Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

(Hapax - words occurring once)


110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu

     Book, Chapter, Verse
5622 2Cor 11 16 | kama mkifikiri hivyo, basi, nichukueni kama mpumbavu ili nami nipate 5623 Roma 7 15 | 15 Sielewi nifanyacho, maana kile ninachotaka 5624 Mark 10 17 | akamwuliza, "Mwalimu mwema, nifanyeje ili niupate uzima wa milele?"~ 5625 Phil 1 20 | Haya, basi, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya 5626 1Cor 15 11 | wao ndio wahubirio au mimi nihubiriye, haidhuru, hiki ndicho tunachuhubiri, 5627 Acts 26 6 | 6 Na sasa niko hapa nihukumiwe kwa sababu ninaitumainia 5628 1Cor 11 1 | 1 Niigeni mimi kama ninavyomwiga Kristo.~ 5629 Gala 2 6 | katika Habari hii Njema kama niihubirivyo.~ 5630 2Pet 1 13 | jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo 5631 Roma 14 11 | Maandiko yanasema: "Kama niishivyo, asema Bwana kila mtu atanipigia 5632 Acts 11 17 | Kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga Mungu?"~ 5633 2Tim 1 4 | usiku na mchana kukuona, ili nijazwe furaha. ~ 5634 Mark 11 30 | yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni."~ 5635 1Cor 9 15 | haki hizo. Na wala siandiki nijipatie haki hizo; kwangu mimi ni 5636 Acts 25 17 | kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe.~ 5637 Rev 19 10 | 10 Basi, mimi nikaanguka kifudifudi mbele ya miguu 5638 John 1 33 | lakini yule aliyenituma nikabatize watu kwa maji alikuwa ameniambia: ` 5639 2Cor 11 33 | kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.~ ~~ ~ 5640 Rev 4 2 | 2 Mara nikachukuliwa na Roho. Kumbe, huko mbinguni 5641 John 15 4 | Kaeni ndani yangu, nami nikae ndani yenu. Tawi haliwezi 5642 Roma 7 10 | 10 nami nikafa. Hiyo amri ambayo shabaha 5643 1Cor 13 2 | kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila 5644 Luke 15 29 | Hujanipa hata mwana mbuzi mmoja nikafanye sherehe pamoja na rafiki 5645 Acts 22 11 | kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.~ 5646 Rev 1 12 | 12 Basi, nikageuka nimwone huyo aliyesema nami, 5647 Mark 1 38 | katika miji mingine ya jirani nikahubiri huko pia, maana nimekuja 5648 Matt 25 25 | 25 Niliogopa, nikaificha fedha yako katika ardhi. 5649 John 16 28 | Mimi nilitoka kwa Baba, nikaja ulimwenguni; na sasa nauacha 5650 Roma 15 20 | halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.~ 5651 Gala 1 14 | kuizingatia dini ya Kiyahudi, nikajitahidi sana kuyashika mapokeo ya 5652 Rev 22 8 | Nilipokwisha sikia na kuona nikajitupa chini mbele ya miguu ya 5653 1Cor 9 27 | kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine. 5654 2Cor 11 25 | nilivunjikiwa meli baharini, na humo nikakesha usiku kucha na kushinda 5655 Rev 3 21 | mimi mwenyewe nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu juu 5656 Rev 10 10 | 10 Basi, nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka 5657 Rev 10 10 | mkononi mwa huyo malaika, nikakila; nacho kilikuwa kitamu kinywani 5658 Acts 22 20 | binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda 5659 2Cor 6 2 | nimekusikiliza, wakati wa wokovu nikakusaidia." Basi, sasa ndio wakati 5660 Matt 18 32 | mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.~ 5661 Acts 17 23 | niliangalia sanamu zenu za ibada nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: ` 5662 Acts 28 19 | walipinga jambo hilo, nami nikalazimika kukata rufani kwa Kaisari, 5663 Rev 5 4 | 4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana 5664 1Cor 8 13 | sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika 5665 Acts 20 24 | kitu sana kwangu. Nataka tu nikamilishe ule utume wangu na kumaliza 5666 2Cor 12 18 | 18 Mimi nilimwita Tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. 5667 Matt 2 8 | nileteeni habari ili nami niende nikamwabudu."~ 5668 Acts 22 13 | Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.~ 5669 Rev 10 9 | 9 Basi, nikamwendea huyo malaika, nikamwambia 5670 Acts 23 27 | nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.~ 5671 Matt 8 21 | niruhusu kwanza niende nikamzike baba yangu."~ 5672 Acts 6 5 | Mtakatifu, Filipo, Prokoro, Nikanora, Timona, Parmena na Nikolao 5673 2Tim 4 17 | wa mataifa wausikie; tena nikaokolewa katika hukumu ya kifo kama 5674 John 9 11 | mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona."~ 5675 Matt 16 21 | niende Yerusalemu, na huko nikapate mateso mengi yatakayosababishwa 5676 Rev 11 1 | 1 Kisha nikapewa mwanzi uliokuwa kama kijiti 5677 Roma 15 32 | kwenu na moyo wa furaha, nikapumzike pamoja nanyi.~ 5678 Gala 1 17 | nilikwenda kwanza Arabia, kisha nikarudi tena Damasko.~ 5679 Luke 9 61 | lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu."~ 5680 Acts 26 11 | kwao ilikuwa kubwa hata nikawasaka mpaka miji ya mbali.~ 5681 1Cor 16 21 | Mimi Paulo nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe.~ 5682 1Tim 3 15 | 15 Lakini kama nikicheleweshwa, basi, barua hii itakufahamisha 5683 Acts 24 12 | mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu Hekaluni wala katika 5684 Acts 24 18 | 18 Wakati nilipokuwa nikifanya hayo ndipo waliponikuta 5685 Roma 7 15 | kile ninachochukia ndicho nikifanyacho.