Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

(Hapax - words occurring once)


110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu

     Book, Chapter, Verse
2617 1Tim 1 4 | ambazo huleta tu ubishi, wala haviwajengi watu katika mpango ujulikanao 2618 2Cor 4 4 | 4 Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa 2619 Acts 27 31 | wake, "Kama wanamaji hawa hawabaki ndani ya meli, hamtaokoka."~ 2620 Titus 1 16| kuchukiza mno na wakaidi, hawafai kwa jambo lolote jema.~ ~~ ~ 2621 2The 3 11 | ambao ni wavivu na ambao hawafanyi chochote, isipokuwa tu kujiingiza 2622 Mark 9 48 | 48 Humo wadudu wake hawafi, na moto hauzimiki. ic\is 2623 Matt 12 5 | Sheria Hekaluni, lakini hawafikiriwi kuwa na hatia?~ 2624 2The 3 6 | wote walio wavivu na ambao hawafuati maagizo tuliyowapa.~ 2625 1Cor 7 30 | wenye kufurahi wawe kama hawafurahi; wanaonunua wawe kama hawana 2626 Luke 12 33 | hawakaribii, wala nondo hawaharibu.~ 2627 Matt 17 26 | akamwambia, "Haya basi, wananchi hawahusiki.~ 2628 Matt 6 20 | hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba.~ 2629 Matt 10 13 | pamoja nao. Lakini ikiwa hawaipokei, basi amani yenu itawarudia 2630 Gala 6 13 | hao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki Sheria; huwataka ninyi mtahiriwe 2631 Rev 17 12 | ulizoziona ni wafalme ambao bado hawajaanza kutawala. Lakini watapewa 2632 John 20 9 | 9 Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema 2633 Matt 1 18 | na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, 2634 1Cor 7 8 | 8 Basi, wale ambao hawajaoana na wale walio wajane nawaambia 2635 John 20 29 | umeniona? Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini."~ 2636 Roma 9 11 | ndugu hawajazaliwa na kabla hawajaweza kupambanua jema na baya,~ 2637 Roma 9 11 | kuchagua, hata kabla wale ndugu hawajazaliwa na kabla hawajaweza kupambanua 2638 Luke 12 33 | ambako haitapungua. Huko wezi hawakaribii, wala nondo hawaharibu.~ 2639 2Joh 1 7 | wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba Yesu Kristo amekuja 2640 Roma 15 21 | Matakatifu: "Watu wote ambao hawakuambiwa habari zote wataona; nao 2641 Matt 25 3 | walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.~ 2642 Luke 20 26 | 26 Hawakufaulu kumnasa kwa neno lolote 2643 Rev 9 20 | hawakuuawa na mabaa hayo, hawakugeuka na kuviacha vitu walivyokuwa 2644 Rev 13 15 | na kuwaua watu wote ambao hawakuiabudu.~ 2645 1Cor 2 8 | ambayo watawala wa dunia hii hawakuielewa; maana wangalielewa, hawangalimsulubisha 2646 Roma 10 3 | mtindo wao wenyewe, na hivyo hawakuikubali njia hiyo ya Mungu ya kuwafanya 2647 Acts 19 37 | watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana 2648 Hebr 11 23 | kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.~ 2649 Roma 9 31 | kukubaliwa kuwa waadilifu, hawakuipata.~ 2650 Roma 10 16 | 16 Lakini wote hawakuipokea hiyo Habari Njema. Maana 2651 Matt 22 5 | 5 Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani 2652 Matt 13 11 | wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa.~ 2653 Ephe 3 5 | 5 Zamani watu hawakujulishwa siri hiyo; lakini sasa Mungu 2654 2Cor 12 21 | waliotenda dhambi lakini hawakujutia huo uchafu, tamaa zao mbaya 2655 Roma 11 7 | Sasa, je? Watu wa Israeli hawakukipata kile walichokuwa wanakitafuta; 2656 Acts 2 15 | 15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona 2657 John 12 42 | kwa sababu ya Mafarisayo, hawakumkiri hadharani kwa kuogopa kwamba 2658 Acts 13 28 | 28 Ingawa hawakumpata na hatia inayostahili auawe, 2659 1Cor 10 5 | 5 Hata hivyo, wengi wao hawakumpendeza Mungu, na maiti zao zilisambazwa 2660 John 1 11 | mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.~ 2661 Acts 7 52 | yeyote ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua hao Mungu aliowatuma 2662 John 19 33 | alikwisha kufa, na hivyo hawakumvunja miguu.~ 2663 Roma 10 20 | hata kusema: "Wale ambao hawakunitafuta wamenipata; nimejionyesha 2664 1Cor 7 29 | waliooa na waishi kama vile hawakuoa;~ 2665 Hebr 12 25 | aliyewaonya hapa duniani hawakuokoka, sisi tutawezaje kuokoka 2666 Luke 24 3 | 3 Walipoingia ndani, hawakuona mwili wa Bwana Yesu.~ 2667 Acts 4 12 | maana duniani pote, binadamu hawakupewa jina la mtu mwingine ambaye 2668 Hebr 11 39 | ya imani yao. Hata hivyo, hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidia,~ 2669 Matt 18 13 | wale tisini na tisa ambao hawakupotea.~ 2670 Jude 1 6 | 6 Na, malaika ambao hawakuridhika na cheo chao, wakayaacha 2671 John 9 18 | 18 Viongozi wa Wayahudi hawakusadiki kwamba mtu huyo alikuwa 2672 Mark 3 4 | maisha au kuua?" Lakini wao hawakusema neno.~ 2673 Acts 22 9 | waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea 2674 1Tim 1 19 | dhamiri njema. Watu wengine hawakusikiliza dhamiri zao na hivyo wakaiharibu 2675 Matt 22 8 | kweli, lakini walioalikwa hawakustahili. ~ 2676 Roma 9 30 | hivi: watu wa mataifa ambao hawakutafuta kukubaliwa kuwa waadilifu, 2677 Luke 18 34 | maana ya maneno hayo, na hawakutambua yaliyosemwa.