110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu
Book, Chapter, Verse
1616 1Pet 4 11 | anapaswa kutumikia kwa nguvu anayojaliwa na Mungu, ili katika mambo
1617 Roma 6 23 | dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa Mungu ni uzima wa milele
1618 3Joh 1 10 | anayofanya, maneno mabaya anayotutolea na uongo anaosema juu yetu.
1619 Acts 14 17 | kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: huwanyeshea mvua toka angani,
1620 Mark 6 2 | anatendaje maajabu haya anayoyafanya?~
1621 Roma 3 26 | lakini sasa, wakati huu, anazikabili dhambi za watu apate kuonyesha
1622 Acts 28 3 | mzigo mdogo wa kuni akawa anazitia motoni. Hapo, kwa sababu
1623 Ephe 6 11 | 11 Vaeni silaha anazowapeni Mungu mpate kuzipinga mbinu
1624 Acts 19 9 | wale wanafunzi wake, akawa anazungumza nao kila siku katika jumba
1625 Luke 22 12 | ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo."~
1626 Luke 4 21 | Naye akaanza kuwaambia, "Andiko hili mlilosikia likisomwa,
1627 Roma 16 7 | 7 Salamu zangu kwa Androniko na Yunia, wananchi wenzangu
1628 Hebr 12 1 | na dhambi ile inayotung`ang`ania. Tupige mbio kwa uvumilivu
1629 2Cor 11 16 | nipate kuwa na cha kujivunia angaa kidogo.~
1630 Luke 16 24 | nionee huruma; umtume Lazaro angalau achovye ncha ya kidole chake
1631 Luke 14 32 | wakati mfalme huyo mwingine angali mbali.~
1632 Hebr 9 26 | ingalikuwa hivyo, Kristo angalipaswa kuteswa mara nyingi tangu
1633 Hebr 4 8 | 8 Kama Yoshua angaliwapa watu hao hilo pumziko, Mungu
1634 Rev 17 10 | saba, watano wamekwisha angamia, mmoja anatawala bado, na
1635 Acts 28 6 | kwamba angevimba au hapohapo angeanguka chini na kufa. Baada ya
1636 Luke 9 51 | ulipokaribia ambapo Yesu angechukuliwa juu mbinguni, yeye alikata
1637 Luke 16 31 | hawatajali hata kama mtu angefufuka kutoka wafu."`~ ~ ~~ ~
1638 Luke 24 21 | tulitumaini kwamba yeye ndiye angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote,
1639 Luke 9 31 | juu ya kifo chake ambacho angekikamilisha huko Yerusalemu.~
1640 Matt 11 14 | Yohane ndiye Eliya ambaye angekuja.~
1641 John 4 10 | ungalikwisha mwomba, naye angekupa maji yaliyo hai."~
1642 Luke 11 7 | 7 Naye, akiwa ndani angemjibu: `Usinisumbue! Nimekwisha
1643 Luke 6 7 | wakawa wanangojea waone kama angemponya mtu siku ya Sabato.~
1644 Acts 12 6 | ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, Petro alikuwa
1645 Acts 7 25 | wangeelewa kwamba Mungu angemtumia yeye kuwakomboa, lakini
1646 Matt 26 53 | kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea zaidi ya majeshi kumi na
1647 Matt 24 22 | hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa
1648 Mark 13 20 | hakuna binadamu ambaye angeokolewa. Lakini kwa ajili ya wateule
1649 Mark 15 24 | kuyapigia kura waamue nani angepata nini.~
1650 Acts 25 20 | nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda mahakamani kule Yerusalemu
1651 Acts 23 10 | jeshi akaogopa kwamba Paulo angeraruliwa vipandevipande. Kwa hiyo,
1652 Acts 2 23 | alikwisha amua kwamba Yesu angetiwa mikononi mwenu; nanyi mkamuua
1653 Ephe 1 10 | 10 Mpango huo ambao angeutimiza wakati utimiapo ni kukusanya
1654 Acts 28 6 | walikuwa wakitazamia kwamba angevimba au hapohapo angeanguka chini
1655 Mark 4 12 | wangemgeukia Mungu, naye angewasamehe."`~
1656 1Pet 5 8 | huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mawindo.~
1657 Hebr 12 1 | dhambi ile inayotung`ang`ania. Tupige mbio kwa uvumilivu
1658 Matt 7 21 | 21 "Si kila aniambiaye, `Bwana, Bwana,` ataingia
1659 2Cor 12 6 | sitajivuna; sipendi mtu anifikirie zaidi ya vile anavyoona
1660 Ephe 6 19 | pia ili niongeapo Mungu anijalie cha kusema, niweze kuwajulisha
1661 John 10 15 | 15 kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Mimi
1662 John 6 57 | sababu yake; vivyo hivyo anilaye mimi ataishi pia kwa sababu
1663 Roma 1 10 | Namwomba Mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu
1664 Rev 10 9 | huyo malaika, nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. Naye
1665 Matt 10 37 | baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye
1666 Matt 12 18 | niliyemteua, mpendwa wangu anipendezaye moyoni. Nitaiweka Roho yangu
1667 Hebr 13 19 | sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo.~
1668 Rev 2 13 | yako kwangu hata siku zile Antipa shahidi wangu mwaminifu,
1669 Acts 23 31 | wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri.~
1670 1Cor 11 6 | asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu
1671 1Joh 2 8 | mwanga wa ukweli umekwisha anza kuangaza.~
1672 1Cor 15 34 | 34 Amkeni! Anzeni kuishi vema, na acheni kutenda
1673 1Cor 7 9 | hawezi kujizuia basi, na aoe; maana ni afadhali zaidi
