110-alifu | aligu-aliyo | alizi-anaye | anayo-bwana | chagu-havit | haviw-ilien | ilifu-kitak | kitam-kuthu | kutib-mahem | majah-mnaos | mnaot-niazi | nichu-nitak | nital-tulip | tulis-ukims | ukimw-utaka | utaku-wakii | wakij-wamej | wamek-watai | wataj-zimee | zimef-zungu
Book, Chapter, Verse
8171 1Cor 14 23 | kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini,
8172 Acts 19 13 | walisafiri huko na huko, wakijaribu kulitumia jina la Bwana
8173 Luke 23 48 | yaliyotukia, walirudi makwao wakijipiga vifua kwa huzuni.~
8174 Acts 27 44 | 44 na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande
8175 Luke 9 5 | 5 Watu wakikataa kuwakaribisha, tokeni katika
8176 Luke 2 8 | hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo
8177 Matt 18 19 | nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo
8178 Acts 5 12 | ya watu. Waumini walikuwa wakikutana pamoja katika ukumbi wa
8179 Acts 24 1 | pamoja na wazee kadhaa na wakili mmoja wa sheria aitwaye
8180 Acts 5 23 | limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua
8181 Luke 8 32 | na kundi kubwa la nguruwe wakilisha mlimani. Basi, hao pepo
8182 Luke 20 26 | watu na hivyo wakakaa kimya wakilistaajabia jibu lake.~
8183 Mark 13 6 | 6 Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, wakisema, `Mimi
8184 John 11 31 | nyumbani pamoja na Maria wakimfariji walipomwona ameinuka na
8185 Mark 11 4 | amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,~
8186 Luke 11 16 | 16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara
8187 Matt 27 54 | jemadari na wale waliokuwa wakimlinda Yesu walipoona tetemeko
8188 Luke 23 26 | 26 Walipokuwa wakimpeleka, walikutana na mtu mmoja,
8189 Luke 24 53 | wakakaa muda wote Hekaluni wakimsifu Mungu.~ ~
8190 Acts 19 31 | walimtumia Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda
8191 Luke 19 48 | maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa.~ ~ ~~ ~
8192 Luke 18 39 | waliotangulia wakamkemea wakimwambia anyamaze; lakini yeye akazidi
8193 Hebr 11 16 | Ndiyo maana Mungu haoni haya wakimwita yeye Mungu wao, kwa sababu
8194 Luke 24 43 | Akakichukua, akala, wote wakimwona.~
8195 2Pet 2 4 | Jehanamu ambako wamefungwa wakingojea Siku ile ya Hukumu.~
8196 John 15 24 | sasa wameona niliyoyafanya wakinichukia mimi, wakamchukia na Baba
8197 John 7 32 | Mafarisayo waliwasikia watu wakinong`ona maneno hayo juu ya Yesu.
8198 Luke 19 40 | Nawaambieni, kama hawa wakinyamaza, hakika hayo mawe yatapaza
8199 Mark 16 18 | 18 Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu,
8200 Matt 24 38 | walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka Noa alipoingia
8201 Acts 2 47 | idadi ya watu waliokuwa wakiokolewa.~ ~ ~~ ~
8202 James 5 15| 15 Wakiomba kwa imani mgonjwa ataponyeshwa;
8203 Luke 9 33 | watu hao wawili walipokuwa wakiondoka, Petro alimwambia Yesu, "
8204 John 1 51 | zinafunguka na malaika wa Mungu wakipanda na kushuka juu ya Mwana
8205 Acts 5 15 | sababu hiyo, watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza
8206 Acts 26 5 | wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi
8207 Acts 7 26 | aliwaona Waisraeli wawili wakipigana, akajaribu kuwapatanisha,
8208 Luke 9 57 | 57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia
8209 Luke 17 35 | Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa
8210 Luke 1 21 | wanamngoja Zakariya huku wakishangaa juu ya kukawia kwake Hekaluni.~
8211 Acts 14 5 | mataifa mengine na Wayahudi, wakishirikiana na wakuu wao, waliazimu
8212 Luke 8 10 | wakitazama wasiweze kuona, na wakisikia wasifahamu.~
8213 Luke 20 47 | Huwadhulumu wajane huku wakisingizia kuwa wema kwa kusali sala
8214 Luke 5 1 | wengi walikuwa wamemzunguka wakisongana wanalisikiliza neno la Mungu.~
8215 Luke 2 33 | mama yake Yesu walikuwa wakistaajabia maneno aliyosema Simeoni
8216 Mark 6 48 | akawaona wanafunzi wake wakitaabika kwa kupiga makasia, maana
8217 Matt 12 46 | walipofika na kusimama nje, wakitaka kusema naye.~
8218 John 8 9 | wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitanguliwa na wazee. Yesu akabaki peke
8219 Acts 13 43 | wakawatia moyo waendelee kuishi wakitegemea neema ya Mungu.~
8220 Matt 15 31 | wamelemaa wamepona, viwete wakitembea na vipofu wakiona; wakamsifu
8221 Matt 4 21 | pamoja na baba yao Zebedayo, wakitengeneza nyavu zao. Basi Yesu akawaita,~
8222 Mark 12 41 | jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika
8223 Rev 16 13 | watatu walio kama vyura, wakitoka kinywani mwa yule joka,
8224 Matt 8 28 | na pepo wakakutana naye wakitokea makaburini. Watu hawa walikuwa
8225 Acts 17 5 | Wakaivamia nyumba ya Yasoni wakitumaini kuwapata humo Paulo na Sila
8226 Acts 2 12 | walishangaa na kufadhaika huku wakiulizana, "Hii ina maana gani?"~
8227 Acts 17 6 | kelele: "Watu hawa wamekuwa wakivuruga dunia yote na sasa wako
8228 Luke 24 36 | Wanafunzi wote wawili walipokuwa wakiwaambia hayo, Yesu mwenyewe akasimama
8229 Matt 24 26 | 26 Basi, wakiwaambieni, `Tazameni, yuko jangwani,`
8230 Acts 11 20 | watu wa mataifa mengine wakiwahubiria ile Habari Njema juu ya
8231 Luke 10 8 | mkifika mji fulani na watu wakiwakaribisha, kuleni wanavyowapeni.~
8232 Acts 15 33 | ndugu wa Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa
8233 Acts 15 32 | hao ndugu kwa muda mrefu wakiwatia moyo na kuwaimarisha.~
8234 Matt 5 11 | 11 "Heri yenu ninyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia
8235 Luke 8 3 | kadhaa. Hao wanawake walikuwa wakiwatumikia kwa mali yao wenyewe.~
8236 Luke 23 27 | walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza
8237 1Cor 14 27 | 27 Wakiwepo watu wenye vipaji vya kusema
8238 Mark 1 19 | walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.~
8239 1Tim 5 13 | huanza kupoteza wakati wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena
8240 Roma 10 1 | wote hao wananchi wenzangu wakombolewe. Tena nawaombea kwa Mungu
8241 1Tim 1 3 | wanaofundisha mafundisho ya uongo. Wakomeshe watu hao.~
8242 Titus 1 6 | waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.~
8243 Titus 1 12| pia ni Mkrete, alisema: "Wakrete, husema uongo daima; ni
8244 Acts 28 23 | Mungu akijaribu kuwafanya wakubali habari juu ya Yesu kwa kutumia
8245 Roma 5 19 | mmoja kutawafanya wengi wakubaliwe kuwa waadilifu.~
8246 Luke 4 10 | Atawaamuru malaika wake wakulinde,`~
8247 Acts 23 20 | akasema, "Wayahudi wamepatana wakuombe umpeleke Paulo Barazani
8248 Acts 20 17 | ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.~
8249 John 18 20 | masunagogi na Hekaluni, mahali wakutanikiapo Wayahudi wote; na wala sijasema
8250 1Cor 5 10 | walio wazinzi, wachoyo, walaghai na wenye kuabudu sanamu.
