Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

(Hapax - words occurring once)


110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu

     Book, Chapter, Verse
3620 Luke 2 12 | 12 Na hiki kitakuwa kitambulisho kwenu: mtamkuta mtoto mchanga 3621 Roma 14 20 | haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.~ 3622 2Cor 3 14 | bado kipo. Kifuniko hicho kitaondolewa tu mtu anapoungana na Kristo.~ 3623 Matt 23 36 | Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya ~mambo 3624 Matt 9 16 | kuukuu. Maana kiraka hicho kitararua hilo vazi kuukuu, na pale 3625 Mark 2 21 | hivyo, hicho kiraka kipya kitararuka kutoka hilo vazi kuukuu, 3626 Hebr 8 13 | kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka karibuni.~ ~~ ~ 3627 1Cor 3 15 | lakini kama alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; 3628 1Cor 3 14 | alichojenga mtu juu ya huo msingi kitaustahimili huo moto, atapokea tuzo;~ 3629 Rev 9 6 | watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia.~ 3630 1Cor 14 32 | ujumbe wa Mungu ni lazima kitawaliwe na huyo mwenye hicho kipaji.~ 3631 Mark 7 34 | akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, "Efatha," maana 3632 Matt 15 11 | kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho 3633 Acts 1 25 | nafasi hii ya huduma ya kitume aliyoacha Yuda akaenda mahali 3634 Acts 12 10 | 10 Walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na 3635 1Cor 10 25 | 25 Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza 3636 Acts 5 15 | akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.~ 3637 2Cor 8 14 | mlicho nacho sasa cha ziada kiwasaidie wale wanaohitaji, ili nao 3638 2Cor 11 23 | Hata mimi - nanena hayo kiwazimu - ni mtumishi wa Kristo 3639 Acts 27 28 | iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita 3640 2Tim 4 21 | baridi. Ebulo, Pude, Lino na Klaudia wanakusalimu; vilevile ndugu 3641 1Cor 1 11 | watu kadhaa wa jamaa ya Kloe, zaonyesha wazi kwamba kuna 3642 Acts 16 12 | Makedonia, na ambao pia ni koloni la Waroma. Tulikaa katika 3643 Colo 1 2 | ninyi watu wa Mungu huko Kolosai, ndugu zetu waaminifu katika 3644 Roma 6 22 | 22 Lakini sasa, mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi 3645 Colo 3 5 | 5 Basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho 3646 Matt 18 28 | moja. Akamkamata, akamkaba koo akisema, `Lipa deni lako!`~ 3647 Luke 6 35 | zenu, na kuwatendea mema; kopesheni bila kutazamia malipo, na 3648 Jude 1 11 | wa Baalamu. Wameasi kama Kora alivyoasi na wameangamizwa 3649 Mark 7 11 | akasema kwamba kitu hicho ni Korbani (yaani ni zawadi kwa Mungu),~ 3650 Luke 3 28 | mwana wa Adi, mwana wa Kosamu, mwana wa Elmadamu, mwana 3651 Acts 21 1 | tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho yake tulifika Rodo, 3652 John 20 25 | kutia kidole changu katika kovu hizo, na kutia mkono wangu 3653 2Tim 4 10 | kwenda zake Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia, na Tito 3654 Rev 21 20 | la sita akiki, la saba krisolito, la nane zabarijadi, la 3655 Rev 21 20 | la tisa topazi, la kumi krisopraso, la kumi na moja yasinto, 3656 Matt 19 7 | apewe hati ya talaka na kuachwa?"~ 3657 2Cor 10 6 | kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.~ 3658 Acts 16 16 | na pepo mwenye uwezo wa kuagua alikutana nasi. Msichana 3659 Roma 10 11 | amwaminiye hatakuwa na sababu ya kuaibika."~ 3660 Acts 5 41 | furaha, kwani walistahili kuaibishwa kwa ajili ya jina la Yesu.~ 3661 John 10 12 | 12 Mtu wa kuajiriwa ambaye si mchungaji, na 3662 Luke 7 32 | waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ` 3663 1Cor 7 25 | huruma yake Bwana nastahili kuaminiwa.~ 3664 Roma 7 8 | dhambi ilipata fursa ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya 3665 Luke 1 63 | 63 Naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: "Yohane 3666 Luke 2 2 | 2 Kuandikishwa huku kulikuwa mara ya kwanza, 3667 Acts 28 4 | mtu, na ingawa ameokoka kuangamia baharini, `Haki` haitamwacha 3668 James 4 12| yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. Basi, wewe ni nani hata 3669 Rev 21 23 | hauhitaji jua wala mwezi kuangazia, maana utukufu wa Mungu 3670 Roma 10 3 | waadilifu, na wamejaribu kuanzisha mtindo wao wenyewe, na hivyo 3671 Roma 11 30 | huruma yake kutokana na kuasi kwao.~ 3672 Matt 11 20 | humo, watu wake hawakutaka kubadili nia zao mbaya:~ 3673 Hebr 6 18 | kiapo, ambavyo haviwezi kubadilika na wala juu ya hivyo Mungu 3674 Rev 3 20 | Mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. Mtu akisikia sauti 3675 Acts 3 20 | ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule 3676 2Cor 7 1 | tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe 3677 John 6 18 | 18 Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa 3678 Rev 14 10 | kikombe cha ghadhabu yake bila kuchanganywa na maji. Mtu huyo atateseka 3679 Acts 27 29 | nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.