1674 John 1 29 | ndiye Mwana-kondoo wa Mungu aondoaye dhambi ya ulimwengu!~
1675 Luke 1 79 | katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya
1676 Acts 8 31 | Hapo akamwalika Filipo apande juu, aketi pamoja naye.~
1677 1Cor 7 11 | abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye
1678 Acts 9 2 | 2 akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa
1679 Mark 8 31 | Ni lazima Mwana wa Mtu apatwe na mateso mengi na kukataliwa
1680 Roma 16 10 | 10 Nisalimieni Apele ambaye uaminifu wake kwa
1681 Acts 11 29 | kwa kadiri ya uwezo wake apeleke chochote ili kuwasaidia
1682 1Tim 3 3 | matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda
1683 Luke 9 39 | anamshambulia, na mara humfanya apige kelele; humtia kifafa, na
1684 Acts 28 15 | kutulaki kwenye soko la Apio na Mikahawa Mitatu. Paulo
1685 Rev 9 11 | Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani mwangamizi.~
1686 Acts 17 1 | Kwa kupitia Amfipoli na Apolonia, walisafiri mpaka Thesalonika
1687 2Cor 11 32 | aliyekuwa chini ya mfalme Areta, alikuwa akiulinda mji wa
1688 Luke 3 36 | mwana wa Kainani, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa
1689 Roma 16 10 | wote walio nyumbani mwa Aristobulo.~
1690 Matt 2 22 | Yosefu aliposikia kwamba Arkelao mwanawe Herode alikuwa mfalme
1691 Colo 4 17 | 17 Mwambieni Arkipo aitekeleze vizuri ile huduma
1692 Phil 1 2 | Afia, na askari mwenzetu Arkupo.~
1693 Luke 3 33 | mwana wa Admini, mwana wa Arni, mwana wa Hesroni, mwana
1694 Titus 3 12| 12 Baada ya kumtuma kwako Artema au Tukiko, fanya bidii kuja
1695 Matt 4 4 | mikate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu."`~
1696 John 8 44 | ukweli haumo ndani yake. Kila asemapo uongo, husema kutokana na
1697 Rev 2 1 | ujumbe kutoka kwake yeye ashikaye nyota saba katika mkono
1698 Titus 1 9 | 9 Ni lazima ashike kikamilifu ujumbe ule wa
1699 Acts 1 17 | chetu maana alichaguliwa ashiriki huduma yetu.~
1700 1The 4 11 | maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo yake mwenyewe na afanye
1701 John 6 33 | Maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na aupaye
1702 1Cor 7 10 | yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane na mumewe;~
1703 1Cor 10 12 | amesimama imara ajihadhari asianguke.~
1704 Hebr 3 13 | mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.~
1705 James 1 7 | katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote
1706 Luke 6 49 | anayesikia maneno yangu lakini asifanye chochote, huyo anafanana
1707 1Tim 3 6 | hajakomaa bado katika imani asifanywe kuwa kiongozi katika kanisa,
1708 John 11 37 | hakuweza kumfanya Lazaro asife?"~
1709 2Tim 2 24 | 24 Mtumishi wa Bwana asigombane. Anapaswa kuwa mpole kwa
1710 Ephe 4 28 | 28 Aliyekuwa akiiba, asiibe tena, bali na aanze kufanya
1711 Mark 14 35 | kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso.~
1712 Acts 1 20 | ibaki mahame; mtu yeyote asiishi ndani yake.` Tena imeandikwa: `
1713 Acts 19 31 | walimtumia Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi
1714 1Cor 7 18 | akiwa ametahiriwa, basi asijisingizie kwamba hakutahiriwa; na
1715 1Cor 3 21 | 21 Basi, mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni
1716 Acts 20 16 | meli bila kupitia Efeso ili asikawie zaidi huko Asia. Alikuwa
1717 Acts 10 22 | akualike nyumbani kwake ili asikilize chochote ulicho nacho cha
1718 Matt 19 6 | alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe."~
1719 Titus 2 15| wasikilizaji wako. Mtu yeyote na asikudharau.~ ~ ~~ ~
1720 Luke 8 8 | mzuri, zikaota na kuzaa asilimia mia." Baada ya kusema hayo,
1721 Rev 10 8 | kilicho mkononi mwa malaika asimamaye juu ya bahari na juu ya
1722 Roma 12 8 | kwa ukarimu. Msimamizi na asimamie kwa bidii; naye mwenye kutenda
1723 Roma 14 3 | hula tu mboga za majani asimhukumu anayekula kila kitu, maana
1724 1Cor 14 38 | asiyetambua hayo, basi, mtu asimjali mtu huyo.~
1725 1The 4 6 | 6 Basi, mtu yeyote asimkosee au kumpunja mwenzake kuhusu
1726 1The 5 15 | 15 Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu,
1727 Luke 9 39 | Huendelea kumtesa sana, asimwache upesi.~
1728 Acts 23 22 | alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea
1729 Acts 26 32 | angeweza kufunguliwa kama asingalikuwa amekata rufani kwa Kaisari."~ ~ ~~ ~
1730 Roma 9 29 | Kama Bwana Mwenye Nguvu asingalituachia baadhi ya watoto wa Israeli,
1731 Hebr 8 4 | angekuwa wa hapa duninani, asingekuwa kamwe kuhani, kwani wako
1732 Mark 13 20 | 20 Kama Bwana asingepunguza siku hizo, hakuna binadamu
1733 Mark 9 3 | jinsi dobi yeyote duniani asingeweza kuyafanya meupe.~
1734 2Cor 11 16 | 16 Tena nasema: Mtu asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama
1735 Gala 6 17 | 17 Basi, sasa mtu yeyote asinisumbue tena, maana alama nilizo
1736 Luke 4 42 | wakajaribu kumzuia ili asiondoke kwao.~
1737 1Pet 4 16 | sababu ni Mkristo, basi asione aibu, bali amtukuze Mungu,
1738 Luke 14 33 | atakayekuwa mwanafunzi wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho.~
1739 Luke 14 27 | 27 Mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata
1740 John 15 6 | 6 Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje
1741 Matt 18 16 | 16 Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili
1742 John 3 2 | ishara unazozifanya Mungu asipokuwa pamoja naye."~
1743 John 6 44 | kwangu, Baba aliyenituma asipomvuta kwangu; nami nitamfufua
1744 1Cor 12 3 | kusema: "Yesu ni Bwana," asipoongozwa na Roho Mtakatifu.~
1745 Luke 11 24 | akitafuta mahali pa kupumzikia. Asipopata, hujisemea: `Nitarudi kwenye
1746 John 3 27 | Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.~
1747 John 3 16 | pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.~
1748 Luke 14 26 | Mtu yeyote akija kwangu, asipowachukia baba na mama yake, mke wake,
1749 Matt 18 17 | 17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na
1750 John 6 65 | hakuna awezaye kuja kwangu asipowezeshwa na Baba yangu."~
1751 2Tim 2 5 | kupata zawadi ya ushindi kama asipozitii sheria za michezo.~
1752 James 1 13| 13 Kama mtu akijaribiwa, asiseme: "Ninajaribiwa na Mungu."
1753 1Cor 10 24 | 24 Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila
1754 1Cor 7 18 | hakuwa ametahiriwa, basi na asitahiriwe.~
1755 John 20 14 | Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.~
1756 Mark 10 9 | alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe."~
1757 Luke 8 31 | 31 Hao pepo wakamsihi asiwaamuru wamtoke na kwenda kwenye
1758 Mark 5 10 | 10 Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile.~
1759 2Tim 4 16 | wote waliniacha. Mungu asiwahesabie kosa hilo!~
1760 Colo 2 8 | 8 Angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa
1761 Hebr 11 28 | yule Malaika Mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa Israeli.~
1762 Hebr 12 7 | wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?~
1763 Matt 10 38 | 38 Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata,
1764 2The 3 10 | tulikuwa tukiwaambieni, "Mtu asiyefanya kazi, asile."~
1765 1Cor 11 6 | 6 Mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe
1766 John 10 1 | nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa
1767 Hebr 10 28 | 28 Mtu yeyote asiyeitii Sheria ya Mose, huuawa bila
1768 Acts 17 23 | Kwa ajili ya Mungu yule Asiyejulikana.` Basi, huyo mnayemwabudu
1769 Rev 15 4 | 4 Bwana, ni nani asiyekucha wewe? Nani asiyelitukuza
1770 1Cor 9 7 | wake jeshini? Mkulima gani asiyekula matunda ya shamba lake la
1771 1Cor 9 7 | mizabibu? Mchungaji gani asiyekunywa maziwa ya mifugo yake?~
1772 Rev 15 4 | nani asiyekucha wewe? Nani asiyelitukuza jina lako? Wewe peke yako
1773 Hebr 12 16 | na mtu mwasherati au mtu asiyemcha Mungu kama Esau, aliyeuza
1774 John 5 24 | vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba ambaye
1775 1Joh 4 3 | 3 Lakini mtu yeyote asiyemkiri Kristo hivyo, hana huyo
1776 John 3 36 | Mwana anao uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatakuwa na uzima
1777 John 14 24 | 24 Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na
1778 1Cor 7 34 | naye amegawanyika. Mwanamke asiyeolewa au bikira hujishughulisha
1779 Gala 3 10 | Matakatifu yasema: "Yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa
1780 Colo 3 11 | Myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa
1781 1Cor 14 38 | 38 Lakini mtu asiyetambua hayo, basi, mtu asimjali
1782 Roma 4 5 | 5 Lakini mtu asiyetegemea matendo yake mwenyewe, bali
1783 1Joh 3 10 | 10 Lakini yeyote asiyetenda mambo maadilifu, au asiyempenda
1784 John 12 48 | 48 Asiyeyashika maneno yangu anaye wa kumhukumu:
1785 2Joh 1 9 | 9 Asiyezingatia na kudumu katika mafundisho
1786 Luke 4 16 | desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa
1787 Roma 16 14 | 14 Nisalimieni Asunkrito, Flegoni, Herme Patroba,
1788 Gala 5 10 | awe nani au nani - hakika ataadhibiwa.~
1789 Hebr 10 38 | mtu wangu aliye mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi
1790 Luke 11 8 | mtu kuendelea kumwomba, ataamka ampe chochote anachohitaji.~
1791 Rev 20 8 | 8 Basi, atatoka nje, ataanza kuyapotosha mataifa yote
1792 James 1 25| bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.~
1793 Rev 18 8 | ugonjwa, huzuni na njaa. Atachomwa moto, maana Bwana Mungu
1794 Matt 1 23 | 23 "Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa
1795 John 16 2 | ambapo kila atakayewaua ninyi atadhani anamhudumia Mungu.~
1796 John 12 34 | Sheria yetu kwamba Kristo atadumu milele. Wawezaje basi, kusema