8251 Hebr 10 38 | mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi nyuma, mimi sitapendezwa
8252 1Cor 6 9 | wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti,~
8253 Ephe 6 4 | msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho
8254 Acts 23 30 | Nikamwambia washtaki wake walete mashtaka yao mbele yako."~
8255 Luke 19 27 | hawapendi niwe mfalme wao, waleteni hapa, mkawaue papa hapa
8256 2Cor 2 2 | nani atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!~
8257 John 4 20 | 20 Babu zetu waliabudu juu ya mlima huu, lakini
8258 Acts 11 18 | 18 Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu
8259 Luke 9 32 | usingizi mzito, hata hivyo waliamka, wakauona utukufu wake,
8260 Acts 17 32 | kufufuka kwa wafu, wengine wao waliangua kicheko; lakini wengine
8261 Rev 5 8 | wazee ishirini na wanne walianguka kifudifudi mbele ya Mwanakondoo.
8262 Acts 14 5 | wakishirikiana na wakuu wao, waliazimu kuwatendea vibaya hao mitume
8263 Acts 28 6 | lolote lisilo la kawaida, walibadilisha fikira zao juu yake, wakasema
8264 Acts 17 18 | falsafa ya Epikuro na Stoiki walibishana naye. Wengine walisema, "
8265 Acts 14 2 | waliokataa kuwa waumini walichochea na kutia chuki katika mioyo
8266 Acts 2 37 | watu waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza Petro
8267 Mark 5 36 | 36 Lakini, bila kujali walichosema, Yesu akamwambia mkuu wa
8268 Gala 1 23 | Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: "Mtu yule aliyekuwa akitutesa
8269 Matt 15 12 | unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa waliposikia maneno yako?"~
8270 Hebr 11 36 | 36 Wengine walidhihakiwa na kupigwa mijeledi, na
8271 Acts 15 30 | ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita
8272 Hebr 11 34 | 34 Walizima mioto mikali, waliepuka kuuawa kwa upanga. Walikuwa
8273 Roma 5 19 | kwa mtu mmoja watu wengi walifanywa wenye dhambi, kadhalika
8274 Acts 10 23 | baadhi ya ndugu wa huko Yopa walifuatana naye.~
8275 Acts 12 16 | anaendelea kupiga hodi. Mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.~
8276 Hebr 11 36 | kupigwa mijeledi, na wengine walifungwa minyororo na kutupwa gerezani.~
8277 Acts 14 4 | 4 Watu wa mji huo waligawanyika: wengine waliwaunga mkono
8278 Acts 7 54 | Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa
8279 Roma 16 4 | 4 Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu.
8280 1Pet 4 6 | anavyohukumiwa kila mmoja, walihubiriwa Habari Njema kusudi katika
8281 Rev 16 6 | 6 Maana waliimwaga damu ya watu wako na ya
8282 John 19 20 | 20 Wayahudi wengi waliisoma ilani hiyo, maana mahali
8283 Rev 9 19 | na vichwa kama nyoka, na waliitumia hiyo kuwadhuru watu.~
8284 Acts 11 26 | mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo. ic~
8285 Acts 13 45 | walipoliona hilo kundi la watu walijaa wivu, wakapinga alichokuwa
8286 2Cor 8 2 | 2 Waumini wa huko walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha
8287 Mark 10 32 | anawatangulia. Wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu waliofuata
8288 Acts 27 27 | usiku wa manane wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu.~
8289 Gala 2 4 | waliotaka atahiriwe. Watu hawa walijiingiza kwa ujanja na kupeleleza
8290 Matt 16 5 | upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.~
8291 Roma 9 32 | badala ya kutegemea imani. Walijikwaa juu ya jiwe la kujikwaa~
8292 Luke 18 9 | pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau
8293 Acts 28 28 | Wao watasikiliza!"*fd* walijiondokea huku wakiwa wanabishana
8294 Acts 19 18 | 18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo
8295 2Cor 8 5 | hatukulitazamia kabisa! Kwanza walijitolea wao wenyewe kwa Bwana, kisha
8296 Mark 3 11 | pepo wachafu walipomwona, walijitupa chini mbele yake na kupaaza
8297 Acts 15 4 | 4 Walipofika Yerusalemu walikaribishwa na kanisa, mitume na wazee;
8298 Acts 27 40 | 40 Hivyo walikata nanga na kuziacha baharini,
8299 1Cor 10 7 | yasemavyo Maandiko: "Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama
8300 Acts 14 6 | walipogundua jambo hilo, walikimbilia Lustra na Derbe, miji ya
8301 Roma 11 7 | lakini wote walioteuliwa walikipata. Wengine walipumbazwa,~
8302 Acts 19 19 | wakavichoma mbele ya wote. Walikisia gharama ya vitabu hivyo,
8303 Matt 26 57 | kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokusanyika walimu wa Sheria na wazee.~
8304 Hebr 11 15 | wangalikuwa wanaifikiria nchi walikotoka zamani, wangalipata nafasi