~ 2678 Roma 5 14 | kiliwatawala hata wale ambao hawakutenda dhambi kama ile ya Adamu, 2679 Luke 20 40 | Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine.~ 2680 Acts 25 18 | Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa 2681 Rev 9 21 | 21 Wala hawakutubu na kuacha kufanya mauaji, 2682 Roma 10 15 | Na watu watahubirije kama hawakutumwa? Kama yasemavyo Maandiko 2683 Rev 9 20 | wengine waliobaki ambao hawakuuawa na mabaa hayo, hawakugeuka 2684 Roma 10 18 | 18 Lakini nauliza: je, hawakuusikia huo ujumbe? Naam, waliusikia; 2685 Mark 16 14 | kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa wamemwona 2686 Acts 5 26 | Hekaluni, akawaleta. Lakini hawakuwakamata kwa kutumia nguvu, maana 2687 Acts 5 22 | watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, 2688 Acts 17 6 | 6 Lakini hawakuwapata na hivyo walimburuta Yasoni 2689 John 6 24 | kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, 2690 John 10 8 | wanyang`anyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.~ 2691 Rev 16 11 | yao na madonda yao. Lakini hawakuyaacha matendo yao mabaya.~ 2692 Rev 3 4 | wachache huko Sarde ambao hawakuyachafua mavazi yao. Hao wanastahili 2693 Rev 12 11 | ukweli walioutangaza; maana hawakuyathamini maisha yao kuwa kitu sana, 2694 Rev 16 9 | mabaa hayo makubwa. Lakini hawakuziacha dhambi zao na kumtukuza 2695 1Cor 7 30 | 30 wenye kulia wawe kama hawalii, na wenye kufurahi wawe 2696 1Cor 6 4 | mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa?~ 2697 John 10 16 | ninao kondoo wengine ambao hawamo zizini humu. Inanibidi kuwaleta 2698 Roma 1 21 | wanajua kuna Mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, wala 2699 Roma 1 21 | heshima anayostahili, wala hawamshukuru. Badala yake, fikira zao 2700 Roma 16 18 | maana watu wa namna hiyo hawamtumikii Kristo Bwana wetu, bali 2701 Roma 10 14 | watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? Tena, watamwaminije kama 2702 Matt 15 2 | tuliyopokea kutoka kwa wazee wetu? Hawanawi mikono yao kama ipasavyo 2703 1Cor 2 8 | hawakuielewa; maana wangalielewa, hawangalimsulubisha Bwana wa utukufu.~ 2704 Hebr 10 2 | wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na 2705 Acts 20 38 | lilikuwa neno alilosema kwamba hawangemwona tena. Basi, wakamsindikiza 2706 1Tim 5 13 | huku wakisema mambo ambayo hawangepaswa kusema.~ 2707 Roma 1 28 | potovu, wakafanya yale ambayo hawangestahili kufanya.~ 2708 John 16 9 | kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini;~ 2709 John 16 3 | sababu hawamjui Baba, wala hawanijui mimi.~ 2710 Matt 13 13 | sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, 2711 Titus 1 11| kufundisha mambo ambayo hawapaswi kufundisha; wanafanya hivyo 2712 Luke 19 27 | kuhusu hao maadui wangu ambao hawapendi niwe mfalme wao, waleteni 2713 Roma 13 3 | 3 Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila 2714 John 20 23 | wamesamehewa; msipowaondolea, hawasamehewi."~ 2715 Matt 13 13 | hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.~ 2716 John 9 31 | 31 Tunajua kwamba Mungu hawasikilizi watu wenye dhambi, ila humsikiliza 2717 Rev 22 5 | Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, 2718 Luke 16 31 | hawawasikilizi Mose na manabii, hawatajali hata kama mtu angefufuka 2719 Hebr 7 3 | 3 Baba yake na mama yake hawatajwi, wala ukoo wake hautajwi; 2720 Matt 23 4 | mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate 2721 Rev 9 6 | watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini 2722 Luke 19 44 | wako ndani ya kuta zako; hawatakuachia hata jiwe moja juu jingine, 2723 1Cor 14 21 | na watu hawa, hata hivyo, hawatanisikiliza."`~ 2724 Rev 7 16 | 16 Hawataona tena njaa wala kiu; jua 2725 John 10 28 | nawapa uzima wa milele; nao hawatapotea milele, wala hakuna mtu 2726 Rev 11 9 | wa siku tatu na nusu, na hawataruhusu zizikwe.~ 2727 Matt 12 31 | kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya kumkufuru Roho 2728 1Cor 14 23 | kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba ninyi mna wazimu?~ 2729 1Cor 6 10 | wanyang`anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu.~ 2730 2Tim 4 3 | Utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mafundisho ya kweli, ila 2731 Rev 3 12 | Hekalu la Mungu wangu, na hawatatoka humo kamwe. Pia nitaandika 2732 Acts 22 18 | maana watu wa hapa binadamu hawataukubali ushuhuda wako juu yangu.`~ 2733 Rev 2 11 | makanisa! "Wale wanaoshinda hawataumizwa na kifo cha pili.~ 2734 1Cor 6 9 | hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! 2735 Matt 10 25 | wa jamaa Beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo 2736 Matt 23 3 | msiyaige matendo yao, maana hawatekelezi yale wanayoyahubiri. ~ 2737 Roma 1 31 | 31 hawana dhamiri, hawatimizi ahadi zao, hawana wema wala 2738 1Tim 5 8 | 8 Lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa 2739 1Pet 2 8 | Watu hujikwaa kwa sababu hawauamini ule ujumbe; na ndivyo walivyopangiwa 2740 2Pet 2 10 | majivuno, huvitukana na hawaviheshimu viumbe vitukufu vya juu.