Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
kikuu 5
kikuukuu 1
kikwazo 4
kila 478
kilatini 1
kile 96
kilekile 6
Frequency    [«  »]
522 mmoja
513 naye
501 hivyo
478 kila
470 pamoja
452 hiyo
441 huyo

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

kila

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 10 | kuikata mizizi ya miti; hivyo, kila mti usiozaa matunda mazuri, 2 Matt 4 4 | hataishi kwa mikate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu."`~ 3 Matt 4 23 | 23 Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, 4 Matt 4 23 | ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa 5 Matt 4 24 | Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa 6 Matt 4 24 | na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa 7 Matt 5 11 | wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu.~ 8 Matt 7 19 | 19 Kila mti usiozaa matunda mema 9 Matt 7 21 | 21 "Si kila aniambiaye, `Bwana, Bwana,` 10 Matt 7 24 | 24 "Kwa sababu hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno 11 Matt 9 35 | magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.~ 12 Matt 10 26 | Basi, msiwaogope watu hao. Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, 13 Matt 10 26 | kilichofunikwa kitafunuliwa, na kila kilichofichwa kitafichuliwa.~ 14 Matt 10 32 | 32 "Kila mtu anayekiri hadharani 15 Matt 12 5 | hamjasoma katika Sheria kwamba kila siku ya Sabato makuhani 16 Matt 12 36 | watapaswa kujibu juu ya kila neno lisilofaa wanalosema.~ 17 Matt 13 47 | baharini, ukanasa samaki wa kila aina.~ 18 Matt 13 52 | akawaambia, "Hivyo basi, kila mwalimu wa Sheria aliye 19 Matt 15 13 | Lakini yeye akawajibu, "Kila mmea ambao Baba yangu aliye 20 Matt 15 17 | 17 Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda 21 Matt 16 19 | funguo za Ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa 22 Matt 16 19 | kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, 23 Matt 16 27 | hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.~ 24 Matt 18 16 | mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.~ 25 Matt 18 35 | atawafanyieni vivyo hivyo kama kila mmoja wenu hatamsamehe ndugu 26 Matt 19 29 | 29 Na kila aliyeacha nyumba, au ndugu, 27 Matt 20 9 | kumi na moja, wakapokea kila mmoja dinari moja.~ 28 Matt 20 10 | lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.~ 29 Matt 22 4 | wanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.> ~ 30 Matt 23 27 | yamejaa mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu. ~ 31 Matt 23 34 | yenu na kuwasaka katika kila mji. ~ 32 Matt 24 2 | litakalosalia hapa juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa."~ 33 Matt 25 15 | 15 Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: 34 Matt 25 40 | atawajibu, `Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo 35 Matt 25 45 | atawajibu, `Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo 36 Matt 26 55 | kwamba mimi ni mnyang`anyi? Kila siku nilikuwa Hekaluni nikifundisha, 37 Mark 1 28 | Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika wilaya ya 38 Mark 1 37 | Walipomwona wakamwambia, "Kila mtu anakutafuta."~ 39 Mark 1 39 | 39 Basi, akaenda kila mahali Galilaya akihubiri 40 Mark 1 45 | akaanza kueneza habari hiyo kila mahali na kusema mambo mengi 41 Mark 1 45 | watu wakamwendea kutoka kila upande.~ ~~ ~ 42 Mark 4 11 | wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano,~ 43 Mark 4 19 | anasa za mali na tamaa za kila namna huwaingia na kulisonga 44 Mark 4 22 | 22 Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, 45 Mark 4 22 | kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa.~ 46 Mark 4 34 | yao alikuwa akiwafafanulia kila kitu.~ 47 Mark 5 4 | pingu na minyororo lakini kila mara aliweza kuikata hiyo 48 Mark 5 24 | wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.~ 49 Mark 6 14 | maana sifa za Yesu zilienea kila mahali. Baadhi ya watu walikuwa 50 Mark 6 33 | Hivyo wengi wakatoka katika kila mji, wakakimbilia huko Yesu 51 Mark 6 55 | mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia Yesu 52 Mark 6 56 | 56 Kila mahali Yesu alipokwenda, 53 Mark 8 25 | kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.~ 54 Mark 9 18 | 18 Kila mara anapomvamia, humwangusha 55 Mark 9 49 | 49 "Maana kila mmoja atakolezwa kwa moto.