~ 5686 2Cor 2 3 | Nina hakika kwamba, mimi nikifurahi, ninyi nyote pia mnafurahi.~ 5687 1Cor 4 3 | 3 Kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au na mahakama 5688 John 8 16 | 16 Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki 5689 Colo 1 29 | nafanya kazi na kujitahidi nikiitumia nguvu kuu ya Kristo ifanyayo 5690 Acts 24 12 | 12 Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta 5691 John 5 8 | wakati yanapotibuliwa. Kila nikijaribu kuingia, mtu mwingine hunitangulia."~ 5692 John 5 32 | 31 Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi 5693 Gala 2 10 | maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.~ 5694 Acts 22 1 | baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!"~ 5695 John 8 54 | 54 Yesu akawajibu, "Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu 5696 Acts 24 10 | Nafurahi kujitetea mbele yako nikijua kwamba umekuwa hakimu wa 5697 Matt 26 15 | Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?" Wakamhesabia 5698 Luke 7 8 | mwingine, `Njoo!` naye huja; na nikimwambia mtumishi wangu, `Fanya hiki!`, 5699 1Cor 13 1 | 1 Hata kama nikinena lugha za watu na hata za 5700 Acts 1 4 | ambayo mlikwisha nisikia nikiongea juu yake.~ 5701 Mark 14 28 | 28 Lakini nikisha fufuka, nitawatangulieni 5702 2Tim 2 2 | mafundisho uliyonisikia nikitangaza mbele ya mashahidi wengi, 5703 Phil 1 21 | 21 Naandika nikitumaini kwamba utanikubalia ombi 5704 Acts 20 25 | nikienda huko na huko kati yenu nikiuhubiri Ufalme wa Mungu. Sasa lakini, 5705 1Cor 13 3 | kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama 5706 Mark 8 3 | 3 Nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na 5707 2Cor 2 2 | 2 Maana nikiwahuzunisha ninyi, basi, ni nani atakayenifariji? 5708 Acts 20 35 | 35 Nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya 5709 Acts 26 11 | waadhibiwe katika masunagogi yote nikiwashurutisha waikane imani yao. Hasira 5710 Luke 22 68 | 68 na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu.~ 5711 Acts 6 5 | Nikanora, Timona, Parmena na Nikolao wa Antiokia ambaye hapo 5712 Titus 3 12| Tukiko, fanya bidii kuja Nikopoli unione, maana nimeamua kukaa 5713 Luke 1 3 | mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango,~ 5714 Luke 1 19 | na nimetumwa niseme nawe, nikuletee hii habari njema.~ 5715 Phil 1 9 | upendo, ni afadhali zaidi nikuombe. Nafanya hivi ingawa mimi 5716 Luke 11 7 | tumelala; siwezi kuamka nikupe!`~ 5717 Acts 26 16 | simama wima. Nimekutokea ili nikuweke rasmi kuwa mtumishi wangu. 5718 1Cor 10 30 | namshukuru Mungu, kwa nini nilaumiwe kwa chakula ambacho kwa 5719 2Cor 12 7 | niliyofunuliwa yasinifanye nilewe majivuno, nilipewa maumivu 5720 Acts 17 23 | kwamba katika pitapita yangu niliangalia sanamu zenu za ibada nikakuta 5721 Acts 26 20 | 20 Ila nilianza kuhubiri kwanza kwa watu 5722 1Cor 1 16 | 16 Samahani, nilibatiza pia jamaa ya Stefana; lakini 5723 2Cor 11 24 | 24 Mara tano nilichapwa vile viboko thelathini na 5724 1Cor 5 11 | 11 Nilichoandika ni hiki: msishirikiane na 5725 John 13 26 | nitakayempa kipande cha mkate nilichochovya katika sahani, ndiye." Basi, 5726 2Cor 11 9 | Makedonia waliniletea kila kitu nilichohitaji. Nilikuwa mwangalifu sana 5727 1Tim 1 13 | imani bado, na hivyo sikujua nilichokuwa ninafanya.~ 5728 Gala 2 18 | ikiwa ninajenga tena kile nilichokwisha bomoa, basi nahakikisha 5729 Acts 11 6 | 6 Nilichungulia ndani kwa makini nikaona 5730 2Cor 2 13 | 13 Lakini nilifadhaika sana kwa kutomkuta ndugu 5731 1Cor 13 11 | mchanga nilisema kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. 5732 1Cor 13 11 | kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. Lakini sasa, maadam 5733 Acts 22 3 | chini ya mkufunzi Gamalieli. Nilifundishwa kufuata kwa uthabiti Sheria 5734 2Joh 1 4 | 4 Nilifurahi sana kuona kwamba baadhi 5735 Acts 23 29 | 29 Niligundua kwamba mashtaka yenyewe 5736 Luke 19 20 | akasema: `Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,~ 5737 2Cor 11 7 | 7 Mimi niliihubiri kwenu Habari Njema ya Mungu 5738 Acts 26 5 | wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye 5739 1The 2 18 | kuwatembeleeni tena. Nami, Paulo, nilijaribu kuja kwenu zaidi ya mara 5740 2Cor 11 7 | Mungu bila kudai mshahara; nilijinyenyekeza ili nipate kuwakweza ninyi. 5741 Acts 22 3 | uthabiti Sheria ya wazee wetu. Nilijitolea kwa moyo wote kwa Mungu 5742 2Cor 9 2 | na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo 5743 Ephe 3 3 | 3 Mimi nilijulishwa kwa njia ya ufunuo mpango 5744 Gala 1 18 | Yerusalemu kuonana na Kefa; nilikaa kwake siku kumi na tano.~ 5745 Titus 1 3 | katika ujumbe wake. Mimi nilikabidhiwa ujumbe huo nuutangaze kufuatana 5746 Titus 1 5 | 5 Nilikuacha Krete ili urekebishe yale 5747 Roma 9 17 | yasema hivi kwa Farao: "Nilikufanya mfalme ili kwa njia yako, 5748 Acts 11 16 | 16 Hapo nilikumbuka yale maneno Bwana aliyosema: ` 5749 Rev 1 10 | wakati mmoja, siku ya Bwana, nilikumbwa na Roho, nikasikia nyuma 5750 2Cor 2 12 | Habari Njema ya Kristo, nilikuta mlango u wazi kwa ajili 5751 Acts 10 33 | 33 Kwa hiyo nilikutumia ujumbe bila kuchelewa, nawe 5752 Acts 22 20 | alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo 5753 2Cor 13 2 | 2 Nilikwisha sema, na kama ilivyokuwa 5754 Acts 22 3 | Tarso katika Kilikia. Lakini nililelewa papa hapa mjini Yerusalemu 5755 1Cor 15 9 | kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.