joh 5 16| kifo. Lakini ipo dhambi yenye kumpeleka mtu kwenye kifo 19 Rev 13 18 | huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu 20 Rev 16 21 | 21 Mvua ya mawe makubwa yenye uzito wa kama kilo hamsini 21 Rev 19 8 | kitani safi, iliyotakata na yenye kung`aa!" (Nguo hiyo ya


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License