~ 56 Mark 10 29 | akasema, "Kweli nawaambieni, kila mtu aliyeacha nyumba, au 57 Mark 11 11 | mpaka Hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini 58 Mark 11 25 | Mnaposimama kusali, sameheni kila mtu aliyewakosea chochote, 59 Mark 12 44 | yote aliyokuwa nayo, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi."~ ~~ ~ 60 Mark 13 2 | litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitabomolewa."~ 61 Mark 13 8 | utapigana na utawala mwingine; kila mahali kutakuwa na mitetemeko 62 Mark 13 34 | watumishi wake madaraka, kila mmoja na kazi yake; akamwambia 63 Mark 14 16 | wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa 64 Mark 14 49 | 49 Kila siku nilikuwa pamoja nanyi 65 Mark 15 6 | 6 Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, 66 Mark 16 15 | mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu.~ 67 Mark 16 20 | Wanafunzi wakaenda wakihubiri kila mahali. Bwana akafanya kazi 68 Luke 1 65 | na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya 69 Luke 2 3 | walikwenda kujiandikisha, kila mtu katika mji wake.~ 70 Luke 2 23 | Sheria ya Bwana imeandikwa: "Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume 71 Luke 2 41 | desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu 72 Luke 3 5 | 5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima 73 Luke 3 5 | 5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; 74 Luke 3 9 | tayari kukata mizizi ya miti. Kila mti usiozaa matunda mazuri 75 Luke 4 13 | Ibilisi alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.~ 76 Luke 4 40 | akaweka mikono yake juu ya kila mmoja wao, akawaponya wote.~ 77 Luke 5 15 | za Yesu zilizidi kuenea kila mahali. Watu makundi mengi 78 Luke 5 17 | wa Sheria kutoka katika kila kijiji cha Galilaya, Yudea 79 Luke 6 40 | hamshindi mwalimu wake, lakini kila mwanafunzi akisha hitimu 80 Luke 8 4 | walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano 81 Luke 8 29 | minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo 82 Luke 8 39 | yule mtu akaenda akitangaza kila mahali katika mji ule mambo 83 Luke 8 42 | watu wakawa wanamsonga kila upande.~ 84 Luke 9 6 | Njema na kuponya wagonjwa kila mahali.~ 85 Luke 9 23 | yake, auchukue msalaba wake kila siku, anifuate.~ 86 Luke 10 1 | wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo 87 Luke 11 3 | daima chakula chetu cha kila siku.~ 88 Luke 12 2 | 2 Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, 89 Luke 12 2 | kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.~ 90 Luke 12 3 | 3 Kwa hiyo, kila mliyosema gizani, watu watayasikia 91 Luke 12 3 | watayasikia katika mwanga, na kila mliyonong`ona faraghani 92 Luke 12 8 | 8 "Nawaambieni kweli, kila mtu anayekiri hadharani 93 Luke 12 15 | akawaambia wote, "Jihadharini na kila aina ya tamaa; maana uzima 94 Luke 14 17 | awaambie walioalikwa, `Njoni, kila kitu ni tayari.`~ 95 Luke 14 33 | wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho.~ 96 Luke 15 14 | 14 Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali 97 Luke 15 31 | pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.~ 98 Luke 16 16 | wa Mungu unahubiriwa, na kila mmoja anauingia kwa nguvu.~ 99 Luke 16 19 | safi, na kufanya sherehe kila siku.~ 100 Luke 17 4 | akikukosea mara saba kwa siku, na kila mara akarudi kwako akisema ` 101 Luke 18 14 | mwingine, sivyo. Kwa maana kila anayejikweza atashushwa, 102 Luke 18 14 | anayejikweza atashushwa, na kila anayejishusha atakwezwa."~ 103 Luke 18 22 | kufanya kitu kimoja: uza kila ulicho nacho, wagawie maskini, 104 Luke 18 31 | Tunakwenda Yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii 105 Luke 19 13 | akawapa kiasi cha fedha kila mmoja na kumwambia: `Fanyeni 106 Luke 19 15 | fedha waitwe ili aweze kujua kila mmoja amepata faida gani.~ 107 Luke 19 26 | 26 Naye akawajibu: `Kila aliye na kitu atapewa na 108 Luke 19 47 | 47 Yesu akawa anafundisha kila siku Hekaluni. Makuhani 109 Luke 21 4 | ingawa ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi."~ 110 Luke 21 6 | litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa."~ 111 Luke 21 11 | 11 Kila mahali kutakuwa na mitetemeko 112 Luke 22 13 | Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa 113 Luke 22 53 | Nilipokuwa pamoja nanyi kila siku Hekaluni hamkunitia 114 John 2 6 | mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi 115 John 2 10 | 10 akamwambia, "Kila mtu huandaa divai nzuri 116 John 3 15 | 15 ili kila anayemwamini awe na uzima 117 John 3 16 | Mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali 118 John 3 20 | 20 Kila mtu atendaye maovu anauchukia 119 John 4 13 | 13 Yesu akamjibu, "Kila anayekunywa maji haya ataona 120 John 4 25 | Atakapokuja atatujulisha kila kitu."~ 121 John 5 8 | majini wakati yanapotibuliwa. Kila nikijaribu kuingia, mtu 122 John 5 21 | ampenda Mwana, na humwonyesha kila kitu anachokifanya yeye 123 John 6 11 | vivyo hivyo na wale samaki, kila mtu akapata kadiri alivyotaka.~ 124 John 6 40 | Baba yangu ndicho hiki: kila amwonaye Mwana na kumwamini 125 John 6 45 | watafundishwa na Mungu.` Kila mtu anayemsikia Baba na 126 John 7 6 | bado. Lakini kwenu ninyi kila wakati unafaa.~ 127 John 7 53 | 53 Basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda zake;~ ~~ ~ 128 John 8 34 | akawajibu, "Kweli nawaambieni, kila mtu anayetenda dhambi ni 129 John 8 44 | ukweli haumo ndani yake. Kila asemapo uongo, husema kutokana 130 John 10 3 | naye huwaita kondoo wake kila mmoja kwa jina lake na kuwaongoza 131 John 11 26 | 26 na kila anayeishi na kuniamini, 132 John 12 32 | nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila mmoja kwangu."~ 133 John 13 3 | Baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa 134 John 14 26 | jina langu, atawafundisheni kila kitu na kuwakumbusheni yote 135 John 14 31 | na ndiyo maana nafanya kila kitu kama Baba alivyoniamuru. 136 John 15 2 | Yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa matunda, 137 John 15 2 | tawi lisilozaa matunda, na kila tawi lizaalo hulisafisha 138 John 16 2 | Tena, wakati unakuja ambapo kila atakayewaua ninyi atadhani 139 John 16 30 | tunajua kwamba wewe unajua kila kitu, na huna haja ya kuulizwa 140 John 16 32 | ninyi nyote mtatawanyika kila mtu kwake, nami nitaachwa 141 John 17 7 | 7 Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako.~ 142 John 18 20 | Yesu akamjibu, "Nimesema na kila mtu daima hadharani. Kila 143 John 18 20 | kila mtu daima hadharani. Kila mara nimefundisha katika 144 John 18 37 | kuwaambia watu juu ya ukweli. Kila mtu wa ukweli hunisikiliza."~ 145 John 19 12 | si rafiki yake Kaisari; kila mtu anayejifanya kuwa Mfalme 146 John 19 23 | mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na 147 Acts 1 19 | 19 Kila mtu katika Yerusalemu alisikia 148 Acts 2 3 | vikagawanyika na kutua juu ya kila mmoja wao.~ 149 Acts 2 5 | Mungu, waliotoka katika kila nchi duniani.~ 150 Acts 2 6 | Wote walishtuka sana kwani kila mmoja wao aliwasikia hao 151 Acts 2 8 | Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema 152 Acts 2 38 | Petro akajibu, "Tubuni na kila mmoja wenu abatizwe kwa 153 Acts 2 39 | wanaokaa mbali; na kwa ajili ya kila mtu ambaye Bwana Mungu wetu 154 Acts 2 43 | kwa njia ya mitume hata kila mtu akajawa na hofu.~ 155 Acts 2 45 | fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.~ 156 Acts 2 46 | Waliendelea kukutana pamoja kila siku Hekaluni. Lakini wakati 157 Acts 2 47 | wakapendwa na watu wote. Kila siku Bwana aliwaongezea 158 Acts 3 2 | Watu walimbeba huyo mtu kila siku na kumweka hapo ili 159 Acts 3 26 | alimtuma awabariki kwa kumfanya kila mmoja wenu aachane kabisa 160 Acts 4 16 | Tufanye nini na watu hawa? Kila mtu anayeishi Yerusalemu 161 Acts 4 35 | mitume fedha hizo, zikagawiwa kila mmoja kadiri ya mahitaji 162 Acts 5 20 | Hekaluni na kuwaambia watu kila kitu kuhusu maisha haya 163 Acts 5 23 | Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda 164 Acts 5 42 | 42 Wakaendelea kila siku kufundisha na kuhubiri 165 Acts 6 1 | katika ugawaji wa mahitaji ya kila siku.~ 166 Acts 8 3 | kanisa. Alikwenda katika kila nyumba, akawatoa nje waumini, 167 Acts 8 4 | waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe.~ 168 Acts 9 32 | alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu 169 Acts 9 42 | Habari ya tukio hili ilienea kila mahali huko Yopa, na watu 170 Acts 10 12 | ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: wanyama 171 Acts 10 43 | waliongea juu yake kwamba kila mtu atakayemwamini atasamehewa 172 Acts 11 29 | Wale wanafunzi waliamua kila mmoja kwa kadiri ya uwezo 173 Acts 13 11 | wa jua kwa kitambo." Mara kila kitu kikawa kama ukungu 174 Acts 13 27 | maneno ya manabii yanayosomwa kila Sabato. Hata hivyo, waliyafanya 175 Acts 13 38 | Yesu Kristo; na ya kwamba kila mmoja anayemwamini Yesu 176 Acts 13 44 | Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja 177 Acts 13 49 | 49 Neno la Bwana likaenea kila mahali katika sehemu ile.