~ 5756 2Tim 4 13 | Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee 5757 1Pet 2 6 | msingi, jiwe la thamani kubwa nililoliteua. Mtu atakayemwamini yeye 5758 John 12 48 | wa kumhukumu: neno lile nililosema ni hakimu wake siku ya mwisho.~ 5759 1Cor 1 16 | zaidi ya hawa, sidhani kama nilimbatiza mtu mwingine yeyote.)~ 5760 Roma 9 13 | nilimpenda, lakini Esau nilimchukia."~ 5761 Gala 2 1 | Yerusalemu pamoja na Barnaba; nilimchukua pia Tito pamoja nami.~ 5762 Matt 17 16 | 16 Nilimleta kwa wanafunzi wako lakini 5763 Acts 23 28 | 28 Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu 5764 Roma 9 13 | Matakatifu yasemavyo: "Yakobo nilimpenda, lakini Esau nilimchukia."~ 5765 Gala 2 11 | Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.~ 5766 2Cor 12 8 | 8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo 5767 1Tim 1 13 | 13 ingawa pale awali mimi nilimtukana na kumtesa na kumdhulumu. 5768 2Tim 4 20 | alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa 5769 Acts 25 20 | kuhusu shauri hilo. Basi, nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda 5770 2Cor 4 13 | Niliamini, ndiyo maana nilinena." Nasi pia, tukiwa na moyo 5771 Gala 2 2 | viongozi ujumbe wa Habari Njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. Nilifanya 5772 John 17 5 | mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.~ 5773 Rev 2 26 | Naam, nitawapa uwezo uleule nilioupokea kwa Baba: yaani, watayatawala 5774 John 8 40 | Mimi nimewaambieni ukweli niliousikia kwa Mungu; hata hivyo, ninyi 5775 John 15 3 | kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni.~ 5776 John 13 18 | nyote. Mimi nawajua wale niliowachagua. Lakini lazima yatimie Maandiko 5777 2Cor 2 2 | atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!~ 5778 Acts 15 17 | wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta 5779 1Cor 3 6 | 6 Mimi nilipanda mbegu, Apolo akamwagilia 5780 1Cor 3 1 | watu mlio na huyo Roho. Nilipaswa kusema nanyi kama watu wa 5781 Acts 26 10 | kutoka kwa makuhani wakuu, nilipata kuwatia gerezani wengi wa 5782 2Cor 12 7 | yasinifanye nilewe majivuno, nilipewa maumivu mwilini kama mwiba, 5783 Acts 11 15 | 15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu 5784 Acts 23 30 | 30 Nilipofahamishwa kwamba Wayahudi walikuwa 5785 2Cor 11 8 | 8 Nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji 5786 2Cor 11 9 | nanyi sikumsumbua mtu yeyote nilipohitaji fedha; ndugu waliotoka Makedonia 5787 2Tim 4 16 | 16 Wakati nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna 5788 Rev 10 10 | mwangu kama asali, lakini nilipokimeza kikawa kichungu tumboni 5789 1Cor 2 1 | 1 Ndugu, mimi nilipokuja kwenu sikuwahubiria siri 5790 2Tim 1 6 | ulichopewa na Mungu wakati nilipokuwekea mikono yangu. ~ 5791 Rev 22 8 | niliyaona na kusikia mambo haya. Nilipokwisha sikia na kuona nikajitupa 5792 Gala 2 14 | 14 Basi, nilipoona kuwa msimamo wao kuhusu 5793 2Cor 1 17 | 17 Je, mnadhani nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu 5794 John 1 15 | ndiye niliyemtaja wakati niliposema: `Anakuja mtu mmoja baada 5795 2Cor 2 4 | 4 Nilipowaandikia hapo awali katika hali ya 5796 Hebr 8 9 | nililofanya na babu zao siku ile nilipowaongoza kwa mkono kutoka nchi ya 5797 Luke 22 35 | wanafunzi wake, "Wakati nilipowatuma bila mfuko wa fedha wala 5798 Rev 17 6 | kumtangaza Yesu. Nilipomwona nilishangaa mno.~ 5799 1Pet 5 1 | wenzangu. Mimi mwenyewe nilishuhudia kwa macho yangu mateso ya 5800 Rev 9 16 | 16 Nilisikia idadi ya majeshi wapanda 5801 Rev 4 1 | 1 Baada ya hayo nilitazama nikaona mlango umefunguliwa 5802 2Cor 11 33 | Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi 5803 Acts 28 17 | kupinga desturi za wazee wetu, nilitiwa nguvuni kule Yerusalemu 5804 2Tim 3 11 | Antiokia, Ikonio na Lustra. Nilivumilia udhalimu mkubwa mno! Lakini 5805 2Cor 11 25 | mawe mara moja; mara tatu nilivunjikiwa meli baharini, na humo nikakesha 5806 Acts 27 25 | kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.~ 5807 Gala 6 11 | 11 Tazameni jinsi nilivyoandika kwa herufi kubwa, kwa mkono 5808 Acts 26 4 | yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo kati ya taifa 5809 Matt 18 33 | kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?`~ 5810 1Tim 1 3 | Napenda ukae huko Efeso, kama nilivyokuomba nilipokuwa ninakwenda Makedonia. 5811 Gala 1 13 | dini ya Kiyahudi, na jinsi nilivyolitesa kanisa la Mungu kupita kiasi 5812 Acts 20 19 | 19 Mnajua jinsi nilivyomtumikia Bwana kwa unyenyekevu wote, 5813 Roma 1 13 | mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu wa mataifa 5814 Rev 3 21 | kama vile mimi mwenyewe nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba 5815 Acts 20 18 | aliwaambia, "Mnajua jinsi nilivyotumia wakati wote pamoja nanyi 5816 John 13 15 | ili nanyi pia mfanye kama nilivyowafanyieni.~ 5817 Rev 9 17 | 17 Hivi ndivyo nilivyowaona hao farasi na wapanda farasi 5818 1Cor 16 1 | watu wa Mungu: fanyeni kama nilivyoyaagiza makanisa ya Galatia.