1797 Luke 18 5 | ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha
1798 Matt 16 26 | yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote
1799 Mark 11 23 | yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.~
1800 Luke 12 45 | Lakini, kama mtumishi huyo atafikiri moyoni mwake: na kusema: `
1801 Roma 2 26 | matakwa ya Sheria, hakika atafikiriwa kana kwamba ametahiriwa.~
1802 John 9 22 | atakayekiri kwamba Yesu ni Kristo atafukuzwa nje ya sunagogi.~
1803 Rev 20 7 | moja itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake.~
1804 1Pet 3 11 | ajiepushe na uovu, atende mema, atafute amani na kuizingatia.~
1805 Gala 2 4 | wengine wa uongo waliotaka atahiriwe. Watu hawa walijiingiza
1806 Mark 16 16 | kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa.~
1807 1The 3 13 | 13 Hivyo ataiimarisha mioyo yenu, nanyi mtakuwa
1808 Hebr 12 2 | aliyeianzisha imani yetu na ambaye ataikamilisha. Kwa ajili ya furaha iliyokuwa
1809 Luke 13 25 | utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na kufunga mlango. Ninyi
1810 John 3 14 | jangwani, naye Mwana wa Mtu atainuliwa juu vivyo hivyo,~
1811 Roma 8 11 | aliyemfufua Kristo kutoka wafu ataipa uzima miili yenu yenye hali
1812 Luke 17 33 | anayetaka kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na yeyote anayeipoteza,
1813 Roma 9 28 | 28 maana, Bwana ataitekeleza upesi hukumu yake kamili
1814 Luke 1 15 | Hatakunywa divai wala kileo, atajazwa Roho Mtakatifu tangu tumboni
1815 Luke 12 37 | Nawaambieni hakika, huyo bwana atajifunga mkanda kiunoni, atawaketisha
1816 Matt 1 21 | 21 Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa
1817 John 11 10 | Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani
1818 2Tim 2 21 | 21 Basi, kama mtu atajitakasa kwa kujitenga mbali na mambo
1819 John 8 22 | Wayahudi wakasema, "Je, atajiua? Mbona anasema: `Niendako
1820 1Cor 14 8 | kufuata taratibu zake, nani atajiweka tayari kwa vita?~
1821 John 7 17 | kufanya yale anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka
1822 Rev 21 3 | makao yake kati ya watu. Atakaa kati yao, nao watakuwa watu
1823 Matt 14 7 | kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.~
1824 Matt 7 2 | kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.~
1825 Gala 6 7 | Alichopanda mtu ndicho atakachovuna.~
1826 1Joh 2 17 | unapita; lakini mtu atendaye atakalo Mungu, anaishi milele.~
1827 John 6 6 | Filipo, kwani alijua mwenyewe atakalofanya.)~
1828 John 2 5 | akawaambia watumishi, "Lolote atakalowaambieni, fanyeni."~
1829 Rev 10 7 | atakapopiga tarumbeta yake, Mungu atakamilisha mpango wake wa siri kama
1830 Luke 12 9 | anayenikana mbele ya watu, naye atakanwa mbele ya malaika wa Mungu.~
1831 Roma 16 2 | Mungu. Mpeni msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, maana yeye
1832 Luke 12 36 | arusini, ili wamfungulie mara atakapobisha hodi.~
1833 Matt 17 9 | mliyoyaona mpaka Mwana wa Mtu atakapofufuliwa kutoka wafu."~
1834 Roma 2 16 | itakavyokuwa wakati Mungu atakapohukumu mambo ya siri ya binadamu
1835 Matt 12 20 | ufukao moshi hatauzima, mpaka atakapoifanya hukumu ya haki itawale.~
1836 1Cor 15 28 | Kristo, ndipo naye Mwana atakapojiweka chini ya Mungu, aliyeweka
1837 Matt 19 28 | Nawaambieni kweli, Mwana wa Mtu atakapoketi katika kiti cha enzi cha
1838 James 2 13| Mungu hatakuwa na huruma atakapomhukumu mtu asiyekuwa na huruma.
1839 Matt 16 27 | malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo
1840 1Pet 1 13 | mtakayopewa wakati Yesu Kristo atakapoonekana!~
1841 Rev 10 7 | atakapotoa sauti yake, wakati atakapopiga tarumbeta yake, Mungu atakamilisha
1842 Hebr 9 10 | yake hukoma wakati Mungu atakaporekebisha vitu vyote.~
1843 Rev 10 7 | wakati ule malaika wa saba atakapotoa sauti yake, wakati atakapopiga
1844 1Cor 15 25 | sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda adui zake na kuwaweka chini
1845 Acts 1 8 | Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni ninyi, mtajazwa nguvu na
1846 Rev 12 4 | kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.~
1847 Matt 10 14 | 14 Kama mtu yeyote atakataa kuwakaribisheni au kuwasikilizeni,
1848 Matt 12 40 | ndivyo naye Mwana wa Mtu atakavyokaa ndani ya ardhi siku tatu
1849 John 21 19 | alionyesha jinsi Petro atakavyokufa na kumtukuza Mungu.) Kisha
1850 Luke 22 4 | walinzi wa Hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.~
1851 Rev 18 21 | akisema, "Ndivyo, Babuloni atakavyotupwa na kupotea kabisa.~
1852 1Cor 10 27 | kwenda, basi, kuleni vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu
1853 Titus 1 9 | unavyofundishwa. Ndivyo atakavyoweza kuwatia wengine moyo kwa
1854 1Cor 15 26 | 26 Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo.~
1855 Matt 26 23 | 23 Yesu akajibu, "Atakayechovya mkate pamoja nami katika