8305 John 2 22 | kutoka wafu, wanafunzi wake walikumbuka kwamba alikuwa amesema hayo,
8306 Acts 19 19 | mambo ya uchawi hapo awali, walikusanya vitabu vyao, wakavichoma
8307 Luke 24 2 | 2 Walikuta lile jiwe limeviringishwa
8308 Matt 27 55 | 55 Mahali hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama
8309 Luke 9 14 | 14 (Walikuwepo pale wanaume wapatao elfu
8310 Acts 6 13 | 13 Walileta Barazani mashahidi wa uongo
8311 Acts 9 24 | mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini
8312 Acts 7 45 | 45 Kisha babu zetu walilipokezana wao kwa wao mpaka wakati
8313 Acts 24 20 | hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama
8314 Acts 3 2 | kiwete tangu kuzaliwa. Watu walimbeba huyo mtu kila siku na kumweka
8315 Acts 17 6 | Lakini hawakuwapata na hivyo walimburuta Yasoni pamoja na ndugu wengine
8316 Acts 10 2 | pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; alikuwa anafanya
8317 Luke 19 14 | Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe
8318 Acts 19 33 | 33 Kwa vile Wayahudi walimfanya Aleksanda ajitokeze mbele,
8319 Hebr 11 23 | Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi
8320 Matt 19 3 | 3 Mafarisayo kadhaa walimjia, wakamwuliza kwa kumtega, "
8321 Mark 15 10 | wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya
8322 John 4 45 | Galilaya, Wagalilaya wengi walimkaribisha. Maana nao pia walikuwa
8323 Jude 1 15 | mabaya ambayo watu waovu walimkashifu nayo."~
8324 Mark 10 48 | 48 Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye
8325 Acts 11 2 | mataifa mengine watahiriwe, walimlaumu wakisema:~
8326 Matt 27 18 | maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.~
8327 Mark 3 2 | 2 Humo baadhi ya watu walimngojea amponye mtu huyo siku ya
8328 Rev 20 10 | linalowaka moto wa kiberiti, walimo yule mnyama na yule nabii
8329 Acts 12 20 | Tiro na Sidoni. Lakini wao walimpelekea wajumbe. Nao wakafaulu kwanza
8330 Luke 22 63 | waliokuwa wanamchunga Yesu, walimpiga na kumdhihaki.~
8331 Acts 12 22 | 22 Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, "
8332 Acts 25 15 | wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki na kuniomba nimhukumu.~
8333 Acts 13 29 | yameandikwa kumhusu yeye, walimshusha kutoka msalabani, wakamweka
8334 John 1 37 | 37 Hao wanafunzi walimsikia Yohane akisema maneno hayo,
8335 Acts 8 10 | wote, wadogo na wakubwa, walimsikiliza kwa makini wakisema, "Simoni
8336 Matt 14 33 | waliokuwa ndani ya mashua walimsujudia, wakasema, "Hakika wewe
8337 Acts 7 39 | waliyemkataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi
8338 Matt 27 35 | 35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi
8339 Matt 21 46 | waliwaogopa watu kwa sababu wao walimtambua yeye kuwa nabii.~ ~~
8340 Matt 17 12 | nao hawakumtambua, bali walimtendea jinsi walivyotaka. Mwana
8341 Acts 18 27 | kwenda Akaya, wale ndugu walimtia moyo kwa kuwaandikia wafuasi
8342 Luke 24 20 | Makuhani na watawala wetu walimtoa ahukumiwe kufa, wakamsulubisha.~
8343 Acts 19 31 | waliokuwa rafiki zake, walimtumia Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe
8344 Gala 2 13 | Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo
8345 Acts 18 12 | mkoa wa Akaya, Wayahudi walimvamia Paulo kwa pamoja na kumpeleka
8346 Mark 15 20 | 20 Baada ya kumdhihaki, walimvua lile joho, wakamvika nguo
8347 Acts 7 40 | 40 Walimwambia Aroni: `Tutengenezee miungu
8348 John 12 2 | 2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye
8349 Luke 9 10 | Wale mitume waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya. Yesu
8350 John 16 8 | atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu
8351 Acts 4 36 | lake Yosefu, ambaye mitume walimwita jina Barnaba (maana yake, "
8352 Matt 22 28 | ndugu saba? Maana Wote saba walimwoa." ~
8353 Acts 7 9 | 9 "Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamuuza utumwani
8354 Acts 8 2 | 2 Watu wamchao Mungu, walimzika Stefano na kumfanyia maombolezo
8355 Acts 19 30 | watu, lakini wale waumini walimzuia.~
8356 2Tim 4 16 | aliyesimama upande wangu; wote waliniacha. Mungu asiwahesabie kosa
8357 Hebr 3 9 | 9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, asema Bwana,
8358 Acts 26 21 | Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa Hekaluni, wakajaribu
8359 Acts 25 24 | hapa na kule Yerusalemu walinilalamikia wakipiga kelele kwamba hastahili
8360 2Cor 11 9 | ndugu waliotoka Makedonia waliniletea kila kitu nilichohitaji.
