110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu
Book, Chapter, Verse
3117 Roma 7 9 | lakini amri ilipokuja, dhambi ilifufuka,~
3118 Hebr 7 18 | Basi, ile amri ya zamani ilifutwa kwa sababu ilikuwa hafifu
3119 Roma 5 12 | njia ya mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, nayo ikasababisha
3120 Hebr 9 2 | ambayo sehemu yake ya nje iliitwa Mahali Patakatifu. Humo
3121 Roma 7 13 | dhambi, kwa njia ya ile amri, ilijionyesha kikamilifu jinsi ilivyo
3122 James 2 22| matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.~
3123 John 2 9 | kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi
3124 Matt 25 27 | 27 Ilikupasa basi, kuiweka fedha yangu
3125 Roma 5 13 | ya Sheria kuwako, dhambi ilikuwako ulimwenguni; lakini dhambi
3126 Matt 14 24 | na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa,
3127 Acts 26 23 | 23 yaani ilimpasa Kristo ateseke na kuwa wa
3128 John 4 52 | Jana saa saba mchana, homa ilimwacha."~
3129 Rev 1 15 | 15 miguu yake iling`aa kama shaba iliyosafishwa
3130 1Cor 3 2 | 2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa,
3131 Gala 2 19 | nimekufa; Sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili
3132 Gala 3 19 | 19 Ya nini basi, Sheria? Iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu
3133 Roma 7 8 | kuitumia hiyo amri, dhambi ilipata fursa ya kuamsha kila aina
3134 Acts 13 20 | Miaka mia nne na hamsini ilipita, halafu akawapatia waamuzi
3135 John 7 14 | 14 Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda
3136 Roma 7 9 | mbali na Sheria; lakini amri ilipokuja, dhambi ilifufuka,~
3137 2Pet 1 17 | Mungu Baba, wakati sauti ilipomjia kutoka kwake yeye aliye
3138 Roma 5 20 | uhalifu; lakini pale dhambi ilipoongezeka, neema iliongezeka zaidi.~
3139 Colo 1 5 | kweli, yaani Habari Njema, ilipowafikieni kwa mara ya kwanza, mlipata
3140 Matt 2 7 | akawauliza wakati hasa ile nyota ilipowatokea.~
3141 Roma 5 15 | ingawa dhambi ya mtu mmoja ilisababisha kifo kwa wote, kwa fadhili
3142 Rev 13 3 | lilikuwa limepona. Dunia nzima ilishangazwa na huyo mnyama na kumfuata.~
3143 Acts 12 20 | amani, kwa maana nchi yao ilitegemea nchi ya mfalme kwa chakula.~
3144 Hebr 9 6 | 6 Mipango hiyo ilitekelezwa kisha ikawa desturi kwa
3145 Rev 16 12 | yakakauka, na hivyo njia ilitengenezwa kwa ajili ya wafalme wa
3146 Hebr 12 26 | 26 Wakati ule sauti ilitetemesha nchi, lakini sasa ameahidi: "
3147 Acts 18 22 | 22 Meli ilitia nanga Kaisarea, naye Paulo
3148 Luke 15 32 | 32 Ilitubidi kufanya sherehe na kufurahi,
3149 Gala 3 23 | ya kujaliwa imani, Sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo
3150 Gala 2 9 | ishara ya ushirikiano. Sisi ilitupasa tukafanye kazi kati ya watu
3151 2Pet 3 5 | na nchi zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa
3152 Luke 23 56 | Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.~ ~ ~~ ~
3153 Colo 1 6 | ulimwenguni kote kama vile ilivyofanya kwenu ninyi tangu siku ile
3154 Hebr 4 2 | imehubiriwa kwetu kama vile ilivyohubiriwa kwa hao watu wa kale. Lakini
3155 John 3 29 | akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.~
3156 Luke 22 22 | Mtu anakwenda kuuawa kama ilivyopangwa, lakini ole wake mtu anayemsaliti."~
3157 Roma 5 21 | 21 Kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema
3158 Luke 17 28 | 28 Itakuwa kama ilivyotokea wakati wa Loti. Watu waliendelea
3159 1The 3 4 | na kama mjuavyo ndivyo ilivyotukia.~
3160 Acts 22 11 | sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza
3161 Rev 11 11 | ya uhai kutoka kwa Mungu iliwaingia, nao wakasimama; wote waliowaona
3162 Luke 11 42 | upendo kwa Mungu. Mambo haya iliwapasa muwe mmeyazingatia bila
3163 Acts 19 24 | aitwaye Artemi. Shughuli hiyo iliwapatia mafundi faida kubwa.~
3164 Matt 2 9 | wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu
3165 2Cor 7 8 | naona kwamba barua hiyo iliwatia huzuni lakini kwa muda.~
3166 Matt 8 4 | kuhani, na ukatoe sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia
3167 2Cor 2 7 | 7 Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe
3168 Acts 12 21 | 21 Siku moja iliyochaguliwa, Herode akiwa amevaa mavazi
3169 Mark 15 23 | 23 Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye
3170 Roma 16 25 | Kristo, na katika ile siri iliyofunuliwa na ambayo ilikuwa imefichika
3171 Matt 12 25 | mji wowote au jamaa yoyote iliyogawanyika makundimakundi yanayopingana,
3172 1Pet 1 25 | hilo ni hiyo Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.~~ ~
