Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 6 | 6 Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu,
2 Matt 25 35| mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa
3 Matt 25 37| tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji?~
4 Matt 25 42| hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.~
5 Matt 25 44| tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo,
6 John 4 13| anayekunywa maji haya ataona kiu tena.~
7 John 4 14| nitakayompa mimi, hataona kiu milele. Maji nitakayompa
8 John 4 15| nipe maji hayo ili nisione kiu tena; nisije tena mpaka
9 John 6 35| njaa; anayeniamini hataona kiu kamwe.~
10 John 7 37| kwa sauti kubwa, "Aliye na kiu na aje kwangu anywe.~
11 John 19 28| kutimia, akasema, "Naona kiu."~
12 Roma 12 20| njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe kinywaji. Maana kwa
13 1Cor 4 11| dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi,
14 2Cor 11 27| nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na
15 Rev 7 16 | Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma
16 Rev 21 6 | Mwanzo na Mwisho. Aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure
17 Rev 22 17 | Kisha, yeyote aliye na kiu na aje; anayetaka maji ya
|