~ 3680 Acts 10 33 | nilikutumia ujumbe bila kuchelewa, nawe umefanya vyema kuja. 3681 Luke 21 30 | Mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua kwamba 3682 Acts 17 13 | wakaanza kufanya fujo na kuchochea makundi ya watu.~ 3683 Ephe 6 18 | nguvu ya Roho. Kesheni bila kuchoka mkisali kwa ajili ya watu 3684 Mark 16 2 | Jumapili, jua lilipoanza kuchomoza, walienda kaburini.~ 3685 Hebr 1 9 | Wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Ndiyo maana Mungu, 3686 Matt 24 10 | imani yao, watasalitiana na kuchukiana.~ 3687 Mark 10 41 | waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.~ 3688 2Tim 3 13 | kuwadanganya wengine na kudanganyika wao wenyewe.~ 3689 Roma 9 23 | 23 Alitaka pia kudhihirisha wingi wa utukufu wake ambao 3690 Mark 9 50 | na chumvi ndani yenu na kudumisha amani kati yenu."~ ~~ ~ 3691 Hebr 11 32 | zaidi? Wakati hauniruhusu kueleza juu ya Gedeoni, Baraki, 3692 1The 5 3 | anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.~ 3693 Roma 8 29 | ndio aliowateua wapate kufanana na Mwanae, ili Mwana awe 3694 Roma 1 24 | tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana mambo ya aibu kwa miili 3695 2Cor 1 5 | kadiri hiyohiyo tunazidi kufarijiwa naye.~ 3696 Hebr 10 33 | Mara nyingine mlitukanwa na kufedheheshwa hadharani; mara nyingine 3697 1The 2 5 | hatukutumia maneno ya kijanja ya kuficha ubinafsi fulani; Mungu ni 3698 1Pet 1 4 | haziwezi kuoza au kuharibika au kufifia.~ 3699 Roma 9 21 | kuutumia udongo apendavyo na kufinyanga vyungu viwili kwa udongo 3700 2Pet 3 1 | barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu 3701 James 3 7 | kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote-wanyama wa 3702 Luke 1 10 | nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani.~ 3703 Mark 1 39 | akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.~ 3704 1Cor 15 52 | mwisho, kwa nukta moja, kufumba na kufumbua. Maana mbiu 3705 1Cor 15 52 | kwa nukta moja, kufumba na kufumbua. Maana mbiu itakapolia, 3706 John 9 10 | Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?"~ 3707 2Tim 3 16 | Mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha 3708 Luke 16 17 | hata herufi moja ya Sheria kufutwa.~ 3709 Luke 11 22 | silaha zake alizotegemea na kugawanya nyara.~ 3710 1Tim 1 6 | Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.~ 3711 James 3 4 | husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, 3712 Acts 17 21 | wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya. 3713 Matt 28 14 | hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa ninyi hamtapata matatizo."~ 3714 Acts 28 8 | kitandani, mgonjwa, ana homa na kuhara. Paulo alikwenda kumwona 3715 Acts 5 37 | baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. 3716 Acts 10 22 | mwema, mcha Mungu na mwenye kuheshimika mbele ya Wayahudi wote ametutuma. 3717 Ephe 4 3 | 3 Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa 3718 Luke 12 17 | Nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia mavuno yangu?~ 3719 1Tim 1 5 | 5 Shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika 3720 Hebr 4 6 | 6 Wale waliotangulia kuhubiriwa Habari Njema hawakupata 3721 Luke 1 23 | 23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.~ 3722 Roma 14 13 | 13 Basi, tuache kuhukumiana, bali tuazimie kutokuwa 3723 Ephe 4 32 | Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe 3724 Rev 3 17 | wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko 3725 Acts 20 9 | Paulo alipokuwa anaendelea kuhutubu. Eutuko alianza kusinzia 3726 Hebr 12 11 | jambo la kufurahisha bali la kuhuzunisha. Lakini wale waliofunzwa 3727 2Cor 2 3 | sikutaka kuja kwenu na kuhuzunishwa na ninyi ambao ndio mngepaswa 3728 Gala 1 23 | ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza."~ 3729 2Cor 4 6 | kutoka gizani," ndiye mwenye kuiangaza mioyo yetu, na kutupatia 3730 Matt 23 4 | kunyosha hata kidole wapate kuibeba. ~ 3731 Jude 1 8 | ndoto zao huwaongoza katika kuichafua miili yao wenyewe, kuyadharau 3732 Luke 13 21 | aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja na unga debe moja 3733 Hebr 10 29 | anayempuuza Mwana wa Mungu na kuidharau damu ya agano la Mungu iliyomtakasa, 3734 Matt 23 33 | nyoka wenye sumu! Mnawezaje kuiepa hukumu ya moto ~wa Jehanamu? ~ 3735 1Cor 2 16 | Maandiko yasema: "Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye 3736 Roma 8 28 | yote, Mungu hufanya kazi na kuifanikisha pamoja na wote wampendao, 3737 Colo 2 14 | inatukabili na masharti yake, na kuifuta kabisa kwa kuipigilia msalabani.~ 3738 1Cor 5 10 | wote ingewalazimu ninyi kuihama dunia hii kabisa!~ 3739 1Cor 13 2 | imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina 3740 James 4 11| kumhukumu, huyo huilaumu na kuihukumu Sheria. Kama ukiihukumu 3741 Acts 14 17 | wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha."~ 3742 Rev 6 17 | yao imefika. Nani awezaye kuikabili?"~ ~~ ~ 3743 2Cor 8 11 | hivyo, kadiri ya uwezo wenu, kuikamilisha.