8361 Acts 6 1 | Wale waliosema Kigiriki walinung`unika kwamba wajane wao
8362 Mark 16 1 | na Maria mama yake Yakobo walinunua manukato ili wakaupake mwili
8363 Hebr 11 35 | 35 Na, wanawake walioamini walirudishiwa wafu wao wakiwa
8364 Acts 22 5 | Kutoka kwao nilipokea barua walioandikiwa wale ndugu Wayahudi waliokuwa
8365 Rev 21 27 | hataingia humo. Ni wale tu walioandikwa katika kitabu cha uzima
8366 Roma 11 22 | Yeye ni mkali kwa wale walioanguka, na ni mwema kwako wewe
8367 Luke 13 4 | 4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu wakafa;
8368 Hebr 3 18 | Alikuwa anasema juu ya hao walioasi.~
8369 Jude 1 9 | ubishi kati yake na Ibilisi waliobishana juu ya mwili wa Mose, Mikaeli
8370 Titus 1 15| chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, maana dhamiri
8371 Acts 21 8 | alikuwa mmoja wa wale saba waliochaguliwa kule Yerusalemu.~
8372 John 2 9 | lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu
8373 Matt 25 1 | utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki
8374 Hebr 12 23 | ya roho za watu waadilifu waliofanywa kuwa wakamilifu.~
8375 1The 4 14 | pamoja na Yesu wale wote waliofariki wakiwa wanamwamini.~
8376 Acts 13 31 | siku nyingi aliwatokea wale waliofuatana naye kutoka Galilaya mpaka
8377 Roma 6 13 | wenyewe kwa Mungu kama watu waliofufuliwa kutoka wafu; toeni nafsi
8378 2Tim 2 17 | mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.~
8379 Hebr 12 11 | kuhuzunisha. Lakini wale waliofunzwa kuwa na nidhamu mwishowe
8380 Luke 9 11 | wa Mungu, akawaponya wale waliohitaji kuponywa.~
8381 Luke 2 3 | 3 Basi, wote waliohusika walikwenda kujiandikisha,
8382 Rev 16 2 | ya yule mnyama, na wale walioiabudu sanamu yake.~
8383 2Tim 3 4 | watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa
8384 Matt 19 11 | hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa na Mungu.~
8385 Acts 6 3 | watu saba wenye sifa njema, waliojawa na Roho na wenye hekima;
8386 Acts 17 17 | sokoni pamoja na wowote wale waliojitokeza.~
8387 1Tim 2 8 | nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza
8388 Rev 14 4 | 4 Watu hao ndio wale waliojiweka safi kwa kutoonana kimwili
8389 Acts 27 43 | wasifanye hivyo. Aliamuru wale waliojua kuogelea waruke kutoka melini
8390 Rev 7 2 | kuwaambia hao malaika wanne waliokabidhiwa jukumu la kuiharibu nchi
8391 Roma 11 18 | 18 Basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama
8392 Rev 14 3 | moja arobaini na nne elfu waliokombolewa duniani.~
8393 Acts 16 13 | Tuliketi, tukaongea na wanawake waliokusanyika mahali hapo.~
8394 Luke 14 1 | viongozi wa Mafarisayo; watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza.~
8395 Acts 5 9 | Bwana? Sikiliza! Wale watu waliokwenda kumzika mume wako, sasa
8396 1Cor 15 20 | kutoka wafu, limbuko lao wale waliolala katika kifo.~
8397 2Tim 3 6 | huwateka wanawake dhaifu waliolemewa mizigo ya dhambi na ambao
8398 Hebr 12 19 | Wale waliosikia sauti hiyo waliomba wasisikie tena neno jingine,~
8399 Rev 1 7 | mtu atamwona, hata wale waliomchoma. Makabila yote duniani yataomboleza
8400 Matt 26 57 | 57 Basi, hao watu waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani
8401 John 1 12 | 12 Lakini wale wote waliompokea na kumwamini, hao aliwapa
8402 Rev 15 2 | Nikawaona pia wale watu waliomshinda yule mnyama na sanamu yake
8403 Acts 17 15 | 15 Wale ndugu waliomsindikiza Paulo walikwenda pamoja
8404 Matt 21 9 | 9 Makundi ya watu waliomtangulia na wale waliomfuata wakapaaza
8405 Acts 1 16 | ambaye aliwaongoza wale waliomtia Yesu nguvuni.~
8406 1Pet 3 5 | kale wanawake waadilifu waliomtumainia Mungu; walijiweka chini
8407 Rev 14 11 | milele na milele. Watu hao waliomwabudu huyo mnyama na sanamu yake,
8408 Hebr 11 31 | hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha
8409 Acts 16 40 | nyumbani kwa Ludia. Huko walionana na ndugu waumini na baada
8410 Hebr 11 39 | 39 Watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu
8411 1Pet 3 20 | wachache tu, yaani watu wanane, waliookolewa majini,~
8412 Titus 1 10| wako watu wengi, hasa wale walioongoka kutoka dini ya Kiyahudi,
8413 Acts 2 11 | 11 Wayahudi na watu walioongokea dini ya Kiyahudi; wengine
8414 Hebr 3 16 | wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri.~
8415 Acts 11 2 | Yerusalemu, wale Wayahudi waumini waliopendelea watu wa mataifa mengine
8416 Rev 7 4 | Kisha nikasikia idadi ya hao waliopigwa mhuri: Watu mia moja arobaini
8417 Rev 7 14 | akaniambia, "Hawa ni wale waliopita salama katika ule udhalimu
8418 John 11 42 | hayo kwa ajili ya watu hawa waliopo hapa ili wapate kuamini
8419 John 5 3 | wamekaa: vipofu, viwete na waliopooza.*fa*~
8420 Luke 6 4 | makuhani tu peke yao ndio walioruhusiwa kula mikate hiyo."~
8421 Rev 11 13 | tetemeko hilo la ardhi. Watu waliosalia wakaogopa sana, wakamtukuza
8422 Roma 4 7 | 7 "Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa
8423 Luke 8 36 | 36 Wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao
8424 Gala 2 12 | kwa kuogopa kikundi cha waliosisitiza tohara.~
8425 Roma 1 14 | Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye
8426 Matt 4 24 | maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu:
8427 Rev 18 15 | 15 Wafanya biashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama
8428 Hebr 2 11 | zao, naye pamoja na wale waliotakaswa, wote wanaye Baba mmoja.
8429 Luke 1 2 | macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza ujumbe huo.~
8430 Mark 10 40 | nafasi hizo watapewa wale waliotayarishiwa."~
8431 Mark 15 40 | Walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao
8432 Mark 12 43 | zaidi kuliko wengine wote waliotia fedha katika sanduku la
8433 Luke 23 39 | 39 Mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: "
8434 Acts 16 14 | 14 Miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha
8435 John 1 22 | ili tuwapelekee jibu wale waliotutuma."~
8436 Hebr 12 9 | tunawaheshimu wazazi wetu waliotuzaa hata wanapotuadhibu. Basi,
8437 Titus 1 14| kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.~
8438 Rev 12 11 | Mwanakondoo na kwa nguvu ya ukweli walioutangaza; maana hawakuyathamini maisha
8439 Acts 14 3 | akathibitisha ukweli wa ujumbe walioutoa juu ya neema yake, kwa kuwawezesha
8440 Luke 24 23 | kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai.~
8441 Rev 11 11 | iliwaingia, nao wakasimama; wote waliowaona wakaingiwa na hofu kuu.~
8442 Matt 23 31 | ninyi ni watoto wa watu ~waliowaua manabii. ~
8443 Matt 20 23 | jambo hilo watapewa wale waliowekewa tayari na Baba yangu."~
8444 Luke 1 2 | kama tulivyoelezwa na wale walioyaona kwa macho yao tangu mwanzo,
8445 Matt 20 30 | Yesu alikuwa anapitia hapo, walipaaza sauti: "Mheshimiwa, Mwana
8446 Mark 15 47 | na Maria mama yake Yose walipaona hapo alipolazwa.~ ~ ~~ ~
8447 Hebr 11 37 | 37 Walipigwa mawe, walipasuliwa vipandevipande, waliuawa
8448 Matt 4 24 | watu waliokuwa wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.~
8449 1Pet 1 10 | 10 Manabii walipeleleza kwa makini na kufanya uchunguzi
8450 Acts 19 34 | Myahudi, wote kwa sauti moja walipiga kelele: "Mkuu ni Artemi
8451 Acts 28 19 | Lakini Wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami nikalazimika
8452 Acts 12 10 | 10 Walipita kituo cha kwanza cha ulinzi
8453 Acts 4 23 | 23 Mara tu walipoachwa huru, Petro na Yohane walirudi
8454 Roma 9 26 | 26 Na pale walipoambiwa: `Ninyi si wangu` hapo wataitwa: `
8455 Matt 1 17 | tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa mateka Babuloni, na vizazi
8456 Hebr 7 20 | Mungu. Wakati wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako kiapo.~
8457 Acts 26 10 | wengi wa watu wa Mungu. Nao walipohukumiwa kuuawa, nilipiga kura ya
8458 Matt 17 8 | 8 Walipoinua macho yao hawakumwona mtu,
8459 Acts 7 45 | mpaka wakati wa Yoshua, walipoinyakua ile nchi kutoka kwa mataifa
8460 Acts 15 31 | 31 Walipoisoma hiyo barua, maneno yake
8461 Hebr 11 29 | nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji.~
8462 Acts 7 41 | 41 Hapo ndipo walipojitengenezea sanamu ya ndama, wakaitambikia
8463 Matt 17 14 | 14 Walipojiunga tena na ule umati wa watu,
8464 Luke 9 11 | 11 Lakini wale watu walipojua alikokwenda, walimfuata.
8465 Matt 21 1 | 1 Yesu na wanafunzi wake walipokaribia Yerusalemu na kufika Bethfage
8466 Luke 24 28 | 28 Walipokikaribia kile kijiji walikokuwa wanakwenda,
8467 Acts 28 4 | 4 Wenyeji wa pale walipokiona kile kiumbe kinaning`inia
8468 2Pet 3 4 | yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile
8469 John 6 23 | zilifika mahali hapo watu walipokula ile mikate, Bwana alipokwisha
8470 John 12 16 | alipokwisha tukuzwa, ndipo walipokumbuka kwamba hayo yalikuwa yameandikwa
8471 Matt 25 10 | wale wanawali wapumbavu walipokwenda kununua mafuta, bwana arusi
8472 Acts 13 45 | 45 Lakini Wayahudi walipoliona hilo kundi la watu walijaa
8473 John 6 25 | 25 Wale watu walipomkuta Yesu ng`ambo ya pili wa
8474 Luke 2 27 | Hekaluni; na wazazi wa Yesu walipomleta Hekaluni mtoto wao ili wamfanyie
8475 Acts 18 6 | 6 Walipompinga na kuanza kumtukana, aliyakung`
8476 Acts 28 18 | 18 Waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na
8477 Acts 24 18 | nilipokuwa nikifanya hayo ndipo waliponikuta Hekaluni, nilipokuwa nimekwisha
8478 Hebr 9 13 | kutakasika na kuwa safi waliponyunyiziwa damu ya mbuzi na ya ng`ombe
8479 Acts 8 7 | wamepooza viungo na waliolemaa waliponywa.~
8480 Matt 1 11 | ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni.~
8481 Luke 9 10 | 10 Wale mitume waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya.
8482 Acts 7 35 | wa Israeli waliyemkataa waliposema: `Ni nani aliyekuweka wewe
8483 John 6 12 | 12 Watu waliposhiba Yesu akawaambia wanafunzi
8484 Luke 7 42 | 42 Waliposhindwa kulipa madeni yao, huyo
8485 Mark 6 34 | 34 Waliposhuka pwani, Yesu aliona umati
8486 John 11 8 | tu umepita tangu Wayahudi walipotaka kukuua kwa mawe, nawe unataka
8487 Acts 19 34 | 34 Lakini walipotambua kuwa yeye ni Myahudi, wote
8488 Mark 16 4 | 4 Lakini walipotazama, waliona jiwe limekwisha
8489 2Pet 2 4 | 4 Malaika walipotenda dhambi, Mungu hakuwahurumia,
8490 Acts 8 12 | 12 Lakini walipouamini ujumbe wa Filipo juu ya
8491 Mark 9 14 | 14 Walipowafikia wale wanafunzi wengine,
8492 John 9 18 | awali na sasa anaona mpaka walipowaita wazazi wake.~
8493 Luke 18 15 | awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.~
8494 Luke 7 10 | 10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule
8495 John 1 19 | Wayahudi kule Yerusalemu walipowatuma makuhani wa Walawi kwake