1856 Luke 22 23 | kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo.~
1857 Hebr 12 20 | kustahimili amri iliyotolewa: "Atakayegusa mlima huu, hata kama ni
1858 John 16 22 | na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa kwenu.~
1859 John 7 27 | Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini
1860 John 14 16 | atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele.~
1861 Mark 10 40 | 40 Lakini ni nani atakayeketi kulia au kushoto kwangu
1862 John 9 22 | wamepatana ya kwamba mtu yeyote atakayekiri kwamba Yesu ni Kristo atafukuzwa
1863 Luke 14 15 | akasema, "Ana heri mtu yule atakayekula chakula katika Ufalme wa
1864 John 4 14 | 14 Lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona
1865 John 21 20 | kumwuliza: "Bwana ni nani atakayekusaliti?")~
1866 Mark 9 42 | 42 "Mtu yeyote atakayemfanya mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini
1867 Hebr 8 11 | 11 Hakuna mtu atakayemfundisha mwananchi mwenzake, wala
1868 Matt 18 6 | 6 "Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini,
1869 Luke 10 42 | zaidi ambacho hakuna mtu atakayemnyag`anya."~ ~ ~~ ~
1870 Matt 10 42 | Kweli nawaambieni, yeyote atakayempa mmojawapo wa wadogo hawa
1871 Matt 5 28 | Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani,
1872 Matt 19 9 | Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu
1873 Hebr 8 11 | mwananchi mwenzake, wala atakayemwambia ndugu yake: `Mjue Bwana.`
1874 Hebr 12 14 | utakatifu, kwa sababu hakuna mtu atakayemwona Bwana bila ya maisha kama
1875 Matt 17 27 | chukua samaki wa kwanza atakayenaswa, fungua kinywa chake, na
1876 2Cor 2 2 | nikiwahuzunisha ninyi, basi, ni nani atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!~
1877 Matt 10 33 | 33 Lakini yeyote atakayenikana hadharani, nami nitamkana
1878 Roma 7 24 | 24 Maskini miye! Nani atakayeniokoa kutoka katika mwili huu
1879 Acts 20 25 | najua hakuna hata mmoja wenu atakayeniona tena.~
1880 Luke 14 24 | mmoja wa wale walioalikwa atakayeonja karamu yangu."`~
1881 Rev 18 22 | fundi wa namna yoyote ile atakayepatikana tena ndani yako; wala sauti
1882 Rev 21 7 | 7 Yeyote atakayeshinda atapokea hiki, nami nitakuwa
1883 Hebr 4 11 | asiwepo yeyote miongoni mwenu atakayeshindwa, kama walivyofanya wao kwa
1884 Rev 19 15 | atawashinda mataifa. Yeye ndiye atakayetawala kwa fimbo ya chuma na kuikamua
1885 Mark 16 3 | wakawa wanaambiana, "Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?"~
1886 Matt 5 21 | kale waliambiwa: `Usiue! Atakayeua lazima ahukumiwe.`~
1887 Matt 5 19 | 19 Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko
1888 Matt 2 6 | kwako atatokea kiongozi atakayewaongoza watu wangu, Israeli."`~
1889 Ephe 1 17 | mtukufu, awajalieni Roho wake atakayewapa hekima na kuwafunulieni
1890 John 16 2 | wakati unakuja ambapo kila atakayewaua ninyi atadhani anamhudumia
1891 1Pet 3 15 | Muwe tayari kumjibu yeyote atakayewaulizeni juu ya matumaini yaliyo
1892 Luke 9 24 | mwenyewe, atayapoteza; lakini atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu,
1893 Luke 1 35 | kwa sababu hiyo, mtoto atakayezaliwa ataitwa Mtakatifu, Mwana
1894 Matt 5 19 | wa mbiguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine,
1895 Matt 24 42 | kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.~
1896 Matt 25 31 | wakiwa pamoja naye, hapo ataketi juu ya kiti chake cha enzi
1897 Mark 9 41 | 41 Mtu yeyote atakeyewapeni kikombe cha maji ya kunywa
1898 Matt 12 42 | hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. Maana
1899 Mark 9 49 | 49 "Maana kila mmoja atakolezwa kwa moto.~
1900 Acts 11 14 | 14 Yeye atakuambia maneno ambayo kwayo wewe
1901 Ephe 5 14 | kutoka wafu, naye Kristo atakuangaza."~
1902 John 21 18 | mikono yako, na mtu mwingine atakufunga na kukupeleka usikopenda
1903 Roma 11 21 | matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?~
1904 Rev 3 20 | chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.~
1905 Rev 14 10 | 10 yeye mwenyewe atakunywa divai ya ghadhabu ya Mungu,
1906 Acts 23 3 | akamwambia, "Mungu mwenyewe atakupiga kofi wewe uliye kama ukuta
1907 Luke 1 35 | akamjibu, "Roho Mtakatifu atakushukia, na uwezo wake Mungu Mkuu
1908 Roma 13 3 | mamlaka? Fanya mema naye atakusifu;~
1909 Mark 1 2 | wangu akutangulie; yeye atakutayarishia njia yako.~
1910 2Tim 2 7 | ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uyaelewe yote.~
1911 Luke 1 13 | imesikilizwa, na Elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa
1912 Colo 3 25 | 25 Atendaye mabaya atalipwa kufuatana na ubaya wake;
1913 Luke 15 5 | 5 Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha.~
1914 1Cor 3 17 | akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu; maana hekalu la Mungu ni
1915 1Cor 15 24 | utafika wakati ambapo Kristo atamkabidhi Mungu Baba Utawala, baada