~ 2741 2Pet 2 11 | kuliko hao walimu wa uongo, hawawashtaki na kuwatukana hao mbele 2742 Luke 16 31 | Abrahamu akasema: `Kama hawawasikilizi Mose na manabii, hawatajali 2743 Roma 1 30 | katika kutenda mabaya, na hawawatii wazazi wao;~ 2744 Mark 7 5 | Yesu, "Mbona wanafunzi wako hawayajali mapokeo tuliyopokea kwa 2745 1Cor 13 5 | wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,~ 2746 Gala 5 17 | kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi 2747 Luke 12 27 | yanavyomea. Hayafanyi kazi wala hayafumi. Hata hivyo, nawahakikishieni 2748 John 16 21 | lakini akisha jifungua hayakumbuki tena maumivu hayo kwa sababu 2749 Hebr 13 9 | ya chakula; masharti hayo hayakumsaidia kamwe mtu yeyote aliyeyafuata.~ 2750 Rev 17 8 | watu wote ambao majina yao hayakupata kuandikwa katika kitabu 2751 John 12 5 | 5 "Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari mia tatu, 2752 1Cor 1 28 | yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie 2753 James 3 10| Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo.~ 2754 Gala 3 16 | na mzawa wake. Maandiko hayasemi: "Na wazawa wake," yaani 2755 John 12 47 | Anayeyasikia maneno yangu lakini hayashiki mimi sitamhukumu; maana 2756 Matt 6 28 | yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayasokoti.~ 2757 Hebr 1 12 | yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma."~ 2758 Matt 25 9 | wenye busara wakawaambia, `Hayatatutosha sisi na ninyi! Afadhali 2759 John 13 18 | 18 "Haya nisemayo hayawahusu ninyi nyote. Mimi nawajua 2760 1Tim 5 25 | hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika.~ ~~ ~ 2761 Matt 28 6 | 6 Hayupo hapa maana amefufuka kama 2762 Matt 13 22 | huusonga ujumbe huo, naye hazai matunda.~ 2763 Roma 11 33 | ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! 2764 Roma 11 33 | hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! Kama yasemavyo Maandiko 2765 John 20 30 | ishara nyingine nyingi ambazo hazikuandikwa katika kitabu hiki.~ 2766 2Cor 3 18 | sisi sote ambao nyuso zetu hazikufunikwa, twaonyesha kama katika 2767 Hebr 10 6 | kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.~ 2768 Mark 4 7 | ikakua na kuzisonga, nazo hazikuzaa nafaka.~ 2769 Matt 24 22 | 22 Kama siku hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote 2770 Acts 23 8 | hakuna malaika, na roho nazo hazipo. Lakini Mafarisayo husadiki 2771 1Pet 3 7 | Mungu. Hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.~ 2772 1Joh 2 4 | akisema kwamba anamjua, lakini hazitii amri zake, basi mtu huyo 2773 1Tim 1 9 | kukumbuka kwamba sheria haziwekwi kwa ajili ya watu wema, 2774 Hebr | Hebrews~ 2775 Acts 1 19 | wakaliita lile shamba `Hekeli Dama`, maana yake, `Shamba 2776 Roma 16 14 | Flegoni, Herme Patroba, Herma na ndugu wote walio pamoja 2777 2Tim 1 15 | miongoni mwao wakiwa Fugelo na Hermogene. ~ 2778 Roma 16 11 | 11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na 2779 Luke 3 25 | mwana wa Nahumu, mwana wa Hesli, mwana wa Nagai,~ 2780 Colo 4 13 | ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.~ 2781 Rev 11 14 | Maafa ya tatu yanafuata hima.~ 2782 2Tim 4 2 | usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha kwa uvumilivu 2783 Luke 6 40 | lakini kila mwanafunzi akisha hitimu huwa kama mwalimu wake.~ 2784 Acts 18 2 | wamerudi kutoka Italia siku hizohizo kwa sababu Kaisari Klaudio 2785 2Cor 6 10 | daima; ingawa tu maskini hohehahe, lakini twatajirisha watu 2786 Matt 9 36 | huruma kwa sababu walikuwa hoi na wenye wasiwasi kama kondoo 2787 Roma 9 25 | asemavyo katika kitabu cha Hosea: "Wale waliokuwa `Si watu 2788 Luke 2 24 | walikwenda ili watoe sadaka: hua wawili au makinda wawili 2789 Luke 8 10 | hao wengine sivyo; ila hao huambiwa kwa mifano, ili wakitazama 2790 Luke 11 17 | jamaa yeyote inayofarakana huangamia.~ 2791 John 1 5 | 5 Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza 2792 Acts 24 5 | huyu ni wa hatari mno. Yeye huanzisha ghasia kati ya Wayahudi 2793 Hebr 6 16 | 16 Watu wanapoapa, huapa kwa mmoja aliye mkuu zaidi 2794 2Tim 4 2 | 2 hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza ( 2795 Matt 10 7 | 7 Mnapokwenda hubirini hivi: `Ufalme wa mbinguni 2796 Colo 1 23 | Habari Njema ambayo imekwisha hubiriwa kila kiumbe duniani.~ 2797 Hebr 5 1 | 1 Kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu 2798 Hebr 4 12 | mwili na mafuta. Neno hilo huchambua nia na fikira za mioyo ya 2799 Mark 4 28 | na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, 2800 James 1 11| 11 Jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha 2801 Hebr 13 17 | na kushika amri zao; wao huchunga roho zenu usiku na mchana, 2802 1Cor 2 10 | ya Roho wake. Maana Roho huchunguza kila kitu hata mambo ya 2803 Matt 6 7 | watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza 2804 Ephe 5 13 | katika mwanga, ukweli wake hudhihirishwa;~ 2805 John 13 7 | 7 Yesu akamjibu, "Huelewi sasa ninachofanya lakini 2806 James 3 6 | yake katika miili yetu na hueneza ubaya katika nafsi zetu 2807 1Cor 13 4 | Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, 2808 1Cor 12 30 | kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha?~ 2809 Matt 18 12 | kondoo mia, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na 2810 Ephe 1 11 | 11 Kila kitu hufanywa kufuatana na mpango na uamuzi 2811 Jude 1 16 | kuwalaumu watu wengine. Hufuata tamaa zao mbaya, hujigamba 2812 1Joh 4 18 | uoga; naam, upendo kamili hufukuza uoga wote. Basi, mtu mwenye 2813 Rev 3 7 | ufunguo wa Daudi, na ambaye hufungua na hakuna mtu awezaye kufungua.~ 2814 1Cor 13 6 | 6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.~ 2815 2Pet 2 22 | Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!" Ndivyo 2816 1Cor 12 23 | havionekani kuwa vizuri sana, huhifadhiwa zaidi,~ 2817 Hebr 9 23 | Lakini vitu vya mbinguni huhitaji dhabihu iliyo bora zaidi.~ 2818 Rev 19 11 | Mwaminifu" na "Kweli". Huyo huhukumu na kupigana kwa ajili ya 2819 1Joh 4 18 | katika upendo, kwani uoga huhusikana na adhabu.~ 2820 Hebr 6 7 | 7 Mungu huibariki ardhi ambayo huipokea mvua 2821 Roma 4 5 | huwasamehe waovu, basi, Mungu huijali imani ya mtu huyo, na hivi 2822 Luke 11 25 | 25 Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na 2823 James 4 11| yake na kumhukumu, huyo huilaumu na kuihukumu Sheria. Kama 2824 Rev 4 8 | na mchana, bila kupumzika huimba: "Mtakatifu, mtakatifu, 2825 1Cor 15 38 | 38 Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka 2826 Hebr 6 7 | Mungu huibariki ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea mara 2827 1Tim 5 6 | 6 Lakini mwanamke ambaye huishi maisha ya anasa, huyo amekufa, 2828 John 10 27 | 27 Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, 2829 Roma 13 4 | ni mtumishi wa Mungu na huitekeleza ghadhabu ya Mungu kwao watendao 2830 James 4 11| ukiihukumu Sheria, basi, wewe huitii Sheria, bali waihukumu.~ 2831 Luke 14 35 | udongo wala kwa mbolea. Watu huitupilia mbali. Sikieni basi, kama 2832 Matt 12 5 | siku ya Sabato makuhani huivunja Sheria Hekaluni, lakini 2833 Mark 4 28 | 28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: 2834 John 14 9 | nanyi muda wote huu, nawe hujanijua? Aliyekwisha niona mimi 2835 Luke 15 29 | mara moja. Umenipa nini? Hujanipa hata mwana mbuzi mmoja nikafanye 2836 3Joh 1 10 | wanaotaka kuwakaribisha, na hujaribu kuwafukuzia nje ya kanisa.~ 2837 John 8 57 | Wayahudi wakamwambia, "Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe 2838 Hebr 3 4 | 4 Kila nyumba hujengwa na mjenzi fulani - na Mungu 2839 James 1 24| 24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, 2840 Rev 4 10 | wazee ishirini na wanne hujiangusha mbele ya huyo aliyeketi 2841 Titus 1 16| 16 Watu kama hao hujidai kwamba wanamjua Mungu, lakini 2842 2Tim 2 4 | 4 Mwanajeshi vitani hujiepusha na shughuli za maisha ya 2843 Roma 2 21 | unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria 2844 Jude 1 16 | Hufuata tamaa zao mbaya, hujigamba na kuwasifu watu wengine 2845 Ephe 2 11 | wasiotahiriwa" na Wayahudi ambao hujiita, "Waliotahiriwa," (kwa sababu 2846 1Pet 2 8 | kuwaangusha watu." Watu hujikwaa kwa sababu hawauamini ule 2847 Ephe 4 24 | mfano wa Mungu na ambayo hujionyesha katika maisha ya kweli ya 2848 1Cor 9 25 | 25 Wanariadha hujipa mazoezi na nidhamu kali; 2849 1Tim 3 13 | wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza 2850 Jude 1 12 | yenu ya karamu ya Bwana. Hujipendelea wao wenyewe tu, na wako 2851 Rev 3 9 | lake Shetani, watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe 2852 James 3 5 | kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu sana. ic Moto mdogo 2853 2Cor 11 14 | maana hata Shetani mwenyewe hujisingizia kuwa malaika wa mwanga!~ 2854 2Cor 11 18 | 18 Maadam wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami 2855 1Joh 3 3 | tumaini hili katika Kristo, hujiweka safi kama vile Kristo alivyo 2856 Matt 12 33 | yake yatakuwa mabaya. Mti hujulikana kwa matunda yake.~ 2857 2Pet 2 12 | ambao huzaliwa na baadaye hukamatwa na kuchinjwa! Wataangamizwa 2858 2Cor 12 9 | yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu." Basi, 2859 3Joh 1 10 | juu yetu. Isitoshe, yeye hukataa kuwakaribisha hao ndugu 2860 James 1 11| huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, 2861 Luke 20 46 | watu kwa heshima masokoni, huketi mahali pa heshima katika 2862 1Cor 11 21 | Maana mnapokula kila mmoja hukikalia chakula chake mwenyewe, 2863 1Cor 9 24 | ingawa wapiga mbio wote hukimbia, ni mmoja tu anayejinyakulia 2864 Hebr 9 10 | njenje tu; na nguvu yake hukoma wakati Mungu atakaporekebisha 2865 Acts 13 10 | kile kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu 2866 Rev 2 13 | unashikilia jina langu; hukuikana imani yako kwangu hata siku 2867 Luke 19 23 | 23 Kwa nini basi, hukuiweka fedha yangu benki, nami 2868 1Cor 4 7 | nini kujivunia kana kwamba hukukipewa?