~ 178 Acts 14 16 | 16 Zamani Mungu aliruhusu kila taifa lifanye lilivyopenda.~ 179 Acts 14 23 | 23 Waliteua wazee katika kila kanisa kwa ajili ya waumini, 180 Acts 15 21 | yamekuwa yakihubiriwa katika kila mji na kusomwa katika masunagogi 181 Acts 15 21 | kusomwa katika masunagogi yote kila siku ya Sabato." ic~ 182 Acts 15 36 | tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno 183 Acts 16 5 | idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.~ 184 Acts 17 11 | wanayachunguza Maandiko Matakatifu kila siku, ili kuona kama yale 185 Acts 17 17 | Mungu katika sunagogi; na kila siku alikuwa na majadiliano 186 Acts 17 25 | anawawezesha kupumua na anawapa kila kitu.~ 187 Acts 17 27 | lakini, Mungu hayuko mbali na kila mmoja wetu.~ 188 Acts 17 30 | sasa, anaamuru watu wote kila mahali watubu.~ 189 Acts 18 4 | 4 Kila Sabato alifanya majadiliano 190 Acts 19 9 | wake, akawa anazungumza nao kila siku katika jumba la masomo 191 Acts 19 17 | 17 Kila mtu huko Efeso, Myahudi 192 Acts 19 32 | 32 Wakati huo, kila mtu alikuwa anapayuka; wengine 193 Acts 19 35 | akawaambia, "Wananchi wa Efeso, kila mtu anajua kwamba mji huu 194 Acts 20 23 | ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso 195 Acts 20 31 | mchana, sikuchoka kumwonya kila mmoja wenu kwa machozi.~ 196 Acts 21 26 | itakayotolewa kwa ajili ya kila mmoja wao.~ 197 Acts 21 28 | mtu anayewafundisha watu kila mahali mambo yanayopinga 198 Acts 24 3 | kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.~ 199 Acts 24 5 | ghasia kati ya Wayahudi kila mahali duniani na pia ni 200 Acts 27 38 | 38 Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, 201 Acts 28 22 | kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali."~ 202 Roma 1 29 | 29 Wamejaa kila aina ya uovu, dhuluma, ulafi 203 Roma 2 6 | Siku hiyo Mungu atamlipa kila mmoja kufuatana na matendo 204 Roma 2 14 | hawana Sheria ya Mose; lakini kila wanapotimiza matakwa ya 205 Roma 2 28 | 28 Ndiyo kusema, si kila anayeonekana kwa nje kuwa 206 Roma 3 2 | 2 Naam, iko faida kwa kila upande. Kwanza, Mungu aliwakabidhi 207 Roma 3 4 | mwaminifu daima, ingawaje kila binadamu ni mwongo. Kama 208 Roma 3 4 | Maandiko Matakatifu yasemavyo: "Kila usemapo, maneno yako ni 209 Roma 7 8 | ilipata fursa ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani 210 Roma 10 4 | imefikia kikomo chake, ili kila mtu anayeamini akubaliwe 211 Roma 10 11 | Maandiko Matakatifu yasema: "Kila amwaminiye hatakuwa na sababu 212 Roma 10 13 | Maandiko Matakatifu yasema: "Kila mtu atakayeomba kwa jina 213 Roma 12 3 | imani Mungu aliyomgawia kila mmoja.~ 214 Roma 12 4 | Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake.~ 215 Roma 12 5 | kwa kuungana na Kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.~ 216 Roma 12 10 | 10 Pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake 217 Roma 12 16 | Muwe na wema uleule kwa kila mtu. Msijitakie makuu, bali 218 Roma 13 1 | 1 Kila mtu anapaswa kuwatii wenye 219 Roma 13 7 | 7 Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa ushuru, 220 Roma 14 2 | imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye 221 Roma 14 3 | 3 Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau yule ambaye 222 Roma 14 3 | yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu 223 Roma 14 3 | majani asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu amemkubali.~ 224 Roma 14 5 | kuzifikiria siku zote kuwa sawa. Kila mmoja na afuate msimamo 225 Roma 14 11 | Kama niishivyo, asema Bwana kila mtu atanipigia magoti, na 226 Roma 14 11 | mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi 227 Roma 14 12 | 12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja yake 228 Roma 15 2 | 2 Kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza 229 Roma 15 19 | Mungu. Basi, kwa kusafiri kila mahali, tangu kule Yerusalemu 230 Roma 16 19 | 19 Kila mtu amesikia juu ya utii 231 1Cor 1 5 | Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote 232 1Cor 1 10 | Kristo: pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko 233 1Cor 1 12 | 12 Nataka kusema hivi: kila mmoja anasema chake: mmoja 234 1Cor 2 10 | wake. Maana Roho huchunguza kila kitu hata mambo ya ndani 235 1Cor 2 15 | anaweza kubainisha ubora wa kila kitu, naye mwenyewe hahukumiwi 236 1Cor 3 5 | tuliwaleteeni ninyi imani. Kila mmoja wetu anafanya kazi 237 1Cor 3 8 | maji wote ni sawa, ingawa kila mmoja atapokea tuzo lake 238 1Cor 3 10 | mwingine anajenga. Basi, kila mmoja awe mwangalifu jinsi 239 1Cor 3 13 | iwavyo, ubora wa kazi ya kila mmoja utaonekana wakati 240 1Cor 3 21 | mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.