Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 7 | kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.~
2 Matt 12 27| 27 Ninyi mnasema ati nawafukuza pepo kwa uwezo
3 Matt 15 5 | Lakini ninyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho
4 Matt 17 10| walimu wa Sheria wanasema ati ni lazima kwanza Eliya aje?"~
5 Matt 23 16| viongozi vipofu! Ninyi mwasema ati mtu akiapa kwa ~Hekalu,
6 Matt 23 18| 18 Tena mwasema ati mtu akiapa kwa madhabahu
7 Matt 27 63| mdanganyifu alisema kabla ya kufa ati, `Baada ya siku tatu nitafufuka.`~
8 Luke 13 2 | kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?~
9 Luke 22 59| pamoja naye; ametoka Galilaya ati."~
10 Luke 23 2 | kodi kwa Kaisari na kujiita ati yeye ni Kristo, Mfalme."~
11 John 7 28| alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka
12 John 8 52| pia walikufa, nawe wasema ati, `Anayeuzingatia ujumbe
13 John 12 34| milele. Wawezaje basi, kusema ati Mwana wa Mtu anapaswa kuinuliwa?
14 John 18 33| akamwita Yesu na kumwuliza: "Ati wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?"~
15 Acts 16 37| Lakini Paulo alimjibu, "Ati nini? Ingawa hatukuwa na
16 Roma 2 23| 23 Kwa kujigamba ati unayo Sheria ya Mungu, je
17 Roma 2 28| mtu hawi Myahudi wa kweli ati kwa kuwa ametahiriwa kimwili.~
18 Roma 6 15| nini? Je, tutende dhambi ati kwa sababu hatuko chini
19 2Cor 12 15| zenu. Je, mtanipenda kidogo ati kwa kuwa mimi nawapenda
20 Gala 3 5 | kutenda miujiza kati yenu ati kwa sababu mnatimiza yanayotakiwa
21 2Tim 2 18| katika wasiwasi kwa kusema ati ufufuo wetu umekwisha fanyika.~
|