3173 Matt 10 15 | adhabu kubwa kuliko ile iliyoipata miji ya Sodoma na Gomora.~
3174 Hebr 9 3 | la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu Kupita
3175 Hebr 8 2 | ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na Bwana, siyo na binadamu.
3176 Roma 16 11 | kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana.~
3177 Acts 9 25 | kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani. ic~
3178 2Cor 3 9 | utukufu katika huduma ile iliyoleta hukumu, ni wazi kwamba huduma
3179 Acts 7 53 | Ninyi mliipokea ile Sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini
3180 Acts 3 16 | kumfahamu. Imani kwa Yesu ndiyo iliyomponya kabisa mtu huyu kama mnavyoona
3181 Hebr 10 29 | kuidharau damu ya agano la Mungu iliyomtakasa, mtu anayemtukana Roho wa
3182 Matt 23 35 | damu yote ya watu wema ~iliyomwagwa juu ya ardhi. Naam, tangu
3183 Roma 7 11 | dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya
3184 2Cor 12 2 | ambaye miaka kumi na minne iliyopita alinyakuliwa mpaka katika
3185 1Cor 7 26 | Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu
3186 Luke 15 9 | nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.`~
3187 Rev 2 18 | yake inang`aa kama shaba iliyosuguliwa.~
3188 Rev 19 8 | kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung`aa!" (Nguo
3189 Acts 19 26 | wakakubali kwamba miungu ile iliyotengenezwa na watu si miungu hata kidogo.~
3190 Acts 27 44 | kwenye vipande vya meli iliyovunjika. Ndivyo sisi sote tulivyofika
3191 Acts 16 26 | ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.~
3192 Ephe 1 13 | kweli yaani Habari Njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini Kristo;
3193 Mark 5 26 | hakupata nafuu bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.~
3194 Roma 15 19 | tangu kule Yerusalemu mpaka Iluriko, nimeihubiri kikamilifu
3195 Rev 3 2 | 2 Amka! Imarisha chochote chema kilichokubakia
3196 James 5 8 | mnapaswa kuwa na subira; imarisheni mioyo yenu, maana siku ya
3197 Colo 3 16 | kushauriana kwa hekima yote. Imbeni zaburi, nyimbo na tenzi
3198 Rev 9 1 | nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni.
3199 Luke 21 30 | 30 Mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua
3200 2Tim 4 8 | 8 Na sasa imebakia tu kupewa tuzo la ushindi
3201 Roma 9 6 | Sisemi kwamba ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli
3202 Rev 15 2 | kitu kama bahari ya kioo, imechanganywa na moto. Nikawaona pia wale
3203 Hebr 9 4 | fimbo ya Aroni iliyokuwa imechanua majani, na vile vibao viwili
3204 John 12 27 | 27 "Sasa roho yangu imefadhaika, na niseme nini? Je, niseme: `
3205 2Cor 3 7 | ambacho kimesababisha kifo imefanyika kwa utukufu mwingi kiasi
3206 Roma 10 4 | kuja kwake Kristo, Sheria imefikia kikomo chake, ili kila mtu
3207 John 19 23 | yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila
3208 Acts 27 28 | kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina
3209 Acts 16 27 | kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa
3210 2Tim 1 10 | 10 lakini sasa imefunuliwa kwetu kwa kuja kwake Mwokozi
3211 Mark 3 25 | 25 Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana,
3212 Hebr 4 2 | 2 Maana Habari Njema imehubiriwa kwetu kama vile ilivyohubiriwa
3213 Rev 15 1 | saba, ghadhabu ya Mungu imekamilishwa.~
3214 Roma 7 13 | dhahiri kuwa ni dhambi, imekitumia kile kilicho kizuri na kusababisha
3215 Luke 7 50 | yule mwanamke, "Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani."~ ~ ~~ ~
3216 Rev 18 10 | saa moja tu adhabu yako imekupata."~
3217 Acts 2 8 | 8 Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja
3218 Roma 7 10 | ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.~
3219 Rev 14 10 | ghadhabu ya Mungu, ambayo imemiminwa katika kikombe cha ghadhabu
3220 Hebr 7 28 | imefika baada ya sheria imemteua Mwana ambaye amefanywa mkamilifu
3221 Mark 5 30 | alitambua mara kwamba nguvu imemtoka. Basi akaugeukia ule umati
3222 Hebr 9 22 | zaondolewa tu ikiwa damu imemwagwa.~
3223 Roma 8 2 | kuungana na Kristo Yesu imenikomboa kutoka katika sheria ya
3224 Luke 8 46 | aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka."~
3225 Ephe 6 2 | ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,~
3226 Rev 21 4 | maana ile hali ya kale imepita!"~
3227 Roma 7 7 | kama Sheria isingalikuwa imesema: "Usitamani."~
3228 Acts 10 11 | inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne.~
3229 Mark 8 17 | hamjaelewa? Je, mioyo yenu imeshupaa?~
3230 Luke 1 13 | usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa, na Elisabeti mkeo atakuzalia
3231 Hebr 9 8 | ile hema ya nje ingali ipo imesimama, njia ya kuingia Mahali
3232 Rev 21 21 | Barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu
3233 Luke 7 35 | Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale
3234 Acts 28 11 | Pacha". Meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote
3235 2The 2 2 | barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu.~
3236 Mark 14 41 | bado na kupumzika? Sasa imetosha! Saa imefika! Mwana wa Mtu
3237 Rev 18 14 | Faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka;
3238 Acts 14 11 | lugha ya Kilukaonia: "Miungu imetujia katika sura za binadamu!"~
3239 Ephe 4 24 | hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo
3240 1The 2 16 | Lakini sasa hasira ya Mungu imewaangukia.~
3241 2Cor 7 9 | ila kwa kuwa huzuni yenu imewafanya mbadili nia zenu na kutubu.