~ 3744 Rev 19 15 | atakayetawala kwa fimbo ya chuma na kuikamua divai katika chombo cha 3745 Gala 2 21 | 21 Sipendi kuikataa neema ya Mungu. Kama mtu 3746 Matt 12 44 | nilikotoka.` Lakini anaporudi na kuikuta tupu, imefagiwa na kupambwa,~ 3747 Matt 11 20 | 20 Kisha Yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya 3748 John 12 34 | ati Mwana wa Mtu anapaswa kuinuliwa? Huyo Mwana wa Mtu ni nani?"~ 3749 Luke 17 33 | 33 Yeyote anayetaka kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; 3750 Acts 16 27 | Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, 3751 Luke 7 38 | zake. Kisha akaibusu na kuipaka yale marashi.~ 3752 Luke 13 19 | haradali aliyotwaa mtu mmoja na kuipanda shambani mwake; ikaota hata 3753 Hebr 12 17 | mnafahamu kwamba hata alipotaka kuipata tena ile baraka iliyokuwa 3754 Colo 2 14 | yake, na kuifuta kabisa kwa kuipigilia msalabani.~ 3755 2Cor 10 5 | cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya Mungu; tunaziteka 3756 1Cor 16 15 | ni watu wa kwanza kabisa kuipokea imani ya Kikristo katika 3757 Gala 1 7 | wanaowavurugeni, watu wanaotaka kuipotosha Habari Njema ya Kristo.~ 3758 Rev 13 15 | 15 Kisha alijaliwa kuipulizia uhai hiyo sanamu ya yule 3759 James 1 25| kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, 3760 Acts 21 27 | hizo saba zilipokaribia kuisha, Wayahudi waliokuwa wametoka 3761 2Pet 1 4 | zilizomo duniani, na mpate kuishiriki hali yake ya kimungu.~ 3762 Rev 10 3 | 3 na kuita kwa sauti kubwa kama ya 3763 Luke 15 8 | Atawasha taa, aifagie nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate.~ 3764 Ephe 6 20 | niweze kuwa hodari katika kuitangaza kama inipasavyo.~ 3765 Hebr 8 5 | Wakati alipokuwa karibu kuitengeneza ile hema, Mungu alimwambia: " 3766 Luke 6 48 | nyumba ile, lakini haukuweza kuitikisa, kwa sababu ilikuwa imejengwa 3767 John 4 34 | anachotaka yule aliyenituma na kuitimiza kazi yake.~ 3768 Hebr 13 11 | katika Mahali Patakatifu na kuitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi; 3769 Roma 7 8 | 8 Kwa kuitumia hiyo amri, dhambi ilipata 3770 Matt 10 28 | wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. Afadhali zaidi kumwogopa 3771 Ephe 6 16 | mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale ya moto ya yule 3772 James 1 13| Mungu." Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu 3773 Acts 6 5 | mwenye imani kubwa na mwenye kujawa na Roho Mtakatifu, Filipo, 3774 Acts 9 17 | ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu."~ 3775 Roma 14 19 | amani, na yanayotusaidia kujengana.~ 3776 1Cor 14 5 | asemayo, ili kanisa lipate kujengwa.~ 3777 Luke 9 25 | dunia kwa kujipoteza au kujiangamiza yeye mwenyewe?~ 3778 2Cor 10 12 | wanaojisifia wenyewe. Watu wenye kujifanya wao kuwa kipimo cha kujipimia, 3779 James 5 5 | Mmeishi duniani maisha ya kujifurahisha na ya anasa. Mmejinenepesha 3780 1Pet 4 1 | kimwili, nanyi pia mnapaswa kujiimarisha kwa nia hiyo yake; maana 3781 Luke 23 2 | kulipa kodi kwa Kaisari na kujiita ati yeye ni Kristo, Mfalme."~ 3782 2Tim 2 13 | daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe."~ 3783 Mark 5 5 | milimani akipaaza sauti na kujikatakata kwa mawe.~ 3784 2Tim 4 3 | watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia walimu tele watakaowaambia 3785 Luke 10 15 | wewe Kafarnaumu, unataka kujikweza mpaka mbinguni? La; utaporomoshwa 3786 Matt 26 74 | 74 Hapo Petro akaanza kujilaani na kuapa akisema, "Simjui 3787 James 1 27| wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na 3788 Matt 11 21 | wangalikwisha vaa mavazi ya gunia na kujipaka majivu zamani, ili kuonyesha 3789 2Cor 10 12 | kujifanya wao kuwa kipimo cha kujipimia, na watu wanaojilinganisha 3790 Luke 9 25 | utajiri wote wa dunia kwa kujipoteza au kujiangamiza yeye mwenyewe?~ 3791 Acts 28 3 | akamnasa Paulo mkononi na kujishikilia hapo.~ 3792 Matt 23 13 | Mnawanyonya ~wajane na kujisingizia kuwa watu wema kwa kusali 3793 Colo 1 29 | hayo mimi nafanya kazi na kujitahidi nikiitumia nguvu kuu ya 3794 Colo 2 23 | katika namna ya ibada ya kujitakia wenyewe, unyenyekevu wa 3795 Hebr 9 26 | moja tu, kuondoa dhambi kwa kujitoa yeye mwenyewe dhabihu.~ 3796 Luke 8 28 | Yesu, alipiga kelele na kujitupa chini mbele yake, na kusema 3797 Acts 16 27 | akauchomoa upanga wake, akataka kujiua.~ 3798 Acts 5 3 | umdanganye Roho Mtakatifu kwa kujiwekea sehemu ya fedha ulizopata 3799 1Cor 7 9 | Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia basi, na aoe; maana ni afadhali 3800 Roma 9 22 | kuonyesha ghadhabu yake na kujulisha uwezo wake, Basi, alikuwa 3801 2Cor 5 4 | ya duniani, tunalia kwa kukandamizwa; si kwamba tunataka kuuvua 3802 Luke 10 19 | Naam, nimewapeni uwezo wa kukanyaga nyoka na ng`e, na uwezo 3803 Acts 2 35 | nitakapowafanya adui zako kibao cha kukanyagia miguu yako.`~ 3804 Matt 5 13 | tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa na watu.