~ 241 1Cor 4 5 | za mioyo ya watu. Ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili 242 1Cor 4 13 | uchafu wa dunia; na kwa kila mtu sisi ni takataka!~ 243 1Cor 4 17 | Kikristo; njia ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.~ 244 1Cor 4 19 | wenye majivuno, bali pia kila wanachoweza kufanya.~ 245 1Cor 6 3 | kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata 246 1Cor 6 12 | anaweza kusema: "Kwangu mimi kila kitu ni halali." Sawa; lakini 247 1Cor 6 12 | halali." Sawa; lakini si kila kitu kinafaa. Nakubali kwamba 248 1Cor 6 12 | kinafaa. Nakubali kwamba kila kitu ni halali kwangu lakini 249 1Cor 7 2 | hatari ya uzinzi, basi, kila mwanamume na awe na mke 250 1Cor 7 2 | na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake 251 1Cor 7 7 | kama mimi nilivyo; lakini kila mmoja anacho kipaji chake 252 1Cor 7 17 | 17 Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana 253 1Cor 7 20 | 20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa 254 1Cor 7 24 | 24 Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki 255 1Cor 8 7 | 7 Lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. Maana 256 1Cor 9 12 | Badala yake, tumestahimili kila kitu ili tusiiwekee kizuizi 257 1Cor 9 19 | yeyote, nimejifanya mtumwa wa kila mtu ili nimpatie Kristo 258 1Cor 9 22 | walio dhaifu. Nimejifanya kila kitu kwa wote ili nipate 259 1Cor 9 22 | kuwaokoa baadhi yao kwa kila njia.~ 260 1Cor 10 33 | najaribu kuwapendeza wote kwa kila njia, bila kutafuta faida 261 1Cor 11 3 | kwamba Kristo ni kichwa cha kila mwanamume, na mwanamume 262 1Cor 11 4 | 4 Basi, kila mwanamume anayesali au anayetangaza 263 1Cor 11 12 | mwanamume huzaliwa na mwanamke; kila kitu hutoka kwa Mungu.~ 264 1Cor 11 21 | 21 Maana mnapokula kila mmoja hukikalia chakula 265 1Cor 11 25 | damu yangu. Fanyeni hivi, kila mnapokunywa, kwa kunikumbuka."~ 266 1Cor 11 26 | 26 Maana kila mnapokula mkate huu na kunywa 267 1Cor 11 27 | 27 Kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa 268 1Cor 11 28 | 28 Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe 269 1Cor 11 33 | kula chakula cha Bwana, kila mmoja amngoje mwenzake.~ 270 1Cor 12 7 | 7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho 271 1Cor 12 11 | huyohuyo mmoja, ambaye humpa kila mtu kipaji tofauti, kama 272 1Cor 12 27 | nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha 273 1Cor 13 2 | nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani 274 1Cor 15 23 | 23 Lakini kila mmoja kwa mpango wake: Kristo 275 1Cor 15 24 | baada ya kufutilia mbali kila tawala na mamlaka na nguvu.~ 276 1Cor 15 30 | ya nini kujitia hatarini kila saa?~ 277 1Cor 15 31 | Ndugu, mimi nakikabili kifo kila siku! Fahari niliyo nayo 278 1Cor 15 38 | mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake 279 1Cor 15 53 | 53 Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie 280 1Cor 16 2 | 2 Kila Jumapili kila mmoja wenu 281 1Cor 16 2 | 2 Kila Jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi 282 1Cor 16 14 | 14 Kila mfanyacho kifanyike kwa 283 1Cor 16 16 | kama hao, na uongozi wa kila mtu afanyaye kazi na kutumikia 284 2Cor 1 1 | Korintho, na watu wote wa Mungu kila mahali katika Akaya.~ 285 2Cor 1 4 | kuwafariji wengine katika kila taabu kwa faraja hiyohiyo 286 2Cor 2 9 | mko tayari kutii katika kila jambo.~ 287 2Cor 2 14 | Kristo kama harufu nzuri, kila mahali.~ 288 2Cor 3 2 | iliyoandikwa mioyoni mwetu kila mtu aione na kuisoma.~ 289 2Cor 3 15 | 15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo Sheria ya Mose 290 2Cor 4 10 | 10 Kila wakati tumekuwa tukichukua 291 2Cor 5 10 | cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili 292 2Cor 6 4 | kweli watumishi wa Mungu kwa kila kitu: kwa uvumilivu mwingi 293 2Cor 6 10 | na chochote, kumbe tuna kila kitu.