3242 Acts 27 41 | Sehemu ya mbele ilikuwa imezama mchangani bila kutikisika.
3243 2Pet 2 14 | mpaka mitegoni. Mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. Wapo
3244 Ephe 5 2 | harufu nzuri na tambiko impendezayo Mungu.~
3245 1Pet 4 17 | mwenyewe. Ikiwa hukumu hiyo inaanzia kwetu sisi, basi mwisho
3246 Roma 13 5 | bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo.~
3247 2The 2 2 | Bwana imekwisha fika. Labda inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana
3248 Hebr 7 14 | 14 Inafahamika wazi kwamba yeye alizaliwa
3249 Matt 22 39 | 39 Ya pili inafanana na hiyo: <Mpende jirani
3250 Acts 8 13 | maajabu na miujiza iliyokuwa inafanyika.~
3251 Luke 1 47 | wamtukuza Bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya Mungu Mwokozi
3252 1Cor 15 12 | 12 Sasa, maadam inahubiriwa kwamba Kristo amefufuliwa
3253 Colo 2 11 | Kristo mwenyewe, na ambayo inahusikana na kukombolewa kutoka katika
3254 Luke 12 6 | 6 Inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa
3255 2The 1 3 | kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu
3256 Rev 10 11 | 11 Kisha nikaambiwa, "Inakubidi tena kutangaza ujumbe wa
3257 Roma 1 3 | 3 Hii Habari Njema inamhusu Mwana wa Mungu, Bwana wetu
3258 Hebr 12 2 | ajili ya furaha iliyokuwa inamngojea, yeye alivumilia kifo msalabani,
3259 Roma 14 2 | huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine
3260 2Cor 2 6 | pata kutoka kwa wengi wenu inamtosha.~
3261 Acts 19 27 | ambaye Asia na dunia yote inamwabudu, zitakwisha." ic~
3262 Rev 2 18 | kama moto, na miguu yake inang`aa kama shaba iliyosuguliwa.~
3263 John 10 16 | ambao hawamo zizini humu. Inanibidi kuwaleta hao pia, nao wataisikia
3264 Roma 9 1 | ikiongozwa na Roho Mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.~
3265 Roma 1 17 | 17 Kwa maana Habari Njema inaonyesha wazi jinsi Mungu anavyowakubali
3266 Hebr 13 4 | 4 Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote,
3267 James 3 17| mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali
3268 Mark 4 29 | 29 Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia
3269 Acts 27 2 | meli ya Adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa
3270 Hebr 12 24 | ambaye damu yake iliyomwagika inasema mambo mema zaidi kuliko
3271 Roma 1 8 | nyote, kwa sababu imani yenu inasikika duniani kote.~
3272 Colo 4 16 | hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea;
3273 Roma 5 21 | kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na
3274 2Pet 3 3 | watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki
3275 Gala 3 18 | Maana, kama urithi ya Mungu inategemea Sheria, basi, haiwezi kutegemea
3276 Acts 10 11 | na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe
3277 Matt 11 19 | Hata hivyo, hekima ya Mungu inathibitishwa kuwa njema kutokana na matendo
3278 Luke 6 19 | kwa maana nguvu ilikuwa inatoka ndani yake na kuwaponya
3279 Roma 10 17 | 17 Hivyo basi, imani inatokana na kuusikiliza ujumbe, na
3280 2Cor 1 12 | kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni
3281 Hebr 3 13 | inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana
3282 Colo 2 14 | ile hati ya deni iliyokuwa inatukabili na masharti yake, na kuifuta
3283 1Joh 1 7 | yake Yesu Kristo, Mwanae, inatutakasa dhambi zote.~
3284 2Cor 4 15 | kama vile neema ya Mungu inavyoenea kwa watu wengi zaidi na
3285 Mark 4 27 | zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.~
3286 Luke 11 36 | kikamilifu kama vile taa inavyokuangazia kwa mwanga wake."~
3287 Rev 6 14 | likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote
3288 Luke 12 55 | hali ya joto` na ndivyo inavyokuwa.~
3289 1Cor 8 2 | kweli hajui chochote kama inavyompasa.~
3290 Colo 4 4 | ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha
3291 Matt 26 54 | Matakatifu yasemayo kwamba ndivyo inavyopaswa kuwa?"~
3292 Roma 13 13 | Mwenendo wetu uwe wa adabu kama inavyostahili wakati wa mchana; tusiwe
3293 Luke 5 14 | ya kutakasika kwako kama inavyotakiwa na Sheria ya Mose, iwe uthibitisho
3294 Roma 8 26 | udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe
3295 Roma 12 18 | 18 Kadiri inavyowezekana kwa upande wenu, muwe na
3296 James 2 9 | mwatenda dhambi, nayo Sheria inawahukumu ninyi kuwa mna hatia.~
3297 Luke 24 32 | Je, mioyo yetu haikuwa inawaka ndani yetu wakati alipokuwa
3298 Matt 26 39 | akasali: "Baba yangu, kama inawezekana, aacha kikombe*fo* hiki
3299 Matt 6 34 | wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja
3300 2Pet 1 19 | mkiuzingatia, maana ni kama taa inayoangaza mahali penye giza mpaka
3301 Acts 27 12 | Foinike ni bandari ya Krete inayoelekea kusini-magharibi na kaskazini-magharibi;