~ 3805 Luke 15 25 | shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo 3806 Luke 9 4 | Nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka 3807 1Tim 6 16 | katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata 3808 James 1 19| wa kusema wala mwepesi wa kukasirika.~ 3809 Luke 5 6 | hata nyavu zao zikaanza kukatika.~ 3810 Rev 9 2 | ikafungua shimo la Kuzimu, kukatoka moshi wa tanuru kubwa. Jua 3811 1Cor 11 6 | Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; 3812 Rev 12 7 | 7 Kisha kukazuka vita mbinguni: Mikaeli na 3813 Acts 7 41 | ndama, wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni 3814 1Cor 8 8 | zaidi na Mungu. Tukiacha kukila hatupungukiwi kitu, tukikila 3815 Mark 6 27 | mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari 3816 2Tim 1 12 | hakika kwamba yeye aweza kukilinda salama kile alichonikabidhi, 3817 Matt 26 42 | hiki kinipite bila mimi kukinywa, basi, mapenzi yako yafanyike."~ 3818 Luke 6 41 | 41 Unawezaje kukiona kibanzi kilicho katika jicho 3819 Rev 2 5 | La sivyo, naja kwako na kukiondoa kinara chako mahali pake.~ 3820 1Cor 3 2 | kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari.~ 3821 Mark 2 21 | kutoka katika nguo mpya na kukishonea katika nguo kuukuu. Kama 3822 1Joh 1 3 | 3 Tulichokiona na kukisikia ndicho tunachowatangazieni 3823 Luke 5 36 | kiraka cha nguo mpya na kukitia katika vazi kuukuu; kama 3824 1Tim 4 14 | 14 Usiache kukitumia kile kipaji cha Kristo ndani 3825 Rev 5 9 | huu mpya: "Wewe unastahili kukitwaa hicho kitabu na kuivunja 3826 Luke 11 42 | zaka hata juu ya majani ya kukolezea chakula, mchicha na majani 3827 Titus 1 11| 11 Lazima kukomesha maneno yao, kwani wanavuruga 3828 Rev 15 4 | Mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana matendo yako ya haki 3829 John 6 30 | ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?~ 3830 Phil 1 8 | ndugu yako katika Kristo, kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.~ 3831 James 2 21| Abrahamu baba yetu alipataje kukubalika mbele yake Mungu? Kwa matendo 3832 Matt 5 40 | akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue 3833 Acts 18 10 | Hakuna mtu atakayejaribu kukudhuru maana hapa mjini pana watu 3834 Acts 5 3 | Shetani ameuingia moyo wako na kukufanya umdanganye Roho Mtakatifu 3835 John 13 37 | Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa 3836 John 19 10 | kwamba ninayo mamlaka ya kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?"~ 3837 John 10 33 | jema, ila kwa sababu ya kukufuru! Maana wajifanya kuwa Mungu 3838 Matt 25 44 | au mfungwa, nasi hatukuja kukuhudumia?`~ 3839 John 17 3 | uzima wa milele ndio huu: kukujua wewe uliye peke yako Mungu 3840 Matt 5 42 | Akuombaye mpe, na mtu akitaka kukukopa kitu usimnyime.~ 3841 Phil 1 14 | bila kibali chako. Sipendi kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako 3842 Luke 14 14 | kwa kuwa hao hawana cha kukulipa. Maana Mungu atakupa tuzo 3843 Hebr 1 9 | wako amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko 3844 Luke 19 44 | wakati Mungu alipokujia kukuokoa."~ 3845 Roma 2 4 | wake huo una shabaha ya kukuongoza upate kutubu?~ 3846 2Tim 3 15 | Matakatifu ambayo yaweza kukupatia hekima iletayo wokovu kwa 3847 John 21 18 | mtu mwingine atakufunga na kukupeleka usikopenda kwenda."~ 3848 Acts 8 22 | umwombe Bwana naye anaweza kukusamehe fikira kama hizo.~ 3849 2The 2 1 | Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanywa kwetu pamoja tukae naye. 3850 Acts 17 32 | wengine walisema, "Tunataka kukusikia tena juu ya jambo hili!"~ 3851 John 19 10 | kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?"~ 3852 Matt 11 10 | asema Bwana, akutangulie na kukutayarishia njia yako.`~ 3853 Matt 25 39 | mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?`~ 3854 John 17 1 | Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza.~ 3855 Mark 14 71 | 71 Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, "Mimi 3856 Roma 9 3 | faida yao, ningekuwa radhi kulaaniwa na kutengwa na Kristo.~ 3857 Luke 16 21 | mbwa walikuwa wanakuja na kulamba vidonda vyake!~ 3858 2Cor 6 8 | heshima na kudharauliwa, kulaumiwa na kusifiwa. Twadhaniwa 3859 John 9 34 | wakamjibu, "Wewe ulizaliwa na kulelewa katika dhambi; unawezaje 3860 Matt 11 28 | ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.~ 3861 1Tim 5 16 | anapaswa kuwatunza na si kuliachilia kanisa mzigo huo, ili kanisa 3862 Luke 14 18 | kwa hiyo sina budi kwenda kuliangalia; nakuomba uniwie radhi.`~ 3863 Acts 8 3 | huohuo, Saulo alijaribu kuliangamiza kanisa. Alikwenda katika 3864 Matt 27 61 | mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi.~ 3865 Acts 6 2 | Si vizuri sisi tuache kulihubiri neno la Mungu ili tushughulikie 3866 2Cor 3 6 | yeye ndiye aliyetuwezesha kulihudumia Agano Jipya ambalo si agano 3867 Mark 12 9 | kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu 3868 Acts 24 6 | 6 Tena alijaribu kulikufuru Hekalu nasi tukamtia nguvuni. 