~ 2869 Rev 3 8 | umelitii neno langu wala hukulikana jina langu.~ 2870 Acts 5 4 | kufanya jambo la namna hii? Hukumdanganya mtu; umemdanganya Mungu!"~ 2871 Luke 7 46 | 46 Wewe hukunionyesha ukarimu wako kwa kunipaka 2872 Luke 7 44 | nilipoingia hapa nyumbani kwako hukunipa maji ya kunawa miguu yangu; 2873 Luke 7 45 | 45 Wewe hukunisalimu kwa kunibusu, lakini huyu 2874 Matt 6 16 | huzuni kama wanafiki. Wao hukunja nyuso zao wapate kuonekana 2875 1Cor 7 27 | usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.~ 2876 Matt 20 13 | Rafiki, sikukupunja kitu! Je, hukupatana nami mshahara wa denari 2877 1Cor 4 7 | Una kitu gani wewe ambacho hukupewa? Na ikiwa umepewa, ya nini 2878 Matt 25 24 | na kukusanya pale ambapo hukutawanya.~ 2879 Luke 19 44 | juu jingine, kwa sababu hukuutambua wakati Mungu alipokujia 2880 Rev 2 3 | ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.~ 2881 Mark 14 37 | Petro, "Simoni, je umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?"~ 2882 James 2 11| Usiue". Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini lakini umeua, wewe umeivunja 2883 1The 5 7 | hulala usiku, na walevi hulewa usiku.~ 2884 Gala 4 6 | mioyoni mwenu, Roho ambaye hulia "Aba," yaani "Baba."~ 2885 Ephe 5 23 | kanisa; naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake.~ 2886 John 15 6 | nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa 2887 John 15 2 | 2 Yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa 2888 Roma 4 4 | 4 Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake 2889 John 15 2 | matunda, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi.~ 2890 John 10 3 | 3 Mngoja mlango wa zizi humfungulia, na kondoo husikia sauti 2891 Matt 18 13 | Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo 2892 Hebr 10 11 | 11 Kila kuhani Myahudi humhudumia Mungu kila siku, akitoa 2893 Roma 9 18 | wazi,basi, kwamba Mungu humhurumia yeyote anayetaka kumhurumia, 2894 Mark 12 14 | unayesema ukweli mtupu, wala humjali mtu yeyote. Wala cheo cha 2895 John 3 34 | maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila 2896 Titus 1 16| lakini kwa matendo yao humkana. Ni watu wa kuchukiza mno 2897 1Joh 5 18 | kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda salama, na yule Mwovu hawezi 2898 Matt 23 18 | ya madhabahu, kiapo hicho humshika. ~ 2899 John 9 31 | hawasikilizi watu wenye dhambi, ila humsikiliza yeyote mwenye kumcha na 2900 John 7 22 | kwa mababu). Sasa ninyi humtahiri mtu hata siku ya Sabato.~ 2901 Roma 7 1 | wanaojua Sheria. Sheria humtawala mtu wakati akiwa hai.~ 2902 Hebr 12 6 | 6 Maana Bwana humwadhibu kila anayempenda, humpinga 2903 Mark 9 18 | 18 Kila mara anapomvamia, humwangusha chini na kumfanya atokwe 2904 1Pet 1 17 | 17 Mnapomtaja Mungu ninyi humwita Baba. Basi, jueni kwamba 2905 John 5 21 | 20 Baba ampenda Mwana, na humwonyesha kila kitu anachokifanya 2906 1Cor 14 2 | bali anasema na Mungu. Yeye hunena kwa nguvu ya Roho mambo 2907 John 19 11 | 11 Yesu akamjibu, "Hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu 2908 John 19 11 | mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa na Mungu. Kwa sababu hiyo, 2909 James 5 7 | itoe mavuno mazuri. Yeye hungojea kwa subira mvua za masika 2910 John 10 27 | yangu; mimi nawajua, nao hunifuata.~ 2911 Rev 2 4 | hoja moja juu yako: wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.~ 2912 John 5 38 | 37 Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia 2913 John 18 37 | ukweli. Kila mtu wa ukweli hunisikiliza."~ 2914 John 5 8 | nikijaribu kuingia, mtu mwingine hunitangulia."~ 2915 1Pet 1 24 | kama maua ya porini. Nyasi hunyauka na maua huanguka.~ 2916 Luke 12 54 | Mvua itanyesha`, na kweli hunyesha.~ 2917 Luke 20 34 | akawaambia, "Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;~ 2918 John 16 21 | Wakati mama anapojifungua huona huzuni kwa sababu saa ya 2919 Roma 2 23 | unayo Sheria ya Mungu, je huoni kwamba kwa kuivunja Sheria 2920 Luke 11 39 | akamwambia, "Ninyi Mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, 2921 Mark 4 32 | 32 Lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko 2922 Matt 23 5 | panda la uso na mikononi na hupanua pindo za ~makoti yao. ~ 2923 Matt 9 17 | Akifanya hivyo, viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo 2924 1Tim 1 11 | 11 Mafundisho hayo hupatikana katika Habari Njema ambayo 2925 Hebr 10 8 | Kwanza alisema: "Hutaki, wala hupendezwi na dhabihu na sadaka, sadaka 2926 John 10 1 | kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, 2927 James 4 1 | tamaa zenu mbaya ambazo hupigana daima ndani yenu.~ 2928 Acts 8 26 | kwenda Gaza." (Njia hiyo hupita jangwani.)