3302 Roma 7 23 | kwamba kuna sheria nyingine inayofanya kazi mwilini mwangu, sheria
3303 1Pet 3 21 | bali ni ahadi kwa Mungu inayofanyika katika dhamiri njema. Huwaokoeni
3304 Colo 2 11 | ifanywayo na watu, bali inayofanywa na Kristo mwenyewe, na ambayo
3305 Luke 11 17 | kadhalika, jamaa yeyote inayofarakana huangamia.~
3306 2Cor 2 15 | anamtolea Mungu, harufu nzuri inayofikia wote wanaookolewa na wanaopotea.~
3307 Mark 12 26 | kitabu cha Mose katika sehemu inayohusu kile kichaka kilichokuwa
3308 Hebr 13 9 | kigeni. Neema ya Mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti
3309 Hebr 6 7 | ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea mara kwa mara, na kuotesha
3310 Luke 8 26 | pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ng`ambo ya
3311 2Cor 4 11 | udhihirike katika miili yetu inayokufa.~
3312 Colo 4 15 | jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.~
3313 Hebr 12 12 | Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu
3314 Hebr 13 15 | sifa zinazotolewa na midomo inayoliungama jina lake.~
3315 Luke 22 20 | linalothibitishwa kwa damu yangu inayomwagika kwa ajili yenu.*fd*~
3316 Acts 18 13 | wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na Sheria."~
3317 1Cor 14 14 | lugha ngeni roho yangu ndiyo inayosali, lakini akili yangu hubaki
3318 2The 2 2 | fulani, mahubiri au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu.~
3319 Hebr 3 13 | 13 Maadamu hiyo "Leo" inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu
3320 Acts 13 28 | Ingawa hawakumpata na hatia inayostahili auawe, walimwomba Pilato
3321 Mark 15 42 | ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.~
3322 Acts 7 6 | watapelekwa katika nchi inayotawaliwa na watu wengine, na huko
3323 Mark 8 24 | watu wanaoonekana kama miti inayotembea."~
3324 Acts 8 26 | uende kusini kupitia njia inayotoka Yerusalemu kwenda Gaza." (
3325 Acts 26 7 | Ahadi hiyo ndiyo ileile inayotumainiwa na makabila kumi na mawili
3326 Hebr 12 1 | kinachotuzuia, na dhambi ile inayotung`ang`ania. Tupige mbio kwa
3327 James 3 8 | hakitawaliki, na kimejaa sumu inayoua.~
3328 Rev 3 10 | salama wakati ule wa dhiki inayoujia ulimwengu mzima kuwajaribu
3329 John 10 32 | Baba. Ni ipi kati ya hizo inayowafanya mnipige mawe?"~
3330 Jude 1 4 | bashiri tangu awali hukumu inayowangojea watu hao.~
3331 Roma 1 16 | yenyewe ni nguvu ya Mungu inayowaokoa wote wanaoamini: Wayahudi
3332 Roma 11 18 | mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza ninyi.~
3333 Gala 5 23 | na kiasi. Hakuna Sheria inayoweza kupinga mambo hayo.~
3334 Hebr 9 8 | kwamba wakati ile hema ya nje ingali ipo imesimama, njia ya kuingia
3335 1Cor 7 26 | shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.~
3336 1Cor 5 10 | Maana, ili kuwaepa hao wote ingewalazimu ninyi kuihama dunia hii
3337 Gala 3 21 | kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uzima, basi,
3338 Matt 6 6 | 6 Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango,
3339 Matt 7 13 | 13 "Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba.
3340 Acts 28 4 | walipokiona kile kiumbe kinaning`inia kwenye mkono wake waliambiana, "
3341 John 12 27 | Baba, usiruhusu saa hii inifikie`? Lakini ndiyo maana nimekuja -
3342 Ephe 6 20 | hodari katika kuitangaza kama inipasavyo.~
3343 Hebr 12 12 | 12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na
3344 Hebr 11 28 | ya Pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule
3345 1Joh 2 2 | 2 Kristo ndiye sadaka iondoayo dhambi zetu; wala si dhambi
3346 John 19 31 | waliosulubiwa ivunjwe na miili yao iondolewe.~
3347 Roma 6 1 | dhambi ili neema ya Mungu iongezeke?~
3348 Rev 15 5 | mbinguni, na ndani yake hema ionyeshayo kuwapo kwa Mungu.~
3349 2Cor 9 5 | yenu kubwa mliyoahidi; nayo ionyeshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa
3350 Acts 21 3 | ambapo ile meli ilikuwa ipakuliwe shehena yake.~
3351 Roma 11 10 | wasiweze kuona. Migongo yao ipindike kwa taabu daima!"~
3352 Acts 7 59 | akiwa anasali: "Bwana Yesu, ipokee roho yangu!"~
3353 2Cor 6 1 | mliyopokea kutoka kwa Mungu ipotee bure.~
3354 Rev 7 7 | na mbili elfu, kabila la Isakari, kumi na mbili elfu;~
3355 1Cor 1 17 | kifo cha Kristo msalabani isibatilishwe.~
3356 Roma 6 12 | 12 Kwa hiyo, dhambi isiitawale tena miili yenu ambayo hufa,
3357 John 19 31 | Kwa hiyo, kusudi miili isikae msalabani siku ya Sabato,
3358 Roma 7 7 | kutamani mabaya, kama Sheria isingalikuwa imesema: "Usitamani."~
3359 1Cor 15 36 | kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.~
3360 Luke 22 32 | nimekuombea ili imani yako isipungue. Nawe utakaponirudia, watie
3361 3Joh 1 10 | uongo anaosema juu yetu. Isitoshe, yeye hukataa kuwakaribisha