~ 5819 John 15 10 | pendo langu, kama vile nami nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa 5820 2Cor 2 13 | ndugu yetu Tito. Ndiyo maana niliwaaga wote pale nikaenda Makedonia.~ 5821 John 15 16 | hamkunichagua mimi; mimi niliwachagueni na kuwatuma mwende mkazae 5822 Gala 2 2 | Katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa Habari 5823 Acts 26 11 | 11 Mara nyingi niliwafanya waadhibiwe katika masunagogi 5824 Acts 26 20 | watu wa mataifa mengine. Niliwahimiza wamgeukie Mungu na kuonyesha 5825 Acts 25 16 | 16 Lakini mimi niliwajibu kwamba si desturi ya Waroma 5826 1Cor 15 3 | 3 Mimi niliwakabidhi ninyi mambo muhimu sana 5827 Hebr 3 10 | 10 Kwa sababu hiyo niliwakasirikia watu hao nikasema, `Fikira 5828 2Cor 12 17 | 17 Je, mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote 5829 Roma 10 21 | Israeli anasema: "Mchana kutwa niliwanyoshea mikono yangu watu waasi 5830 Acts 20 21 | 21 Niliwaonya wote - Wayahudi kadhalika 5831 2Cor 11 8 | Kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia 5832 Gala 1 14 | 14 Naam, mimi niliwashinda wengi wa wananchi wenzangu 5833 Acts 22 4 | 4 Niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata 5834 Acts 22 4 | watu waliofuata Njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake 5835 John 17 12 | 12 Nilipokuwa nao, mimi niliwaweka salama kwa nguvu ya jina 5836 Rev 22 8 | 8 Mimi Yohane, niliyaona na kusikia mambo haya. Nilipokwisha 5837 1Cor 15 3 | muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: kwamba Kristo alikufa kwa 5838 Roma 11 3 | yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua?"~ 5839 1Cor 1 1 | 1 Mimi Paulo, niliyeitwa kuwa mtume wa Kristo Yesu 5840 1Cor 15 8 | akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla 5841 Luke 9 35 | wingu: "Huyu ndiye Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni."~ 5842 2Cor 11 2 | ninyi ni kama bikira safi niliyemposa kwa mwanamume mmoja tu ambaye 5843 John 1 15 | akasema kwa sauti, "Huyu ndiye niliyemtaja wakati niliposema: `Anakuja 5844 Matt 12 18 | Hapa ni mtumishi wangu niliyemteua, mpendwa wangu anipendezaye 5845 2Cor 12 17 | kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma kwenu?~ 5846 2Tim 1 12 | kabisa kwani namjua yule niliyemwamini, tena nina hakika kwamba 5847 John 1 30 | 30 Huyu ndiye niliyesema juu yake: `Baada yangu anakuja 5848 Roma 1 1 | wa Kristo Yesu, na mtume niliyeteuliwa na kuitwa kwa ajili ya kuhubiri 5849 Acts 10 20 | pamoja nao kwa maana ni mimi niliyewatuma."~ 5850 1Cor 4 15 | maisha ya Kikristo mimi ndiye niliyewazaeni kwa kuihubiri Habari Njema.~ 5851 John 19 22 | 22 Pilato akajibu, "Niliyoandika, nimeandika!"~ 5852 John 4 39 | Ameniambia mambo yote niliyofanya."~ 5853 2Cor 12 7 | kusudi mambo haya makuu niliyofunuliwa yasinifanye nilewe majivuno, 5854 Roma 16 25 | katika ile Habari Njema niliyohubiri juu ya ujumbe wa Yesu Kristo, 5855 Gala 4 11 | Nahofu kwamba labda kazi niliyoifanya kwa ajili yenu imepotea 5856 Gala 1 11 | kwamba ile Habari Njema niliyoihubiri si ujumbe wa kibinadamu.~ 5857 Luke 1 20 | Hutaweza kusema mpaka hayo niliyokuambia yatakapotimia."~ 5858 2Tim 1 13 | mafundisho yale ya kweli niliyokufundisha, na kubaki katika hiyo imani 5859 Rev 14 2 | ya ngurumo kubwa. Sauti niliyosikia ilikuwa kama sauti ya wachezaji 5860 John 4 29 | aliyeniambia mambo yote niliyotenda! Je, yawezekana kuwa yeye 5861 1Cor 11 23 | nilipokea kwa Bwana yale maagizo niliyowaachieni: kwamba, usiku ule Bwana 5862 Acts 13 2 | Saulo kwa ajili ya kazi niliyowaitia."~ 5863 John 13 12 | akawaambia, "Je, mmeelewa hayo niliyowatendeeni?~ 5864 John 8 26 | ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."~ 5865 Gala 6 17 | asinisumbue tena, maana alama nilizo nazo mwilini mwangu ni zile 5866 Acts 13 34 | baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.`~ 5867 1Cor 1 11 | 11 Ndugu zangu, habari nilizopata kutoka kwa watu kadhaa wa 5868 Roma 15 22 | 22 Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.~ 5869 1Cor 5 1 | ya watu wasiomjua Mungu. Nimeambiwa eti mmoja wenu anaishi na 5870 Titus 1 1 | Yesu Kristo naandika. Mimi nimechaguliwa kuijenga imani ya wateule 5871 1Cor 3 10 | wa neema aliyonipa Mungu, nimefaulu, kama mwashi stadi mwenye 5872 John 18 20 | daima hadharani. Kila mara nimefundisha katika masunagogi na Hekaluni, 5873 2Cor 11 27 | njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila 5874 Rev 3 8 | Nayajua mambo yako yote! Sasa, nimefungua mbele yako mlango ambao 5875 3Joh 1 3 | 3 Nimefurahi sana ndugu kadhaa walipofika 5876 Roma 7 21 | 21 Basi, nimegundua kanuni hii: ninataka kufanya 5877 Luke 8 46 | Kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka."~ 5878 1Cor 9 17 | 17 Ningekuwa nimeichagua kazi hii kwa hiari, basi, 5879 Roma 15 19 | Yerusalemu mpaka Iluriko, nimeihubiri kikamilifu Habari Njema 5880 John 17 4 | nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa nifanye.~ 5881 Luke 15 9 | pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.