3869 Ephe 2 21 | kulitengeneza jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu 3870 Luke 2 8 | wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.~ 3871 Ephe 4 15 | tutakua zidi katika kila jambo kulingana na Kristo ambaye ndiye kichwa;~ 3872 1Joh 1 1 | Sisi tumepata kulisikia na kuliona kwa macho yetu wenyewe; 3873 Ephe 5 26 | baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji,~ 3874 Hebr 4 6 | wengine ambao wangejaliwa kulipata.~ 3875 Matt 22 19 | 19 Nionyesheni fedha ya kulipia kodi." Nao wakamtolea sarafu 3876 Acts 26 9 | wangu kufanya mambo mengi kulipinga jina la Yesu wa Nazareti.~ 3877 John 21 4 | 4 Kulipoanza kupambazuka, Yesu alisimama 3878 Matt 20 8 | 8 "Kulipokuchwa, huyo mwenye shamba alimwambia 3879 Acts 19 23 | 23 Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso 3880 2Cor 4 2 | kwa udanganyifu, wala kwa kulipotosha neno la Mungu; bali tunaudhihirisha 3881 Roma 11 35 | yeye kitu kwanza hata aweze kulipwa tena kitu hicho?"~ 3882 Roma 11 15 | Maana ikiwa kukataliwa kwao kulisababisha ulimwengu upatanishwe na 3883 Acts 18 22 | Paulo akaenda Yerusalemu kulisalimia lile kanisa, kisha akaenda 3884 Luke 15 15 | akampeleka shambani mwake kulisha nguruwe.~ 3885 Matt 16 18 | kifo chenyewe hakitaweza kulishinda.~ 3886 1Joh 1 1 | tangu mwanzo. Sisi tumepata kulisikia na kuliona kwa macho yetu 3887 Mark 4 19 | kila namna huwaingia na kulisonga hilo neno, nao hawazai matunda.~ 3888 Gala 3 17 | thelathini baadaye, haiwezi kulitangua hilo agano wala kuibatilisha 3889 Roma 7 18 | kufanya jambo jema, siwezi kulitekeleza.~ 3890 Ephe 2 21 | 21 Yeye ndiye mwenye kulitengeneza jengo lote na kulikuza hata 3891 Gala 2 2 | 2 Kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa Mungu. 3892 1Tim 3 5 | vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?~ 3893 Acts 22 16 | uondolewe dhambi zako kwa kuliungama jina lake.`~ 3894 Matt 27 40 | 40 "Wewe! Si ulijidai kulivunja Hekalu na kulijenga kwa 3895 Mark 4 17 | mizizi ndani yao; huendelea kulizingatia kwa kitambo tu, na wakati 3896 Acts 7 11 | 11 Kisha, kulizuka njaa kubwa katika nchi yote 3897 Acts 21 35 | ngazi, askari walilazimika kumbeba kwa sababu ya fujo za watu.~ 3898 Acts 14 19 | wakampiga mawe Paulo na kumburuta hadi nje ya mji wakidhani 3899 Matt 5 43 | Mpende jirani yako na kumchukia adui yako.`~ 3900 Matt 23 25 | nje, lakini ndani mnaacha kumejaa vitu mlivyopata ~kwa unyang' 3901 2Cor 7 14 | kuwasifia ninyi mbele ya Tito kumekuwa jambo la ukweli mtupu.~ 3902 1Cor 15 21 | nako kufufuka kutoka wafu kumesababishwa na mtu mmoja.~ 3903 Luke 16 26 | hayo, kati yetu na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wanaotaka 3904 Acts 3 16 | nguvu mtu huyu mnayemwona na kumfahamu. Imani kwa Yesu ndiyo iliyomponya 3905 Acts 17 27 | kwa kupapasapapasa, yapate kumfikia. Hata hivyo lakini, Mungu 3906 Acts 17 29 | watoto wa Mungu, haifai kumfikiria Mungu kuwa kama dhahabu, 3907 Mark 3 23 | mifano,"Shetani anawezaje kumfukuza Shetani?~ 3908 John 9 14 | Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa 3909 John 1 27 | lakini mimi sistahili hata kumfungua kamba za viatu vyake."~ 3910 Luke 10 22 | yule ambaye Mwana anataka kumfunulia hayo."~ 3911 Roma 12 8 | na afanye hivyo. Mwenye kumgawia mwenzake alicho nacho na 3912 Acts 11 21 | kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana.~ 3913 Roma 9 20 | binadamu, u nani hata uthubutu kumhoji Mungu? Je, chungu chaweza 3914 1Joh 2 20 | 20 Ninyi, lakini, mlipata kumiminiwa Roho Mtakatifu na Kristo, 3915 Luke 18 2 | hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu.~ 3916 Acts 7 46 | akamwomba Mungu ruhusa ya kumjengea makao yeye aliye Mungu wa 3917 Acts 3 13 | mliyemtia mikononi mwa wakuu na kumkataa mbele ya Pilato hata baada 3918 Mark 6 26 | wake karamuni, hakutaka kumkatalia.~ 3919 Acts 20 37 | walikuwa wanalia; wakamwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.~ 3920 Roma 9 19 | yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga 3921 Luke 23 27 | waliokuwa wanaomboleza na kumlilia.~ 3922 Acts 28 16 | pamoja na askari mmoja wa kumlinda. ic~ 3923 Rev 12 4 | kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.~ 3924 Acts 10 38 | jinsi Mungu alivyomteua kwa kummiminia Roho Mtakatifu na nguvu. 3925 Matt 20 11 | Wakazipokea fedha zao, wakaanza kumnung`unikia yule bwana.~ 3926 James 5 14| kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.~ 3927 John 11 2 | aliyempaka Bwana marashi na kumpangusa kwa nywele zake. Lazaro, 3928 1Tim 5 21 | bila kuacha hata moja, wala kumpendelea mtu yeyote katika kila unachotenda.~ 3929 Acts 22 24 | kujua kisa cha Wayahudi kumpigia kelele.~ 3930 Roma 16 20 | chanzo cha amani hatakawia kumponda Shetani chini ya miguu yenu. 3931 1The 4 6 | mtu yeyote asimkosee au kumpunja mwenzake kuhusu jambo hili. 3932 Rev 3 19 | ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa 3933 Acts 23 10 | lile kundi, wamtoe Paulo na kumrudisha ndani ya ngome.