~ 2929 Roma 16 18 | na hotuba za kubembeleza hupotosha mioyo ya watu wanyofu.~ 2930 John 19 10 | Hivyo Pilato akamwambia, "Husemi nami? Je, hujui kwamba ninayo 2931 2Cor 1 20 | sababu hiyo, "Amina" yetu husemwa kwa njia ya Kristo kwa ajili 2932 Roma 1 29 | udanganyifu na nia mbaya; husengenya,~ 2933 Ephe 4 16 | viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa 2934 Acts 23 8 | kilikuwa hiki: Masadukayo hushikilia kwamba wafu hawafufuki, 2935 Roma 3 21 | Sheria. Sheria na manabii hushuhudia jambo hili.~ 2936 John 10 3 | zizi humfungulia, na kondoo husikia sauti yake, naye huwaita 2937 John 8 47 | 47 Aliye wa Mungu husikiliza maneno ya Mungu. Lakini 2938 Hebr 9 27 | hufa mara moja tu, kisha husimama mbele ya hukumu ya Mungu,~ 2939 Luke 8 14 | muda, wanapokwenda zao, husongwa na wasiwasi, mali na anasa 2940 1Cor 13 7 | huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote.~ 2941 Gala 5 21 | 21 husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine 2942 Hebr 6 16 | kuliko wao, na kiapo hicho husuluhisha ubishi wote.~ 2943 John 7 23 | 23 Ikiwa basi, mtu hutahiriwa hata siku ya Sabato kusudi 2944 Acts 2 27 | 27 kwa kuwa hutaiacha roho yangu katika kuzimu, 2945 Rev 3 3 | ghafla kama mwizi, na wala hutaijua saa nitakapokujia.~ 2946 Hebr 10 8 | 8 Kwanza alisema: "Hutaki, wala hupendezwi na dhabihu 2947 Luke 5 39 | 39 Wala hakuna mtu ambaye hutamani kunywa divai mpya baada 2948 Hebr 9 16 | 16 Kwa kawaida wosia hutambuliwa tu kama kifo cha yule aliyeufanya 2949 Acts 13 35 | nyingine za zaburi asema: `Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.`~ 2950 Matt 23 39 | 39 Nakwambia kweli, hutaniona tena mpaka wakati utakaposema: ~ < 2951 John 13 8 | Petro akamwambia, "Wewe hutaniosha miguu kamwe!" Yesu akamjibu, " 2952 Matt 20 25 | kwamba watawala wa mataifa hutawala watu wao kwa mabavu na wakuu 2953 2Cor 10 7 | 7 Ninyi hutazama mambo kwa nje tu. Je, yupo 2954 Roma 9 16 | 16 Kwa hiyo, yote hutegemea huruma ya Mungu, na si bidii 2955 Ephe 4 16 | hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. 2956 James 3 6 | katika nafsi zetu zote. Huteketeza maisha yetu yote kwa moto 2957 Hebr 13 11 | lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.~ 2958 1Cor 6 18 | nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake 2959 1Cor 6 18 | uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi 2960 James 2 19| hata pepo huamini hilo, na hutetemeka kwa hofu.~ 2961 Hebr 5 4 | kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu 2962 Hebr 11 11 | Sara aliamini kwamba Mungu hutimiza ahadi zake, kwa hiyo akajaliwa 2963 1Cor 15 56 | 56 Ukali wa kifo hutokana na dhambi, nayo dhambi hupata 2964 2Cor 2 14 | ushindi wa Kristo. Yeye hutufanya tuueneze ukweli wa Kristo 2965 2Cor 1 4 | 4 Yeye hutufariji sisi katika taabu zetu zote, 2966 John 15 8 | 8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa matunda mengi 2967 Matt 15 14 | akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni."~ 2968 1Joh 2 1 | dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa Baba, ndiye Yesu Kristo 2969 1Tim 6 17 | Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.~ 2970 Rev 21 23 | maana utukufu wa Mungu huuangazia, na taa yake ni yule Mwanakondoo.~ 2971 Hebr 10 28 | asiyeitii Sheria ya Mose, huuawa bila ya huruma kukiwa na 2972 Ephe 5 29 | wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye 2973 Hebr 2 10 | tupu kwamba Mungu, ambaye huumba na kutegemeza vitu vyote, 2974 1Cor 12 26 | kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. Kiungo kimoja 2975 Colo 3 14 | zingatieni upendo kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio 2976 2Tim 3 8 | 8 Watu hao huupinga ukweli kama vile Yane na 2977 Matt 13 22 | ulimwengu huu na anasa za mali huusonga ujumbe huo, naye hazai matunda.~ 2978 Luke 6 44 | 44 Watu huutambua mti kutokana na matunda 2979 John 10 11 | mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo 2980 Matt 23 5 | yao yote ili watu wawaone. Huvaa tepe zenye ~maandishi ya 2981 1Cor 8 7 | sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa 2982 2Pet 2 10 | washupavu na wenye majivuno, huvitukana na hawaviheshimu viumbe 2983 John 3 8 | 8 Upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia 2984 2Pet 2 19 | 19 Huwaahidi watu wengine eti watakuwa 2985 Matt 5 45 | mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na 2986 Luke 20 47 | 47 Huwadhulumu wajane huku wakisingizia 2987 1Cor 8 1 | ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini 2988 Rev 2 20 | anayejiita nabii wa Mungu. Yeye huwafundisha na kuwapotosha watumishi 2989 Roma 3 19 | 19 Tunajua kwamba Sheria huwahusu walio chini ya Sheria hiyo, 2990 Mark 4 19 | mali na tamaa za kila namna huwaingia na kulisonga hilo neno, 2991 John 10 3 | husikia sauti yake, naye huwaita kondoo wake kila mmoja kwa 2992 James 3 17| inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa 2993 John 10 12 | kukimbia. Kisha mbwa mwitu huwakamata na kuwatawanya.