3362 John 7 23 | Sabato kusudi Sheria ya Mose isivunjwe, mbona mnanikasirikia kwa
3363 Luke 12 33 | misaada. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, na jiwekeeni hazina mbinguni
3364 Luke 11 46 | maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku ninyi wenyewe hamnyoshi
3365 1Pet 1 8 | mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka,~
3366 Hebr 7 18 | sababu ilikuwa hafifu na isiyofaa kitu.~
3367 Hebr 9 11 | bora na kamilifu zaidi, isiyofanywa kwa mikono ya watu, yaani
3368 1Pet 5 4 | mtapokea taji ya utukufu isiyofifia.~
3369 Rev 5 11 | malaika wengi sana, idadi isiyohesabika, maelfu na maelfu. Walikuwa
3370 2Cor 5 1 | mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.~
3371 1Tim 6 17 | tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee
3372 Jude 1 12 | kuleta mvua. Wao ni kama miti isiyozaa matunda hata wakati wa majira
3373 2Cor 3 15 | Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo Sheria ya Mose akili zao
3374 John 3 10 | wewe ni mwalimu katika Israel na huyajui mambo haya?~
3375 Matt 23 38 | 38 Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame. ~
3376 Mark 3 25 | yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.~
3377 Matt 12 25 | makundimakundi yanayopingana, itaanguka.~
3378 Luke 12 20 | wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. Na vitu vile vyote ulivyojilundikia
3379 1Cor 16 4 | 4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda
3380 Matt 21 21 | oka ukajitose baharini,` itafanyika hivyo.~
3381 Luke 12 52 | sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili,
3382 John 16 20 | huzuni lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.~
3383 Luke 8 17 | kitafichuliwa na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.~
3384 Mark 14 9 | ulimwenguni Habari Njema itakapohubiriwa, kitendo hiki alichofanya
3385 1Cor 3 13 | wakati Siku ile ya Kristo itakapoifichua. Maana, Siku hiyo itatokea
3386 Luke 22 16 | sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika Ufalme wa Mungu."~
3387 1Cor 15 52 | na kufumbua. Maana mbiu itakapolia, wafu watafufuliwa katika
3388 2Cor 5 1 | duniani, yaani mwili wetu, itakapong`olewa, Mungu atatupa makao
3389 2Pet 1 19 | penye giza mpaka Siku ile itakapopambazuka na mwanga wa nyota ya asubuhi
3390 Gala 4 19 | mpaka hapo hali yake Kristo itakapoundwa ndani yenu.~
3391 1Cor 16 12 | kuja sasa ila atakuja mara itakapowezekana.~
3392 Colo 4 4 | inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.~
3393 Matt 5 18 | sehemu ndogo kabisa ya Sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.~
3394 Luke 2 34 | Israeli. Naye atakuwa ishara itakayopingwa na watu;~
3395 Acts 27 22 | maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.~
3396 Acts 21 26 | kujitakasa na kuhusu dhabihu itakayotolewa kwa ajili ya kila mmoja
3397 Acts 7 40 | Aroni: `Tutengenezee miungu itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata
3398 Luke 17 20 | wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana.~
3399 Roma 8 10 | yenu, ingawa miili yenu itakufa kwa sababu ya dhambi, kwenu
3400 1Tim 3 15 | nikicheleweshwa, basi, barua hii itakufahamisha mwenendo tunaopaswa kuwa
3401 James 5 3 | ushahidi dhidi yenu, nayo itakula miili yenu kama vile moto.
3402 Rev 2 10 | hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! Ibilisi
3403 Hebr 6 8 | magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake
3404 Luke 5 37 | itavipasua hivyo viriba, divai itamwagika, na viriba vitaharibika.~
3405 Roma 1 12 | tutaimarishana: imani yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha
3406 Luke 12 54 | magharibi, mara mwasema: `Mvua itanyesha`, na kweli hunyesha.~
3407 Matt 24 30 | ishara ya Mwana wa Mtu itaonekana angani, na hapo makabila
3408 Mark 8 4 | wakamwuliza, "Hapa nyikani itapatikana wapi mikate ya kuwashibisha
3409 1Cor 13 8 | vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.~
3410 2Cor 9 12 | watu wa Mungu, bali pia itasababisha watu wengi wamshukuru Mungu.~
3411 2Cor 9 12 | mnayoifanya si tu kwamba itasaidia mahitaji ya watu wa Mungu,
3412 John 7 38 | mito ya maji yenye uzima itatiririka kutoka moyoni mwake!"`~
3413 1Cor 3 13 | itakapoifichua. Maana, Siku hiyo itatokea na moto, na huo moto utaipima
3414 2Cor 4 17 | tena ya muda tu: lakini itatupatia utukufu upitao matazamio
3415 Hebr 9 14 | kamilifu kwa Mungu. Damu yake itatutakasa dhamiri zetu kutokana na
3416 Ephe 5 18 | kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu.~
3417 1Pet 1 6 | sasa, kwa kitambo kidogo, itawabidi kuhuzunika kwa sababu ya
3418 1Cor 14 6 | kusema nanyi kwa lugha ngeni itawafaa nini? Haitawafaa chochote,