~ 294 2Cor 7 5 | Makedonia hatukuweza kupumzika. Kila upande tulikabiliwa na taabu: 295 2Cor 7 11 | Ninyi mmethibitisha kwa kila njia kwamba hamna hatia 296 2Cor 7 16 | kuwategemea ninyi kabisa katika kila jambo.~~ ~ 297 2Cor 8 7 | 7 Ninyi mna kila kitu: imani, uwezo wa kusema, 298 2Cor 8 9 | yeye, ingawa alikuwa na kila kitu, alijifanya maskini 299 2Cor 8 12 | kusaidia, Mungu hupokea kila anachoweza kutoa: hadai 300 2Cor 8 14 | 14 Kila mlicho nacho sasa cha ziada 301 2Cor 9 7 | 7 Kila mmoja, basi, na atoe kadiri 302 2Cor 9 8 | mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo 303 2Cor 9 8 | hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.~ 304 2Cor 9 11 | atawatajirisha ninyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru 305 2Cor 10 5 | 5 na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa 306 2Cor 10 6 | sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.~ 307 2Cor 11 6 | tumelionyesha wazi kwenu, kila mahali na kila wakati.~ 308 2Cor 11 6 | wazi kwenu, kila mahali na kila wakati.~ 309 2Cor 11 9 | waliotoka Makedonia waliniletea kila kitu nilichohitaji. Nilikuwa 310 2Cor 11 26 | 26 Kila mara safarini nimekabiliwa 311 2Cor 11 28 | licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli 312 2Cor 13 1 | yangu ya tatu kuja kwenu. "Kila tatizo litatatuliwa kwa 313 Gala 3 15 | mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. Fikirini juu ya mkataba 314 Gala 5 3 | 3 Nasema tena wazi: kila anayekubali kutahiriwa itambidi 315 Gala 6 4 | 4 Lakini kila mmoja na aupime vizuri mwenendo 316 Gala 6 5 | 5 Maana kila mmoja anao mzigo wake mwenyewe 317 Ephe 1 10 | kukusanya pamoja viumbe vyote, kila kitu mbinguni na duniani, 318 Ephe 1 11 | 11 Kila kitu hufanywa kufuatana 319 Ephe 1 21 | Kristo anatawala juu ya kila tawala, mamlaka, enzi na 320 Ephe 1 21 | na ukuu; anatawala juu ya kila cheo kiwezacho kutajwa katika 321 Ephe 1 23 | anayekamilisha vitu vyote kila mahali.~ ~~ ~ 322 Ephe 4 7 | 7 Kila mmoja wetu amepewa neema 323 Ephe 4 14 | kupeperushwa huko na huko kwa kila upepo wa mafundisho wanayozua 324 Ephe 4 15 | mapendo tutakua zidi katika kila jambo kulingana na Kristo 325 Ephe 4 16 | msaada wa viungo vyake. Basi, kila kiungo kikitekeleza kazi 326 Ephe 4 19 | ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.~ 327 Ephe 4 25 | Kwa hiyo, acheni uongo. Kila mmoja anapaswa kumwambia 328 Ephe 4 25 | kumwambia mwenzake ukweli, maana kila mmoja wetu ni kiungo cha 329 Ephe 4 29 | yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya 330 Ephe 4 31 | kelele, matusi! Achaneni na kila uovu!~ 331 Ephe 4 32 | mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake 332 Ephe 5 14 | 14 na kila kilichodhihirishwa huwa 333 Ephe 5 21 | 21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa 334 Ephe 5 33 | Lakini yanawahusu ninyi pia: kila mume lazima ampende mkewe 335 Ephe 6 8 | 8 Kumbukeni kwamba kila mtu mwenye kutenda mema, 336 Ephe 6 18 | msaada wa Mungu. Salini kila wakati kwa nguvu ya Roho. 337 Colo 1 10 | yatakuwa yenye matunda ya kila namna ya matendo mema na 338 Colo 1 11 | mtukufu ili mweze kustahimili kila kitu kwa uvumilivu.~ 339 Colo 1 23 | ambayo imekwisha hubiriwa kila kiumbe duniani.~ 340 Colo 1 28 | yote, ili tuweze kumleta kila mmoja mbele ya Mungu akiwa 341 Colo 3 5 | 5 Basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu 342 Colo 3 11 | mtu aliye huru. Kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.~ 343 Colo 3 14 | kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili.~ 344 Colo 3 17 | 17 Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, 345 Colo 3 23 | 23 Kila mfanyalo, fanyeni kwa moyo 346 Colo 4 5 | wasioamini, mkitumia vizuri kila nafasi mliyo nayo.~ 347 Colo 4 6 | jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.~ 348 1The 2 11 | kwamba sisi tulimtendea kila mmoja wenu kama vile baba 349 1The 2 15 | wanamchukiza Mungu, tena ni adui za kila mtu!~ 350 1The 4 4 | 4 Kila mwanamume anapaswa kujua 351 1The 4 10 | mkiwatendea hivyo ndugu zenu wote kila mahali katika Makedonia. 