~ 3934 2Cor 2 7 | Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili 3935 Luke 11 53 | walimu wa Sheria wakaanza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali 3936 1Cor 2 16 | akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?" Lakini sisi tunayo akili 3937 Acts 21 14 | 14 Tuliposhindwa kumshawishi tulinyamaza, tukasema tu: " 3938 2Tim 1 8 | 8 Basi, usione haya kumshuhudia Bwana wetu, wala usione 3939 Luke 15 28 | Baba yake akatoka nje na kumsihi aingie.~ 3940 Roma 14 4 | imara, maana Bwana anaweza kumsimamisha.~ 3941 Luke 11 53 | wakaanza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi~ 3942 Ephe 5 33 | mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe.~ ~~ ~ 3943 Mark 15 19 | mate; wakampigia magoti na kumsujudia.~ 3944 Matt 5 28 | atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni 3945 Roma 1 28 | Kwa vile watu walikataa kumtambua Mungu, Mungu amewaacha katika 3946 Gala 3 8 | Matakatifu yalitangulia kumtangazia Abrahamu Habari Njema: " 3947 Luke 1 76 | Mkuu, utamtangulia Bwana kumtayarishia njia yake;~ 3948 2Cor 1 9 | kuuawa, ili tufundishwe kumtegemea Mungu mwenye kuwafufua wafu, 3949 Rev 17 16 | watakula nyama yake na kumteketeza kwa moto.~ 3950 Mark 15 36 | tuone kama Eliya atakuja kumteremsha msalabani!"~ 3951 Luke 18 4 | mrefu huyo hakimu hakupenda kumtetea huyo mjane; lakini, mwishowe 3952 Hebr 8 3 | Kila Kuhani Mkuu ameteuliwa kumtolea Mungu vipawa na dhabihu, 3953 Ephe 1 12 | Basi, sisi tuliotangulia kumtumainia Kristo tunapaswa kuusifu 3954 Acts 23 21 | ya arobaini walio tayari kumvamia. Wameapa kutokula wala kunywa 3955 Luke 6 38 | kikashindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika. Kwa maana kipimo kilekile 3956 Acts 21 18 | Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa 3957 John 11 11 | lakini mimi nitakwenda kumwamsha."~ 3958 Mark 8 26 | akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, "Usirudi kijijini!"~ 3959 Acts 25 26 | habari kamili ambayo naweza kumwandikia Kaisari juu yake. Ndiyo 3960 Luke 4 35 | Basi, huyo pepo baada ya kumwangusha yule mtu chini, akamtoka 3961 Luke 14 21 | Mtumishi huyo akarudi na kumwarifu bwana wake jambo hilo. Yule 3962 Ephe 2 18 | mataifa mengine, tunaweza kumwendea Baba katika Roho mmoja.~ 3963 1The 1 6 | mlifuata mfano wetu, na kumwiga Bwana. Ingawa mliteswa sana, 3964 Rev 12 13 | chini duniani, likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua 3965 Luke 11 26 | kuliko yeye; wote huenda na kumwingia mtu yule. Hivyo, basi hali 3966 Luke 5 18 | amelala kitandani; wakajaribu kumwingiza ndani wamweke mbele ya Yesu.~ 3967 1Cor 7 38 | mengine: yule anayeamua kumwoa huyo mchumba wake anafanya 3968 1Joh 5 16 | isiyompeleka kwenye kifo anapaswa kumwombea kwa Mungu, naye Mungu atampatia 3969 Acts 13 22 | 22 Baada ya kumwondoa Saulo, Mungu alimteua Daudi 3970 1Joh 3 17 | akawa na moyo mgumu bila kumwonea huruma, anawezaje kusema 3971 Luke 6 39 | huu: "Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote 3972 Luke 20 12 | tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza.~ 3973 Acts 10 30 | aliyekuwa amevaa mavazi yenye kun`gaa alisimama mbele yangu,~ 3974 Acts 26 24 | wazimu! Kusoma kwako kwingi kunakutia wazimu!"~ 3975 2The 1 3 | sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.~ 3976 1Cor 15 32 | wanyama wakali hapa Efeso kungalinifaa kitu gani? Kama wafu hawafufuki, 3977 Gala 3 21 | Hata kidogo! Maana, kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa 3978 1The 3 5 | Timotheo kwenu. Sikuweza kungoja zaidi, na hivyo nilimtuma 3979 Luke 12 24 | 24 Chukueni kwa mfano, kunguru: hawapandi, hawavuni wala 3980 Acts 28 18 | na hatia yeyote, walitaka kuniacha.~ 3981 Luke 7 45 | 45 Wewe hukunisalimu kwa kunibusu, lakini huyu mwanamke tangu 3982 Acts 15 7 | hapo awali Mungu alipenda kunichagua mimi miongoni mwenu niihubiri 3983 2Tim 4 18 | na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika Utawala 3984 Hebr 3 9 | wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, asema Bwana, ingawa walikuwa 3985 Acts 8 31 | Ninawezaje kuelewa bila mtu kunielewesha?" Hapo akamwalika Filipo 3986 Gala 1 16 | 16 Mara tu alipoamua kunifunulia Mwanae kusudi niihubiri 3987 Acts 7 50 | namna gani basi mnayoweza kunijengea, na ni mahali gani nitakapopumzika? 3988 John 1 48 | Nathanieli akamwuliza, "Umepataje kunijua?" Yesu akamwambia, "Ulipokuwa 3989 Acts 25 11 | watu hawa, hakuna awezaye kunikabidhi kwao. Nakata rufani kwa 3990 Luke 16 4 | nitakapofukuzwa kazi, watu waweze kunikaribisha nyumbani kwao.`~ 3991 Gala 4 14 | wakati ule hamkunidharau wala kunikataa kwa sababu ya udhaifu wangu 3992 Roma 15 30 | Roho, mniunge mkono kwa kuniombea kwa Mungu.~ 3993 Luke 1 25 | alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele 3994 Acts 22 11 | iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka 3995 Luke 7 44 | yangu kwa machozi yake na kunipangusa kwa nywele zake.~ 3996 John 5 8 | Mheshimiwa, mimi sina mtu wa kunipeleka majini wakati yanapotibuliwa. 