3419 Roma 1 12 | itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha ninyi.~
3420 Luke 21 34 | haya. La sivyo, Siku ile itawajieni ghafla.~
3421 1Pet 3 14 | 14 Lakini, hata kama itawapasa kuteseka kwa sababu ya kutenda
3422 Matt 23 35 | 35 Hivyo lawama yote itawapateni kwa ajili ya damu yote ya
3423 James 1 3 | imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu.~
3424 Luke 21 13 | 13 Hii itawapeni fursa ya kushuhudia Habari
3425 Matt 10 13 | hawaipokei, basi amani yenu itawarudia ninyi.~
3426 Luke 10 6 | yenu itakaa naye, la sivyo, itawarudieni.~
3427 John 14 22 | Iskarioti) akamwambia, "Bwana, itawezekanaje wewe kujidhihirisha kwetu
3428 2Cor 10 15 | tunatumaini kwamba imani yenu itazidi miongoni mwenu kufuatana
3429 James 5 7 | anavyongoja kwa subira mimea yake itoe mavuno mazuri. Yeye hungojea
3430 1Cor 7 21 | ukipata fursa ya kuwa huru, itumie.~
3431 1Cor 6 20 | kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya
3432 Luke 3 1 | alikuwa mkuu wa mikoa ya Iturea na Trakoniti. Lusania alikuwa
3433 Matt 5 15 | huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.~
3434 Ephe 4 26 | mkikasirika, msikubali hasira yenu iwafanye mtende dhambi, na wala msikae
3435 Gala 3 14 | baraka aliyopewa Abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine
3436 Ephe 6 16 | kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale ya moto
3437 Hebr 10 26 | kufahamu ukweli, hakuna dhabihu iwezayo kutolewa tena kwa ajili
3438 Matt 23 13 | kuingia waingie.*fj* ~\fm j ~\fr 23:13 ~\f ~\is Baadhi
3439 James | James~
3440 Rev 18 6 | mbili kwa yale aliyoyatenda. Jazeni kikombe chake kwa kinywaji
3441 Luke 9 62 | akamwambia, "Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia
3442 Luke 7 14 | akaenda, akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wanalichukua
3443 Rev 13 3 | kilionekana kama kilikwisha jeruhiwa vibaya sana, lakini jeraha
3444 1Cor 9 7 | anayelipia utumishi wake jeshini? Mkulima gani asiyekula
3445 Rev 6 12 | kubwa la ardhi; jua likawa jeusi kama gunia; mwezi wote ukawa
3446 1Cor 10 15 | nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.~
3447 John 7 4 | unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa ulimwengu."~
3448 Acts 12 8 | 8 Malaika akamwambia, "Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako."
3449 John 16 21 | maumivu imefika; lakini akisha jifungua hayakumbuki tena maumivu
3450 2Tim 4 15 | 15 Jihadhari naye kwa sababu aliupinga
3451 Acts 2 40 | kuwahimiza watu akisema, "Jiokoeni katika kizazi hiki kiovu."~
3452 Luke 4 23 | mtaniambia msemo huu: `Mganga jiponye mwenyewe`, na pia mtasema: `
3453 Ephe 4 23 | 23 Jirekebisheni upya rohoni na katika fikira
3454 Roma 12 16 | Msijitakie makuu, bali jishugulisheni na watu wadogo. Msijione
3455 1Cor 5 7 | 7 Jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya
3456 Matt 4 6 | wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: `
3457 Acts 21 24 | 24 Jiunge nao katika ibada ya kujitakasa,
3458 1Tim 5 22 | Usishiriki dhambi za wengine; jiweke katika hali safi.~
3459 1Tim 4 7 | na ambazo hazina maana. Jizoeshe kuishi maisha ya uchaji
3460 Luke 14 19 | akasema: `Nimenunua ng`ombe jozi tano wa kulima; sasa nimo
3461 Jude | Jude~
3462 Acts 20 7 | 7 Jumamosi jioni, tulikutana ili kumega
3463 Luke 3 36 | 36 mwana wa Kainani, mwana wa Arfaksadi, mwana
3464 Matt 9 13 | 13 Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: `Nataka
3465 3Joh 1 13 | lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.~
3466 Acts 7 4 | Abrahamu alihama nchi ya Kaldayo, akaenda kukaa Harani. Baada
3467 Rev 21 19 | yakuti samawati, la tatu kalkedoni, la nne zamaradi,~
3468 Acts 8 27 | ofisa maarufu wa hazina ya Kandake, malkia wa Ethiopia. Alikuwa
3469 Acts 8 20 | unafikiri kwamba unaweza kununua karama ya Mungu kwa fedha!~
3470 Roma 15 7 | 7 Basi, karibishaneni kwa ajili ya utukufu wa
3471 2Cor 8 20 | usimamizi wetu juu ya zawadi hii karimu.~
3472 2Tim 4 2 | kufaa au wakati usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha
3473 Roma 16 25 | ambayo ilikuwa imefichika kwa karne nyinyi zilizopita.~
3474 2Tim 4 13 | koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile
3475 Acts 27 4 | upepo ulikuwa unavuma kwa kasi kutujia kwa mbele, tulipitia
3476 Acts 27 14 | upepo mkali uitwao "Upepo wa Kaskazi" ulianza kuvuma kutoka kisiwani.~
3477 Acts 27 12 | inayoelekea kusini-magharibi na kaskazini-magharibi; na huko wangeweza kukaa
3478 Ephe 5 27 | kabisa, kanisa lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo.~
3479 John 7 52 | umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko Matakatifu nawe
3480 Rev 3 19 | yeyote ninayempenda. Kwa hiyo kaza moyo, achana na dhambi zako.~
3481 Matt 21 30 | Naam baba!` Lakini hakwenda kazini.~
3482 John 18 1 | alikwenda ng`ambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi wake.
3483 Luke 3 37 | wa Mahalaleli, mwana wa Kenani,~
3484 1Cor 13 1 | kama sauti ya debe tupu au kengele.~
3485 Roma 5 18 | kadhalika kitendo kimoja kiadilifu kinawapa uhuru na uzima.~
3486 Rev 6 6 | hai vinne. Nayo ilisema, "Kibaba kimoja cha unga wa ngano
3487 Acts 7 43 | 43 Ninyi mlikibeba kibanda cha mungu Moloki, na sanamu
3488 Mark 6 8 | wala mkoba, wala fedha kibindoni.~
3489 Acts 25 27 | Kwa maana nadhani itakuwa kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja
3490 Rev 10 9 | kidogo. Naye akaniambia, "Kichukue, ukile; kinywani mwako kitakuwa
3491 Roma 14 16 | kuwa kwenu ni kitu chema kidharauliwe.~
3492 Acts 20 9 | Eutuko alianza kusinzia kidogokidogo na hatimaye usingizi ukambana,
3493 John 6 27 | kishugulikieni chakula kidumucho kwa ajili ya uzima wa milele.
3494 2Cor 9 15 | ya zawadi yake isiyo na kifani!~ ~~ ~
3495 John 13 27 | akamwambia, "Unachotaka kufanya, kifanye haraka!"~
3496 1Cor 16 14 | 14 Kila mfanyacho kifanyike kwa upendo.~
3497 Roma 7 24 | katika mwili huu unaonipeleka kifoni?~
3498 Luke 18 13 | mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: `Ee
3499 Acts 26 31 | kinachostahili adhabu ya kifo au kifungo."~
3500 1The 2 17 | na si kwa roho. Kitambo kifupi baadaye, tulishikwa na hamu
3501 Matt 15 11 | kinachomtia mtu najisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho
3502 1The 2 5 | wala hatukutumia maneno ya kijanja ya kuficha ubinafsi fulani;
3503 Matt 20 15 | yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?"`~
3504 John 18 1 | hayo, alikwenda ng`ambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi
3505 1Cor 15 53 | lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili
3506 Rev 6 8 | farasi mmoja hapo, rangi yake kijivu. Na jina la mpanda farasi
3507 Acts 5 36 | wakatawanyika na kikundi chake kikafa.~
3508 Rev 20 12 | yaani kitabu cha uzima, kikafunguliwa pia. Wafu wakahukumiwa kadiri
3509 Matt 14 11 | 11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule
3510 Rev 18 6 | kikombe chake kwa kinywaji kikali mara mbili zaidi ya kile
3511 Luke 6 38 | mwenu kipimo kilichojaa, kikashindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika.
3512 Acts 15 12 | Kikundi chote kilikaa kimya, kikawasikiliza Barnaba na Paulo wakieleza
3513 Rev 6 1 | cha vile viumbe hai vinne kikisema kwa sauti kama ya ngurumo, "
3514 1Cor 12 26 | pamoja nacho. Kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi
3515 Ephe 4 16 | vyake. Basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili
3516 1Tim 4 5 | sala hukifanya kitu hicho kikubalike kwa Mungu.~
3517 Hebr 8 13 | chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka karibuni.~ ~~ ~
3518 John 19 20 | imeandikwa kwa Kiebrania, Kilatini, na Kigiriki.~
3519 Luke 13 16 | ambaye Shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na
3520 Luke 1 15 | Bwana. Hatakunywa divai wala kileo, atajazwa Roho Mtakatifu
3521 Roma 5 17 | dhambi ya mtu mmoja kifo kilianza kutawala kwa sababu ya huyo
3522 Luke 18 31 | Yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu Mwana
3523 Ephe 5 14 | 14 na kila kilichodhihirishwa huwa mwanga. Ndiyo maana
3524 1Cor 15 50 | ndugu, nasema hivi: kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi
3525 Rev 10 8 | ukakichukue kile kitabu kilichofunguliwa, kilicho mkononi mwa malaika
3526 Luke 6 38 | mtapokea mikononi mwenu kipimo kilichojaa, kikashindiliwa na kusukwasukwa
3527 Matt 7 5 | cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako.~
3528 Rev 3 2 | Imarisha chochote chema kilichokubakia kabla nacho hakijatoweka
3529 Roma 7 8 | bila Sheria dhambi ni kitu kilichokufa.~
3530 Rev 22 3 | 3 Hapana kitu chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa katika mji
3531 Hebr 12 13 | njia iliyonyoka, ili kile kilicholemaa kisiumizwe, bali kiponywe.~
3532 2Pet 3 10 | itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.~
3533 Matt 13 19 | Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.~
3534 1Cor 12 24 | heshima zaidi kiungo kile kilichopungukiwa heshima,~
3535 Mark 14 15 | chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. Tuandalieni
3536 John 1 3 | hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.~
3537 Luke 22 66 | kikao cha wazee wa watu kilifanyika, ambacho kilihudhuriwa na
3538 Luke 22 66 | watu kilifanyika, ambacho kilihudhuriwa na makuhani wakuu na walimu
3539 Acts 15 12 | 12 Kikundi chote kilikaa kimya, kikawasikiliza Barnaba
3540 Rev 13 3 | mnyama kilionekana kama kilikwisha jeruhiwa vibaya sana, lakini
3541 Mark 3 13 | 13 Yesu alipanda kilimani, akawaita wale aliowataka.
3542 Matt 18 6 | kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.~
3543 Luke 5 4 | Simoni, "Peleka mashua mpaka kilindini, mkatupe nyavu zenu mpate
3544 Rev 13 3 | kimojawapo cha huyo mnyama kilionekana kama kilikwisha jeruhiwa
3545 Acts 10 10 | kupata chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa, alipatwa
3546 Acts 27 16 | Kisiwa kimoja kiitwacho Kanda kilitukinga kidogo na ule upepo; na
3547 1Cor 15 21 | 21 Maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani na mtu mmoja, vivyo