8496 Matt 21 15 | wakuu na walimu wa Sheria walipoyaona maajabu aliyoyafanya Yesu,
8497 John 8 7 | 7 Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka,
8498 Roma 11 7 | walioteuliwa walikipata. Wengine walipumbazwa,~
8499 Luke 23 56 | wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.~ ~ ~~ ~
8500 Acts 27 38 | kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa
8501 Hebr 11 35 | Na, wanawake walioamini walirudishiwa wafu wao wakiwa wamefufuliwa.
8502 Hebr 11 9 | Isaka na Yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.~
8503 Acts 2 6 | watu lilikusanyika. Wote walishtuka sana kwani kila mmoja wao
8504 Acts 13 4 | tumwa na Roho Mtakatifu, walishuka hadi Seleukia, na kutoka
8505 Acts 27 17 | pwani ya Libya. Kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli
8506 Matt 18 31 | wenzake walipoona jambo hilo walisikitika sana, wakaenda kumpasha
8507 Matt 25 5 | wale wanawali wote wote walisinzia, wakalala.~
8508 Luke 2 47 | Wote waliosikia maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake
8509 Acts 2 7 | 7 Walistaajabu na kushangaa, wakisema, "
8510 Matt 27 38 | 38 Wanyang`anyi wawili walisulubishwa pia pamoja naye, mmoja upande
8511 Acts 27 28 | 28 Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha
8512 Rev 18 19 | meli zisafirizo baharini walitajirika kutokana na utajiri wake.
8513 Luke 17 17 | akasema, "Je, si watu kumi walitakaswa? Wale tisa wako wapi?~
8514 Hebr 11 38 | haukustahili kuwa na watu hao. Walitangatanga jangwani na mlimani, wakaishi
8515 Acts 3 24 | Samweli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo
8516 Roma 9 32 | 32 Kwa nini? Kwa sababu walitegemea matendo yao badala ya kutegemea
8517 Acts 13 6 | 6 Walitembea toka upande mmoja wa kisiwa
8518 Hebr 11 33 | na wafalme, wakashinda. Walitenda mambo adili, wakapokea yale
8519 John 6 16 | Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,~
8520 Acts 27 29 | kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli;
8521 Mark 16 8 | pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. Hawakumwambia
8522 Acts 14 23 | 23 Waliteua wazee katika kila kanisa
8523 Roma 11 28 | mataifa. Lakini, kwa kuwa waliteuliwa, bado ni rafiki wa Mungu
8524 Acts 28 10 | tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.~
8525 Acts 5 21 | 21 Mitume walitii, wakaingia Hekaluni asubuhi
8526 Luke 24 23 | Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia
8527 Acts 22 29 | tayari kumchunguza Paulo walitoweka mara. Hata yule mkuu wa
8528 1Joh 2 19 | wa kwetu na ndiyo maana walituacha; Kama wangalikuwa wa kwetu,
8529 Hebr 12 10 | Wazazi wetu hapa duniani walituadhibu kwa muda, kama wao wenyewe
8530 Titus 3 3 | maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia nasi tukawachukia.~
8531 Acts 28 14 | tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja.
8532 Acts 28 10 | 10 Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati
8533 Acts 16 37 | Ingawa hatukuwa na kosa, walitupiga viboko hadharani hali sisi
8534 Acts 21 17 | Yerusalemu, ndugu waumini walitupokea vizuri sana.~
8535 Rev 19 20 | mnyama pamoja na huyo nabii walitupwa wote wawili, wakiwa wazimawazima,
8536 2Cor 8 4 | 4 walitusihi sana wapewe nafasi ya kushiriki
8537 Acts 21 5 | na wanawake na watoto wao walitusindikiza mpaka nje ya mji. Tulipofika
8538 Acts 20 5 | 5 Hao walitutangulia na kutungojea kule Troa.~
8539 Hebr 2 3 | huu, na wale waliomsikia walituthibitishia kwamba ni kweli.~
8540 Acts 16 37 | sisi ni raia wa Roma. Tena, walitutia ndani na sasa wanataka kutufungulia
8541 Acts 24 9 | 9 Nao Wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema
8542 Acts 17 11 | kuliko wale wa Thesalonika. Waliupokea ule ujumbe kwa hamu kubwa,
8543 Luke 7 29 | watu wote na watoza ushuru waliusifu wema wa Mungu; hao ndio
8544 Acts 18 8 | yake yote. Wakorintho wengi waliusikiliza ujumbe huo, wakaamini na
8545 John 19 40 | 40 Basi, waliutwaa mwili wa Yesu, wakaufunga
8546 Acts 5 1 | aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.~
8547 James 5 11| hao wenye heri kwa sababu walivumilia. Mmesikia habari za uvumilivu
8548 Acts 9 22 | Wayahudi wa huko Damasko walivurugika kabisa.~
8549 Acts 8 11 | 11 Walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa
8550 Luke 9 15 | 15 Wanafunzi wakafanya walivyoambiwa, wakawaketisha wote.~
8551 Acts 23 31 | askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule
8552 John 6 13 | vipande vya mikate ya shayiri walivyobakiza wale watu waliokula, wakajaza
8553 1The 2 14 | wananchi wenzenu kama vile wao walivyodhulumiwa na wenzao Wayahudi,~
8554 Matt 28 15 | zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati
8555 Hebr 11 9 | Aliishi huko katika hema kama walivyoishi Isaka na Yakobo, ambao pia
8556 1Pet 3 5 | 5 Ndivyo walivyojipamba hapo kale wanawake waadilifu
8557 1The 2 16 | utakaowaletea wokovu. Ndivyo walivyokamilisha orodha ya dhambi zote walizotenda
8558 Acts 4 27 | Israeli na watu wa mataifa walivyokutanika papa hapa mjini, kumpinga
8559 1Cor 10 9 | Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.~
8560 2Tim 3 8 | kama vile Yane na Yambre walivyompinga Mose.~
8561 Luke 24 35 | yaliyowapata njiani, na jinsi walivyomtambua katika kumega mkate.~
8562 1Cor 10 10 | msinung`unike kama baadhi yao walivyonung`unika, wakaangamizwa na