`~ 5882 1Cor 9 20 | 20 Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili niwapate 5883 Rev 10 8 | Kisha ile sauti niliyokuwa nimeisikia kutoka mbinguni pale awali 5884 2Tim 4 7 | nimemaliza safari yote na imani nimeitunza.~ 5885 Roma 10 20 | hawakunitafuta wamenipata; nimejionyesha kwao wasiouliza habari zangu."~ 5886 1Cor 9 20 | mimi siko chini ya Sheria, nimejiweka chini ya Sheria kwao, ili 5887 Roma 11 4 | alimjibu nini? Alimwambia: "Nimejiwekea elfu saba ambao hawakumwabudu 5888 1Tim 1 11 | Habari Njema ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri, Habari Njema 5889 2Cor 11 26 | 26 Kila mara safarini nimekabiliwa na hatari za mafuriko ya 5890 2Cor 11 23 | nimepigwa mara nyingi zaidi na nimekaribia kifo mara nyingi.~ 5891 2Cor 11 27 | Nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; 5892 Matt 27 4 | 4 Akawaambia, "Nimekosa kwa kumtoa mtu asiye na 5893 Luke 22 32 | 32 Lakini mimi nimekuombea ili imani yako isipungue. 5894 2Cor 6 2 | asema hivi: "Wakati wa kufaa nimekusikiliza, wakati wa wokovu nikakusaidia." 5895 Acts 13 47 | Bwana alituagiza hivi: `Nimekuteua wewe uwe mwanga kwa mataifa, 5896 Acts 26 16 | inuka sasa; simama wima. Nimekutokea ili nikuweke rasmi kuwa 5897 John 17 4 | 4 Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha 5898 Luke 15 29 | akamjibu: `Kumbuka! Miaka yote nimekutumikia, sijavunja amri yako hata 5899 Roma 4 17 | Maandiko Matakatifu yasemavyo: "Nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi." 5900 Acts 23 6 | mwana wa Mfarisayo. Mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini 5901 John 12 28 | ikasema kutoka mbinguni, "Nimelitukuza, na nitalitukuza tena."~ 5902 Acts 9 15 | akamwambia, "Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze 5903 John 7 23 | mnanikasirikia kwa sababu nimemfanya mtu kuwa mzima kabisa siku 5904 Rev 2 21 | 21 Nimempa muda wa kutubu dhambi zake, 5905 Luke 15 6 | pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.`~ 5906 1Cor 10 30 | chakula ambacho kwa ajili yake nimemshukuru Mungu?"~ 5907 1Cor 16 12 | 12 Kuhusu ndugu Apolo, nimemsihi sana aje kwenu pamoja na 5908 Matt 15 5 | lakini akasema: `Kitu hiki nimemtolea Mungu,`~ 5909 Acts 13 22 | kibali chake kwake akisema: `Nimemwona Daudi mtoto wa Yese; ni 5910 Luke 19 8 | nusu ya mali yangu, na kama nimenyang`anya mtu yeyote kitu, nitamrudishia 5911 Luke 14 20 | 20 Na mwingine akasema: `Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.`~ 5912 Acts 28 20 | 20 Ni kwa sababu hiyo nimeomba kuonana na kuongea nanyi, 5913 Acts 25 11 | 11 Basi, ikiwa nimepatikana na kosa linalostahili adhabu 5914 2Cor 11 23 | gerezani mara nyingi zaidi, nimepigwa mara nyingi zaidi na nimekaribia 5915 John 6 38 | 38 kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili 5916 Acts 26 22 | hivyo mpaka siku ya leo nimesimama imara nikitoa ushuhuda kwa 5917 Gala 6 14 | umesulubiwa kwangu, nami nimesulubiwa kwa ulimwengu.~ 5918 Luke 13 34 | waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetaka kuwakusanya watoto wako 5919 Luke 22 15 | 15 Akawaambia, "Nimetamani sana kula Pasaka hii pamoja 5920 Acts 10 34 | Petro akaanza kusema: "Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana 5921 Matt 27 19 | mtu huyu mwema, maana leo nimeteseka sana katika ndoto kwa sababu 5922 Luke 17 4 | mara akarudi kwako akisema `Nimetubu`, lazima umsamehe."~ 5923 Gala 2 19 | kwa ajili ya Mungu. Mimi nimeuawa pamoja na Kristo msalabani,~ 5924 Luke 2 30 | 30 Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao kwako,~ 5925 John 16 33 | lakini jipeni moyo! Mimi nimeushinda ulimwengu!"~ ~ ~~ ~ 5926 Roma 7 14 | mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa wa dhambi.~ 5927 Acts 7 50 | Vitu hivi vyote ni mimi nimevifanya, au sivyo?`~ 5928 Roma 15 15 | 15 Lakini nimewaandikia hapa na pale katika barua 5929 John 15 19 | si wa ulimwengu, ila mimi nimewachagueni kutoka ulimwenguni, kwa 5930 2Cor 7 8 | kama kwa barua ile yangu nimewahuzunisha, sioni sababu ya kujuta. 5931 John 15 15 | bwana wake. Lakini mimi nimewaita ninyi rafiki, kwa sababu 5932 John 15 15 | ninyi rafiki, kwa sababu nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia 5933 1Tim 1 20 | Humenayo na Aleksanda ambao nimewakabidhi kwa Shetani, ili wafundishwe 5934 Luke 2 10 | Malaika akawaambia, "Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu 5935 John 17 12 | jina lako ulilonipa. Mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja 5936 John 10 32 | 32 Yesu akawaambia, "Nimewaonyesheni kazi nyingi kutoka kwa Baba. 5937 John 13 14 | niliye Bwana na Mwalimu, nimewaosha ninyi miguu, nanyi pia mnapaswa 5938 John 15 9 | 9 Mimi nimewapenda ninyi kama vile Baba alivyonipenda 5939 2Cor 7 14 | 14 Mimi nimewasifu sana mbele yake, na katika 5940 1Cor 13 11 | mtu mzima, mambo ya kitoto nimeyaacha.~ 5941 Acts 7 34 | 34 Nimeyaona mabaya wanayotendewa watu 5942 John 15 15 | nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu.~ 5943 John 18 37 | kwamba mimi ni Mfalme. Mimi nimezaliwa kwa ajili hiyo; na kwa ajili 5944 2Cor 10 8 | 8 Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu 5945 Roma 1 13 | kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. Ningependa kupata mafanikio 5946 Colo 4 15 | Laodikea; msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya 5947 Acts 25 15 | walimshtaki na kuniomba nimhukumu.