~ 2994 Hebr 9 15 | kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu kutoka yale makosa 2995 Luke 6 34 | gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili 2996 Roma 3 22 | 22 Mungu huwakubali watu kuwa waadilifu kwa 2997 1Cor 3 19 | Matakatifu yasema: "Mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja 2998 Acts 14 17 | mambo mema anayowatendea: huwanyeshea mvua toka angani, huwapa 2999 Mark 12 40 | 40 Huwanyonya wajane huku wakijisingizia 3000 1Pet 3 21 | inayofanyika katika dhamiri njema. Huwaokoeni kwa njia ya ufufuo wa Yesu 3001 Roma 8 27 | huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu wa Mungu kufuatana 3002 Roma 8 33 | wa Mungu? Mungu mwenyewe huwaondolea hatia!~ 3003 Luke 6 32 | maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.~ 3004 Roma 1 32 | hayo wao wenyewe, bali hata huwapongeza wale wanaofanya mambo hayohayo.~ ~ ~~ ~ 3005 Roma 4 5 | anamwamini Mungu ambaye huwasamehe waovu, basi, Mungu huijali 3006 Mark 4 21 | akaendelea kuwaambia, "Je, watu huwasha taa wakaileta ndani na kuifunika 3007 Roma 2 15 | fikira zao mara nyingine huwashtaki, na mara nyingine huwatetea.~ 3008 1Joh 4 5 | ulimwengu, nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.~ 3009 Gala 6 13 | waliotahiriwa hawaishiki Sheria; huwataka ninyi mtahiriwe wapate kujivunia 3010 John 10 4 | 4 Akisha watoa nje huwatangulia mbele nao kondoo humfuata, 3011 1Pet 3 12 | 12 Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza 3012 2Tim 3 6 | katika nyumba za watu na huwateka wanawake dhaifu waliolemewa 3013 Hebr 12 7 | kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea ninyi kama wanawe. Maana 3014 Roma 2 15 | huwashtaki, na mara nyingine huwatetea.~ 3015 Hebr 7 28 | 28 Sheria ya Mose huwateua watu waliokuwa dhaifu kuwa 3016 James 3 3 | 3 Sisi huwatia farasi lijamu kinywani mwao 3017 Hebr 1 14 | wanaomtumikia Mungu, na Mungu huwatuma wawasaidie wale watakaopokea 3018 Hebr 11 6 | kwamba Mungu yuko, na kwamba huwatuza wale wanaomtafuta.~ 3019 3Joh 1 10 | walio safarini, na hata huwazuia watu wengine wanaotaka kuwakaribisha, 3020 John 5 40 | 39 Ninyi huyachunguza Maandiko Matakatifu mkidhani 3021 John 3 10 | mwalimu katika Israel na huyajui mambo haya?~ 3022 2Pet 3 16 | wajinga, wasio na msimamo, huyapotosha kama wanavyopotosha sehemu 3023 2Pet 2 22 | Ipo mithali isemayo: "Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe," 3024 Luke 1 20 | utakuwa bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia 3025 2Tim 2 16 | ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na 3026 Mark 7 3 | na Wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: hawali 3027 Luke 11 22 | akamshambulia na kumshinda, huyo huziteka silaha zake alizotegemea 3028 Rev 4 10 | anaishi milele na milele; na huziweka taji zao mbele ya kiti cha 3029 1Pet 5 8 | Maana adui yenu, Ibilisi, huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta 3030 Matt 5 24 | 24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, 3031 Hebr 7 12 | ukibadilika ni lazima Sheria nayo ibadilike.~ 3032 Acts 1 20 | cha Zaburi: `Nyumba yake ibaki mahame; mtu yeyote asiishi 3033 Matt 17 27 | utakuta fedha taslimu ya zaka. Ichukue ukawape kwa ajili yangu 3034 Mark 3 8 | 8 Idumea, ng`ambo ya mto Yordani, 3035 Colo 2 11 | mlitahiriwa, lakini si kwa tohara ifanywayo na watu, bali inayofanywa 3036 Colo 2 2 | Nafanya hivi kusudi mioyo yao ifarijiwe na kuvutwa pamoja katika 3037 Mark 4 26 | Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani.~ 3038 Gala 3 23 | imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe.~ 3039 1Cor 9 25 | hivyo ili wajipatie taji iharibikayo! Lakini sisi twafanya hivyo 3040 Roma 6 6 | Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa 3041 Mark 13 10 | lazima kwanza Habari Njema ihubiriwe kwa mataifa yote.~ 3042 Luke 14 23 | kuingia ili nyumba yangu ijae.~ 3043 1Pet 1 6 | Furahini kuhusu jambo hilo, ijapokuwa sasa, kwa kitambo kidogo, 3044 1Pet 1 7 | kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabiti. Hapo 3045 2Cor 12 21 | hapo nitakapokuja safari ijayo Mungu wangu atanifanya niaibike 3046 John 2 7 | 7 Yesu akawaambia, "Ijazeni mitungi hiyo maji." Nao 3047 2Pet 3 12 | ile ya Mungu na kuifanya ije upesi - Siku ambayo mbingu 3048 Acts 16 26 | iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.~ 3049 Acts 15 2 | Barnaba kujadiliana nao, ikaamuliwa Paulo na Barnaba pamoja 3050 John 15 11 | mambo haya ili furaha yangu ikae ndani yenu, na furaha yenu 3051 Matt 2 9 | mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale 3052 John 21 23 | 23 Basi, habari hiyo ikaenea miongoni mwa wale ndugu 3053 1The 3 3 | yeyote miongoni mwenu isije ikafifia kwa sababu ya taabu hizo. 3054 Luke 22 7 | Mikate Isiyotiwa chachu ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo 3055 Rev 9 2 | 2 Basi, nyota hiyo ikafungua shimo la Kuzimu, kukatoka 3056 Acts 16 26 | gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga 3057 Acts 21 30 | papo hapo milango ya Hekalu ikafungwa.