8563 Hebr 12 10 | kwa muda, kama wao wenyewe walivyoona kuwa vema; lakini Mungu
8564 1Pet 2 8 | hawauamini ule ujumbe; na ndivyo walivyopangiwa tangu mwanzo.~
8565 Rev 15 2 | ya kioo, wakiwa na vinubi walivyopewa na Mungu.~
8566 Luke 2 22 | na Maria kutakaswa kama walivyotakiwa na Sheria ya Mose, wazazi
8567 1Cor 10 6 | tusitamani ubaya kama wao walivyotamani.~
8568 Roma 3 8 | tupate mema! Ndivyo wengine walivyotukashifu kwa kutushtaki kwamba tumefundisha
8569 Rev 6 11 | watawaua kama wao wenyewe walivyouawa.~
8570 Matt 5 12 | kubwa mbinguni. Hivyo ndivyo walivyowadhulumu manabii waliokuwako kabla
8571 Mark 4 33 | hiyo; aliongea nao kadiri walivyoweza kusikia.~
8572 Mark 7 36 | kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.~
8573 1Cor 10 8 | tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu
8574 Acts 15 33 | fulani, ndugu wa Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha
8575 Acts 13 42 | ile sunagogi, wale watu waliwaalika waje tena siku ya Sabato
8576 Jude 1 18 | 18 Waliwaambieni: "Siku za mwisho zitakapofika,
8577 Acts 4 15 | 15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao
8578 John 12 11 | ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini
8579 Luke 23 32 | 32 Waliwachukua pia watu wengine wawili,
8580 Luke 6 26 | wanawasifu, maana wazee wao waliwafanyia manabii wa uongo vivyo hivyo.~
8581 Acts 13 43 | wameongokea dini ya Kiyahudi waliwafuata Paulo na Barnaba. Hao mitume
8582 Mark 6 13 | 13 Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka
8583 Acts 17 10 | 10 Usiku, wale ndugu waliwahimiza Paulo na Sila waende Berea.
8584 Acts 6 11 | 11 Kwa hiyo waliwahonga watu kadhaa waseme: "Tumemsikia
8585 Acts 14 22 | 22 Waliwaimarisha waumini wa miji hiyo na
8586 Acts 16 19 | kupata mali limekwisha, waliwakamata Paulo na Sila, wakawaburuta
8587 Luke 4 40 | wagonjwa wao mbalimbali waliwaleta kwake; naye akaweka mikono
8588 Acts 16 39 | na baada ya kuwatoa ndani waliwaomba watoke katika mji ule.~
8589 Acts 8 15 | 15 Walipofika waliwaombea hao waumini ili wampokee
8590 Mark 6 33 | 33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, wakawatambua.
8591 Acts 16 4 | wanapita katika ile miji waliwapa watu yale maagizo yaliyotolewa
8592 Acts 16 38 | 38 Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo
8593 Acts 13 15 | wakuu wa lile sunagogi waliwapelekea ujumbe huu: "Ndugu, kama
8594 Acts 28 2 | kulikuwa na baridi, hivyo waliwasha moto, wakatukaribisha.~
8595 Acts 5 13 | wasiokuwa wa imani hiyo waliwasifu.~
8596 Acts 11 11 | wametumwa kwangu kutoka Kaisarea waliwasili kwenye nyumba niliyokuwa
8597 Acts 4 7 | 7 Waliwasimamisha mitume mbele yao, wakawauliza, "
8598 Luke 6 23 | mbinguni. Kwa maana wazee wao waliwatendea manabii vivyo hivyo.~
8599 Acts 14 4 | huo waligawanyika: wengine waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine
8600 Acts 15 24 | wengine kutoka huku kwetu waliwavurugeni kwa maneno yao, wakaitia
8601 Mark 6 56 | mijini, au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa uwanjani, wakamsihi
8602 Hebr 9 13 | waliokuwa najisi kidini waliweza kutakasika na kuwa safi
8603 Luke 24 11 | 11 Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo
8604 Acts 13 27 | kila Sabato. Hata hivyo, waliyafanya maneno ya manabii yatimie
8605 Acts 2 41 | 41 Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa.
8606 Hebr 11 13 | ameahidi, lakini kwa mbali waliyaona, wakashangilia, na kukiri
8607 Rev 7 14 | katika ule udhalimu mkuu. Waliyaosha mavazi yao katika damu ya
8608 Acts 14 14 | Paulo walipopata habari hiyo waliyararua mavazi yao na kukimbilia
8609 Luke 1 66 | Wote waliosikia mambo hayo waliyatafakari mioyoni mwao wakisema: "
8610 John 19 37 | yanasema: "Watamtazama yule waliyemtoboa."~
8611 Acts 4 23 | wenzao, wakawaeleza yale waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.~
8612 Matt 16 10 | 10 Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu elfu nne, je,
8613 Matt 23 32 | kamilisheni ile kazi wazee wenu waliyoianza! ~
8614 Colo 4 16 | mpango mpate kuisoma barua waliyoipata kwao.~
8615 2Pet 2 21 | na kupoteza amri takatifu waliyopokea.~
8616 Luke 24 1 | wakichukua yale manukato waliyotayarisha.~
8617 Acts 12 11 | yale yote watu wa Israeli waliyotazamia."~
8618 2Pet 2 17 | yanayopeperushwa na tufani; makao yao waliyowekewa ni mahali pa giza kuu.~
8619 Luke 9 10 | waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua, wakaenda