~ 5948 John 10 15 | vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Mimi nayatoa maisha 5949 Acts 23 18 | Paulo ameniita akaniomba nimlete kijana huyu kwako kwa maana 5950 1Cor 9 19 | nimejifanya mtumwa wa kila mtu ili nimpatie Kristo watu wengi iwezekanavyo.~ 5951 Matt 18 21 | ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?"~ 5952 John 3 28 | Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!`~ 5953 Luke 23 22 | nitampiga viboko, halafu nimwachilie."~ 5954 Rev 1 12 | 12 Basi, nikageuka nimwone huyo aliyesema nami, nikaona 5955 2Cor 13 10 | 10 Basi, ninaandika barua hii nikiwa mbali, 5956 Roma 7 15 | ninachotaka sikifanyi, bali kile ninachochukia ndicho nikifanyacho.~ 5957 Acts 20 23 | 23 Ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu 5958 Acts 24 14 | 14 Ninachokubali mbele yako ni hiki: Mimi 5959 2Cor 12 14 | na sitawasumbua. Maana ninachotafuta si mali zenu, bali ni ninyi 5960 Gala 5 11 | lazima, kwa nini basi, bado ninadhulumiwa? Kama ingalikuwa hivyo, 5961 Colo 2 5 | pamoja nanyi kwa roho, na ninafurahi kuona uthabiti kamili mnaosimama 5962 Gala 5 11 | ndugu zangu, kama bado ninahubiri kwamba kutahiriwa ni lazima, 5963 1Cor 9 16 | 16 Ikiwa ninaihubiri Habari Njema, hilo si jambo 5964 Gala 1 13 | sikia jinsi nilivyokuwa ninaishi zamani kwa kuzingatia dini 5965 Acts 26 6 | hapa nihukumiwe kwa sababu ninaitumainia ile ahadi ambayo Mungu aliwaahidia 5966 Roma 7 25 | binafsi, kwa akili yangu, ninaitumikia sheria ya dhambi.~ ~ ~~ ~ 5967 James 1 13| mtu akijaribiwa, asiseme: "Ninajaribiwa na Mungu." Maana Mungu hawezi 5968 Gala 2 18 | 18 Lakini ikiwa ninajenga tena kile nilichokwisha 5969 Acts 26 2 | 2 "Mfalme Agripa, ninajiona mwenye bahati leo kujitetea 5970 John 8 14 | Yesu akawajibu, "Hata kama ninajishuhudia mwenyewe, ushahidi wangu 5971 Acts 24 16 | 16 Kwa hiyo ninajitahidi daima kuwa na dhamiri njema 5972 Rev 3 17 | unajisema, `Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote.` 5973 Roma 11 13 | watu wa mataifa mengine, ninajivunia huduma yangu,~ 5974 Rev 18 7 | Maana anajisemea moyoni: `Ninaketi hapa; mimi ni malkia. Mimi 5975 Luke 15 17 | wanaokula na kusaza, nami ninakufa njaa?~ 5976 Luke 4 34 | Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni mjumbe 5977 Acts 26 3 | Wayahudi na migogoro yao, ninakuomba basi unisikilize kwa uvumilivu.~ 5978 Titus 3 8 | 8 Jambo hili ni kweli. Ninakutaka uyatilie mkazo mambo haya, 5979 Roma 7 21 | kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua.~ 5980 Roma 7 19 | kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka.~ 5981 Matt 10 27 | 27 Ninalowaambieni ninyi katika giza, lisemeni 5982 Acts 19 15 | Lakini pepo mbaya aliwajibu, "Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, 5983 Acts 19 15 | aliwajibu, "Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini ninyi 5984 2Cor 2 10 | Mkimsamehe mtu, nami pia ninamsamehe. Maana ninaposamehe - kama 5985 Acts 20 22 | sikilizeni! Mimi, nikiwa ninamtii Roho, nakwenda Yerusalemu 5986 Luke 7 27 | mtumishi wangu, asema Bwana; ninamtuma akutangulie, akutayarishie 5987 Acts 27 25 | waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba itakuwa sawa 5988 John 6 51 | nitakaompa ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu."~ 5989 2Joh 1 1 | mteule, pamoja na watoto wako ninaowapenda kweli. Wala si mimi tu ninayewapenda, 5990 Luke 4 43 | Lakini yeye akawaambia, "Ninapaswa kuhubiri Habari Njema za 5991 2Tim 1 3 | wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu. ~ 5992 Acts 25 10 | Kaisari na papa hapa ndipo ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua 5993 Phil 1 4 | 4 Kila wakati ninaposali nakukumbuka wewe Filemoni, 5994 2Cor 2 10 | nami pia ninamsamehe. Maana ninaposamehe - kama kweli ninacho cha 5995 Matt 13 13 | 13 Ndiyo maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu 5996 John 8 55 | kama ninyi. Mimi namjua na ninashika neno lake.~ 5997 Acts 25 18 | mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.~ 5998 Roma 7 16 | 16 Ikiwa basi, ninatenda kinyume cha matakwa yangu, 5999 Luke 16 24 | auburudishe ulimi wangu, maana ninateseka mno katika moto huu.`~ 6000 2The 3 17 | sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika.~ 6001 Luke 12 50 | inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!~ 6002 Ephe 3 4 | yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo.)~ 6003 1Cor 11 1 | 1 Niigeni mimi kama ninavyomwiga Kristo.~ 6004 1Cor 9 26 | 26 Ndivyo basi, ninavyopiga mbio nikiwa na nia ya kushinda; 6005 1Cor 9 26 | nia ya kushinda; ndivyo ninavyopigana, na si kama bondia anayetupa 6006 John 5 31 | mwenyewe. Mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu 6007 2The 3 17 | kutoka kwa Paulo! Hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo 6008 Rev 2 6 | wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.