1916 Rev 22 19 | katika kitabu hiki, Mungu atamnyang`anya sehemu yake katika
1917 Mark 11 3 | Mwambieni, `Bwana anamhitaji na atamrudisha hapa mara."` ic\is Bethania (
1918 Luke 1 17 | 17 Atamtangulia Bwana akiongozwa na nguvu
1919 Acts 2 30 | Mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa
1920 John 14 26 | Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisheni
1921 Roma 9 12 | kwamba yule mtoto wa kwanza atamtumikia yule wa nyuma. Hivyo uchaguzi
1922 2The 2 8 | lakini Bwana Yesu anapokuja atamuua kwa pumzi ya kinywa chake
1923 Matt 19 5 | Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake,
1924 Acts 2 39 | ambaye Bwana Mungu wetu atamwita kwake."~
1925 Rev 1 7 | katika mawingu! Kila mtu atamwona, hata wale waliomchoma.
1926 Rev 22 18 | katika mambo haya, Mungu atamwongezea mabaa yaliyoandikwa katika
1927 John 5 21 | anachokifanya yeye mwenyewe, tena atamwonyesha mambo makuu kuliko haya,
1928 Matt 1 23 | Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, naye ataitwa
1929 Acts 26 23 | kufufuka kutoka wafu, ili atangaze kwamba mwanga wa ukombozi
1930 Luke 18 5 | ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!"`~
1931 Phil 1 22 | kwamba kwa sala zenu, Mungu atanijalia niwatembeleeni.~
1932 2Tim 4 18 | 18 Bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na
1933 2Tim 4 8 | ambalo Bwana Hakimu wa haki, atanipa mimi Siku ile na wala si
1934 Roma 14 11 | niishivyo, asema Bwana kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri
1935 John 15 26 | kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi.~
1936 John 16 14 | 14 Yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawaambieni
1937 Matt 24 13 | atakayevumilia mpaka mwisho, ataokoka.~
1938 John 4 13 | Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena.~
1939 2The 2 6 | hicho. Basi, huyo Mwovu ataonekana wakati wake ufaao.~
1940 Luke 8 18 | mnavyosikia; maana aliye na kitu ataongezewa, lakini yule asiye na kitu,
1941 Acts 6 14 | eti huyo Yesu wa Nazareti atapaharibu kabisa mahali hapa na kufutilia
1942 Mark 9 12 | Matakatifu kwamba Mwana wa Mtu atapatwa na mateso mengi na kudharauliwa?~
1943 Matt 5 22 | Anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. Anayemwita ndugu
1944 Matt 11 27 | yeyote yule ambaye Mwana atapenda kumjulisha.~
1945 John 14 21 | anipendaye. Naye anipendaye mimi atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda
1946 1Cor 14 25 | wake zitafichuliwa, naye atapiga magoti na kumwabudu Mungu
1947 Rev 11 7 | mnyama atokaye shimoni kuzimu atapigana nao, atawashinda na kuwaua.~
1948 John 12 31 | mtawala wa ulimwengu huu atapinduliwa.~
1949 2The 2 4 | 4 Yeye atapinga kila kitu wanachokiona watu
1950 James 5 15| Wakiomba kwa imani mgonjwa ataponyeshwa; Bwana atampatia nafuu,
1951 1Cor 8 11 | alikufa kwa ajili yake, atapotea kwa sababu ya ujuzi wako.~
1952 1Cor 3 15 | alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe
1953 Hebr 4 10 | pumziko aliloahidi Mungu atapumzika baada ya kazi yake kama
1954 Luke 1 78 | mpole na mwenye huruma. Atasababisha pambazuko angavu la ukombozi
1955 John 14 23 | akamjibu, "Mtu akinipenda atashika neno langu, na Baba yangu
1956 Luke 11 31 | hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. Yeye
1957 Roma 14 4 | shauri la Bwana wake; naam, atasimama imara, maana Bwana anaweza
1958 Matt 5 22 | Anayemwita ndugu yake: `Pumbavu` atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.~
1959 Rev 7 15 | aketiye juu ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu yao kuwalinda.~
1960 Matt 12 18 | Roho yangu juu yake, naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifa
1961 Rev 11 15 | wetu na Kristo wake. Naye atatawala milele na milele!"~
1962 Acts 3 23 | hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na
1963 Rev 14 10 | kuchanganywa na maji. Mtu huyo atateseka ndani ya moto na kiberiti
1964 Acts 13 22 | na moyo wangu; mtu ambaye atatimiza yale yote ninayotaka kuyatenda.`~
1965 James 1 10| anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.~
1966 Luke 1 73 | Abrahamu baba yetu, ni kwamba atatujalia sisi~
1967 John 4 25 | Kristo, anakuja. Atakapokuja atatujulisha kila kitu."~
1968 2Tim 2 12 | naye. Tukimkana, naye pia atatukana.~
1969 Luke 6 38 | wengine ndicho ambacho Mungu atatumia kwenu."~
1970 2Cor 5 1 | itakapong`olewa, Mungu atatupa makao mengine mbinguni,
1971 1Joh 1 9 | mwaminifu na mwadilifu, naye atatusamehe dhambi zetu na kututakasa
1972 John 13 32 | Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake
1973 Acts 17 31 | amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia
1974 Roma 11 26 | Mkombozi atakuja kutoka Sioni, atauondoa uovu wa Yakobo.~
1975 Luke 1 33 | 33 Kwa hivyo atautawala ukoo wa Yakobo milele, na
1976 1Cor 6 13 | chakula." Sawa; lakini Mungu ataviharibu vyote viwili. Mwili wa mtu
1977 Luke 20 18 | akianguka juu ya jiwe hilo, atavunjika vipandevipande; na likimwangukia
1978 Matt 21 3 | Bwana anawahitaji,` naye atawaachieni mara."~
1979 1The 4 6 | na kuwaonya kwamba Bwana atawaadhibu wanaofanya mambo hayo.~
1980 Matt 21 41 | 41 Wao wakamjibu, "Atawaangamiza vibaya hao waovu, na lile
1981 Rev 22 5 | wa jua, maana Bwana Mungu atawaangazia, nao watatawala milele na
1982 Mark 1 8 | ninawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu."~
1983 Luke 1 16 | 16 Atawaelekeza wengi wa watu wa Israeli
1984 1Pet 2 19 | anataka hivyo, basi Mungu atawafadhili.~
1985 Matt 21 40 | la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?"~
1986 Matt 18 19 | Baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo.~
1987 Matt 18 35 | baba yangu aliye mbinguni atawafanyieni vivyo hivyo kama kila mmoja
1988 Gala 1 8 | malaika kutoka mbinguni, atawahubirieni Habari Njema tofauti na
1989 Luke 1 72 | 72 Alisema atawahurumia wazee wetu, na kukumbuka
1990 1Cor 1 8 | 8 Yeye atawaimarisha ninyi mpaka mwisho mpate
1991 2The 3 3 | Bwana ni mwaminifu. Yeye atawaimarisheni na kuwalinda salama na yule