8620 Mark 11 8 | wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.~
8621 John 5 19 | haya, viongozi wa Wayahudi walizidi kutafuta njia ya kumwua
8622 Acts 27 32 | 32 Hapo wale askari walizikata kamba zilizokuwa zimeshikilia
8623 Hebr 11 34 | 34 Walizima mioto mikali, waliepuka
8624 Hebr 9 15 | wazipokee baraka za milele walizoahidiwa. Watazipata, kwani kifo
8625 Rev 2 9 | ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita Wayahudi
8626 Roma 15 3 | yasemavyo Maandiko: "Kashfa zote walizokutolea wewe zimenipata mimi."~
8627 Mark 7 4 | Kuna pia desturi nyingine walizopokea kama vile namna ya kuosha
8628 1The 2 16 | walivyokamilisha orodha ya dhambi zote walizotenda siku zote. Lakini sasa hasira
8629 Hebr 11 37 | vipandevipande, waliuawa kwa upanga. Walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za
8630 Acts 15 32 | ambao nao walikuwa manabii, walizungumza na hao ndugu kwa muda mrefu
8631 Acts 15 37 | 37 Barnaba alitaka wamchukue pia Yohane aitwaye Marko.~
8632 Roma 14 10 | ndugu yako? Nawe, kwa nini wamdharau ndugu yako? Sisi sote tutasimama
8633 Matt 22 14 | akamaliza kwa kusema, "Wengi wamealikwa, lakini wachache ~wameteuliwa." ~
8634 Luke 2 20 | yalikuwa kama walivyokuwa wameambiwa.~
8635 John 20 29 | ambao hawajaona, lakini wameamini."~
8636 Acts 25 23 | ukumbi wa mkutano wakiwa wameandamana na wakuu wa majeshi na viongozi
8637 John 6 45 | 45 Manabii wameandika: `Watu wote watafundishwa
8638 Rev 14 1 | paji za nyuso zao walikuwa wameandikwa jina la Mwanakondoo na jina
8639 Jude 1 11 | Wameasi kama Kora alivyoasi na wameangamizwa kama yeye alivyoangamizwa.~
8640 1Cor 4 18 | 18 Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani
8641 Acts 23 21 | arobaini walio tayari kumvamia. Wameapa kutokula wala kunywa mpaka
8642 Jude 1 11 | mkosi uleule wa Baalamu. Wameasi kama Kora alivyoasi na wameangamizwa
8643 Acts 26 20 | kuonyesha kwa vitendo kwamba wamebadilisha mioyo yao.~
8644 Acts 8 16 | yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.~
8645 Luke 7 12 | lango la mji, walitokea watu wamebeba maiti ya kijana mmoja, mtoto
8646 Mark 9 34 | wakanyamaza, maana njiani walikuwa wamebishana ni nani aliye mkuu kati
8647 Acts 13 48 | Mungu; na wale waliokuwa wamechaguliwa kupata uzima wa milele,
8648 Acts 2 9 | Baadhi yetu ni Waparthi, Wamedi na Waelami; wengine ni wenyeji
8649 Mark 6 52 | 52 maana hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. Akili
8650 Acts 27 13 | ulianza kuvuma, nao wakadhani wamefanikiwa lengo lao; hivyo wakang`
8651 Matt 19 12 | hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine
8652 Matt 2 18 | hataki kutulizwa, maana wote wamefariki."~
8653 Luke 18 34 | kidogo jambo hilo; walikuwa wamefichwa maana ya maneno hayo, na
8654 Jude 1 11 | 11 Ole wao! Watu hao wamefuata mwenendo uleule wa Kaini.
8655 Acts 28 27 | zimepumbaa, wameziba masikio yao, wamefumba macho yao. La sivyo, wangeona
8656 Acts 15 26 | 26 ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya
8657 1Pet 4 6 | waliokufa ambao walikuwa wamehukumiwa katika maisha yao ya kimwili
8658 Rev 19 20 | mnyama, na ambao walikuwa wameiabudu sanamu yake.) Huyo mnyama
8659 2Pet 2 15 | 15 Wameiacha njia iliyonyoka, wakapotoka
8660 1Cor 16 18 | 18 Wameiburudisha roho yangu na yenu pia.
8661 Matt 2 9 | Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia
8662 Gala 5 24 | 24 Wale walio wa Kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja
8663 Acts 14 26 | kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.~
8664 1Tim 6 10 | wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja mioyo yao kwa huzuni nyingi.~
8665 Luke 1 7 | 7 Lakini hawakuwa wamejaliwa watoto kwa vile Elisabeti
8666 Roma 10 3 | watu wawe waadilifu, na wamejaribu kuanzisha mtindo wao wenyewe,
8667 1Tim 6 21 | 21 Maana wengine wamejidai kuwa na hiyo elimu, na matokeo
8668 Jude 1 11 | Kaini. Kwa ajili ya fedha, wamejiingiza katika mkosi uleule wa Baalamu.
8669 Roma 11 11 | Basi, nauliza: je, Wayahudi wamejikwaa hata wakaangamia kabisa?
8670 Luke 1 1 | Mheshimiwa Theofilo: Watu wengi wamejitahidi kuandika juu ya mambo yale
8671 2Pet 2 18 | kimwili kuwatega wale ambao wamejitenga hivi karibuni na watu waishio
8672 1Cor 16 15 | Kikristo katika Akaya, na wamejitolea kuwatumikia watu wa Mungu.
8673 Ephe 4 19 | Wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya
8674 Acts 4 13 | Wakatambua kwamba walikuwa wamejiunga na Yesu.~
8675 Mark 12 38 | ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa
|