~ 6009 Acts 19 13 | wabaya. Walikuwa wakisema: "Ninawaamuru kwa jina la Yesu ambaye 6010 Roma 1 7 | 7 Basi, ninawaandikia ninyi nyote mlioko Roma 6011 Matt 3 11 | 11 Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba 6012 Ephe 1 16 | kumshukuru Mungu kwa ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu~ 6013 Roma 1 9 | ni shahidi wangu kwamba ninawakumbukeni~ 6014 Acts 27 22 | 22 Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata 6015 Mark 8 24 | kipofu akatazama, akasema, "Ninawaona watu wanaoonekana kama miti 6016 2Cor 11 2 | 2 Ninawaoneeni wivu lakini ni wivu wa Mungu; 6017 Matt 23 34 | 34 Ndiyo maana mimi ninawapelekea ninyi manabii, watu wenye 6018 Ephe 6 23 | 23 Ninawatakieni ninyi ndugu amani, upendo 6019 Acts 20 26 | 26 Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea 6020 Luke 10 3 | nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma ninyi kama kondoo wanaokwenda 6021 Acts 20 32 | 32 "Na sasa basi, ninawaweka ninyi chini ya ulinzi wa 6022 Roma 7 1 | mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua Sheria. Sheria 6023 Acts 8 31 | 31 Huyo mtu akamjibu, "Ninawezaje kuelewa bila mtu kunielewesha?" 6024 1Cor 7 40 | yangu, na nafikiri mimi pia ninaye Roho wa Mungu.~ ~ ~~ ~ 6025 Roma 16 22 | 22 Nami Tertio, ninayeandika barua hii nawasalimuni katika 6026 Rev 2 23 | yatambue kwamba mimi ndiye ninayechunguza mioyo na fikira za watu.~ 6027 Matt 3 14 | kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe."~ 6028 3Joh 1 1 | wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.~ 6029 Acts 17 23 | mnayemwabudu bila kujua, ndiye ninayemhubiri kwenu.~ 6030 Rev 3 19 | kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa hiyo kaza moyo, achana 6031 John 13 20 | nawaambieni anayempokea yule ninayemtuma anaponipokea mimi; na anayenipokea 6032 Matt 17 5 | Huyu ni Mwanangu mpendwa, ninayependezwa naye, msikilizeni."~ 6033 Luke 9 9 | kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?" Akawa na hamu 6034 2Joh 1 1 | ninaowapenda kweli. Wala si mimi tu ninayewapenda, bali pia wote wanaoujua 6035 1Cor 4 17 | Bwana. Atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuishi maisha ya 6036 Roma 2 16 | kufuatana na hii Habari Njema ninayohubiri, ndivyo itakavyokuwa wakati 6037 2Tim 2 8 | kama isemavyo Habari Njema ninayoihubiri.~ 6038 Gala 2 20 | ndani yangu. Maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani 6039 Phil 1 21 | utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.~ 6040 2Cor 8 24 | kuona kweli kwamba fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.~ ~~ ~ 6041 Ephe 3 13 | moyo kwa sababu ya mateso ninayopata kwa ajili yenu, maana hayo 6042 Luke 16 2 | akamwambia: `Ni mambo gani haya ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya 6043 John 15 14 | ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.~ 6044 John 10 38 | 38 Lakini ikiwa ninazifanya, hata kama hamniamini, walau 6045 Rev 1 18 | mzima milele na milele. Ninazo funguo za kifo na Kuzimu.~ 6046 John 5 37 | wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, 6047 1Cor 9 18 | Njema bure, bila kudai haki ninazostahili kwa kuihubiri.~ 6048 John 10 25 | lakini hamsadiki. Kazi ninazozifanya mimi kwa jina la Baba yangu 6049 John 9 5 | 5 Wakati ningali ulimwenguni, mimi ni mwanga 6050 John 14 2 | mna makao mengi; la sivyo ningalikwisha waambieni. Sasa nakwenda 6051 Gala 4 20 | pamoja nanyi sasa, maana ningalipata msimamo ufaao juu yenu! 6052 Gala 1 10 | nataka kuwapendeza watu? Kama ningefanya hivyo, mimi singekuwa kamwe 6053 Luke 19 23 | fedha yangu benki, nami ningeichukua pamoja na faida baada ya 6054 Matt 25 27 | yangu katika benki, nami ningelichukua mtaji wangu na faida yake!~ 6055 2Cor 12 6 | 6 Kama ningetaka kujivuna singekuwa mpumbavu 6056 1Cor 9 17 | kazi hii kwa hiari, basi, ningetazamia malipo; lakini maadam naifanya 6057 Matt 14 30 | akalia kwa sauti, "Bwana, niokoe!"~ 6058 John 14 9 | nawe hujanijua? Aliyekwisha niona mimi amemwona Baba. Unawezaje 6059 1Cor 7 40 | 40 Lakini, nionavyo mimi, atakuwa na heri zaidi 6060 Ephe 6 19 | 19 Niombeeni nami pia ili niongeapo Mungu anijalie cha kusema, 6061 James 2 18| mimi ninayo matendo!" Haya! Nionyeshe jinsi mtu anavyoweza kuwa 6062 John 13 9 | Petro akamwambia, "Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono 6063 Roma 11 19 | Matawi yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe mahali pake."~ 6064 Luke 24 39 | kwamba ni mimi mwenyewe. Nipapaseni mkanione, maana mzimu hauna 6065 Acts 8 19 | 19 "Nipeni na mimi uwezo huo ili yeyote 6066 Acts 23 3 | unaivunja Sheria kwa kuamuru nipigwe?"~ 6067 John 12 27 | ndiyo maana nimekuja - ili nipite katika saa hii.~ 6068 John 3 30 | azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.~ 6069 Luke 19 5 | upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako."~ 6070 Luke 10 40 | kwamba dada yangu ameniacha nishughulike peke yangu? Mwambie basi, 6071 Luke 13 7 | matunda ya mtini huu, nami nisiambulie kitu. Ukate! Kwa nini uitumie 6072 Acts 8 36 | kuna chochote cha kunizuia nisibatizwe?"*fa*~ 6073 Luke 19 22 | yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.~ 6074 2Cor 12 7 | Shetani mwenye kunipiga nisijivune kupita kiasi.~ 6075 Acts 1 4 | zawadi ambayo mlikwisha nisikia nikiongea juu yake.