Book, Chapter, Verse
1 Matt 21 19 | 19 Akauona mtini mmoja kando ya njia, akauendea;
2 Matt 21 19 | matunda milele!" Papo hapo huo mtini ukanyauka.~
3 Matt 21 20 | walishangaa wakisema, "Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?"~
4 Matt 24 32 | 32 "Kwa mtini jifunzeni mfano huu: Mara
5 Mark 11 13 | 13 Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. Akauendea
6 Mark 11 13 | vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.~
7 Mark 11 14 | 14 Hapo akauambia mtini, "Tangu leo hata milele
8 Mark 11 20 | walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi.~
9 Mark 11 21 | Yesu, "Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!"~
10 Mark 13 28 | 28 "Kwa mtini jifunzeni mfano huu: Mara
11 Luke 13 6 | huu: "Mtu mmoja alikuwa na mtini katika shamba lake. Mtu
12 Luke 13 7 | nikija kuchuma matunda ya mtini huu, nami nisiambulie kitu.
13 Luke 21 29 | akawaambia mfano: "Angalieni mtini na miti mingine yote.~
14 John 1 48 | akamwambia, "Ulipokuwa chini ya mtini hata kabla Filipo hajakuita,
15 John 1 50 | kwamba nilikuona chini ya mtini? Utaona makubwa zaidi kuliko
16 James 3 12| Ndugu zangu, je, mti wa mtini waweza kuzaa zeituni? Au,
17 Rev 6 13 | ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo
|