3997 2Cor 12 7 | mjumbe wa Shetani mwenye kunipiga nisijivune kupita kiasi.~ 3998 John 13 18 | chakula changu amegeuka kunishambulia.`~ 3999 Acts 22 11 | wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.~ 4000 Mark 13 9 | kwa sababu yangu ili mpate kunishuhudia kwao.~ 4001 2Cor 12 11 | Ninyi ndio mngalipaswa kunisifu. Maana, ingawa mimi si kitu, 4002 3Joh 1 9 | kiongozi wao, hataki kabisa kunisikiliza.~ 4003 2Tim 1 17 | alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. ~ 4004 Matt 26 12 | amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.~ 4005 Matt 25 36 | nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.`~ 4006 Matt 25 45 | wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.`~ 4007 2Cor 7 7 | na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. Jambo hili linanifurahisha 4008 Roma 15 18 | Kristo Yesu amekifanya kwa kunitumia mimi ili watu wa mataifa 4009 2Cor 12 20 | uhasama, ubishi, masengenyano, kunong`ona, majivuno na fujo kati 4010 Ephe 1 5 | Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia.~ 4011 John 11 39 | akamwambia, "Bwana, amekwishaanza kunuka; amekaa kaburini siku nne!"~ 4012 1Cor 12 17 | ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?~ 4013 Matt 13 19 | njiani; yule Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni 4014 Acts 8 33 | 33 Alifedheheshwa na kunyimwa haki. Hakuna atakayeweza 4015 1Cor 11 6 | mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike 4016 Luke 23 29 | ambao hawakupata kuzaa wala kunyonyesha watoto!`~ 4017 Matt 23 4 | lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba. ~ 4018 Luke 24 42 | Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa.~ 4019 Luke 16 3 | Kwenda kulima siwezi; kwenda kuombaomba kama maskini ni aibu.~ 4020 Matt 10 10 | 10 Msichukue mkoba wa kuombea njiani, wala koti la ziada, 4021 Gala 5 26 | tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.~ ~~ ~ 4022 Hebr 10 24 | kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda 4023 2Cor 8 13 | 13 Ninyi hampaswi kuongezewa taabu kusudi wengine wapunguziwe 4024 1Cor 12 2 | Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa 4025 2Tim 3 16 | katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na 4026 James 2 20| Mpumbavu wee! Je, wataka kuonyeshwa kwamba imani bila matendo 4027 Matt 2 22 | kwenda huko. Naye baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda 4028 Mark 7 4 | walizopokea kama vile namna ya kuosha vikombe, sufuria na vyombo 4029 John 13 14 | miguu, nanyi pia mnapaswa kuoshana miguu.~ 4030 Hebr 6 7 | inayoinyeshea mara kwa mara, na kuotesha mimea ya faida kwa mkulima.~ 4031 Acts 6 13 | haachi kamwe kusema maneno ya kupakashifu mahali hapa patakatifu na 4032 Roma 9 11 | hawajazaliwa na kabla hawajaweza kupambanua jema na baya,~ 4033 John 21 4 | 4 Kulipoanza kupambazuka, Yesu alisimama kando ya 4034 Roma 11 24 | jambo rahisi zaidi kwao kupandikizwa tena katika mti huohuo wao.~ 4035 Acts 17 27 | kumfuata, na kama vile kwa kupapasapapasa, yapate kumfikia. Hata hivyo 4036 1Cor 6 11 | mkafanywa watakatifu, na kupatanishwa na Mungu kwa jina la Bwana 4037 Acts 21 28 | mataifa mengine Hekaluni na kupatia najisi mahali hapa patakatifu."~ 4038 Luke 18 39 | anyamaze; lakini yeye akazidi kupaza sauti: "Mwana wa Daudi, 4039 Acts 11 30 | Basi, wakafanya hivyo na kupeleka mchango wao kwa wazee wa 4040 Rev 11 10 | wawili. Watafanya sherehe na kupelekeana zawadi maana manabii hawa 4041 Gala 2 4 | walijiingiza kwa ujanja na kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika 4042 Matt 23 7 | kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa na ~watu: <Mwalimu.> ~ 4043 Luke 2 52 | hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu.~ ~~ ~ 4044 Mark 10 25 | 25 Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, 4045 Ephe 4 14 | kama watoto, tukitupwa na kupeperushwa huko na huko kwa kila upepo 4046 John 2 15 | za wenye kuvunja fedha na kupindua meza zao.~ 4047 Acts 13 10 | akasema, "Mdanganyifu wa kupindukia na mlaghai wewe! Wewe ni 4048 2The 3 1 | Bwana uzidi kuenea upesi na kupokelewa kwa heshima kama vile ulivyo 4049 Luke 16 9 | zitakapowaishieni, mweze kupokewa nao katika makao ya milele.~ 4050 Luke 5 17 | pamoja naye kwa ajili ya kuponyea wagonjwa.~ 4051 Matt 8 6 | amelala nyumbani, mgonjwa wa kupooza na anaumwa sana."~ 4052 Acts 17 25 | watu uhai, anawawezesha kupumua na anawapa kila kitu.~ 4053 Acts 19 13 | 13 Wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo wabaya, walisafiri 4054 James 1 4 | wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote.~ 4055 2Pet 2 10 | tamaa mbaya za mwili na kupuuza mamlaka. Watu hao ni washupavu 4056 1The 3 10 | kuwaoneni uso kwa uso ili tuweze kurekebisha chochote kilichopungua katika 4057 1Tim 6 8 | chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.~ 4058 Acts 19 40 | hatungeweza kutoa sababu za kuridhisha za ghasia hiyo."