352 1The 4 11 | kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo 353 1The 5 3 | watakapokuwa wanasema: "Kila kitu ni shwari na salama" 354 1The 5 17 | 17 salini kila wakati~ 355 1The 5 18 | muwe na shukrani katika kila hali. Hayo ndiyo anayotaka 356 1The 5 21 | 21 Pimeni kila kitu: zingatieni kilicho 357 1The 5 22 | 22 na epukeni kila aina ya uovu.~ 358 1The 5 23 | awafanye ninyi watakatifu kwa kila namna na kuzilinda nafsi 359 2The 2 4 | 4 Yeye atapinga kila kitu wanachokiona watu kuwa 360 2The 2 9 | nguvu za Shetani na kufanya kila namna ya miujiza na maajabu 361 2The 2 10 | na kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika 362 2The 3 16 | awajalieni amani siku zote kwa kila namna. Bwana awe nanyi nyote.~ 363 2The 3 17 | ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika.~ 364 1Tim 4 4 | 4 Kila kitu alichoumba Mungu ni 365 1Tim 4 8 | ya kiroho yana faida za kila namna, maana yanatuahidia 366 1Tim 5 21 | kumpendelea mtu yeyote katika kila unachotenda.~ 367 2Tim 1 3 | wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika 368 2Tim 2 10 | 10 na hivyo navumilia kila kitu kwa ajili ya wateule 369 2Tim 2 19 | anawafahamu wale walio wake," na "Kila asemaye yeye ni wa Bwana, 370 2Tim 2 20 | kuna mabakuli na vyombo vya kila namna: vingine ni vya fedha 371 2Tim 2 21 | wake na yupo tayari kwa kila kazi njema.~ 372 2Tim 3 6 | wanaongozwa na tamaa za kila aina;~ 373 2Tim 3 12 | 12 Kila mtu anayetaka kuishi maisha 374 2Tim 3 17 | na tayari kabisa kufanya kila tendo jema.~ ~~ ~ 375 2Tim 4 5 | lakini, uwe macho katika kila hali; vumilia mateso, fanya 376 Titus 1 5 | kuwateua wazee wa kanisa katika kila mji. Kumbuka maagizo yangu:~ 377 Titus 1 15| 15 Kila kitu ni safi kwa watu walio 378 Titus 3 1 | kuwatii na kuwa tayari kwa kila namna kutenda mambo yote 379 Titus 3 2 | masikizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.~ 380 Titus 3 3 | watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. Tuliishi maisha ya 381 Titus 3 13| na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.~ 382 Phil 1 4 | 4 Kila wakati ninaposali nakukumbuka 383 Hebr 2 4 | ushahidi wake kwa kufanya kila namna ya miujiza na maajabu, 384 Hebr 2 8 | 8 ukaweka kila kitu chini ya miguu yake, 385 Hebr 2 17 | awe kama ndugu zake kwa kila namna, ili awe Kuhani Mkuu 386 Hebr 3 4 | 4 Kila nyumba hujengwa na mjenzi 387 Hebr 4 10 | 10 Maana, kila anayepata pumziko aliloahidi 388 Hebr 4 13 | kilichofichika mbele ya Mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele 389 Hebr 4 15 | alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.~ 390 Hebr 5 1 | 1 Kila kuhani mkuu huchaguliwa 391 Hebr 5 4 | heshima ya kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu 392 Hebr 5 13 | 13 Kila anayepaswa kunywa maziwa 393 Hebr 6 11 | 11 Hamu yetu ni kwamba kila mmoja wenu aonyeshe bidii 394 Hebr 7 27 | hana haja ya kutoa dhabihu kila siku, kwanza kwa ajili ya 395 Hebr 8 3 | 3 Kila Kuhani Mkuu ameteuliwa kumtolea 396 Hebr 8 5 | Mungu alimwambia: "Tengeneza kila kitu kufuatana na ule mfano 397 Hebr 9 6 | desturi kwa makuhani kuingia kila siku katika hema ya nje 398 Hebr 9 22 | kadiri ya Sheria karibu kila kitu chaweza kutakaswa kwa 399 Hebr 9 25 | huingia Mahali Patakatifu kila mwaka akiwa amechukua damu 400 Hebr 9 27 | 27 Basi, kama vile kila mtu hufa mara moja tu, kisha 401 Hebr 10 3 | Lakini dhabihu hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu 402 Hebr 10 11 | 11 Kila kuhani Myahudi humhudumia 403 Hebr 10 11 | Myahudi humhudumia Mungu kila siku, akitoa dhabibu zilezile 404 Hebr 11 6 | kumpendeza Mungu. Kwa maana kila mtu anayemwendea Mungu ni 405 Hebr 11 21 | karibu kufa, aliwabariki kila mmoja wa wana wa Yosefu, 406 Hebr 12 1 | mbele yetu. Kwa hiyo tuondoe kila kizuizi kinachotuzuia, na 407 Hebr 12 6 | 6 Maana Bwana humwadhibu kila anayempenda, humpinga kila 408 Hebr 12 6 | kila anayempenda, humpinga kila anayekubali kuwa mwanae."~ 409 Hebr 13 21 | amani awakamilishe katika kila tendo jema ili mtekeleze 410 James 1 17| 17 Kila kipaji chema na kila zawadi 411 James 1 17| 17 Kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni; 412 James 1 19| wapenzi, kumbukeni jambo hili! Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia 413 James 1 25| huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.~ 414 James 3 16| ubinafsi hapo pana fujo na kila aina ya uovu.