1992 James 4 10| Nyenyekeeni mbele ya Bwana, naye atawainueni.~
1993 1Pet 5 10 | na Kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu
1994 Luke 12 37 | atajifunga mkanda kiunoni, atawaketisha mezani na kuwahudumia.~
1995 James 4 7 | Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni.~
1996 Ephe 1 14 | latuhakikishia kwamba Mungu atawakomboa kabisa wote walio wake.
1997 Ephe 4 30 | siku itakuja ambapo Mungu atawakomboeni.~
1998 1Cor 4 17 | mwaminifu katika Bwana. Atawakumbusheni njia ninayofuata katika
1999 Roma 9 5 | ametoka katika ukoo wao. Mungu atawalaye juu ya yote, na atukuzwe
2000 1The 4 14 | sisi tunaamini kwamba Mungu atawaleta pamoja na Yesu wale wote
2001 2The 1 6 | atafanya jambo la haki: atawalipa mateso wale wanaowatesa
2002 Matt 1 21 | jina Yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika
2003 Mark 14 15 | 15 Naye atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani
2004 Luke 22 12 | 12 Naye atawaonyesheni chumba kikubwa ghorofani
2005 Luke 1 17 | nguvu na roho kama Eliya. Atawapatanisha kina baba na watoto wao;
2006 Acts 3 22 | alisema, `Bwana Mungu wenu atawapelekeeni nabii kama mimi kutoka kati
2007 Matt 6 14 | yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.~
2008 Luke 15 8 | akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, aifagie nyumba na kuitafuta
2009 Matt 6 7 | Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno
2010 2Cor 9 11 | 11 Yeye atawatajirisha ninyi daima kwa kila kitu,
2011 Roma 15 12 | katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia."~
2012 Matt 25 32 | yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha
2013 Luke 18 8 | 8 Nawaambieni atawatetea upesi. Hata hivyo, je, kutakuwako
2014 Acts 7 37 | watu wa Israeli: `Mungu atawateulieni nabii kama mimi kutoka katika
2015 John 16 8 | 8 Naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea
2016 Matt 25 33 | 33 Atawaweka kondoo upande wake wa kulia
2017 Luke 20 35 | lakini wale ambao Mungu atawawezesha kushiriki ule wakati wa
2018 Luke 2 23 | mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana."~
2019 1Cor 4 5 | Bwana atakapokuja. Yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika,
2020 Hebr 3 5 | juu ya mambo ambayo Mungu atayasema hapo baadaye.~
2021 Rev 12 5 | akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya
2022 John 12 25 | yake katika ulimwengu huu, atayaweka kwa ajili ya uzima wa milele.~
2023 John 15 5 | yangu, nami ndani yake, huyo atazaa matunda mengi, maana bila
2024 2Cor 9 10 | pia mbegu mnazohitaji, na atazifanya ziote, ziwe na kuwapa mavuno
2025 John 12 35 | ili giza lisiwapate; maana atembeaye gizani hajui aendako.~
2026 1Cor 16 2 | Jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya
2027 Mark 6 17 | alikuwa ameamuru Yohane atiwe nguvuni, akamfunga gerezani.
2028 Mark 9 18 | humwangusha chini na kumfanya atokwe na povu kinywani, akisaga
2029 Luke 24 7 | Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha,
2030 Acts 8 39 | wa Bwana akamfanya Filipo atoweke. Na huyo Mwethiopia hakumwona
2031 2Cor 2 11 | ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake
2032 Titus 2 14| mwenyewe kwa ajili yetu ili atukomboe kutoka katika uovu wote
2033 1Cor 14 26 | kutoka kwa Mungu, mwingine atumie kipaji cha kusema kwa lugha
2034 Roma 12 7 | Mwenye kipaji cha utumishi na atumikie. mwenye kipaji cha kufundisha
2035 2The 3 2 | 2 Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu,
2036 1Cor 4 1 | 1 Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa
2037 1Joh 5 15 | tunapomwomba, twajua pia kwamba atupatia yote tunayomwomba.~
2038 1The 3 10 | mchana kwa moyo wetu wote ili atupatie fursa ya kuwaoneni uso kwa