3548 Acts 12 3 | Alipoona kuwa kitendo hiki kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata
3549 Roma 5 14 | mpaka wakati wa Mose, kifo kiliwatawala hata wale ambao hawakutenda
3550 Acts 14 11 | kupiga kelele kwa lugha ya Kilukaonia: "Miungu imetujia katika
3551 Matt 10 23 | wakiwadhulumu katika mji mmoja, kimbilieni mji mwingine. Kweli nawaambieni,
3552 Rev 5 1 | nikaona kitabu; nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa
3553 1Cor 15 54 | neno lililoandikwa: "Kifo kimeangamizwa ushindi umekamilika!"~
3554 Roma 5 12 | ikasababisha kifo. Hivyo kifo kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu,
3555 James 5 4 | wanaovuna mashamba yenu kimefika masikioni mwa Bwana, Mwenye
3556 Rev 10 2 | mwake alishika kitabu kidogo kimefunguliwa. Aliweka mguu wake wa kulia
3557 Hebr 4 13 | mbele ya Mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele ya macho yake.
3558 John 20 7 | hiyo sanda, bali kilikuwa kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.~
3559 Luke 22 12 | kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo."~
3560 Rev 4 11 | kwa matakwa yako kila kitu kimepewa uhai na uzima."~ ~ ~~ ~
3561 1Cor 10 28 | akiwaambieni: "Chakula hiki kimetambikiwa sanamu," basi, kwa ajili
3562 Hebr 9 16 | yule aliyeufanya huo wosia kimethibitishwa.~
3563 John 17 7 | wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako.~
3564 Hebr 9 15 | Watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu
3565 Roma 11 16 | kipande cha kwanza cha mkate kimewekwa wakfu, mkate wote umewekwa
3566 2Cor 5 4 | usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa na uhai.~
3567 Acts 2 24 | haingewezekana kabisa kifo kimfunge.~
3568 Luke 18 11 | Mfarisayo akasimama, akasali kimoyomoyo: `Ee Mungu, nakushukuru
3569 Matt 15 11 | kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu najisi."~
3570 Hebr 8 13 | lile la kwanza; na chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka
3571 1Tim 4 4 | Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe
3572 2Pet 2 19 | mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.~
3573 Mark 7 18 | Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia
3574 2The 2 6 | 6 Lakini kuna kitu kinachomzuia sasa, nanyi mwakijua kitu
3575 3Joh 1 4 | 4 Hakuna kitu kinachonifurahisha zaidi kuliko kusikia kwamba
3576 1Cor 4 2 | 2 Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa
3577 2Pet 2 13 | mchana kabisa, chochote kinachotosheleza anasa zao za mwili. Hao
3578 Hebr 12 1 | hiyo tuondoe kila kizuizi kinachotuzuia, na dhambi ile inayotung`
3579 Matt 5 37 | iwe kweli `Siyo`. Chochote kinachozidi hayo hutoka kwa yule Mwovu.~
3580 1Cor 6 12 | Sawa; lakini si kila kitu kinafaa. Nakubali kwamba kila kitu
3581 2Cor 4 12 | maana kwamba ndani yetu kifo kinafanya kazi, lakini ndani yenu
3582 Acts 28 1 | tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta.~
3583 Matt 23 16 | ya Hekalu, kiapo ~hicho kinamshika. ~
3584 1Cor 14 7 | sauti kama vile filimbi au kinanda. Je, mtu anawezaje kuutambua
3585 Acts 28 4 | walipokiona kile kiumbe kinaning`inia kwenye mkono wake waliambiana, "
3586 Acts 28 22 | hicho kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali."~
3587 Acts 10 10 | chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa, alipatwa na usingizi mzito
3588 Acts 19 25 | mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara hii.~
3589 1Cor 12 26 | 26 Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja
3590 Roma 5 18 | kitendo kimoja kiadilifu kinawapa uhuru na uzima.~
3591 Acts 20 20 | kuwafundisha chochote ambacho kingewasaidieni.~
3592 Roma 10 18 | maneno yao yamefika mpaka kingo za ulimwengu."~
3593 Rev 5 8 | Kila mmoja, alikuwa na kinubi na bakuli za dhahabu zilizojaa
3594 Acts 20 15 | huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili,
3595 Acts 19 25 | Wananchi, mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara
3596 2Cor 3 14 | Kale, kifuniko hicho bado kipo. Kifuniko hicho kitaondolewa
3597 Hebr 12 13 | kilicholemaa kisiumizwe, bali kiponywe.~
3598 Acts 28 7 | kisiwa. Publio alitukaribisha kirafiki, tukawa wageni wake kwa
3599 John 4 11 | kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo
3600 Luke 2 2 | kulikuwa mara ya kwanza, wakati Kirenio alipokuwa mkuu wa mkoa wa
3601 Acts 21 31 | zilimfikia mkuu wa jeshi la Kiroma kuwa Yerusalemu yote ilikuwa
3602 Matt 23 26 | 26 Mfarisayo kipofu! Kisafishe kikombe ndani kwanza na
3603 James 3 15| na ya kidunia, tena ni ya kishetani.~
3604 Acts 13 21 | akawapa Saulo, mtoto wa Kishi wa kabila la Benyamini,
3605 John 6 27 | Msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishugulikieni chakula kidumucho kwa ajili
3606 Mark 8 38 | katika kizazi hiki kiovu na kisichomjali Mungu anayenionea aibu mimi
3607 2Cor 4 2 | mambo yote ya aibu na ya kisirisiri. Hatuishi tena kwa udanganyifu,
3608 Hebr 12 13 | iliyonyoka, ili kile kilicholemaa kisiumizwe, bali kiponywe.~
3609 1Pet 3 12 | sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu."~
3610 Acts 4 13 | Yohane walikuwa watu wasio na kisomo wala elimu yoyote, walishangaa
3611 Mark 13 2 | juu ya lingine; kila kitu kitabomolewa."~
3612 Rev 21 27 | chochote kilicho najisi kitakachoingia humo; wala mtu yeyote atendaye
3613 Rev 22 3 | chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa katika mji huo. Kiti cha
3614 Luke 1 18 | huyo malaika, "Ni kitu gani kitakachonihakikishia jambo hilo? Mimi ni mzee,
3615 Luke 10 19 | yule adui; hakuna chochote kitakachowadhuru.~
3616 Luke 18 31 | manabii kuhusu Mwana wa Mtu kitakamilishwa.~
3617 1Cor 13 10 | kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu
3618 1Cor 15 54 | kutoharibika, na kile chenye kufa kitakapojivalia hali ya kutokufa, hapo ndipo
3619 2Pet 3 11 | namna gani? Mnapaswa kuishi kitakatifu na kumcha Mungu,~
|