~ 6076 2Cor 13 10 | ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa mkali kwenu kwa kutumia 6077 Roma 7 19 | ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka.~ 6078 Luke 1 19 | akamjibu, "Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu, na nimetumwa 6079 Acts 10 28 | Lakini Mungu amenijulisha nisimfikirie mtu yeyote kuwa najisi au 6080 John 6 39 | aliyenituma ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale 6081 Acts 23 27 | na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma 6082 John 15 24 | 24 Kama nisingalifanya kwao mambo ambayo hakuna 6083 John 15 22 | 22 Kama nisingalikuja na kusema nao wasingalikuwa 6084 John 18 11 | Rudisha upanga wako alani. Je, nisinywe kikombe alichonipa Baba?"~ 6085 John 4 15 | Mheshimiwa, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; nisije tena mpaka 6086 John 13 8 | kamwe!" Yesu akamjibu, "Nisipokuosha hutakuwa na uhusiano nami 6087 John 16 7 | mimi niende zangu, maana nisipokwenda Msaidizi hatakuja kwenu. 6088 John 20 25 | Bwana." Thoma akawaambia, "Nisipoona mikononi mwake alama za 6089 John 18 36 | watumishi wangu wangenipigania nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini 6090 2Cor 11 12 | kama ninavyofanya sasa, ili nisiwape nafasi wale wanaotafuta 6091 2Cor 2 1 | 1 Basi nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.~ 6092 2Cor 11 9 | Nilikuwa mwangalifu sana nisiwe mzigo kwa namna yoyote ile, 6093 2Cor 12 20 | kwenu nitawakuta katika hali nisiyopenda, nami itanilazimu kuwa katika 6094 John 16 32 | mtatawanyika kila mtu kwake, nami nitaachwa peke yangu. Kumbe, lakini 6095 Luke 23 16 | 16 Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia."* 6096 1Cor 16 8 | 8 Lakini nitabaki hapa Efeso mpaka siku ya 6097 Luke 12 18 | 18 Nitafanya hivi: nitabomoa ghala zangu na kujenga kubwa 6098 Luke 12 17 | akafikiri moyoni mwake: `Nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia 6099 Matt 27 63 | ati, `Baada ya siku tatu nitafufuka.`~ 6100 Matt 16 21 | Nitauawa, na siku ya tatu nitafufuliwa."~ 6101 Luke 12 18 | kujenga kubwa zaidi, na humo nitahifadhi mavuno yangu yote na mali 6102 1Cor 1 19 | Maandiko Matakatifu yasema: "Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, 6103 Acts 15 16 | ya mambo haya nitarudi. Nitaijenga tena ile nyumba ya Daudi 6104 Rev 3 20 | yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula 6105 1Cor 1 19 | hekima, na elimu ya wataalamu nitaitupilia mbali."~ 6106 Matt 12 18 | wangu anipendezaye moyoni. Nitaiweka Roho yangu juu yake, naye 6107 2Pet 1 15 | 15 Basi, nitajitahidi kuwapatieni njia ya kuyakumbuka 6108 1Cor 13 12 | tu, lakini hapo baadaye nitajua yote kikamilifu, kama vile 6109 1Cor 16 6 | niendelee na safari yangu kokote nitakakokwenda.~ 6110 Rev 22 12 | Naja upesi, pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na 6111 Luke 13 32 | wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.`~ 6112 John 6 51 | ataishi milele. Na mkate nitakaompa ni mwili wangu ninaoutoa 6113 2Cor 13 10 | barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa 6114 Luke 16 4 | Naam, najua la kufanya, ili nitakapofukuzwa kazi, watu waweze kunikaribisha 6115 John 12 32 | 32 Nami nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila 6116 1Cor 4 19 | kwenu upesi; na hapo ndipo nitakapojionea mwenyewe, sio tu kile wanachoweza 6117 Rev 3 3 | mwizi, na wala hutaijua saa nitakapokujia.~ 6118 Matt 2 13 | Misri. Kaeni huko mpaka nitakapokwambia, maana Herode anakusudia 6119 Roma 15 28 | 28 Nitakapokwisha tekeleza kazi hiyo na kuwakabidhi 6120 Luke 17 8 | tayari kunitumikia mpaka nitakapomaliza kula na kunywa, ndipo nawe 6121 Acts 24 25 | unaweza kwenda; nitakuita tena nitakapopata nafasi."~ 6122 Acts 7 50 | kunijengea, na ni mahali gani nitakapopumzika? Vitu hivi vyote ni mimi 6123 Acts 2 35 | 35 hadi nitakapowafanya adui zako kibao cha kukanyagia 6124 Mark 12 36 | upande wangu wa kulia, Mpaka nitakapowaweka adui zako chini ya miguu 6125 Acts 25 21 | niliamua akae kizuizini mpaka nitakapoweza kumpeleka kwa Kaisari."~ 6126 Roma 11 27 | nitakalofanya nao wakati nitakapoziondoa dhambi zao."~ 6127 John 13 26 | 26 Yesu akajibu, "Yule nitakayempa kipande cha mkate nilichochovya 6128 John 15 26 | Atakapokuja huyo Msaidizi nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyo 6129 Acts 8 19 | mimi uwezo huo ili yeyote nitakayemwekea mikono, apokee Roho Mtakatifu."~ 6130 Acts 7 3 | wako; nenda katika nchi nitakayokuonyesha!`~ 6131 Matt 11 16 | 16 "Basi, nitakifananisha kizazi hiki na kitu gani? 6132 Rev 17 7 | Kwa nini unashangaa? Mimi nitakuambia maana iliyofichika ya mwanamke 6133 Hebr 6 14 | 14 Mungu alisema: "Hakika nitakubariki na nitakupa wazawa wengi."~ 6134 Acts 24 25 | Kwa sasa unaweza kwenda; nitakuita tena nitakapopata nafasi."~ 6135 Acts 26 17 | 17 Nitakuokoa na watu wa Israeli na watu 6136 Acts 7 43 | mlizoabudu. Kwa sababu hiyo nitakupeleka mateka mbali kupita Babuloni!`~ 6137 Rev 3 16 | si baridi wala si moto, nitakutapika!~ 6138 Rev 3 10 | kuwa na uvumilivu, nami pia nitakutegemeza salama wakati ule wa dhiki 6139 Acts 7 34 | nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.`~


110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License