2039 Luke 19 14 | wakaseme: `Hatumtaki huyu atutawale.`~
2040 1The 3 11 | mwenyewe, na Bwana wetu Yesu atutayarishie njia ya kuja kwenu.~
2041 1Cor 2 12 | Roho atokaye kwa Mungu ili atuwezeshe kujua yale tuliyojaliwa
2042 Luke 16 24 | kidole chake katika maji, auburudishe ulimi wangu, maana ninateseka
2043 Ephe 5 29 | 29 Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia,
2044 John 3 17 | hakumtuma Mwanae ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali aukomboe
2045 John 3 17 | auhukumu ulimwengu, bali aukomboe ulimwengu.~
2046 Ephe 2 15 | kutokana na jamii hizo mbili aumbe jamii moja mpya katika umoja
2047 John 6 33 | ashukaye kutoka mbinguni na aupaye ulimwengu uzima."~
2048 Rev 20 9 | wa Mungu na mji wa Mungu aupendao. Lakini moto ulishuka kutoka
2049 Gala 6 4 | 4 Lakini kila mmoja na aupime vizuri mwenendo wake mwenyewe.
2050 Matt 13 23 | udongo mzuri ni mfano wa mtu ausikiaye ujumbe huo na kuuelewa,
2051 Rev 8 3 | Naye akapewa ubani mwingi autoe sadaka pamoja na sala za
2052 Luke 22 36 | yeyote asiye na upanga, auze koti lake anunue mmoja.~
2053 Hebr 1 2 | aliumba ulimwengu na akamteua avimiliki vitu vyote.~
2054 1Cor 12 4 | namna nyingi, lakini Roho avitoaye ni mmoja.~
2055 Luke 14 17 | ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, `Njoni, kila
2056 John 11 57 | akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.~ ~ ~~ ~
2057 Acts 3 26 | mtumishi wake, alimtuma awabariki kwa kumfanya kila mmoja
2058 Roma 8 19 | vinatazamia kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake.~
2059 Hebr 1 7 | malaika, Mungu alisema: "Mungu awafanya malaika wake kuwa pepo,
2060 1The 5 23 | Mungu anayetupatia amani awafanye ninyi watakatifu kwa kila
2061 Mark 15 11 | wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.~
2062 Matt 18 13 | humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao
2063 Mark 10 13 | walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.~
2064 1The 3 2 | ya Kristo. Tulimtuma ili awaimarisheni na kuwafarijini,~
2065 1Pet 5 6 | mkono wa enzi wa Mungu, ili awainue wakati ufaao.~
2066 Hebr 2 14 | kwa vile watoto hao, kama awaitavyo, ni watu wenye mwili na
2067 Acts 9 2 | wanaofuata Njia ya Bwana, awakamate na kuwaleta Yerusalemu.~
2068 Hebr 13 21 | 21 Mungu wa amani awakamilishe katika kila tendo jema ili
2069 Hebr 2 15 | 15 na hivyo awaokoe wale waliokuwa watumwa maisha
2070 Luke 3 3 | watubu na kubatizwa ili Mungu awaondolee dhambi.~
2071 Acts 27 3 | Paulo vizuri kwa kumruhusu awaone rafiki zake na kupata mahitaji
2072 Luke 16 28 | ninao ndugu watano, ili awaonye wasije wakaja huku kwenye
2073 1Pet 3 18 | kwa ajili ya waovu, ili awapeleke ninyi kwa Mungu. Aliuawa
2074 2Cor 8 6 | Tito aliyeianza kazi hiyo awasaidieni pia muitekeleze huduma hii
2075 2Cor 8 9 | kutokana na umaskini wake, awatajirishe.~
2076 Rev 22 16 | nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa.
2077 Mark 3 14 | mitume,*fb* wakae naye, awatume kuhubiri~
2078 Matt 9 17 | 17 Wala hakuna mtu awekaye divai mpya katika viriba
2079 1Cor 14 27 | zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.~
2080 Acts 23 35 | kufika." Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya
2081 Matt 23 13 | is Baadhi ya makala zina aya ya 14: ~\ie Ole wenu walimu
2082 1Cor 1 28 | hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira
2083 John 12 7 | Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi
2084 Matt 5 32 | sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mtu akimwoa mwanamke
2085 John 14 21 | 21 Azipokeaye amri zangu na kuzishika,
2086 Acts 8 40 | 40 Filipo akajikuta yuko Azoto, akapita katika miji yote
2087 Ephe 2 21 | hekalu takatifu kwa ajili ya B wana.~
2088 Jude 1 11 | wamejiingiza katika mkosi uleule wa Baalamu. Wameasi kama Kora alivyoasi
2089 Roma 11 4 | saba ambao hawakumwabudu Baali."~
2090 Acts 26 2 | Agripa, ninajiona mwenye bahati leo kujitetea mbele yako
2091 Roma 5 16 | 16 Kuna tofauti baina ya zawadi ya Mungu, na dhambi
2092 Roma 3 9 | kidogo! Kwa maana nimekwisha bainisha hapo mwanzoni kwamba Wayahudi
2093 Rev 2 14 | wa Balaamu aliyemfundisha Balaki kuwatega wana wa Israeli
2094 Acts 19 1 | Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso ambako aliwakuta
2095 Hebr 11 32 | kueleza juu ya Gedeoni, Baraki, Samsoni, Yeftha, Daudi,
2096 Matt 23 35 | kuuawa kwa Zakariya, mwana wa Barakia, ambaye mlimuua ~Hekaluni
2097 Acts 14 21 | 21 Baada ya Paulo na Barnabas kuhubiri Habari Njema huko
2098 Mark 10 46 | kipofu mwombaji aitwaye Bartimayo mwana wa Timayo alikuwa
2099 Acts 13 6 | mchawi mmoja Myahudi aitwaye Baryesu ambaye alijisingizia kuwa
2100 Mark 3 18 | 18 Andrea na Filipo, Batholomayo, Mathayo, Thoma, Yakobo
2101 Roma 1 21 | yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao tupu zimejaa
2102 2Pet 2 15 | aliyofuata Balaamu, mwana wa Beori, ambaye alipendelea kupata
2103 John 5 2 | maji liitwalo kwa Kiebrania Bethzatha, ambalo lilikuwa na baraza
2104 Rev 18 11 | hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;~
2105 Colo 4 10 | anawasalimuni; hali kadhalika Marko, binamu yake Barnaba, (mmekwisha
2106 1Cor 1 20 | mwalimu wa Sheria? Naye bingwa wa mabishano wa nyakati
2107 Luke 12 53 | baba yake; mama dhidi ya bintiye, binti dhidi ya mama yake;
2108 Matt 23 23 | majani yenye harufu nzuri, bizari na jira, na huku ~mnaacha
2109 Mark 3 17 | aliwapa hawa ndugu wawili jina Boanerge, maana yake "wanangurumo"),~
2110 Gala 2 18 | tena kile nilichokwisha bomoa, basi nahakikisha kwamba
2111 Luke 3 5 | 5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na
2112 1Cor 9 26 | ninavyopigana, na si kama bondia anayetupa ngumi zake hewani.~
2113 Rev 8 10 | nyota kubwa ikiwaka kama bonge la moto, ikaanguka kutoka
2114 Phil 1 20 | ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika
2115 John 3 29 | 29 Bibiarusi ni wake bwanaarusi, lakini rafiki yake bwana
2116 Acts 17 18 | Anataka kusema nini huyu bwanamaneno?" Kwa kuwa Paulo alikuwa
|