~ 3058 Rev 11 13 | sehemu moja ya kumi ya ardhi ikaharibiwa. Watu elfu saba wakauawa 3059 Acts 2 2 | iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikajaza ile nyumba yote walimokuwa 3060 Acts 9 5 | wewe Bwana?" Na ile sauti ikajibu, "Mimi ni Yesu ambaye wewe 3061 Rev 12 16 | nchi ikamsaidia huyo mama: ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji 3062 Mark 5 29 | Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, akajisikia mwilini mwake 3063 Rev 8 12 | Theluthi moja ya mchana ikakosa mwanga, hali kadhalika na 3064 Mark 2 2 | sana hata nafasi yoyote ikakosekana mlangoni. Yesu alikuwa akiwahubiria 3065 Acts 27 41 | bahari hukutana, na meli ikakwama. Sehemu ya mbele ilikuwa 3066 Luke 21 34 | macho, mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na shughuli 3067 Mark 4 1 | wa watu ulimzunguka hata ikambidi aingie katika mashua na 3068 Mark 1 45 | katika mji wowote waziwazi; ikamlazimu kukaa nje, mahali pa faragha. 3069 Acts 1 26 | Hapo, wakapiga kura; kura ikampata Mathia, naye akaongezwa 3070 Luke 8 55 | 55 Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru 3071 Rev 12 16 | 16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: ikajifunua kama 3072 Rev 18 1 | na uwezo mkuu, na dunia ikamulikwa na mng`ao wake.~ 3073 Matt 9 17 | viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo viriba vikaharibika. 3074 Rev 9 14 | 14 Sauti hiyo ikamwambia huyo malaika wa sita mwenye 3075 Luke 1 12 | alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.~ 3076 Roma 7 11 | iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.~ 3077 Rev 12 1 | 1 Kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. Palikuwa hapo 3078 Luke 13 19 | kuipanda shambani mwake; ikaota hata ikawa mti. Ndege wa 3079 Matt 27 51 | nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka;~ 3080 Rev 8 12 | jua, ya mwezi na ya nyota ikapata pigo; hata mwangaza ukapoteza 3081 Mark 6 21 | 21 Ikapatikana nafasi, wakati wa sikukuu 3082 Rev 9 1 | nchi kutoka mbinguni. Nayo ikapewa ufunguo wa shimo la Kuzimu.~ 3083 Acts 10 16 | mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.~ 3084 Rev 16 19 | tatu, nayo miji ya mataifa ikateketea. Babuloni, mji mkuu, haukusahauliwa 3085 Matt 27 51 | toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka;~ 3086 James 5 18| ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake.~ 3087 Matt 9 26 | 26 Habari hiyo ikavuma sana katika nchi ile yote.~ 3088 Luke 2 6 | siku yake ya kujifungua ikawadia,~ 3089 Luke 1 65 | 65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo 3090 Matt 24 39 | ile gharika ilipotokea, ikawakumba wote. Ndivyo itakavyokuwa 3091 Rev 16 21 | kilo hamsini kila moja, ikawanyeshea watu. Nao wakamtukana Mungu 3092 John 6 21 | katika mashua; na mara mashua ikawasili nchi kavu walipokuwa wanakwenda.~ 3093 Rev 20 13 | 13 Bahari ikawatoa nje wafu waliokuwa ndani 3094 Rev 13 15 | yule mnyama wa kwanza, hata ikaweza kuongea na kuwaua watu wote 3095 Acts 7 16 | ililetwa mpaka Shekemu, ikazikwa katika kaburi Abrahamu alilonunua 3096 Luke 8 7 | Ile miti ya miiba ilipoota ikazisonga.~ 3097 John 12 24 | hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. Kama 3098 John 12 24 | katika udongo na kufa. Kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.~ 3099 John 9 3 | nguvu ya Mungu ionekane ikifanya kazi ndani yake.~ 3100 James 1 15| 15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi 3101 James 1 15| huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.~ 3102 2Cor 11 30 | 30 Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia 3103 Roma 9 1 | sisemi uongo. Dhamiri yangu ikiongozwa na Roho Mtakatifu inanithibitishia 3104 Hebr 6 8 | 8 Lakini kama ardhi hiyo ikiota miti ya miiba na magugu, 3105 Matt 13 32 | kuliko mbegu zote, lakini ikishaota huwa kubwa kuliko mimea 3106 1Tim 1 8 | kwamba Sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.~ 3107 Matt 13 30 | ya kuchomwa. Lakini ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu."`~ 3108 Phil 1 6 | unayoshiriki pamoja nasi ikuwezeshe kuwa na ujuzi mkamilifu 3109 Luke 4 25 | za Eliya. Wakati huo mvua iliacha kunyesha kwa muda wa miaka 3110 Acts 11 21 | aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana.~ 3111 James 2 22| basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake 3112 2Pet 3 6 | kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.~ 3113 Luke 9 29 | Alipokuwa akisali, sura yake ilibadilika, mavazi yake yakawa meupe 3114 Roma 7 11 | 11 Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri 3115 Gala 3 1 | kusulubiwa kwake Yesu Kristo ilielezwa waziwazi mbele ya macho 3116 Acts 9 42 | 42 Habari ya tukio hili ilienea kila mahali huko Yopa, na


110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License