~ 415 1Pet 1 17 | jueni kwamba yeye humhukumu kila mmoja kadiri ya matendo 416 1Pet 1 24 | Kama Maandiko yasemavyo: "Kila binadamu ni kama nyasi, 417 1Pet 4 6 | kimwili kama anavyohukumiwa kila mmoja, walihubiriwa Habari 418 1Pet 4 10 | 10 Kila mmoja anapaswa kutumia kipaji 419 2Pet 1 15 | ya kuyakumbuka mambo haya kila wakati, baada ya kufariki 420 2Pet 3 10 | dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.~ 421 2Pet 3 11 | 11 Maadamu kila kitu kitaharibiwa namna 422 1Joh 2 27 | Roho wake anawafundisheni kila kitu na mafundisho yake 423 1Joh 2 29 | mnapaswa kujua pia kwamba kila mtu atendaye mambo adili 424 1Joh 3 3 | 3 Basi, kila mtu aliye na tumaini hili 425 1Joh 3 4 | 4 Kila mtu atendaye dhambi anavunja 426 1Joh 3 6 | 6 Basi, kila aishiye katika muungano 427 1Joh 3 6 | Kristo hatendi dhambi; lakini kila mtu atendaye dhambi hakupata 428 1Joh 3 9 | 9 Kila aliye mtoto wa Mungu hatendi 429 1Joh 3 15 | 15 Kila anayemchukia ndugu yake 430 1Joh 3 20 | dhamiri, na kwamba yeye ajua kila kitu.~ 431 1Joh 4 1 | Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho 432 1Joh 4 2 | anaongozwa na Roho wa Mungu: Kila anayekiri kwamba Kristo 433 1Joh 4 7 | upendo hutoka kwa Mungu. Kila mtu aliye na upendo ni mtoto 434 1Joh 4 15 | 15 Kila mtu anayekiri kwamba Yesu 435 1Joh 4 16 | sisi. Mungu ni upendo, na kila mtu aishiye katika upendo, 436 1Joh 5 1 | 1 Kila mtu anayeamini kwamba Yesu 437 1Joh 5 4 | 4 maana kila aliye mtoto wa Mungu anaweza 438 1Joh 5 15 | 15 Yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile 439 1Joh 5 15 | kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia 440 1Joh 5 17 | 17 Kila tendo lisilo adilifu ni 441 1Joh 5 18 | 18 Tunajua kwamba kila aliye mtoto wa Mungu hatendi 442 3Joh 1 2 | nakutakia mafanikio mema ya kila aina; nakutakia afya njema 443 3Joh 1 5 | wangu, wewe ni mwaminifu kila mara unapowahudumia ndugu, 444 3Joh 1 11 | mbaya, bali mfano mwema. Kila atendaye mema ni wa Mungu; 445 3Joh 1 12 | 12 Kila mtu anamsifu Demetrio; naam, 446 3Joh 1 15 | Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.~ 447 Rev 1 7 | Anakuja katika mawingu! Kila mtu atamwona, hata wale 448 Rev 4 8 | vilikuwa na mabawa sita kila kimoja, na vilikuwa vimejaa 449 Rev 4 9 | 9 Kila mara viumbe vinne vilipoimba 450 Rev 4 11 | vyote, na kwa matakwa yako kila kitu kimepewa uhai na uzima."~ ~ ~~ ~ 451 Rev 5 6 | kondoo amesimama, akizungukwa kila upande na vile viumbe hai 452 Rev 5 6 | Mungu zilizokuwa zimepelekwa kila mahali duniani.~ 453 Rev 5 8 | kifudifudi mbele ya Mwanakondoo. Kila mmoja, alikuwa na kinubi 454 Rev 5 9 | Mungu watu kutoka katika kila kabila, lugha, jamaa na 455 Rev 6 11 | 11 Wakapewa kila mmoja vazi refu jeupe, wakaambiwa 456 Rev 6 15 | matajiri, wenye nguvu, kila mtumwa na mtu huru, wakajificha 457 Rev 7 9 | watu wasiohesabika: watu wa kila taifa, ukoo, jamaa na lugha. 458 Rev 11 5 | kuwaangamiza adui zao; na kila mtu atakayejaribu kuwadhuru 459 Rev 11 6 | ya kusababisha maafa ya kila namna duniani kila mara 460 Rev 11 6 | maafa ya kila namna duniani kila mara wapendavyo.~ 461 Rev 11 9 | 9 Watu wa kila kabila, lugha, taifa na 462 Rev 12 3 | kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji.~ 463 Rev 13 1 | vichwa saba na pembe kumi, na kila pembe ilikuwa na taji. Jina 464 Rev 13 7 | Alipewa mamlaka juu ya watu wa kila kabila, ukoo, lugha na taifa.~ 465 Rev 16 21 | uzito wa kama kilo hamsini kila moja, ikawanyeshea watu. 466 Rev 17 3 | huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; 467 Rev 17 15 | mzinzi, ni mataifa, watu wa kila rangi na lugha.~ 468 Rev 17 16 | huyo mzinzi. Watachukua kila kitu alicho nacho na kumwacha 469 Rev 18 12 | nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo 470 Rev 18 19 | wa saa moja tu umepoteza kila kitu!"~ 471 Rev 20 8 | mataifa yote yaliyotawanyika kila mahali duniani, yaani Gogu 472 Rev 20 13 | wafu waliokuwa ndani yao. Kila mmoja akahukumiwa kufuatana 473 Rev 21 13 | 13 Kila upande ulikuwa na milango 474 Rev 21 19 | yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. 475 Rev 21 21 | ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa 476 Rev 22 2 | na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni 477 Rev 22 12 | pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo 478 Rev 22 17 | Bibiarusi waseme, "Njoo!" Kila mtu asikiaye hili, na aseme,"


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License