~ 4059 Ephe 1 14 | Huyu Roho ni dhamana ya kurithi yote yale Mungu aliyowaahidia 4060 Hebr 6 1 | Hatuhitaji kuweka msingi tena kwa kurudia yale mafundisho ya mwanzo 4061 Rev 12 14 | mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, 4062 Acts 3 8 | nao Hekaluni, akitembea na kurukaruka huku akimtukuza Mungu.~ 4063 Acts 22 23 | wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani.~ 4064 1Tim 4 9 | 9 Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa.~ 4065 1Pet 1 2 | mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake. Nawatakieni 4066 Matt 23 23 | mliyopaswa kuyazingatia bila kusahau yale mengine. ~ 4067 2Tim 3 16 | kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na kuwaongoza watu 4068 Rev 19 17 | wanaruka juu angani, "Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya 4069 Luke 15 17 | baba yangu wanaokula na kusaza, nami ninakufa njaa?~ 4070 Luke 15 23 | Mchinjeni ndama mnono; tule kusherehekea!~ 4071 James 2 16| Nendeni salama mkaote moto na kushiba," bila kuwapatia mahitaji 4072 Hebr 12 18 | mlimani Sinai, ambao unaweza kushikika kama walivyofanya watu wa 4073 Hebr 6 4 | onja zawadi ya mbinguni na kushirikishwa Roho Mtakatifu;~ 4074 Acts 18 3 | wao walikuwa mafundi wa kushona mahema kama alivyokuwa yeye, 4075 Acts 19 40 | 40 Kwa maana tungaliweza kushtakiwa kwa kusababisha ghasia kutokana 4076 Hebr 10 24 | 24 Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana 4077 1Cor 12 24 | viungo vingine havihitaji kushughulikiwa. Mungu mwenyewe ameuweka 4078 2The 1 3 | 3 Ndugu, tunapaswa kushukuru Mungu daima kwa ajili yenu. 4079 James 3 10| 10 Maneno ya laana na ya kusifia hutoka katika kinywa kimoja. 4080 Matt 26 5 | lisifanyike wakati wa sikukuu, kusije kukatokea ghasia kati ya 4081 1Cor 15 19 | sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote 4082 Roma 1 30 | 30 na kusingiziana; ni watu wa kuchukiza kwa 4083 Acts 27 12 | bandari ya Krete inayoelekea kusini-magharibi na kaskazini-magharibi; 4084 Acts 20 9 | kuhutubu. Eutuko alianza kusinzia kidogokidogo na hatimaye 4085 1Cor 11 34 | kwake, ili kukutana kwenu kusisababishe hukumu. Lakini, kuhusu yale 4086 Luke 17 1 | wake, "Haiwezekani kabisa kusitokee vikwazo vinavyosababisha 4087 1Cor 12 25 | 25 ili kusiweko na utengano katika mwili 4088 Acts 15 21 | yakihubiriwa katika kila mji na kusomwa katika masunagogi yote kila 4089 1Cor 11 27 | kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi 4090 Rev 1 15 | katika tanuru ya moto na kusuguliwa, na sauti yake ilikuwa, 4091 Colo 1 23 | imani hiyo, na msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata 4092 Luke 6 38 | kilichojaa, kikashindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika. Kwa maana 4093 Luke 10 41 | Martha, unahangaika na kusumbuka kwa mambo mengi.~ 4094 2Cor 10 13 | kupita kiasi; kujivuna huko kutabaki katika kile kipimo cha kazi 4095 John 10 22 | Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya Kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.~ 4096 Luke 12 56 | 56 Enyi wanafiki! Mnajua kutabiri hali ya hewa kwa kuangalia 4097 1Tim 6 15 | 15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa 4098 Gala 5 15 | Lakini ikiwa mtaumana na kutafunana kama wanyama, jihadharini 4099 John 7 22 | aliwapeni ile desturi ya kutahiri. (Si kwamba desturi hiyo 4100 1Tim 6 9 | 9 Lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, 4101 Ephe 1 21 | juu ya kila cheo kiwezacho kutajwa katika ulimwengu huu na 4102 Roma 7 7 | nisingalijua ni nini hasa kutamani mabaya, kama Sheria isingalikuwa 4103 1Joh 2 17 | vitu vyake vyote vyenye kutamanika unapita; lakini mtu atendaye 4104 Acts 15 20 | vyakula vilivyotiwa najisi kwa kutambikiwa sanamu za miungu; wajiepushe 4105 1Cor 11 19 | wale walio thabiti wapate kutambulikana.~ 4106 1Cor 2 14 | yake; maana yanaweza tu kutambuliwa kwa msaada wa Roho.~ 4107 Matt 28 2 | 2 Ghafla kutatokea tetemeko kubwa la nchi; 4108 1Cor 6 5 | hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?~ 4109 Roma 5 19 | kadhalika kutii kwa mtu mmoja kutawafanya wengi wakubaliwe kuwa waadilifu.~ 4110 Acts 8 1 | wale mitume, walilazimika kutawanyika katika sehemu za mashambani 4111 1Tim 6 17 | lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee Mungu, 4112 Hebr 2 10 | Mungu, ambaye huumba na kutegemeza vitu vyote, alimfanya Yesu 4113 John 4 11 | Mheshimiwa, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; 4114 Hebr 9 17 | 17 Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani 4115 James 3 5 | sana. ic Moto mdogo waweza kuteketeza msitu mkubwa.~ 4116 Luke 21 32 | hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.~ 4117 Acts 7 6 | huko watafanywa watumwa na kutendewa vibaya kwa muda wa miaka 4118 Acts 19 24 | ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu 4119 Roma 5 7 | mwadilifu; labda mtu anaweza kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu mwema.~


110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License